No video

MADARAJA YA LESENI ZA UDEREVA

  Рет қаралды 90,220

LatraTV

LatraTV

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@juliethmrema1577
@juliethmrema1577 Жыл бұрын
Mlikuaga wapi kuyasema hayo yote tangu zamani mmekula hela za madereva na kuwapa leseni bila kusoma leo tena mumewageuka mungu anawaona
@regnoldmunuo741
@regnoldmunuo741 Жыл бұрын
Acheni porojo masilahi ya madereva hamtaki kuya pigania mnaleta mambo mengi yasio na manufaa kwa dereva wa kitanzani, ilihali maisha ni magumu sana kwa madereva walio wengi watanzania
@afrodisiusvitus9157
@afrodisiusvitus9157 Жыл бұрын
Ila fain katika leseni hz wala hazina vyuo tunaandikiwa tu.. na maisha yetu madereva ni magumu mno miaka 5 inaisha hata kazi haupati leseni imeisha pesa ya kurudishia tena hamna.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Nimeelewa vizuri Sana sijasikia leseni ya kwendesha treni na viombo vya agani ndege.kubwa za abilia na edikopta, Hizo.hazina leseni ,
@nassirydetano3698
@nassirydetano3698 Жыл бұрын
Bado hamjasema vizuri tuambieni watanzania tuwaelewe vzr
@user-rp4vg7dk4p
@user-rp4vg7dk4p 11 ай бұрын
Nimeipenda sana imefafanua vizuli
@calvntemba4903
@calvntemba4903 Жыл бұрын
Je wanaoendesha magari ya serikali mfano STK ,DFPA ,SU wanatumia madaraja gani
@user-pv3vz4ty3x
@user-pv3vz4ty3x 6 ай бұрын
Nakubaliana na ninyi
@allymadenge4603
@allymadenge4603 Жыл бұрын
WEZI. WAKUBWA. NYIE. WALA. RUSHWA. MWENYEZI. MUNGU. ATA WALAANI
@user-yx8ww2rq7i
@user-yx8ww2rq7i Жыл бұрын
Kiukweli Kaz madereva ni ngum alafu hatusaminiwi popote kuanzia barabaran mpaka maofiasn tunaomba serikali itutambue nasisi nichanzo cha mapato serikali Kama vyanzo vngine na watambue kwamba madereva ndio wenye uwezo kumaliza ajali na sayo wao tukipata mishahara mizuri mawazo yataisha na mzongo wa mawazo utaisa hatutapata usingizi ovyo ovyo
@noelkyando9490
@noelkyando9490 Жыл бұрын
Sjaskia mabasi yeny abria 50 kwenda juu naona 30 had 15 tu imekaaje hii
@RahimuIddy
@RahimuIddy 2 ай бұрын
Reseni haiusiani na umri??? Au umri wet ukipata mafunzo unaweza para leseni yoyot uitakayo
@user-gn9jv4wp6e
@user-gn9jv4wp6e Жыл бұрын
Kweli nchi yetu ya tanzania inanyanyasa sana madereva kama tulipewa leseni na zikafanya kazi leo inakuwaje watu wanambiwa warudi shule kwann wasingeaza na hao ambao wanataka leseni kwani ni leseni ndo inasababisha kuuwa au umakini tu wa barabara tunaombeni serekali ituangalie madereve wetu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Utakuwa makini wakati huna elimu?.umakini ni kitu chapati chakwanza ni elimu ya udereva
@allysaid7108
@allysaid7108 Жыл бұрын
achani ujinga mmeshakula Hela za madereva leo mnaanza kuleta ujinga wenu,
@user-eg6fz8jz3k
@user-eg6fz8jz3k 11 ай бұрын
Ovyo kabisa
@user-hl9xd9mr6s
@user-hl9xd9mr6s Жыл бұрын
mimi naomba mtuambie bei ya lesen daraja c prayn
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Жыл бұрын
