►Instagram / stbongotv ►TikTok / stbongotv.tz ►Facebook / stbongotv ►Twitter / stbongotv ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Пікірлер: 1 000
@VickKulekana-si1ib6 ай бұрын
Ni kweli ukifokasi kwenye kazi yako na mungu akikubaliki utapata pesa
@bensonthuo14476 ай бұрын
Huyu dada amefalia dresi nyekundu Ako na hekima na maarifa ya maisha
@shukuruskay49496 ай бұрын
Asanteni sana kwa kuongeza dhakika, ni fan wenu mkubwa kutoka South Africa 🇿🇦 na fwatilia hiki kipidi sana...na enjoy sana 🙏😍 🥰
@zebedemirambi30676 ай бұрын
Jacky I love you ma, ulisema vizurisana, Umuri nikitu kizuri pia in relationships ❤❤️🇨🇩
@henriette993 ай бұрын
Yes uyu dem ameongea Na kama Mimi Ni moja Kati ya vigezo zangu miaka
@thechapter3046 ай бұрын
Wooow,wanafaana hawa wawili👏👏👏👏👏. Nawatakia kila la kheri kutoka 🇰🇪
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Uko wapi
@NancykattKangu-xk2bh4 ай бұрын
Namjua uyo Devis kiukwel mwanamke atakae mchagua uyo kaka atainjoy San nibest yangu sana nanimwalimu wangu nilishawaig igizaganae move yote hayo kaongea ukwel hajadanganya hata kidogo nimpole mstarabu mnyenyekevu best friend alafu kanenepa
@glorychristopher72833 ай бұрын
Wewe dada chizi kweii unapenda ela zake wewe una nn utazeeka ukiangalia mfuko wa mtu wewe n mlemavu s upambane na wewe
@ahz69072 ай бұрын
Sasa kunenepa kwake kunahusu nini?😂
@MarySimoni-tz3fmАй бұрын
Huyo ananifaa Mimi kabisa SEMA Nina mtot 1ila nimempenda
@nasrafarjallah669120 күн бұрын
@@glorychristopher7283 kwan wap kazungumzia mfuko
@soltv82686 ай бұрын
Mwanzo walikua wana boa na vipande vyao visivyo eleweka nikaacha kuwafatilia leo nimeingia tu bahati mbaya naona wamejirekebisha, video iko full inaeleweka big up
@ZitoJose-cl3pt6 ай бұрын
Mimi pia niliacha sasa naludi
@victoriarichard87616 ай бұрын
Siyo bahati mbaya ni bahati nzuri sada
@janethkomba44856 ай бұрын
Nami pia ndokwanzaa naingia leo tar 29 mwez 12 nakuta ndefuuu nimependa sasa nitaendelea kuchungulia🧘🙏
@user-bg5ot7ce8r5 ай бұрын
Kipind inakuwaga ckugani na ckugani jmn na ni sahangapi😢
@user-hp3ze2mb9y6 ай бұрын
Sauti ya mziki ipo juu sana wakati mtu anaongea. Ingekuwa inapungua kidogo ingekaa poa sana. Asante!
@maryayusuf42886 ай бұрын
Kweli atleast wapunguze
@evalinegideon39826 ай бұрын
Kabisaaaa Yan mziki uko juu sana mpk kero
@LucySanga-du9fd6 ай бұрын
Kabs dear
@mrmeshack5 ай бұрын
Iko poa tu ndg
@user-lh5nm2pq5fАй бұрын
Exactly increase on volume please
@sahraabdallah72426 ай бұрын
Huyo sijuhi Johari mshamba sanaa😏😏😏😏
@anithamsaki20406 ай бұрын
Now jamnii tunaenjoy mnaweka kipandee kina dakika full.. vibes
@zanurahmaulid26656 ай бұрын
Sahiv wanajitahid sana
@CECILIAMAGANGA-sk8md6 ай бұрын
Mungu akutangulie kaka kwa kila jambo🙏 pia akupe mke mwema na awe mkweli
@justinambrose35775 ай бұрын
Aaliya you are so cute and matured one. God bless you 🎉
@user-ep4kd3rv6y5 ай бұрын
huyu johari ni mwehu kwan mavazi yanategemea na kazi unayofanya,, ukimiliki pesa unavaaa chochote unachokiitaj siyo ety mpaka ifanye kazi bank
@user-jw6bz6ku5t4 ай бұрын
Naweza kupata namba ya mister right
@kateigamaleo9684 ай бұрын
Please, some English, we enjoy your content even when we have very little kiswahili. Could be putting some content in kingereza? Love from Uganda
@user-qd2bz1ik8gАй бұрын
40:09 40:09 @@user-jw6bz6ku5t
@adelaadelaide83926 ай бұрын
Wow kwanza wamependezana sana❤❤❤❤❤
@johnstoneimbukwa1286 ай бұрын
Here in Kenya Mr Right show is pure comedy.. never serious
@AbuuuMwambus6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@AbuuuMwambus6 ай бұрын
They joking all the time
@winniemwesh67785 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@filbertnashon71605 ай бұрын
Anawafokea sana😅mwambieni
@rosemarynjare35882 ай бұрын
Kenyans ladies are like prostitute wallah too bored
@user-yt7pp9cc3r6 ай бұрын
namimi nilikuwa na mashaka nilipofuatwa na Mr right wangu ila tunamiaka kadhaa naenjoy,kazi nzuriii alyaa
@jaffaryhamiddy89396 ай бұрын
muongo ww
@suzanafromomani29736 ай бұрын
Kweli natuliopo mbali?
@user-kj1yb7sg6u5 ай бұрын
Waoooh uyu mrembo nilimpemda Toka anatoa maoni yake ya hawali Toka mwanzo🥰🥰🥰
@hopefreddiecker05376 ай бұрын
Jacky huyo uwii wenzie wanamchora tu,,,, umri ni Nini,Unaeza pata mtu kakuzidi 32 yrs na bado akawa wa ovyo tu,,, ila ukapata wa same age akawa na akili zilizonyooka.....🤣
@metrineomega16356 ай бұрын
Good job, sasa hapa ni kukaa Kwa kutulia kbsaa, watching from Kenya but currently in Saudi Arabia
@stacyauma66446 ай бұрын
Same here with you
@user-zb2mj5nd5g6 ай бұрын
Ndo maana mabinti wasiku hizi mnafeli kwenye maisha mnaangalia pesa yamtu ambaye hamjui kaipataje pesa
@salomevenance95552 ай бұрын
Fact
@tunuhhashimАй бұрын
kweli wanawake wengi tunafeli pakubwa sana kupenda pesa kupitiliza tena unakuta huyo anae penda maokoto hajui kutafuta zake
@user-rc6ww6rx7nАй бұрын
Umeonaeeh jinga kbs hy muuza nyama hy unazitaka pessa co zk muache avunde hapo
@salomevenance95552 ай бұрын
Namtakia huyu kaka kila la heri ni husband material kabisa yaani hapo huyo mwanamke ayabanange mwenyewe❤❤❤❤❤❤❤
@thandiweonkhwazi81646 ай бұрын
Jamani back ground music ina sauti kubwa punguzeni sauti. Mngritoa ingekuwa nzuri zaidi
Tanzanians are very calm ! Kuna wengine wangekua washarukaruka hadi wakambusu!!
@kalamukalomu1780Ай бұрын
Yaani mpaka busu😂😂
@nellydesniper3611Ай бұрын
Sema tu Kenya😂
@user-ul9kp8zq1k6 ай бұрын
Kilichobaki ni mrejesho sasa wa wanaochaguana baada ya kutoka hapo😊
@kapeljjkapeljj54075 ай бұрын
Dada amevaa kiheshima am proud of her
@leilasarai6 ай бұрын
Aaliya is so cute and more so very mature..Ushauri wake uko top...much love from Kenya guys❤❤
@jacobmakono43996 ай бұрын
You are also so cute!
@everlynemutaye54645 ай бұрын
True
@jacobmakono43995 ай бұрын
I need to talk to you Laila,what should I do! James -Tz
@greggoryisaac84853 ай бұрын
I want you please
@pendomushi63516 ай бұрын
Huyo bint anaechagulia mavazi amepoteza point sana asubiri wale wanao vaa Jin's mchaniko ndo wanao mfaa aendelee kuwasubiri😂😂
@petermbaga91376 ай бұрын
Unamuona dem wako yuko apo mbele 😂😂😂 Kitu kizito
@saraissa93276 ай бұрын
Mr Right ana hekima..kachagua msichana mzurii..sii hao wa vipini puani
@magdalenabenedict20896 ай бұрын
The guy is gentleman
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Nakupenda
@user-tp5vr3vv6v6 ай бұрын
❤wow,,,inapendeza Sana,,, at least Kuna second chance ya kuwasha taa🥰
@Elicki-xx5gy2 ай бұрын
Namm nataha mke
@user-yu7uv6ws9h6 ай бұрын
Aliyah wao am happy to see u
@kalamukalomu1780Ай бұрын
I enjoy this Mr. right from Tanzania very mature
@Cfinnerty20236 ай бұрын
Tanzanian are top notch, fun to watch, genuine, mature, polite, I can keep going on and on. Kenyans, lack certain level of maturity, when they're on Mr. Right, and other shows.
@sharonnyarrose49426 ай бұрын
Kenyans ni kiburi tu....uwa inaniboo mbaya
@bwetungegodfrey41316 ай бұрын
Chako ni chako
@aggysm21166 ай бұрын
Jajaja i see somebody criticizing us🤔😒
@mercyoola36506 ай бұрын
Kenyans huwa serious kweli 😂😂 if you take us serious umepotea we are mentally unstable country 😂😂
@aggysm21166 ай бұрын
@@mercyoola3650 u av a reason n at the same time thats a big problem.
@kashindijohn51456 ай бұрын
Aaliya you are so kind also polite, respect from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸👍👍🫶
@mariamumaliki69806 ай бұрын
Wanao olea miwemnatuletea maisha yao tuone 😊
@ahz69072 ай бұрын
Kweli ingependeza tuone maisha baada ya hapa
@ChifuMaletaАй бұрын
Mi nimeoa apo kutoka Mr Light na nipo nae
@ramja936 ай бұрын
Hii sio ile ya kina Diana B walikuwa wanatuekea 3minutes,,this all the way from Tanzania 🇹🇿,,nimeipenda sana
@sebomanyotakali7616 ай бұрын
Show ni ya kibabe sanaaaaa yani iko Fire 🔥 sema mnge mute kidogo hiyo background tupate raha ya kuckia vizuri hizo maneno ###Mr right Tumetoboaaaa
@user-jh4ui8sg9n6 ай бұрын
Hii couple ndo imenifanya niendelehe kufuatiliya hichi. Kipindi wameendana wamehendana Tena siku ya arusi nitumieni kadi jameni ❤❤❤❤ from USA
@HappynessJetta-ms2wz4 ай бұрын
😂
@ahz69072 ай бұрын
Kuna ilivyo na inavyotakiwa iwe....soma hii sentensi kwa kurudia!
@MariaJohn-em1fkКүн бұрын
Waoo wamependeza sana mungu awatangulie katika safari yao ya maisha
@user-ow9dw6lx4j5 ай бұрын
Duuh Kumbe Wanaume ndo wanawindwa namna hiii😅😅😅 Ngoja nikaze Kumpigia Magoti Mr Right wangu uwiiii😂😂😂😂😂 Mungu nilindie Kipenzi changu asije naswa na Mademu wa Dar
@fredrickkaweuАй бұрын
Kabisa ulichokuwa nacho ss Uckizarau maana wengine Piya want hitahi chamsingu Ujifafamu kweke yeye ww Ninani na uhakikishe majukumu Yako huyasahau nakutakiya Mapenzi mazuri frnd
@justertilusubya95956 ай бұрын
Nampendasana lulu diva anaakili sanaaaaaah ❤❤❤❤❤😂
@user-ej5rg4yp3t6 ай бұрын
Kiukweli tangu nimeangalia kipindi Cha Mr right hii couple wameendana sana Mungu awabariki mfike mbali
@juma34736 ай бұрын
Uyo mwanamke alongea mwanzo sauti yake inafaa kwenye kazi Kama uandishi wa habari
@naligiatomaso50066 ай бұрын
Hakika hiki kipindi bwana huwa na enjoy Sana maana huwa nafurahisha ubongo
@erickjanelleogaja4556 ай бұрын
How I wish true love can be found this way
@carolinejosephmnyaga88696 ай бұрын
Hii ndo Mr& Mrs Right now. Yaani huyu kak Kwa Hamas kapata mtu sahihi kabisa, Mungu awatangulie tuu.❤❤ Ameen.
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Mimi nimependezwa nawe caro
@ahz69072 ай бұрын
@@greggoryisaac8485😂
@user-jn2pi5fo4p6 ай бұрын
Jamni nmekipenda hiki kipend...tuwekeeni na kwenye Azamtv
@josephkigembe-ec4pq6 ай бұрын
Johari akipata Mtu (anayejitambua) niko pale niiteni kitoto cha mbwa. Na kwa bahati mbaya akiolewa siku 365 ni nyingi. Kiukweli ni mzuri (temporal) ila kichwani ni kapput. M. Mungu amsaidie kubadilika
@albanbalayingwa44254 ай бұрын
Hahahahahahaha ety kichwan ni caput sema hawa dada zetu wanafeli saaana
@tuliaselali4499Ай бұрын
Napenda hiki kipindi nijiunge
@tuliaselali4499Ай бұрын
Ila sijui nianzie wapi
@everlynemwame74276 ай бұрын
Napenda Sana kufuatilia Sana kipindi hiki je inatakiwa uwe na sifa gani ili ushiriki
@joycehaule97176 ай бұрын
Mungu asapambanie wachaga wanajua kutunza nna hakika atatunzwa sana huyu dada anahofu ya Mungu sanaaa
@damaclinekwamboka-ev8cn2 ай бұрын
Woow looking nice ama na mm❤ nikuje huku 😊
@user-fs7go1zg3b6 ай бұрын
wachaga oyee wachaga na biashara😊 atariii
@jamilajamal15846 ай бұрын
Asante jamani muwe muna weka full hivi ni raha ❤️❤️❤️❤️❤️
@fayverenah6 ай бұрын
Oooh thank you sahii mnatuwekea full episode ❤❤
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Naitaji nionane nawe
@janethkimath5275Ай бұрын
Nilivoskia tyu ni mfanybiashara na hyo lafuz nikajua ni mwenzetu wa kaz kazini huyo❤❤
@eveniapongo68246 ай бұрын
Allya she is so cute i love her❤
@juliusjacob25906 ай бұрын
Ila hawatatoboa hiyo mindset na mentality yake ni kazi sana Kuendana na jamaa
@nakshaofficial28176 ай бұрын
Ni kweli bbadoo kam Kun kitu
@missflo38405 ай бұрын
Have been following this mr right but hii ilikuwa moto sana much love from kenya ❤❤❤❤
@kilogreekachananawatuwasio40546 ай бұрын
BRAVO MAN GOD BLESS ❤❤❤
@mercyryan86176 ай бұрын
Wow woow wooow 🎉🎉🎉🎉this is so mature compared to kenyan show
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Mercy uko wapi
@jonahfadhil6 ай бұрын
Sharon i'll come for you😛😛Anyway amazing job guys.
@sathysohal20752 ай бұрын
I swear this @GaraB jamany i love him sana yupo straight foward yani...
@loner_wolf6 ай бұрын
Johari is wife material .....nimempenda japo its my first time to watch this show
@pueblo1486 ай бұрын
Haswaaaa
@kelvinmuraguri37375 ай бұрын
Aki eeeeh No one knows about your God 🙏😘
@martinkanangu9223 ай бұрын
Hamas nimemuelewa Sana ni msichana mzuri Sana ana misimamo
@Elizakilisipinilikolika19965 ай бұрын
Naomba mungu awajaliye upendo wa kweli na familia bora yakumcha mungu nawapenda sana 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀
@lydialutomia3398Ай бұрын
This is the best than kenyans mr right.naipenda sana ingawaje mimi ni mkenya naipenda hii kweli
@selinathindwa97546 ай бұрын
Wanawake wengi wanapenda mtu mwenye hela badala ya upendo wakweli
@florencemkaighombo56086 ай бұрын
Haki natamani kupata wangu tuanze maisha ,Mko Tanzania upande gani nije nipate wangu na Mimi haki
Hamaz I love you mummy. I wish them all the best ❤
@teclakagai7546 ай бұрын
Wow so amazing jacky 💝 same and very true lulu to Dayana
@ireenmwando6 ай бұрын
Wow 💖Aaliya you are so mature . keep it up dear💕💕
@AndrewKipilipili-gr9lx4 ай бұрын
p
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Okay ningependa tujuwane
@honorykwahhay43646 ай бұрын
Wanawake wengine kwa muonekano ni wazuri Kabla hajaongea, lakini akianza kuongea ndio unajua yaliyomo yako, Kuna mke au hakuna. Hizo ni hatua za mwanzo kabisa Kabla hamjaanza kuishi pamoja.
@ahz69072 ай бұрын
True
@mindhearts1234 ай бұрын
Jamani hii background music yenu ipo juu sana....nadhani pia sio kila sehemu iwekwe at least hata muweke some effect ambazo zitafanya kipindi kiwe more interesting than kuwa kama movie za bongo za zamani jmn....
@teychriss32485 ай бұрын
Hamax she is so cute!
@y5y5prime586 ай бұрын
Uwa sis wanawake tunajichangany San wew Fata mpenz ya kwel pess zinatafutwa kwaz mwanaume wa pess uwa ana jeur San na kibur na zarau kisa pess zake tu uwa mim na muunga muko no anaye sem natak mwanaume wa kunionesha mpenz yakwel tu 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@ireneseda11765 ай бұрын
Bora awe na hela ukimpenda maskini akipata hela anakumwa wanamaana basi hawa
@aminatanzanya74752 ай бұрын
Kuomba tuu Mungu akupe sahih ila kuhus pesa au hana sion km kunamantik
@philemonmagesa55486 ай бұрын
Hao madada aisee wapuuzi Sana wanapenda matawi ya juu Yani huyo kaka aisee mm nisingeenda kujicholesha
@edithaeugeni96956 ай бұрын
Thenks kwakutuletea full episode 🎉
@simoem86104 ай бұрын
Mimi nampenda huyu dada allya ni mwerevu she's very smart i love a charp women,,kiss from kenya😘
@nacyfloflo94946 ай бұрын
Mungu pia na mmi nibariki mume bora🎉🎉
@amoniejohn70746 ай бұрын
Hujaolewa
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Uko wapi
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Tunaweza meet
@bintqassimidarous16366 ай бұрын
Sasa tuna enjoy jamani wapenzi wa hiki kipindi na hatupo tz tulikua tunaumia mnoo mbarikiwe star time‘s kwa kutujali fan’s wenu
@VickKulekana-si1ib6 ай бұрын
Ndio ata Mimi nakipendaga
@EvelineWandera6 ай бұрын
They match.mavazi pia imechangua 7shindi WA huyu msichana
@jacobmakono43996 ай бұрын
.. mpuuzi Sana wewe,yaani unaumia kukosa mambo ya uchiuchi
@gracebila17196 ай бұрын
Nakipenda sana hiki kipindi
@HekimaSaid6 ай бұрын
@@gracebila1719 ..,..
@tato89796 ай бұрын
Ahsanteni kwakutuongezea mda🎉🎉
@eliaszephania31156 ай бұрын
Hamax mke hy ukipata mke anae jali na kuweka kiupaumbele God 🙏
@emmanuelnzaligo62626 ай бұрын
Mmenifurahisha sana saizi kuweka full hivi safi sana yaaani baadae muweke full show najua mtaweka ila hata hivi safi
@antonyezekiel92606 ай бұрын
Awe na utayari wa ndoa kweli si vinginevyo, moyo wake huenda umesukumwa na vitu vya nje, Aombe Mungu ampe msukumo wa ndani kumpenda mshkaji cos anaonekan Wajumbe wake ndani ya akili na moyo bado wapo ambao hawajaridhia, anatakiwa kupewa counceling sasa ya kuishi na mshkaji kama mke na kutambua changamoto za kimaisha,, kupata na kukosa.
@user-dn8so9pe1j19 күн бұрын
Wow❤❤❤❤❤❤ wamependezeana kama wamekuja pamoja yaan,yaan kama Mr and Mrs tayar weuweeeee
@user-nv1ee7cc2t6 ай бұрын
Tumefurahi mmekuja Tz good job 😘😘
@chibandamwende36766 ай бұрын
WaBongo wabunifu🇰🇪🇩🇪
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Nimependezwa nawe
@FadhiliPhilipoMmbagaАй бұрын
Wanapatilana wap au wako maeneo Gani??
@puriejose24 күн бұрын
Wanaendana vizuri, yaani wanapendeza Mungu hawalinde milele jamani congratulations H and D
@daniellafwamba73885 ай бұрын
Mr right yuko powa kabisa ❤❤ i Love it
@greggoryisaac84853 ай бұрын
Hi
@liannsambu72646 ай бұрын
Diana Yuko kimaslahi ,atapata HEWA Kwa hiyo mindset na atajutaaa
@SharifaSelemani-ix4xs6 ай бұрын
Masha Allah
@MISSMELLAHTZ26 күн бұрын
Mashahhla jmn wanapendezan kwakwel
@frorenceetoile30166 ай бұрын
Wawoii🎉 nafurahi mumetukumbuka nasi youtube
@ESAMSTERbia6 ай бұрын
mademu wa hapo asilimia 70 ni wasenge wakatafute na wao pesa zao mbona watu wote tunasoma ili tuje kupata kazi basi wanawake wasiwe wanasomeshwa ili walelewe na wanaume
@safinatija64586 ай бұрын
Kila dk maokoto yaan Had userious unaisha
@didah4really936 ай бұрын
Johari ni jeuri sana na atachelew sana kupata mr right wake, mpuuzi huyu 😢ana attitudes sana Johari 😢