No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 7,493

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Kutana na vijana wa kitanzania ambao wanatengeneza bidhaa mbalimbali za Kitanzania kwa kutumia Ngozi. Vijana hawa wanaweza kutengeneza viatu, mikanda na sandals - Ezema Leather Products.
Vijana hawa wamefanikisha kuelezea namna ya kutengeneza kiatu cha ngozi kwa kutumia teknolojia rahisi na kutengeneza viatu vyenye ubora mkubwa.
SUBSCRIBE KUPATA VIDEO NYINGI KUHUSU BIDHAA ZA KITANZANIA NA FURSA ZAKE!

Пікірлер: 7
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
viatu vya shule vyawatoto mtengeze tunapata shida sana
@umojaafrika2447
@umojaafrika2447 3 жыл бұрын
Hongera
@mechanicaldesignbrain
@mechanicaldesignbrain 3 жыл бұрын
vipindi vyenu viko juu 👏👏👏
@abcccc2665
@abcccc2665 2 жыл бұрын
Naomba namba zenu za sm
@mechanicaldesignbrain
@mechanicaldesignbrain 3 жыл бұрын
Sauti imepotea bahadhi ya vipande
@leonidasnyandwi8587
@leonidasnyandwi8587 3 жыл бұрын
Asanteni saana kwa fani hii mimi nimefulahishwa na bidhaa hii ila kuna baadhi ya sauti ambazo ha zisikiki .je mtu anaweza kujiunga na campoun ?kiukweli mimi ni fundi viatu tena napata shida kupata vifaa; je munauza viatu vilivyo tengenezwatu au mnauza na materiel ?
@barakakwanjula7634
@barakakwanjula7634 3 жыл бұрын
Kaka naweza pata namba zako
How to sew shoes to make them last
6:06
Ban bekas & kerajinan
Рет қаралды 1,6 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
kiwanda cha viatu Uvira
9:58
Baraka1 TV
Рет қаралды 252
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 19 М.
How to make nice sandals from old jeans
8:15
Ban bekas & kerajinan
Рет қаралды 1,5 МЛН
Kipindi cha Ujuzi ni Maisha Mafunzo ya Utengenezaji wa Bidhaa za Ngozi
31:05
Zulia la Sanaa. KARIOKOR MARKET. How to make a Maasai sandal
7:33
Kinyanjui Grace
Рет қаралды 7 М.