Plain siyo Prayn.
@muhamedimdoe
@muhamedimdoe Жыл бұрын
Vipi kuhx kweny mabasi ya abiria inakuaj
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 Жыл бұрын
Yatapita2hayo Ujambazi ulikoma kwa Jpm lakini kwa sasa umekua tishio tz??
@salimukiandiko6564
@salimukiandiko6564 Жыл бұрын
Cheti ndio kinaendesha gar ?wacheni kinyanyasa watu kijinsia kwa mfano madereva wote wakigoma kuendesha hayo magar mtayaendesha nyie?
@nassoribrahim2192
@nassoribrahim2192 Жыл бұрын
Hizi mambo ndo zinajenga chuki kwa serikali kwa kweli inaondoa uzalendo moyoni kabisa , kweli hii zidumu fikra za .... hata kama mbovu😂
@mwajumakamba
@mwajumakamba Жыл бұрын
NYIE NI WEZI LAKINI MUNGU ATAWANYOOSHA
@ashraphmushi5594
@ashraphmushi5594 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abiasifredrickdima3255
@abiasifredrickdima3255 Жыл бұрын
Yani nimepoteza license tangia mwaka jana mwezi 2 mpaka Sasa hamna na niliripoti kituo cha police nikapewa Lost report lakini mpaka sasa hakuna shida Nini wakuu??
@johnsombi545
@johnsombi545 Жыл бұрын
Hapo unatakiwa kwenda sasa tra kwaajili ya ku kutengeneza leseni ingine
@richardassenga
@richardassenga Жыл бұрын
Nenda TRA na loss report yako pamoja na 70000 kwa ajili ya malipo ya Lesen,hawatoi bure
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
Tembelea Ile Slip Yako Ya Benk Kuonyesha Lesen Yako Bado Inaishi Mpaka Ufike Muda Wa Kuirenyiuu.
@godylyimo7471
@godylyimo7471 11 ай бұрын
Veta tunaenda kufanya nn Latra tunaenda kufanya nn tuambieni Kitu kimoja mbona hamueleweki
@RajabuJoseph
@RajabuJoseph Жыл бұрын
Mlikua wapi mda wote huo
@PhilipoMhagama
@PhilipoMhagama Жыл бұрын
Pumbavu
@EliyaKavaya-rz9rj
@EliyaKavaya-rz9rj 9 ай бұрын
Kama Nina lesen daraja d na ninataka kuongeza daraja linguine ni lazima kurud darasan Tena,?
@mikidadimpagama
@mikidadimpagama Жыл бұрын
Yani hawa nimizigo hali ya madereva kwa sasa ningumu kipesa alafu me wa filisi mnalwta utalatibu mwingine hamuoni kama mna watesa wezenu
@herychami9717
@herychami9717 Жыл бұрын
Kuna mda mwingine kuchelewa kuna saidia
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 21 МЛН
UKAGUZI WA VYETI NA LESENI ZA UDEREVA KUFANYIKA NCHI NZIMA
19:45
Wasafi Media
Рет қаралды 30 М.
Una leseni ya udereva bila cheti? Kiama kinakuja
7:11
Daily News Digital
Рет қаралды 99 М.
TUJIFUNZE NAMNA YA KUENDESHA GARI WAKATI WA USIKU
15:27
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 4,7 М.
JINSI YA KUENDESHA GARI WAKATI WA MVUA
15:10
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 4,1 М.
DUH! ABOOD KAFANYA UMAFIKA LEO HAPA MSAMVU NA BASI ZAKE MPYA.
2:22
MABASI TV MEDIA
Рет қаралды 817 М.
KIPIMO CHA MADEREVA JUU YA UELEWA WA ISHARA ZA ASKARI
2:16
Elimika Uishi
Рет қаралды 25 М.
Driving license? Tizama hapa kufahamu zaidi
3:30
Techwho!
Рет қаралды 11 М.
Michoro na Alama za barabarani
13:15
NFDC TV
Рет қаралды 17 М.
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН