SIJAKUPENDA KWANZA UNATIA HURUMA, JIREKEBISHE | MWAMBA HANA BAHATI KABISA - HELLO MR. RIGHT

  Рет қаралды 220,888

ST BONGO TV

ST BONGO TV

7 ай бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 962
@mathiwabusia1836
@mathiwabusia1836 6 ай бұрын
❤❤❤huyu kaka ni mpole saana na anaheshima zake. Am a Kenyan and i want him ,am ready to have hime , yaani namtakaaa❤❤❤❤
@choroboy1367
@choroboy1367 6 ай бұрын
Njoo tupo sisi😄😀
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 5 ай бұрын
Si pia napenda sana mwanaume anakuwanga simple alafu Tz men are gud if u get matured man sijui niishie huko😂😂😂😂
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 6 ай бұрын
Huyo kijana ningekuwa hapo namchagua anaonekana mtu simple sana , all the best Kaka❤
@user-ep7pd4rv8f
@user-ep7pd4rv8f 4 ай бұрын
😂😂😂😂 mm ningebeba nkasepa
@greggoryisaac8485
@greggoryisaac8485 3 ай бұрын
Pliz bety naitaji kuwa Mr right
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 3 ай бұрын
​@@greggoryisaac8485 kwa hio wataka nikusaindie aje kaka?
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 3 ай бұрын
​@@greggoryisaac8485nikusaindie aje Babaa?
@alicedamas484
@alicedamas484 3 ай бұрын
Wapare ni wabahili kweli jamani
@hodgebukaya5112
@hodgebukaya5112 4 ай бұрын
Kila mwanada Amepewa zawadi ya mafanikio hapa duniani, (is Up t you) kugundua kile mwenyezimungu alichokubariki nacho. Waswahili wanasema kufeli shule sio kufeli kimaisha, najitolea mafano Mimi, sijapata leli ya juu lakini mungu amenijalia naishi US na namiliki magari 3 yakubeba mizigo ( Semi-Track 53ft) maiya yanaenda na riski inapatikan, Tumuweke mungu mbele na jiamini katika kutafuta.
@user-ti3ui6ql9i
@user-ti3ui6ql9i 4 ай бұрын
Acha uongo ww siunaka bonyokwa Kwa mama Amina bonge mchoma vitumbua
@bhokesamo6369
@bhokesamo6369 6 ай бұрын
Kipindi kizuri ila wadada kauli zao sio Nzuri hata kama kaka ujampenda tafuta lugha Nzuri ya kumwambia, wenyewe mmeenda kutafuta wachumba imagine mwanaume anapata picha gani mnakosa wachumba kwa kauli zenu mbaya.
@JosephKingwere
@JosephKingwere 3 ай бұрын
Wewe johari utaishia pabaya kila mtu kwako mubaya
@hurumamlawa5253
@hurumamlawa5253 2 ай бұрын
Halafu kipind chote yupo chuo hajakutana na wasomi wenzieee. Pyeeee
@zenababdalla5380
@zenababdalla5380 6 ай бұрын
Mungu wangu madem jmn munapoteza bahati hivi for real munaboa kwa kwel
@Grace_Ministry_International
@Grace_Ministry_International 6 ай бұрын
Let me advice women one thing a man is not about school its about how he makes decisions and he stands on his responsibility
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 6 ай бұрын
You are very Right
@janetnyanchera1252
@janetnyanchera1252 6 ай бұрын
Shout it again dogo 😢
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 6 ай бұрын
Bro, mwanamke akikuzidi elimu pana changamoto kina namna fulani labda huyo mwanamke awe na misingi fulani, wengi watazingua.
@arolamuganyizi5972
@arolamuganyizi5972 5 ай бұрын
That's all wamesoma hawajui wamesoma nini Kuko na tofauti kati ya elimu na shule mmoja anadai anataka elimu kubwa elimu kubwa Iko Kwa mwenye mafanikio makubwa shule kubwa labda ndo wanataka kina Glad asome university waje kuuza mchicha sokoni we no job
@JMMM7788
@JMMM7788 5 ай бұрын
He is not a man who can stay with one woman for long ..
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 6 ай бұрын
Mashaallaah kijana mdogo amejitahidi kimaisha pongez broo❤❤
@grace735
@grace735 6 ай бұрын
Agreed
@user-vd2lm9ng1g
@user-vd2lm9ng1g 5 ай бұрын
Glagy ni msenge
@aud548
@aud548 6 ай бұрын
"Degreeee in loooouw" 😂😂😂😂😂😂😂😂 LMAO
@user-mb6zr7gg9u
@user-mb6zr7gg9u 6 ай бұрын
Nimecheka
@EvaGwasma
@EvaGwasma 5 ай бұрын
😂😂😂😂 ata kama angeishia darasa la piliii
@bhokejaqulineelias4197
@bhokejaqulineelias4197 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂huyu Dem vipi😂😂😂😂
@leilasarai
@leilasarai 6 ай бұрын
All the presenters speak fluent English wow...Kiingereza chao kinakaa tofauti sana na watanzania wengine and I love it..Keep it up guys show yenu n moto kuliko ya apa kwetu Kenya😂
@ameenaameena4907
@ameenaameena4907 6 ай бұрын
We ni mkwel love
@CharlesLeoMgaya
@CharlesLeoMgaya 6 ай бұрын
Watanzania gani hao unaokutananao ambao hawaongei vizuri, tatizo mmeclem. English is our second language and used for instruction in many areas. So sio kila mtu anakitumia na sio kipaumbele cha kila mtu kulingana na mazingira au au aina ya kazi yake
@jofreykabobe
@jofreykabobe 6 ай бұрын
We jinga kweli kwan hao wanaoongea hicho kiingereza kizuri siniwa Tanzania au unahisi ni wakenya? Tatizo makenya huwa mnamadharau sana nioko nyie 🚮
@leilasarai
@leilasarai 6 ай бұрын
@@jofreykabobe Pressure will kill you bure bro..elewa comment plz and stop barking like a pregnant dog😁😁😁😁
@leilasarai
@leilasarai 6 ай бұрын
@@CharlesLeoMgaya I'm not here to answer silly questions..my mind is busy
@marthalohay4354
@marthalohay4354 6 ай бұрын
Diva , allya na Gara B nimewapenda bure endeleeni kuwapa shule hao wadada bado wanaakili za kitoto sana
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 6 ай бұрын
Jitihada huzidi elimu, wow what a point👍👍👍👍
@FaithSamuel-yc7dw
@FaithSamuel-yc7dw Ай бұрын
Shout-out to all chuga girl's, Aliyah your the best ever lovely 🌹🌹🌹
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 6 ай бұрын
Degree in law😂😂😂. Angesema Bachelor of Law. Akili hana hata moja
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 6 ай бұрын
Me mwenyewe nimemchora hatar😂
@GraceKanu-lr6yv
@GraceKanu-lr6yv 6 ай бұрын
Namshangaa pia 😂😂😂
@naturelle1097
@naturelle1097 6 ай бұрын
Bachelor's Degree in Law
@alfredrweyemamu7807
@alfredrweyemamu7807 6 ай бұрын
Hmn elimu ni peace of ppr tu bt maisha anayo so ww ishi nae tu kikubwa anajishughulisha
@razoindeed8228
@razoindeed8228 6 ай бұрын
hamna kitu mle kipa katoka😅
@DismasRomani
@DismasRomani 2 ай бұрын
Kikubwa ni kufanya maisha yaende poa sio level ya elimu ingekuw hivo hata wazaz wet wadingekuwa na familia.......🎉
@emilianalupenza3977
@emilianalupenza3977 6 ай бұрын
Watu wanaangalia hard working person kumbe wengne wanaangalia education level okeeeeeeee
@user-wm1yg7xt3j
@user-wm1yg7xt3j 6 ай бұрын
Umechemka sana best,Pole sana tena hao wasomi ndio mapuuzi balaa japo siyo wote ila wengi ni matatizo matupu
@pendogodson9880
@pendogodson9880 5 ай бұрын
Nimempenda uyo kaka yuko very cool🥰
@user-fb2dh2vx5h
@user-fb2dh2vx5h 6 ай бұрын
Mnakuwa na vigezo visivyonamaana mtakaa sana apo adii mchunde sasa uyoo glad si ungepata uyoo msomi mwenzio uko chuo lohhh
@shangweyussuf640
@shangweyussuf640 6 ай бұрын
Huyu ni mwanaume wa nguvu!!! Pole kwao. Kwani hayo.makabila mengine hayana wachoyo? Waongo? Wahuni? Wenye gubu? Mahusiano ni risks. Wachagueee
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Wapare hawafai hatatone
@alisonikihedu9614
@alisonikihedu9614 5 ай бұрын
Ninajivunia kua mpare nahata kama mnatuhukumu Hainan shida ndio maana Yesu alikufa kwa ajili yetu
@user-qx6th5xq3p
@user-qx6th5xq3p 3 ай бұрын
Japo me mbulu lakn so wapare wabahil na wachoyo wapo kila kabila
@lucasmalale
@lucasmalale 6 ай бұрын
Hakika hakuna mwanamke mjinga kama mwenye elimu sababu hawez ishi na mtu ambaye hana elimu ila nwanaume anaweza kuishi na mwanamke ambaye hanaelimu na maisha yakaenda vizur tu
@maimunaussi-lr3ze
@maimunaussi-lr3ze 6 ай бұрын
sio wote rafiki
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 6 ай бұрын
Ukiandika hana akili... unakosea. Akili sio ya darasani, ni kile linachobaki ukiondoa ulivyojifunza. Kuna watu wana akili lakini hawajapata nafasi ya kujifunza yaan kwenda shule.
@NeemaShirima-ws8nf
@NeemaShirima-ws8nf 6 ай бұрын
I presume that men & women ni tofauti sana, a man anaeza oa mwanamke ambae hajasoma kabisa coz maybe labda huyu mwanaume anafeel great coz mkewe yupo chini yake in education n stuff but for the case of respects and blabla it's better tu mwanamke aliesoma aolewe na mwanaume aliesoma kama yeye au awe amemzidi........sometimes wanawake waliosoma wanakataa wanaume ambao hawajasoma coz maybe ya inferiority complex I don't know 😔
@faidhacute
@faidhacute 6 ай бұрын
Huyo glad ana kingereza kigumu na kizito et advocate to be ovyooo😂
@motivationalit
@motivationalit Ай бұрын
They don't know what they want. Nkt! Hiki kipindi tu, hamna msisimko wa kimapenzi haswa kutoka kwa wanadada. 🇰🇪 Kama wapenda Kiswahili changu gonga like 😛
@linatasks4837
@linatasks4837 4 ай бұрын
Big up sana dada dressed in red (Aelia)....una uelewa saana wa maisha-.....nimependa comments zako sana especially on level of education
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 6 ай бұрын
Kwa kauli hizi na dharau hizi ni halali waje hapo, huku mtaani hawatoboi😢
@swaibamrutu5
@swaibamrutu5 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-cu3dg8xd7q
@user-cu3dg8xd7q 6 ай бұрын
😄😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@beathaambrose1190
@beathaambrose1190 5 ай бұрын
Kabisa
@samsonzablon
@samsonzablon 6 ай бұрын
Huyo dada anayejiita mwanasheria to be hana elimu yoyote, na ndiyo maana hajui aseme nini na asiseme nini. Kuelimika ni zaidi ya makaratasi
@christineneema3008
@christineneema3008 6 ай бұрын
Alivyo vaa ubuzi tayari
@razoindeed8228
@razoindeed8228 6 ай бұрын
hao ndo wale wanodanganywa wakachezewa😅😅
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
​@@razoindeed8228ndo alishachezwa
@abigaelmosi452
@abigaelmosi452 4 ай бұрын
Aki huyu jamaa ako Sawa l am from Kenya... Nimemlike
@FaithSamuel-yc7dw
@FaithSamuel-yc7dw Ай бұрын
Mc garab una uelewa mkubwa sana shout-out kwako❤❤❤
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 6 ай бұрын
Aseee uyu dada mbona hajielewi hivi yan anajiona mzur sana😂😂😂 wallah atasugua sana gaga apo na hata akipata mtu hawezi dumu nae kama mambo yenyew ndo hayo
@user-ep7pd4rv8f
@user-ep7pd4rv8f 4 ай бұрын
Ak sjui anajionaj uy Johar 😂😂😂😂 anajiona mzur ht haoni km sura n ya kizee mungu nisamehee
@Joyrah
@Joyrah 6 ай бұрын
Hawa wadada ndo mana hawana wachumba wanajaji sanaaa
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 ай бұрын
Vidadz vya humu mnavitoa wapi mbona havijielewi kabisa
@user-dl2pn8lf4i
@user-dl2pn8lf4i 6 ай бұрын
😂😂😂😂eti mwanasheria sa mbna ukupata mchumba uko Kwa wenye elim wezako ukaja kujionyesha uku
@collinsbella8360
@collinsbella8360 6 ай бұрын
Huyu demu hajitambui
@hellenjulius7790
@hellenjulius7790 5 ай бұрын
Kabisaa nivijingaa ivyo vidada
@janethmbaga3515
@janethmbaga3515 5 ай бұрын
Hajitambui Kweliii
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
Waliishia kumgonga tu na kusepa
@liliankay5424
@liliankay5424 6 ай бұрын
Kizungu anaongea ya class one apa Kenya alafu anaringa 😂
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 6 ай бұрын
Heeee huyu Glad kiazi kweli. Johari ndio tahira kabisa
@zanurahmaulid2665
@zanurahmaulid2665 6 ай бұрын
😅😅😅😅 yaan tena kiazi mbatata
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 ай бұрын
Tena kiazi mviringo yaani sifuri kabisa
@janetnyanchera1252
@janetnyanchera1252 6 ай бұрын
😂😂tz simna mambo
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 5 ай бұрын
​@@zanurahmaulid2665😂😂😂😂
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 5 ай бұрын
​@@agnesjohn9382😂😂😂
@ezekiamwasanyila7279
@ezekiamwasanyila7279 5 ай бұрын
Hapo hakuna mwamamke wa kujenga familia pamoja na kutafut maisha wote hao ni wanawake wa starehe
@olympiamtenga8761
@olympiamtenga8761 6 ай бұрын
There is a big difference between going to school and being Educated. Dear ladies.. Marriages has nothing to do with education rather than skills,and capacity to work and make the life together. And if you don't like someone don't crush anyone based on kabila... Tanzania ni moja na hata kabila lako sio kamilifu vinginevyo ungeshapata mwanaume wa kabila lako Ukaolewa usije kwenye podium. Period
@DaughterofUbuntu1988
@DaughterofUbuntu1988 6 ай бұрын
Exactly, 💯
@janetnyanchera1252
@janetnyanchera1252 6 ай бұрын
Speak louder dear❤
@happylnmerere5811
@happylnmerere5811 2 ай бұрын
Exactly 💯
@adelamartin1320
@adelamartin1320 6 ай бұрын
Thank you alliya 💜💜💜💜💜💜
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 6 ай бұрын
Saiv namuelewa mzee wangu aliniambia nioe mwanamke mwenye akili na c mwenye elim
@enockabumba7513
@enockabumba7513 6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa elimu ako nimejifunza mengi kwako kweriiiiiii
@Grace_Ministry_International
@Grace_Ministry_International 6 ай бұрын
Huyu dada anataka wa diploma hata kiingereza hajui bure kabisaaa
@witnessnorbert2210
@witnessnorbert2210 5 ай бұрын
Hahaha😂
@UpendoWill
@UpendoWill 15 күн бұрын
❤ Jmn ngeondoka nae jaman daah ao wadada wengine bhana washenz daah😂😂😊
@janethmbaga3515
@janethmbaga3515 5 ай бұрын
Waaaaaoooooh mpare wetu ... Achana nahilo linalo sema limwanasheria kichwani hamna kitu
@beathaambrose1190
@beathaambrose1190 5 ай бұрын
Tehena Mche ahoo vamshigheki Mwana wetu😢😢
@clevermngao7565
@clevermngao7565 4 ай бұрын
Tehena kabisa! Vose aho ni varundu!!
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 6 ай бұрын
Huyu mkaka nipe no.yake mi kwanza nimempenda hyo elimu peleka kule😊
@dudumankidume3046
@dudumankidume3046 6 ай бұрын
Ninayo mim
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 6 ай бұрын
@@dudumankidume3046 nipe
@Joharibashir.193
@Joharibashir.193 6 ай бұрын
johar jiangalie sana mwaya .....inshot jirekebishe 😐sijapenda🙂
@MwaijaSeiph
@MwaijaSeiph 2 ай бұрын
Yahn Anaboa anajifanya mzuri mjuaji huyo ataangukia jumba bovu
@ElishaMuro
@ElishaMuro 14 сағат бұрын
Wanawake hawajui wanachotaka
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 6 ай бұрын
Mnene juu chin mwembamba lkn ktembea hujui shenz😂😂😂
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 6 ай бұрын
Na tumbo kama kameza chura😅😅
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 6 ай бұрын
@@rosemahenge9071 apo sasa🤣🤣
@agnesgeorge6818
@agnesgeorge6818 6 ай бұрын
hyo sound inatakiwa ipungue kdgo wakat wa mazungumzo ili iclete kero kwa wackilizaji na watazamaji❤❤
@laizakimalokileli8560
@laizakimalokileli8560 6 ай бұрын
Kadeti na babà wako
@sidemashine7168
@sidemashine7168 6 ай бұрын
Hahahaaa umetisha
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 6 ай бұрын
Huyo Glad sheria yake haina akili ndani hvo hana namna yeyote ya kuongelea elimu na mahusiano. Kama alitaka mwenye elimu aende chuo akadate na lecture
@faithmwangosi16
@faithmwangosi16 6 ай бұрын
🤣🤣🤣
@tusajigwengondya
@tusajigwengondya 5 ай бұрын
😂😂😂
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 6 ай бұрын
Huyu mwana shelia hana akili😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 akili original mtu anazaliwa nayo haipati dalasani😮😮😮
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 6 ай бұрын
Mimi ninamashaka na Taaluma yake, Anadhani Mume ni Vyeti, lahasha
@dimbwidimbwi
@dimbwidimbwi 4 ай бұрын
Hao wasichana ni wapuzi atangoja sana kaka al the best from kenya.😢
@carolbenny3302
@carolbenny3302 5 ай бұрын
Nyie subirini mda wa "age go" ufike sio kwakumnyambua hivyo😂😂 😂
@loner_wolf
@loner_wolf 6 ай бұрын
Mbona Yesu alisahau kututonya kama degree tutaendanazo ktk uzima wa milele .....!!!😮😮
@dgochuibra588
@dgochuibra588 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@honorykwahhay4364
@honorykwahhay4364 6 ай бұрын
Sio vizuri kumjudge mtu kwa kabila analotoka, sio sawa, @Johari huyu dada hapo anapoteza muda tu, hakuna mwanaume atapenda attitude yake.
@UpendoWill
@UpendoWill 15 күн бұрын
Aaliya you're right my sister I like your point I perfect 🎉❤#aliya
@fayzahra8327
@fayzahra8327 6 ай бұрын
Muhimu nikuwa na mtu anae jua kutafuta coz ukimpata anajua kutafuta hauwezi lala njaa na kufa maskini bt unaweza fuata alie soma lkn awe fool, lazzy na hajui kutafuta pia. Elimu humpa mtu ufahamu lkn jitihada humfanya mtu atimize ndoto zake.
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 6 ай бұрын
True kabsa wadada wa saiv wanapenda sana pesa na kuslay hawana jipya
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
Yeye anataka elimu hajasema anataka hela
@user-od9jk1yq1e
@user-od9jk1yq1e 6 ай бұрын
Huyu mdada hana akiri atasubili sana kumpata anaye mtaka kwanza sura yake mbaya kwakwel vibaya vinalinga daaah
@BintiGMnini-gv6by
@BintiGMnini-gv6by 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 6 ай бұрын
Zariiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anataka wenye kifuw alafu mwembamba😂😂😂😂😂😂
@lareineminah1353
@lareineminah1353 6 ай бұрын
😂😂😂😂 ye mwenyew hajuw anataka nini😂😂😂😂😂
@AngelinaGabriel-ie5yq
@AngelinaGabriel-ie5yq 5 ай бұрын
Me nimempenda Sana
@loner_wolf
@loner_wolf 6 ай бұрын
Mc hakikisha Johari asipatwe mpk nifike Mimi hapo....keep her for me ,keep her on the shelf per me brethren .❤❤❤❤❤
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 ай бұрын
Na hiko kicroptop cha glady 😂😂😂😂 na anavyojishajishaua sasa
@kalundehassan9121
@kalundehassan9121 6 ай бұрын
😂😂😂😂advocate na uvaaji huo hata elimu haijamkomboa😅
@Officialmonah4475
@Officialmonah4475 2 ай бұрын
Ila jmn uyo glad ndio kasabish wenzie wazime taa ila kiukweli uyo mkk ni mzr mpole mstarabu mpk raha mrefu afu mfanya biashara mm nampnda kbs🥰🥰💋💋kaka krb kwangu
@Ostadhatnasma
@Ostadhatnasma 6 ай бұрын
Kusema kwel bhana Mrs Right wabongo wanalinga sana yaan sababu zao hazina maana kwakwel hawa wanashida kweli ya mume? Yaan wa kenya wapopoa sana
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 5 ай бұрын
Dah pole kijana Mungu atakupa aliekua wako.
@user-ss5xl9ll5l
@user-ss5xl9ll5l 6 ай бұрын
❤❤ mwa naume wa kwenda😊
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 ай бұрын
Uyo grad n fala hujui ambao hawajasoma ndio wako na Hela na ndio wanawaajiri khee uyo n tahira nakaadhirisha kabisa 😂😂
@fayzahra8327
@fayzahra8327 6 ай бұрын
Mr right ya Kenya ndo kumejaa vituko. Mr right unachanwa na kuchanika😂😂😂😂😂😂😂
@asheri-he6nh
@asheri-he6nh 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@beatricemalisa3132
@beatricemalisa3132 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@bmtv7790
@bmtv7790 6 ай бұрын
Mwanasheria kingeleza kibovu, mentality na reasons za wanawake mbovu, wanawake wenyewe wabovu si wakaumbe wanaume wao😂
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 6 ай бұрын
😅Wakanunue midoli wamalize haja zao.
@salomemwango1815
@salomemwango1815 5 ай бұрын
Hahaha 😆 😂 😆 mdoli tena
@SashaOscar
@SashaOscar 6 ай бұрын
Kwanza Saiz kinachoangaliw ni maokoto tu, kina baba levo wameishia la saba B lkn kimaisha wanaendelea pw, ila hako nahisi kwanz hakajaanz ata kujitegemea bd kanaish kwao na maisha hakajayajua bd
@user-gf3vp1pz9c
@user-gf3vp1pz9c 6 ай бұрын
Yan kama huyo anaesema nahitaj educated huko chuon hakuona wanaume 😂😂
@glorytarimo1103
@glorytarimo1103 5 ай бұрын
🤣🤣🤣kazi iko
@salmakivo4073
@salmakivo4073 4 ай бұрын
Hapo sasa
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
Walimla na kumuacha
@hanifa9153
@hanifa9153 6 ай бұрын
Aki hio kizungu imeongewa na anae jiita mwana sheria inatia huzuni nikama form 1 kwanza kama mwanangu wa class 5 ndo anaongea ivo🤣🤣🤣🤣🤣
@faithmwangosi16
@faithmwangosi16 6 ай бұрын
😂
@aika3024
@aika3024 5 ай бұрын
Nipeni namba ya uyu Kaka ananifaa sana😍 Mtani wangu jamani❤️
@user-jd8lu1bk8k
@user-jd8lu1bk8k 6 ай бұрын
Ila wapare kweli ni bahili sana wala siwashau.jaman wanaume wa kipare punguzeni ubahili
@danielljohn
@danielljohn 6 ай бұрын
Hahahahaaaa sio kwelii😅😅
@aud548
@aud548 6 ай бұрын
Wakuu nyie mnaenda huku kudhalilishwa kwenye National Tv ...aseee 😂😂😂😂
@user-ly2mj6od3v
@user-ly2mj6od3v 6 ай бұрын
Wadada ebu tujiheshimu jamani,tue na kiasi,nakuwaje mnongea sanaa kwenye macho ya watu ivoo,,mmh
@adelamartin1320
@adelamartin1320 6 ай бұрын
Thank you 🙏 alliya na diva ❤❤❤
@emarsonjuma9045
@emarsonjuma9045 6 ай бұрын
Hivi huyu dada anaitwa Johari mbona ako na maringo ivi😏
@HappyJohn-rj8co
@HappyJohn-rj8co 6 ай бұрын
Aliya kweli Leo mmeona kitu kaka ht mm niliona Hana njaa
@rebecca-op7mx
@rebecca-op7mx 6 ай бұрын
Gladys Glady Glady nimekuita mara tatu dada litakukuta jambo walah omba Mungu akusaidie hao wasomi unaowasema wanaakili tuko nao hapa wanakusubir wakupe unachostahili mwehu wewe na raha ya elimu ikukomboe wewe umegraduate dada hatukatai ila huna akili elimu haijakukomboa
@empressdamahshow
@empressdamahshow 5 ай бұрын
Nipeni number YA huyo kijana mtanashati Ramson😂❤
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 6 ай бұрын
Yn wnajishauwa alafubsura chafu ss si ungeebda uko chuoni ukatafute msomiwenzako kwnn unakuja hp kuvhagulwa km mandazi kenge ww ungemzur au iyo elim yk ndo kuoendwa ungefika hp
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 6 ай бұрын
Hawa yan kupata wanaume wa maana hawatapata wataishia kuchezewa tu
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 ай бұрын
Kabisa
@london1586
@london1586 5 ай бұрын
Huyu johari jmn akiolewa ni bahati aiseeeeh😂😂😂
@jescahawino4601
@jescahawino4601 6 ай бұрын
Jamani huyo jamaa Ako sawa na mm ubaya Niko kenya😢😢
@neemaberny3598
@neemaberny3598 6 ай бұрын
Advocate tu bi 😂 huyu mbona kama yupo debate ya primary ..English gani sasa 😂huyu akiwa mwanasheria wako waandae ndugu zako wachange mzigo wa dhamana😂😂
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 6 ай бұрын
Tena debate za darasa la nne nazikumbuka tulikuwa tunaongea english kama yake mada za water is better than fire
@neemaberny3598
@neemaberny3598 6 ай бұрын
@@philemonmagesa5548 mule mule🤣 Yani hata nguvu ya kumhoji huyo kaka kwa hiyo English katoa wapi..
@UpeenduIvantibu-dd6nh
@UpeenduIvantibu-dd6nh 6 ай бұрын
🤣 🤣 Kwani hapa wanaona kweli jamani? Niulize ndo nifate maelekezo😂😂
@marthageorge5043
@marthageorge5043 6 ай бұрын
Ndio wanaowana, ila sio wote ni bahati sana
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 5 ай бұрын
Alliya una akili sana! Elimu sio akili, kila mqanadamu ana utashi wake. Matajiri wengi na wafanyabiashara wakubwa elimu zao ni ndogo lakn kwa vile wana vision maisha yanaendalelea💪
@Bigger.99
@Bigger.99 6 ай бұрын
Jaman mwakahuu tofaut sana mamisi right wengi pisi mbovu😂😂 na Wana dharau sanA😮😢😮😢
@user-is3og1hc8r
@user-is3og1hc8r 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣yan dada johar Mmmh mtihani nilimuona toka kwa yule jamaa wa salon na bajaji lol.
@agnesgeorge6818
@agnesgeorge6818 6 ай бұрын
Wapare wabahili ndio😂😂😂😂uchune tuu bila mpangilio iyo kwioo,,utuache wapare tuliza komwe lako apo
@beathaambrose1190
@beathaambrose1190 5 ай бұрын
Hana lolote hao
@salamarashid3687
@salamarashid3687 6 ай бұрын
Johar unamkataa mwanaume mzuri. Hya subiria kituko
@alfredrweyemamu7807
@alfredrweyemamu7807 6 ай бұрын
Unaweza ukawa umesoma lkn huna mafanikio so wanawake acheni kukariri siku hz elimu sio ishu tena ishu ni mafanikio success so Mr. right no 3 asee upo vzr elimu yako sio mbaya hayo mengine mshkuru Mungu
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 ай бұрын
Johar nae ni tahira aisee maisha rafik zako ukalinganishe nayo hovyo😏
@fayverenah
@fayverenah 6 ай бұрын
Mbona mr.Right wanakataliwa jamani😢
@SumayyaahMuzzammil
@SumayyaahMuzzammil 6 ай бұрын
Kwa7bu hao wadada hawana akili
@celinapeter9474
@celinapeter9474 6 ай бұрын
Nipeni uyo ramso🔊🔊🔊🔊🔊📢📢📢👌
@lovenessrashid
@lovenessrashid 6 ай бұрын
Si kila tajiri amesoma ndoo maana. Maisha yangu mimi nawachukia sana walio soma maana maisha yao ni magumu sana maana wanaishi maisha ya kuigiza sana
@salscommunication1910
@salscommunication1910 6 ай бұрын
Kweliii Kabisa
@ReginaAtilio
@ReginaAtilio 6 ай бұрын
Kweli
@user-xg2ld2qr7y
@user-xg2ld2qr7y 6 ай бұрын
All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-yj2rp5gm7p
@user-yj2rp5gm7p 6 ай бұрын
Huyo mwanasheria Ana kingereza kibaaauaaa😂
@merryaugustin8814
@merryaugustin8814 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂kingereza cha kudekia choo Pumbavu kbsa na sura yake mbaya❤ka chuchunde
@cobrachristian3685
@cobrachristian3685 6 ай бұрын
Kwani diamond au Alikiba au harmonize wana elimu gani hawa madada hawajielewi kbsa
@shabanizubery3412
@shabanizubery3412 6 ай бұрын
Glad na johar ni micharakaa mwanasheria hawez kuwa na akili fupi hivyoo
@BalakaYohana-cw3di
@BalakaYohana-cw3di 6 ай бұрын
Sura bati kwamba elimu elimu inkundo😂😂😂
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 6 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 6 ай бұрын
Yn videmu vyenyewe vibaya
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hizi morning speech za form 1🙌🙌🙌🙌 ....poor English ma gal
@neemamuhoja2128
@neemamuhoja2128 6 ай бұрын
Yaan jinga kweli
@Aisha-wq1he
@Aisha-wq1he 6 ай бұрын
Mpare mwenzangu ww😂😂😂
@maimunaussi-lr3ze
@maimunaussi-lr3ze 6 ай бұрын
mm uyu ningechagua nimempend sana ❤❤❤❤
@directorgamba
@directorgamba 6 ай бұрын
mamb
@maimunaussi-lr3ze
@maimunaussi-lr3ze 6 ай бұрын
pw
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 6 ай бұрын
Glady Sasaa anavyoringa sura ngumu kama uvungu waa......Akafie uko hana mvuto😂😂
@asiasaidi-zc5gq
@asiasaidi-zc5gq 6 ай бұрын
Ila wewe mungu anakuona walaah 😂😂😂
@tulahaule9075
@tulahaule9075 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@SashaOscar
@SashaOscar 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 yaani haka kadada na mashauzi yake na icho kizungu cha mtt wa form one kimenichekesha, kwnza hakaendan na huyo kaka pumbaaaav kbxa kapite kule 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
Alishasema anataka msomi
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,1 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 87 МЛН
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 27 МЛН
Bahati surprises Diana live on Hello Mr Right!
2:23
StarTimes Kenya
Рет қаралды 645 М.
Harley Quinn made everyone disappear#joker #shorts
0:54
Untitled Joker
Рет қаралды 5 МЛН
ХЕЧ БУЛМАСА МЕХНАТГА БИТТА ЛАЙК БОСИНГ #2024
0:10
Муниса Азизжонова
Рет қаралды 6 МЛН
Normal vs Psychopath vs Rich How to heal a cut on your finger ☝️❤️‍🩹
0:19