No video

MADEBE LIDAI AFICHUA MADUDU YOTE YA MKE WAKE, AONGEA MAZITO, MWANAMKE MUONGO

  Рет қаралды 117,220

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 691
@user-gl2fc6nh4v
@user-gl2fc6nh4v 6 ай бұрын
Hakika madebe nimekuelewa vizuri sana nakuombea Dua uishi vizuri na haki katika maisha Yako inshaallah
@faustinhommedetatnifasha9669
@faustinhommedetatnifasha9669 7 ай бұрын
Mwanaume yeyote lazima amuelewe #madebe.
@neemaalphonce1333
@neemaalphonce1333 7 ай бұрын
Sema nilishamuona huyu Madebe tangu siku anamuoa Chanuo ana ubabe sana. Sijui kwa nini mimi huwa ninakuaga na uwezo wa kumsoma mtu mapema. 😢
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 ай бұрын
Unaotembea nao unawasoma au mganga hajigangi
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 7 ай бұрын
hahahaha !!! unadanganyika na maneno anaeyasema chanuo au madebe !!!! je unauhakika gan alioyasema 100% chanuo au madebe n ya kweli ?? mambo yao waachieni yao nyinyi watazamaji hamuwez jaji kwasababu ukweli wanajua wenyewe
@frocoissango8973
@frocoissango8973 7 ай бұрын
Kila mwanahume na ikiwa mmeho au wewe mwanahume siyo mmbambe basi umefeli
@maishaforreal7798
@maishaforreal7798 6 ай бұрын
Ndiyo sifa ya mwanaume ubabe,uongozi,ufalme,misingi,vision,dikteta.
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 6 ай бұрын
hakuna mwanaume mbabe mbele ya mwanamke mnyenyekevu ukiona mume wako n mbabe tatizo unalo wewe either unamdomo,unadharau,unakibuli na unakejeli . jitahidi kabla yakumsema mwanaume jitahid kufix tabia zako wewe kwasababu mwanume wewe unaomwona mbabe anaweza akaishi namwanamke mwengine vizuri !!!! jifunze kuishi kama mwanamke kwanza kwasabau mwanaume anapenda kuoa mwanamke sio mwanaume mwenzake !!!!
@yogwemwakulola1634
@yogwemwakulola1634 7 ай бұрын
Madebe anaemuelewa ni mwanamme Tena mwenye Akili nyingi sana lkn wanawake na wanaume mabwege ndo hawaelewi
@ochu_85
@ochu_85 6 ай бұрын
Umemelizaaaaaaa👍👍👍👍
@waitaramwita4923
@waitaramwita4923 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@shafiilottazinho3610
@shafiilottazinho3610 6 ай бұрын
Hv unaakil wew
@user-lq6mt5ji4l
@user-lq6mt5ji4l 6 ай бұрын
Huna hakiri wanawake kumi na Tano ni suna au jando la uongo
@NammanaMobile
@NammanaMobile 7 ай бұрын
Mi nimekuelewa vizur sana mzee... Tena kitu ambacho umenifurahisha ni kutoongea aibu zake hii ndo maana halisi ya mwanaume...kwasabu wanao kukosoa kwa coment wengi wao ni wasiooa na hawajui nn maana ya ndoa na wengine ni wale waliooa afu hawajui haki zao za kimsingi kama baba wa familia ndomana kila anacho fanya mwanamke wao wanaona ni sahihi... Kwasababu utandawazi umewaalibu vijana na kuona ndoa ni kama chaka la kufanya mapenzi tu lakin hawajui haki za ndoa na heshima baina ya mke na mume
@user-gv4ks7sn5d
@user-gv4ks7sn5d 7 ай бұрын
Ni kwel kabxa kk
@mubarakamohammedi5303
@mubarakamohammedi5303 7 ай бұрын
Kwa wanaume madebe yupo sawa ugomvi upo kwenye ndoa wanawake wanajiangalia wao tu
@joysilayo
@joysilayo 6 ай бұрын
Ndoa nikitu kingine kbs lkn wanaojua niwazee wetu😂awa vijana amn kitu kizazi chanyoka ndomn wengi wanaishia kujiua
@generosennko8343
@generosennko8343 7 ай бұрын
Namhurumia huyo mke mpya anaesubiri kuolewa. Huyu jamaa yuko kama hajielewi.
