No video

#BREAKING

  Рет қаралды 39,996

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#BREAKING: LATRA WATANGAZA NAULI za TRENI ya MWENDOKASI - DAR HADI MORO ni ELFU 13 - SHWAAA!
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 142
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 2 ай бұрын
Usimamizi Usimamizi Usamamizi!!! Namwoomba mungu atusaidie tuweze KUSIMAMIA hii huduma inavyopaswa Kusimamiwa..Amen!
@calvintemba2236
@calvintemba2236 2 ай бұрын
mabasi ya mwendokasi yametushinda, Mungu atausimamie tuweze treni.
@AwardHakimu
@AwardHakimu 2 ай бұрын
Mtu alieshindwa kusimamia vitu vidogo atawezaje vikubwa mabasi yakushinde uweze treni
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 2 ай бұрын
Nauli is affordable
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 2 ай бұрын
Wawoooo! Tanzania yangu oyeeeeeee 🎉🎉🎉
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 2 ай бұрын
Mm nakupongezeni sana sana sana ila mjipange hasa kuepuka ubadhilifu ili mradi huu usaidie nchi yetu hongeleni sana
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 2 ай бұрын
TRAINI NZURI BEI NZURI TATIZO NI SEHEMU MBILI TU, WASIMAMIZI NA SISI ABIRIA KWENYE KUTUNZA
@johnmlay4759
@johnmlay4759 2 ай бұрын
Waweke sheria na faini zakutunza
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 ай бұрын
ONGERA NYINGI KWA JPM NA NYINGI KWA MAMA NA WATZ WOTE WANAO PENDA MAENDELEO YA NCHI
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 2 ай бұрын
Viva MAGU alithubutu
@majalaworldwide
@majalaworldwide 2 ай бұрын
Ulipo kosea Ulipo mtaja mama Ila ulianza vzuri😂😂😂
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 ай бұрын
@@majalaworldwidemama anapiga kazi si mtu wa maneno lakini kazi inaonekana na inafanyika kimya kimya..
@JustinePatrinius
@JustinePatrinius 2 ай бұрын
Safi sanaaa latra izo bei NJ sawia kabisa.... 🙏🙏
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 2 ай бұрын
Bei ni rafiki safi utakaelalamika basi fanya kazi Kwa bidii utafute Hela
@ladytanzania6595
@ladytanzania6595 2 ай бұрын
Kwa Kweli these are fair prices! Watanzania tutaenjoy train yetu 💕👌
@husseinhamisimwindadi2211
@husseinhamisimwindadi2211 2 ай бұрын
Nauli ni yakizalendo,shukrani kwa serekali yetu!
@charleskibiki217
@charleskibiki217 2 ай бұрын
Hilo litreni linaanza lini tuwahi tuanze kugogodea mapema maana isoje tupita vizazi vyetu hatujawahi pand , maana mabombadier ni ya matajiri huku mwendokas ni kwaajili yetu sisi
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake asante sana Viongozi wetu mambo poa kwelikweli
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 2 ай бұрын
Affordable
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 ай бұрын
SAF SANA SAFARI ZIANZE SAS TUMESUBIR SANA
@johnmlay4759
@johnmlay4759 2 ай бұрын
Si ndio
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 2 ай бұрын
Watoto watakuwa wanatumwa dodoma mizigo na kurudi
@ladytanzania6595
@ladytanzania6595 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@davidanselmo4041
@davidanselmo4041 2 ай бұрын
Umeshafeli tayari 😅
@Assu89Ma2ly-xt4np
@Assu89Ma2ly-xt4np 2 ай бұрын
Ukipenda lah kama hutaki unaweza lipia na kutuma mzigo (kifurushi) aliye upande wa 2 akapokea ndani ya muda mchache
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 2 ай бұрын
Thankyou
@user-nf9cc1hi1t
@user-nf9cc1hi1t 2 ай бұрын
Mungu utisaidie wahujumu wasitokee
@jovinrwambari9517
@jovinrwambari9517 2 ай бұрын
hongereni....nauli zinvumilika
@stevenchawala5316
@stevenchawala5316 2 ай бұрын
Muweke na kukata tiket online kama napandia zangu moro kwenda nakutopora fresh
@YugoAlly
@YugoAlly 2 ай бұрын
Bei rafiki sana
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 ай бұрын
Tunawakaribisha KIMBINYIKO,ABOOD,SHABIBY,KATARAMA na wengine wengi Mje Ifakara mpk Mahenge road iko wazi
@ombenikweka7222
@ombenikweka7222 2 ай бұрын
Panda basi Hadi Moro uone karaha yake ya foleni
@mamodelmam
@mamodelmam 2 ай бұрын
Very affordable
@latifalayla9990
@latifalayla9990 2 ай бұрын
Madaraja mengine vp? Bei yake pia wekeni wazi.
@RamadhaniWaziri-ut9ti
@RamadhaniWaziri-ut9ti 2 ай бұрын
Hatarii
@christianchando7041
@christianchando7041 2 ай бұрын
Nauli ni nzuri, nadhani wengi wetu tutazimudu, ila madaraja ya juu hayo yana wenyewe, na zile EMU (mchongoko) hizo tutapanda tukishatajirika 😂😂😂😂 ILA KWA HIZI ZA KAWAIDA, BEI NI NZURI
@nissanmarch656
@nissanmarch656 2 ай бұрын
Eti kunajitu linasema nauli kweli watanzania hamnashukrani😮😮😮
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 ай бұрын
Kuna watu hawajawahi kusafiri, Mwanza to Dar yapo Mabasi nauli mpaka 120,000/=
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 ай бұрын
Ni sawa tumepata usafiri mZuri lakn serikali imetupiga kwenye aina ya treni waliotuletea si ile ambayo tulikuwa tunaambiwa na kuonyeshwa
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 2 ай бұрын
Apo sasa tumewapata vizur kabisa nauli lafiki sana
@anosiata8242
@anosiata8242 2 ай бұрын
Utasikia eti treni wamepewa waraabu tena. Maana huyo mama shida kwelikweli. Kila kitu anawapa warabu. Bandari waarabu , kiwanja cha KIA warabu, misitu hekta milion tisa na ushehe , kawapa waraabu, bunga za wanyama kawapa warabu. Kila mahari wanachi wanafukunzwa kwenye aridhi zao maeneo hayo badaye wanapewa wangeni. Watanganyika tuamuke.
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 2 ай бұрын
Nauli ni za kawaida kabisa Kazi iendelee
@ombenikweka7222
@ombenikweka7222 2 ай бұрын
Nauli sio kubwa kuna hadi nauli ya elfu 18 hadi singida unakwama wapi
@amirisaid6341
@amirisaid6341 2 ай бұрын
Singida 18??
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 2 ай бұрын
Kwani wewe ni mtoto?
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 2 ай бұрын
Nauliza pugu buku buku mabehewa yatachakaa haraka mtu wa lugu dala dala kibao utaarabu utakuwa mdogo utaarabu utakuwa mdogo sana
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 ай бұрын
Acha yachakae
@joramkishaluli9277
@joramkishaluli9277 2 ай бұрын
Nauli ni kubwa mno, bado haijamsaidia mtanzania. Mfano Dar - Dom sh 31,000/-x2 = 62,000/-. Tulitegemea mtu atoke Dar kwenda kufanya kazi Dom na kurudi kama mataifa ya wenzetu kwetu sisi bado ni kitendawili bei hips.
@mduda_i
@mduda_i 2 ай бұрын
Ukipanda basi unatumia masaa7 hadi 8 dom to dar, utuambie huwa unalipa sh.ngapi???? Treni unatumia masaa 3 hadi 4 sasa tueleze wewe ulitaka ulipe bei gani?
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 2 ай бұрын
NCHI ZA AFRICA NI NGUMU KUWA HURU BILA MSAADA WA URUSI,.NATUKILITAMBUA HILI NAKULIAMINI TUTAKUWA BEGA KWA BEGA NA URUSI KUPATA MAALIFA,NA NGUVU.
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 2 ай бұрын
Nashangaa kichwa cha train kinaonekana pich mchongoko lakin kinacho tembea hakifanani na pocha
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 2 ай бұрын
Mmetaja nauli Je tozo yamizigo mf: ndugu zetu wakilosa kwakufungasha maroba yamichere au nauli tu mizigo bure
@user-sk3hg5by5c
@user-sk3hg5by5c 2 ай бұрын
Tanzania imeendelea
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@benedictodaniel1842
@benedictodaniel1842 2 ай бұрын
Kutoka Dar mpka mwanza itakuwa Elfu 90000/ kasolo kwabei hizo Mabasi yataendelea kujichukulia Point yakubeba Abilia
@JustinMwashilindi
@JustinMwashilindi 2 ай бұрын
Nauli rafiki sana
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Bona hamjasema mtoto mchanga nauri shigapi
@user-oh3cn2bi5l
@user-oh3cn2bi5l Ай бұрын
Jinsi ya kukata tiket online
@babajay3445
@babajay3445 2 ай бұрын
Abood kwaheriniiiii
@bayekefarijala5042
@bayekefarijala5042 2 ай бұрын
😂
@bollywoodentertainment8081
@bollywoodentertainment8081 2 ай бұрын
😂😂😂
@edwardmwambene3748
@edwardmwambene3748 2 ай бұрын
Kkkkkk
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 ай бұрын
KIMBINYIKO njia ya Ifakara mpk Mahenge iko wazi
@user-ms2kf3mf3q
@user-ms2kf3mf3q 2 ай бұрын
Sio kwenye treni hadi kwenye ndege kumenoga
@Official83640
@Official83640 2 ай бұрын
Jaman Soga elf 4 natapanda maana kupita Ubungo shughuli pevu😂😂😂😂
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
RIP JPM
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 ай бұрын
Acheni lawama lazima quality ya usafiri uonekani hamuezi hamjalazimishwa pandeni mabasi
@emmanuelaloyce932
@emmanuelaloyce932 2 ай бұрын
Kwanini Arusha mnaitenga na angali ni jiji la kitalii?
@doiabel3793
@doiabel3793 2 ай бұрын
Train itafika Kila mkoa tulia kijana
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 ай бұрын
Tupo kwenye mipango yakuleta kesho au kesho kutwa please
@abdulymaeda2697
@abdulymaeda2697 2 ай бұрын
Mtavuta Bangi kwenye behewa
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 2 ай бұрын
@@rogerabdallah439😂😂😂
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 2 ай бұрын
Mama abduli.....
@suleysafari798
@suleysafari798 2 ай бұрын
Kwaheri mabasi, yaani bye bye
@J_Jeromy
@J_Jeromy 2 ай бұрын
Tukumbukena na Mbeya green city 🎉🎉🎉
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 ай бұрын
Tupo kwenye mpango uo msijali
@edwardmwambene3748
@edwardmwambene3748 2 ай бұрын
Njooni mpaka mbeya kwakweli mtakuwa Mme tukomboa
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 2 ай бұрын
Mbeya yenu ni Tazara
@johnmlay4759
@johnmlay4759 2 ай бұрын
​@@edwardmwambene3748kuna tazara
@user-nl9xe5bu1x
@user-nl9xe5bu1x 2 ай бұрын
Hivi kweli mtoto WA MIaka minne alipe nauli kivipi,?
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v 2 ай бұрын
Sijui ni kuite Mheshimiwa au Mhudumu unaongea mambo ya nauli usishangae nikalipa hiyo nauli uliyotagaza ukakuta mambo tofauti Mheshimiwa au Mhudumu uliyetoa tangazo hilo nakupa miezi miwili au mitatu utaniambia kuwa Mimi ni mwongo andika jina langu kwenye note book yako utakuta tangazo lako litakuwa the comedy kwetu sisi wabongo hatuna jeuri la kuheshimu hilo tangazo ulilolitoa yangu macho😮
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 2 ай бұрын
Negative people hamkosekani🙄
@NammanaMobile
@NammanaMobile 2 ай бұрын
Kwaiyo ikifika kwenda Mwanza si itakuwa zaid ya nauli ya ndege
@mduda_i
@mduda_i 2 ай бұрын
ndege ni sh.ngapi?
@NammanaMobile
@NammanaMobile 2 ай бұрын
@@mduda_i Mwanza 95
@jesuslivegospel-sb7yd
@jesuslivegospel-sb7yd 2 ай бұрын
daaaaaaah...bei kubwa mno
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 2 ай бұрын
Yalini hii
@ibrahimsaid133
@ibrahimsaid133 2 ай бұрын
Ratiba za safari zikoje au ni daily
@mpegesaaswile6581
@mpegesaaswile6581 2 ай бұрын
Nikajua train itakuwa rahisi kuliko mabasi,kumbe ujinga tu
@kamazima11
@kamazima11 2 ай бұрын
Jaman nauli sawa usimamiz mnaweza?? Mnatupa Uhakika gani ? Maana yasijekuwa mambo ya mabasi ya mwendokasi , maana mwendokasi walianza hivi hivi kwa mbwembwe ila kwa Sasa hivi haifai , binafsi nina wasiwasi na hii Treni isije tukasikia limezimika njian, na sijui kuna shida gani kwenye usimamizi wa hizi kodi za wanaanchi
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 2 ай бұрын
Sawa tutafika
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 2 ай бұрын
Nauli zamabc zitashuka
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 2 ай бұрын
Tatzo pia mmetuletea makitu ya kishamba sanaa kitu cha mwaka 47
@Jemesipiter
@Jemesipiter 2 ай бұрын
Mumetuaminisha kua tren haitakua na vituo vingi njiani ispokua morogo kisha Dodoma why pugu mara kirosa?
@nasibusaid4161
@nasibusaid4161 2 ай бұрын
Hii ni daraja la kawaida,yaani ordinary class kutakuwepo na express hizi zitakuwa na vituo vichache watatangaza
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 2 ай бұрын
Time vp
@ombenikweka7222
@ombenikweka7222 2 ай бұрын
Ukitaka ufike chalinze kituo chake karibu ni wapi?
@johnmlay4759
@johnmlay4759 2 ай бұрын
Hapo hamna kituo maana kituo cha kwanza ni pugu
@ProudNative
@ProudNative 2 ай бұрын
Treni itaanza kutoa huduma lini?
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 2 ай бұрын
Mwezi wa Saba tarehe 27
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 2 ай бұрын
Sasa nitaoa dodoma mana ntakuwa natereza tu
@swahibal-karama145
@swahibal-karama145 2 ай бұрын
SIKU NGAPI UNAFIKA MORO?.
@josegambi7149
@josegambi7149 2 ай бұрын
Jengeni mpaka mbeya
@edwardmwambene3748
@edwardmwambene3748 2 ай бұрын
Kabisa iyende mpaka zambia uko
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
Yan si naul tu kuwa ni poa ila unafik mapema na hujachoka
@Masudi-pc7yp
@Masudi-pc7yp 2 ай бұрын
naurinafuu
@user-nt6fb2ky3t
@user-nt6fb2ky3t 2 ай бұрын
Nauli kubwa.,her tupande mabasi
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 ай бұрын
Acha kupotosha NGOSHA, Mwanza to Dar via Bus siku inaishia njiani. Unakula vitumbua na mahindi ya zaidi au sawa na nauli uliyolipa, unafuu uko wapi?
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 2 ай бұрын
Hiv dar kilosa 18 au nimasikio yanguu
@ramadhanmohamed3261
@ramadhanmohamed3261 2 ай бұрын
Yeah 18000
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 ай бұрын
Masikio yako yamesikia vzr. Wasalimie Kimamba na Ilonga
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 2 ай бұрын
Ntawasalimia aisee siwezi pitwa ​@@hassanlikwenangu8471
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 2 ай бұрын
Nauli bado iko juu,kwa Basi toka Dom hadi Dar bei 29,000 hadi 35000
@konshazikonsha6180
@konshazikonsha6180 2 ай бұрын
Kwani laazima uingie business class Ingia economy 18,000 tuu!! Unataka iweje tena ndugu
@kemmymugele350
@kemmymugele350 2 ай бұрын
Nauli ya treni haiwezi kua sawa na nauli ya basi.
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 2 ай бұрын
Ww kweli fala😅😅😅😅
@Official83640
@Official83640 2 ай бұрын
Acheni wizi kwa watoto kwann msingeanza miaka 7 au 6
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 2 ай бұрын
.
@user-vt3uq3xv3s
@user-vt3uq3xv3s 2 ай бұрын
Kidete 😂😂😂
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 2 ай бұрын
Bado nauli ni kubwa, bora tuendelee kupanda basi
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
Kapande huku unasubir nn?
@AishaJanuary
@AishaJanuary 2 ай бұрын
Akili kibaba wewe
@muzneali4747
@muzneali4747 2 ай бұрын
​@@jumashedafaUKIONA HIVYO HUYO NI MWANACHAMA WA CHADEMA SI UNAJUA SERA YAO KUPINGA KILA KITU HATA INGEKUWA BURE BASI ANGEPINGA
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
@@muzneali4747 Ndio ivy na ata ingekuw kubwa ni bora hiyo cz ipo haraka na hukerekwi ndan wala kubanana, hukuna folen...yan kama una samaki wako hawaozi ushafik dodoma chap...uwaandae uwakaange huend urud nao Dar tena...hahahahah
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 2 ай бұрын
Tunashukru sn kwa huduma mliyotuletea?Asanteni sn.lakini tunaomba mtufikiliye na sisi wenye kipato Cha chini,kwa maana kwa mtido huu mtakuwa mmetutenga wakulima na wenye kipato Cha chini!!!hatuwezi panda?maana hamjatutengea sehemu yetu, mtapanda peke yenu wafanyakazi na wafanyabiashara?maana nauli hamjaiweka rafiki,kwa wote?ili na sisi wa Hali ya chini, tuweze kupanda?Bora basi mungeweka hayo mabehewa bei tofauti ili Kila mmoja aemweze kupanda?,kusiwe na ubaguzi,kwa mwenye kipato tu?Na kwa wasiyo na kipato?wote tuweze kupanda?Mimi kwa tusiyo na kipato ningependekeza iwe sh 5000
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 ай бұрын
Fikeni kigoma jamani
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 2 ай бұрын
Umeona
@davidanselmo4041
@davidanselmo4041 2 ай бұрын
Punguzeni uchafu kwanza 😅
@johnmlay4759
@johnmlay4759 2 ай бұрын
​@@davidanselmo4041😂😂😂😂😂😂😂
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 2 ай бұрын
Wanapiga ela kwenye daladala huko wameweka nauli rafiki
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 11 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,9 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 26 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
#TBC: SAFARI YA KWANZA TRENI YA SGR KUTOKA DAR - DOM
1:14
TBConline
Рет қаралды 9 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,9 МЛН