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 7 ай бұрын
Sio kujielewa Tu huyu 9
@rerisamba
@rerisamba 7 ай бұрын
Wanawake wengine wako na moyo kweli yani mimi siwezi mwanzo nione mwanamke mwenzangu analia
@Mohamed-uz8id
@Mohamed-uz8id 6 ай бұрын
sio kma hajielewi ni hajielewi kabisaaaaa**
@ahz6907
@ahz6907 6 ай бұрын
Kila mtu ana uchizi wake.huyu anatakiwa aende milembe😂
@allymugisha9883
@allymugisha9883 6 ай бұрын
Madebe yupo smart sana,
@marthajohn6532
@marthajohn6532 7 ай бұрын
Madebe hana point anajikanyaga tu.
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 7 ай бұрын
Nimependa jamani kutambua hilo wanaume niwajeuri sana na hawana huruma sio wote ila asilimia nyingi mimi nilimwelewa sana yule dada uyu nimuongo sana mungu anakuona we baba
@advinofficial6570
@advinofficial6570 7 ай бұрын
Shda yenu mnadanganywa na machozi
@joyce55727
@joyce55727 7 ай бұрын
Tena huyo madebe muongo sana
@iddysufiani4963
@iddysufiani4963 6 ай бұрын
Mwaume lazima uwe mbabe nimekuelewa madebe😊
@user-gf7he2lv9e
@user-gf7he2lv9e 7 ай бұрын
Huyo madebe nimuongo hata anaonyesha umalaya mpaka hapo mbona mkono hauondoki begani kumbe mshenzi huyo jamaa
@Mohamed-uz8id
@Mohamed-uz8id 6 ай бұрын
kabisa kumbe umeona eeeh**!
@twayasinilukokelwa625
@twayasinilukokelwa625 6 ай бұрын
It's fact Hana Hof juu ya kumshika mwanamke ambae sie mkeo,dada au mama
@user-vr1gj4gn8t
@user-vr1gj4gn8t 7 ай бұрын
Mafumbo mengi ya bure,kama hukutosheka kwa mkeo hata kwa huyo mwengine pia hutoridhika,amani ya familia yako ni muhimu kaka usiache mwenzio kutoa machozi juu yako kuwa na huruma.
@cptnbazil6121
@cptnbazil6121 7 ай бұрын
Anavyotafuna Big G anajiona Bonge la Handsome analiliwa 😂😂😂
@emmanuelchacha6718
@emmanuelchacha6718 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@halimamohammed7863
@halimamohammed7863 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Mtaniua 🙌
@officialbasheer13_tz
@officialbasheer13_tz 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@officialbasheer13_tz
@officialbasheer13_tz 7 ай бұрын
Kumbe bwege tu😂😂😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 umewaza nini jamani
@asiasalim9323
@asiasalim9323 7 ай бұрын
Mwanaume mjuaji ana shida
@SuhailaNassor
@SuhailaNassor 6 ай бұрын
Haswaa
@Joyce-qf5px
@Joyce-qf5px 7 ай бұрын
Hovyoooo unamtesa mwanamke mwenzangu Kwa Nini shenzi
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
😂😂😂
@Mwigaa95
@Mwigaa95 6 ай бұрын
Maisha ya wasanii full maigizo tu yaani wenyewe kucheza na kontent ndio life style yao, tujifunze kuishi maisha yetu na sio vinginevyo 😃
@joysilayo
@joysilayo 6 ай бұрын
😂😂😂😂 maisha yawasanii nisawa nasiasa tyu ishi maisha yako uokoe roho yako ayaaa😅
@user-dq4fi9nl6h
@user-dq4fi9nl6h 7 ай бұрын
From kenya.. sipendi movies zako tena
@sophiakachemramba2568
@sophiakachemramba2568 7 ай бұрын
Nakuunga mkono
@MansaMusa255
@MansaMusa255 7 ай бұрын
Kwaio mlikua mnapenda movies zake kwakuwa amemuoa chanuo au? Manaake sijaelewa apo.
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 7 ай бұрын
​@@MansaMusa255😂😂
@augustuscaesar2816
@augustuscaesar2816 6 ай бұрын
Huyu sio mkenya kwanza😂
@philipwangila244
@philipwangila244 4 ай бұрын
​@@MansaMusa255 achana na hawa hawajielewi kamwe
@user-ho1zm6lv6l
@user-ho1zm6lv6l 7 ай бұрын
Mkeo hata kwa macho tuu anaomekam anayopitia ni magumu we baba badilika unajificha kwenye kimvuli Cha misemo na mineno yako iyo Ila kama nikweli badilika
@user-gj9zq9ez6p
@user-gj9zq9ez6p 7 ай бұрын
Jifunzeni kuwa wanaume kwa wake zenu. Mwana mke mwenyewe yule anaonekana muhuni aliekosa Uhuru wa kufanya uhuni
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 6 ай бұрын
Lkn jamaa hajaeleza aibu za mkewe hata moja Msiwe mnalaumu tu
@Bombwejr18
@Bombwejr18 6 ай бұрын
Sitetei Upande wowote but madebe kuna namna kama anazingua ila sawa kila mtu na maisha Yake
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 7 ай бұрын
Ndio maana chanuo kasema Huyu atamshinda point ktk kuongea ,,,Akil huna madebe mungu atakuadhibu adhabu Kali hapa hapa Dúniani.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 7 ай бұрын
Apewe Adhabu Kwamakosa Yapi. Hata Sisi Tunakosana Nawake Zetu. Lakini Matatizo Yetu Hatuyatangazi Yanaishia Kwenye Mavikao Yetu Yakifamilia
@user-ur6yp5ly5s
@user-ur6yp5ly5s 6 ай бұрын
Inategemea na hayo matatzo hiv unajua matatizo ya kuachwa na njaa wew
@anitamollel8982
@anitamollel8982 7 ай бұрын
Ki ukweli ni bora tu unge kaa kimya maana hatujakuelewa kabisa unacho kazania hapo kufundwa Vina husiana nn? Na unyayasaji wa kijinsia mmnao ueneza wana ndoa wa sasa watu tunao waamini na kutamani maisha ya leo hii tuna iogopa ndoa kwa kweli 😢😢😢
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 6 ай бұрын
Km una mchumba olewa hakuna kitu chochote ktk maisha kisicho na changamoto Omba Mungu tu akupe busara ktk kutatua hilo litakalokukwaza kwa mda huo.
@yusrathomas5373
@yusrathomas5373 7 ай бұрын
Mmmh huyu baba anaonekan katili kweli
@joysilayo
@joysilayo 6 ай бұрын
Umsimuhukumu mtu sio kazi yenu iyo nikazi ya MUNGU
@yusrathomas5373
@yusrathomas5373 6 ай бұрын
Sawa mtumishi🤝
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 ай бұрын
😂😂😂jandoni umetoka lini sura tu inaonesha ata uyo alio kitani pia haukumsikiliza
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 7 ай бұрын
Huna point madebe,,,sikupendi tena
@chidybwax8080
@chidybwax8080 7 ай бұрын
Duhhhh
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 7 ай бұрын
Usimpenda wewe ndo nn ndo unafunguo za rizki ?
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 7 ай бұрын
@@isihakaabdul1134 we umetokea wapi harusi sio yako unaivalia shera..... kwendra kakojoe ulale
@philipwangila244
@philipwangila244 4 ай бұрын
Jipende wewe basi
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 7 ай бұрын
Wanawake muwe mnaangalia basi na tabia zetu msiangalie pesa tu sasa angalia namuonea huruma chanuo aliruhusu mtu asiyesahihi kwenye maisha yake daaaaah so sad...
@omanoman2044
@omanoman2044 7 ай бұрын
Tamaa ndo zina tuponza mtuy mwenyew huyu hajitambui
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 7 ай бұрын
@@omanoman2044 nakuambia ni shida ni shidaaaaaa....
@omanoman2044
@omanoman2044 7 ай бұрын
@@benedictinelusambo069 acha sie tupambane tuepuke kuzarauliw na hawa magaid wakiume
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 7 ай бұрын
@@omanoman2044 ni kweli kupambana na kumuomba mungu basi ndo kikubwa..
@omanoman2044
@omanoman2044 7 ай бұрын
@@benedictinelusambo069 haswaaa kikubwa subra tuy kwenye kaz za watu
@zainab8251
@zainab8251 7 ай бұрын
Kaka leo auna point 😂😂😂😂😂kimeumana
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 7 ай бұрын
hizo Sura yaonyesha katili,,,
@elimukwadada
@elimukwadada 7 ай бұрын
He's a narcissist husband plain and simple. # boycott madebe movies
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 ай бұрын
Madini sanaaa niko naww madebe shida nihuyo chanuo
@JemsOzil-wx1io
@JemsOzil-wx1io 3 ай бұрын
🎉🎉
@EvanceMilimo-ei1xv
@EvanceMilimo-ei1xv 7 ай бұрын
Uko sawa kaka kuna ki2 nime pata kiukweli
@MariaHamis-cl3nu
@MariaHamis-cl3nu 7 ай бұрын
Lea watoto wako bro bna usitupe siasa 😂😂😂
@user-gz3mn8oq9p
@user-gz3mn8oq9p 6 ай бұрын
Sura tu inaonyesha unajitetea tu,huyo unaemuoa ajiandae Julia tu
@miruhongin
@miruhongin 7 ай бұрын
Ndugu acha kuwa tesa wa maman zetu wewe uli funwa kuhowa sana
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 7 ай бұрын
Kamtesa mama yako???? 😂😂😂😂
@gerraldgready8051
@gerraldgready8051 7 ай бұрын
Madebe mm binafsi nimekuelewa sana yaan ninachojua kwanza unampenda sana mzazi mwenzio seme mke ataka akukontroo ww asicho jua angekua mnyenyekevu na msikivu sizani kama ata tungefikia huku yule nijeur, Kwanza kitendo cha mwanzo tu cha kua na mahusiano na ww baadae kwenda kuzaa na mwingine mm nasema ww unaupendo sana, baado kwa kuzihilisha bado unampenda ulimuoa japo amezaa na mwingine.
@cresensiangunga5358
@cresensiangunga5358 7 ай бұрын
Unapoteza mashabiki broo
@emmanuelwanjara6495
@emmanuelwanjara6495 6 ай бұрын
Kwan amekwambia anakulazimisha kumfuata?
@zainabwage4658
@zainabwage4658 7 ай бұрын
Madebe hana point ndio wale wale wakimbia majukum lkn tambua ya kuwa chozi la mwanamke halitakuacha salama
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 7 ай бұрын
Kabisa
@AsilahHamad
@AsilahHamad 7 ай бұрын
Madebe ni mtihani wallah duuh ila wanaume wa dizaini hii wanejaa Tanzania akikuzalisha wanakimbia majukumu huyu baba haogopi chozi la mwanamke na hao malaika wake
@enockmaiga6820
@enockmaiga6820 7 ай бұрын
Aawapi,, acheni kufanya makosa alafu action ikichukuliwa nmakua wa kwanza kulia
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 7 ай бұрын
Libaba la hovyooooo hili
@barbiepixie92
@barbiepixie92 7 ай бұрын
😂😂😂
@rachelmliwa-gj1eh
@rachelmliwa-gj1eh 7 ай бұрын
Kiazi huyu jomoni😂😂😂😂😂😂😂
@jossejunior5668
@jossejunior5668 6 ай бұрын
"Wasanii Wanaigiza maigizo ya maigizo yao" neno la mwaka
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 ай бұрын
MADEBE hana point kabisa. Huku sio kutetea hoja kabisa. Ndoa zinachangamoto nyingi kila upande hauna ukamilifu lakini kwahili MADEBE unaonekana wewe ndiye unamakosa mengi zaidi. UNAJIKANYAGA SANA sio kawaida yako kabisa ndugu yangu. Maelezo ya mwanadada yalinyooka sana ingawa huenda mlikuwa mkipishana kwenye kauli kwasababu kakulia uswazi yule mwanadada hawezi kukubali kupelekwa kijinga na wewe jinsi ulivyo lazima ulitaka kuonesha umwamba HAPO NDIO TATIZO... 😢😢😢😢😢
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 7 ай бұрын
fasaha kabisa
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 ай бұрын
@@user-zb2mj5nd5g ❤⚘
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 7 ай бұрын
Wote wanamakosa
@kaimbazongwe657
@kaimbazongwe657 7 ай бұрын
Madebe dinga kabisa nsitamani ata kwangali film zako katili wewe
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 7 ай бұрын
Siku ukiwa mwanaume na falsafa zako UTAMUELEWA huyo jamaa.. Zingatia, UKISHINDWA KUMBADILISHA MTU BADILIKA WEWE
@CathelinLeonard-ks5tz
@CathelinLeonard-ks5tz 6 ай бұрын
Msitizame upande mmoja kingine sisi hatuwezi kujua mambo ya hawa wawili mambo ya ngoswe tuwaachie wao
@youngchezo2744
@youngchezo2744 7 ай бұрын
Nimeipenda iyo ukishindwa kumbadilisha mtu badilika wewe
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 7 ай бұрын
Mtu mzima hovyo msenge wew mbwa wew unashindwa kulea familia unaona kuoaoa ni sifa
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 7 ай бұрын
Mitus ya nn sasa familia umeona Mali
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 7 ай бұрын
Kama siyo mali aliitafuta yanini
@zubedabello2102
@zubedabello2102 6 ай бұрын
Eti mwanamke ukimbilia kwa mungu that’s true but when it’s to much sometimes you need action 😒. Yote asemayo nikama vile yuko namu chamba ule mwana dada😢
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 7 ай бұрын
Ndoa wanaojua ukweli ni wenyewe lakin watu wanapenda kuingilia mambo hayawahusu kuna mengi sana kwenye ndoa na ukweli wewe unayesikiliza waweza ukaona wa kumlaumu lakin ukawa wewe ndiwe una makosa. Alooa wake akaishi nao au aloolewa akaishi katika ndoa anajua kuwa wakat mwingine watu hukosana kwa kupishana lugha kidogo sana. Kuvumiliana na kuficha mambo ndio uzima lakin haku a ndoa hata za hawa wanaolaumu humu kama wana wenzao hawako salama asilimia mia zote zina migogoro hakuna ndoa ina mteremko
@bertinnaftari7026
@bertinnaftari7026 6 ай бұрын
Ni kweli kabsaa ndoa ina mambo mengi
@allyissa2744
@allyissa2744 6 ай бұрын
Naam kbs
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 ай бұрын
Huna Sela madebe ww, jmn wanaume wengine huwa hawakubali kushindwa
@Kombo2989
@Kombo2989 6 ай бұрын
TATIZO LENU KIZAZI HIKI CHA 2000 NDOA ZENU NI ZA "KUOANA"(wote ni watawala) LAKINI KZAZI CHETU KUNA KUOA(mume) NA KUOLEWA(mke) ndio maanadoa zilidumu5 Nipo pamoja na madebe.
@user-hx5fc1qf2t
@user-hx5fc1qf2t 6 ай бұрын
Good bro maamuz magumu yanatakiwa kama mwanaume na kichwa cha familia
@stellakyando8433
@stellakyando8433 7 ай бұрын
Hauko serious madebe,,,,watoto wanna kosa gani,,,,jandoni,,,,jandoni,,wewe kuwa makini ,,walimwengu ni shule tosha,,aiseee hawaangalii Aina ya adhabu ukifeli,,,kumbuka hiloo....
@marrymacha4531
@marrymacha4531 7 ай бұрын
Cheki linavyoongea. Hovyo kabisa
@user-di8hg8ri4h
@user-di8hg8ri4h 7 ай бұрын
Lipumbavu kbsa ..🚮🚮
@joyce55727
@joyce55727 7 ай бұрын
😁😁
@marysaituni4584
@marysaituni4584 7 ай бұрын
Huna jipya 💔💔💔🇰🇪
@LouisMambaAloyce-cu6ud
@LouisMambaAloyce-cu6ud 7 ай бұрын
Misimamo ya kipumbavu
@AbdullahiMukaria-te6kr
@AbdullahiMukaria-te6kr 6 ай бұрын
❤❤❤❤umeongea kwa kutumia maarifa waonekana bado wampenda mkeo licha ya changamoto hizo...sunna ni wanne madebe akikataa atana naye akivumilia sawaa❤❤❤
@janethkomba4485
@janethkomba4485 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂Kumuhoji madebe yataka moyo eti nimekatwa jando nime,,,,polini
@kasimsaleh7103
@kasimsaleh7103 7 ай бұрын
Kaka wafundishe hao Archana na inanger mbovu hiizo wanakupotezea muda tu
@joysilayo
@joysilayo 6 ай бұрын
Tatizo mnapenda sana kuingilia maisha yawatu.jmn maisha ya wapenzi wowote wale sio wanandoa tyu sio yakuingilia maana baadae wakipatana nyie mnaonekana ndo wachawi wenyewe😢 naataivyo saiv watuwengi awapendi kujishusha kilamtu anataka kujiona hana atia nakutolea maneno machafu nawisho ndo wanafika kwamitanda😮kumbe nihiv kumbe vile lkn amjui ukweli ukweli wanaujua wap bhn acheni kutete upende mmoja alaaa🤫
@MartineThomas-lh8qo
@MartineThomas-lh8qo 7 ай бұрын
Mim Bado stohitaji kutoka lawama popote pale...jamani ndoa inasiri nyingi msijaji kitabu kwa kava la nje
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 7 ай бұрын
Madebe hebu kuwa mkubwa na kuwa mwanaume achana vijembe mtandaoni hayo ni maisha binafsi
@koffianodichisesa238
@koffianodichisesa238 6 ай бұрын
Ukiona mwanaume anampiga mkewe jitahidi sana umuelewe
@miruhongin
@miruhongin 7 ай бұрын
Uyo kaka anaongea sana subiri siku moja atawajua wana wake
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 7 ай бұрын
Unaoa oa tuu pole dogo
@JemsOzil-wx1io
@JemsOzil-wx1io 3 ай бұрын
Uyu jamaa ana akili nyingi sana dada 😂ogopa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 ай бұрын
Wasanii mtihani .. wanaowapenda kwandoa hawawasanii.wajipange. wengiwao. Dini wameiweka pembeni pesa zakisweitwani zinawaponza
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 7 ай бұрын
Lione liuso lake na mimacho yake ndo maana hujui kuvaa mbwa mwitu
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@andrewgathua-dz8uw
@andrewgathua-dz8uw 7 ай бұрын
Haya jipya yani anakera kama iyo sura yake
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 6 ай бұрын
Msenge nasula lako hilo mzee malaya tu kwenda kanye
@teedullah5708
@teedullah5708 7 ай бұрын
Mtamuweza huyo mshenzi
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 7 ай бұрын
Huyu ni zaidi ya mnyama Allah ndie anae kutosha kwa unavyo dhalilisha wanawake 😢😢😢
@user-dy9qw6or9e
@user-dy9qw6or9e 7 ай бұрын
Huo ndo uanaume we ulitaka afanye atakavyo yeye.
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 7 ай бұрын
@@user-dy9qw6or9e afanye lakin ss tutasema tu
@user-bk5zx8jb3c
@user-bk5zx8jb3c 6 ай бұрын
Oyanyie msiingilie ndoazawatu wenyewe ndowanajua
@Perfect-migomigo
@Perfect-migomigo 7 ай бұрын
Dah niatari kweli no comment
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 6 ай бұрын
Kwakweli ukimya nimzur❤❤ MUNGU AINGILIE KATI ,DUNIA HIII TUNAMUITAJI MUNGU SANAA
@AlbertYangson
@AlbertYangson 7 ай бұрын
Hayo maneno ya madebe waachie wazee wa busara! Huna jipya nzehe!!
@user-yg9et7mp7i
@user-yg9et7mp7i 6 ай бұрын
Huyu mtu ni Muslim kweli Waallah hapo this men he anthing huyu mmmmmmmmmhapana ndioooooo naombeni plz plz wanawake jamani ni nini ndiooo
@AsilahHamad
@AsilahHamad 7 ай бұрын
Atafute mke mmoja amba alimpa talaka moja wakae chini walee watoto wao kweli kashaishiwa madebe
@lilianpeter1631
@lilianpeter1631 7 ай бұрын
Huyu mshenz tu nmemchukia afu libayaa sijuh hao wanawake wanampendea nin anaonekana mjeuri sn huyu mmbwa
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 7 ай бұрын
Madebe wewe choko tuu unatenda ukatili huku unajigamba acha ufara brothor nimekuchoka ghaflaa sikuitaji na kazi zako zoooteee
@SakinaNjoka358
@SakinaNjoka358 7 ай бұрын
Unapoteza watu wew watuwalikua wakakupenda sana nakukuamin lakini siamini kama wew mkaka ni oa acha sana
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 7 ай бұрын
Mimi nilikua fan wake ile mbaya ila kwasasa nimeamua kutofuatilia mambo yake ule usemi msanii nikio cha jamii hapa haupo kabisa
@kilifinewsonlinetvkntv7701
@kilifinewsonlinetvkntv7701 7 ай бұрын
#madebe unaongea utopolo mshenzii sana wewe team Gulf tumiaibishe huyu
@sophiakachemramba2568
@sophiakachemramba2568 7 ай бұрын
Fii kalam wajid basi hadha sura mafi good 😅😅😅
@kilifinewsonlinetvkntv7701
@kilifinewsonlinetvkntv7701 7 ай бұрын
@@sophiakachemramba2568 aiwa hadha rijal mukhmaf lesh jip girgir ziadha sawsaw family🥺😂😂😂
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 6 ай бұрын
Liongo liongo hana point mjinga sana
@alhabiitmgwamy1950
@alhabiitmgwamy1950 7 ай бұрын
Mwanamke hata umfanyie wema vp siku utakayofanya teleza kidogo anasahau kabiisa
@NshimirimanaSalim
@NshimirimanaSalim 7 ай бұрын
Mbona hana point yoyote huyu mjinga .... anajarib kujitetea tu lkn anakunya
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 ай бұрын
Kwa mtazamo tu madebe unamafumbo afu unaongea kwa mkato
@user-du5wk9ns9m
@user-du5wk9ns9m 6 ай бұрын
😂😂😂kuwa mwanaume sio kaz ndogo
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 6 ай бұрын
Mi nlijua unaakili kweli 😂😂😂 kumbe HAMNA KITU APA
@littlelunie.7653
@littlelunie.7653 7 ай бұрын
Huyu jamaa ni mwanaume haswaa
@user-sj9ob8vb3s
@user-sj9ob8vb3s 7 ай бұрын
mjinga hawezi kuerewa madebe anazungumzia nini hawo wandishi wao wanapenda muda wote wasikie madebe ana pambana na mke wake mtandaoni
@godymasilingi4750
@godymasilingi4750 7 ай бұрын
Duuh kweli unaweza ukamuona mtu ukajua wa maana kumbe muonekano unatudanganya, jamaa anaongea pointless kabisa sijamuelewa
@pascalseleman7919
@pascalseleman7919 6 ай бұрын
Sura tu yenyewe changamoto
@SelinaEmanuel
@SelinaEmanuel 6 ай бұрын
Huna ulichojibu Madebe wewe mtoto wa kiislam yakupasa ufwate masdili ya dini penda familia yako itunze iheshim kuoa na kuacha sio dili zaidi sna unaumiza mioyo za watu waliokupenda na kuungana na wew swa nakubali hakuna mkamilifu ila kuacha na kua sio njia sahihi mwanaume yakupasa kukabiliana na huo mtihani na yakupasa uifaulu kwa njia yeyote na sio kuikimbia
@bakarisaid2023
@bakarisaid2023 7 ай бұрын
HUELEWEKI unajitetea Sana ww ni mtesaji maneno meengi huna lolote unajifanya kujua kila kitu
@user-nn6nh9ks2o
@user-nn6nh9ks2o 7 ай бұрын
Nilikuwa napenda sana movie zako nikidhania maarifa unayotupatia waizingatia wewe kumbe kinyume,,ila sio vizuri watoto wahangaike ukikula raha na wengine damu yako zingatia hata kama mmekosana na mamayao
@user-ln7dm3lf5l
@user-ln7dm3lf5l 6 ай бұрын
Madebe we ni malaya tu thts all hao ni mamazetu
@meshacishara
@meshacishara 6 ай бұрын
Mimi ninaco jua nikwamba "wasanii wanaigiza maigizo ya maigizo yao" 😊😊😊
@rachelrodgers5080
@rachelrodgers5080 6 ай бұрын
Huyu jamaaa anamaneno sana Domo Jing hashidwi kufanya hivo
@user-mc6um1it1r
@user-mc6um1it1r 7 ай бұрын
Acha maneno ya shombo wew ubwa yale s mjinga
@mukanyataki5120
@mukanyataki5120 7 ай бұрын
We huna lolote Madebe Malaya tu, muzinzi, muharibifu, .... na ushetani ndani mwako
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 7 ай бұрын
movie zako sitaki tena hata kuziona madebe
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 7 ай бұрын
Huyu madebe anatuletea habari za jandoni tumueleje yani 😢
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 7 ай бұрын
😂 😂 😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 7 ай бұрын
😂😂😂😂 🙌 🙌 🙌
@user-lq6mt5ji4l
@user-lq6mt5ji4l 6 ай бұрын
Jando lilimfundisha kuoa wanawake sabini nyooo zake
@twayasinilukokelwa625
@twayasinilukokelwa625 6 ай бұрын
Ninavyojua jandon wanachofundishwa kule ni uhu ni tu
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 6 ай бұрын
@@twayasinilukokelwa625 😂 😂 😂
@user-pc6zz2uo1h
@user-pc6zz2uo1h 6 ай бұрын
Kwanza anajiona nani kwamfano ulivyokuwa mbaya macho kma pilipili mbuzi pua Kama kitumbua kisicho umuka nyoo
@DayanaPeter-pd9yf
@DayanaPeter-pd9yf 6 ай бұрын
Wewe uliefundishwa kukaa na mke shida ni gani huna point nini shida hakuna huna lolote huna jipya mdada anakushinda point
@user-lq6mt5ji4l
@user-lq6mt5ji4l 6 ай бұрын
Wake kumi na mbili bado unajifanya mwalim mimi nasema mme mwenye busara anavumilia na kuheshim ndoa haiwezekani wote wale walioachika ni wabaya angemvumilia ata mmoja na kama alioa bar hakuona wa msikitini madebe hana lolote bora huyo dada kasema je wengine simwamini huyu ni taper wa mapenzi atoe sitahiri za huyo dada
@barakayusuph8862
@barakayusuph8862 6 ай бұрын
Na hakikisha uwe na hela sio huna hela uje utusumbue vichwa uwe na hela pia ndio utagundua matatizo ya wanamama
@mbalilax162
@mbalilax162 7 ай бұрын
Ukishakuwa mwanamke wa kiislam lazima upitie changamoto za ndoa.... Dini Yao inawanyanyasa wanawake na kuwaona kama vyombo vya starehe ukitaka kuongeza unaongeza tu kama maandazi, na migogoro yote inaaziaga hapo
@BrigitteRachel-gf9zz
@BrigitteRachel-gf9zz 7 ай бұрын
Kweli kabisa 😂😂😂😂
@user-wi6qi4vd6z
@user-wi6qi4vd6z 7 ай бұрын
Yani huyu mdada sijui anayapi yakulia,manake mwenyewe kasema yeye ni mke watatu, maanake Kuna walio mtangulia na wakaachika,pia yeye aachike tw sisi watu mtandaoni hamna kitu tutamupa badala yake atazidi kupew uchochez usio faa
PART 2: CHANUO APIGIWA SIMU LIVE, AMUWAKIA MADEBE, WAJIBIZANA LIVE
16:13
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 32 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 41 МЛН
CHANUO WA MADEBE YAMKUTA MAZITO, AROGWA VIBAYA, UCHAWI UPO
33:11
SHEHE SURE AWASHA MOTO MAANDAMANO YA NGORO NGORO
24:04
Mbengo Tv
Рет қаралды 11 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 250 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН