No video

#MadeinTanzaniaHatua

  Рет қаралды 13,497

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Show hii imerekodiwa katika kiwanda cha Tobi Peanut butter kilichopo Kipawa, Jijini Dar Es Salaam
Kiwanda hiki kimejikita katika utengenezaji wa siagi ya Karanga yaani Peanut butter na bidhaa nyingne zitokanazo na karanga ambapo masoko ya bidhaa zake ni ndani na Nje ya Tanzania.
Kiwanda hiki kimeanzishwa mwaka 2016 na kimekua katika uzalishaji kwa miaka minne sasa ambapo mmiliki wake Aghatha Laizer anaeleza hatua kwa hatua za ukuaji wa kiwanda hiki.

Пікірлер: 15
@ngambojumanne1714
@ngambojumanne1714 3 жыл бұрын
Wow, this is amazing, i like how the production and quality manager knows her stuffs, she is intelligent, young and talented. Big up director and staffs of Tobi peanut butter, I’ll be your no.1 customer, keep on shining our beloved Tanzania🤩
@moll5ymac
@moll5ymac 3 жыл бұрын
Proudly Tanzanian.... Kudos to the team
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 3 жыл бұрын
wamevaa barakoo nje alafu walivo ingia ndani wamevua
@KaoratajrMD
@KaoratajrMD 3 жыл бұрын
less sophisticated but efficient 🙌🏾🙌🏾.....Goodwork🇹🇿
@mosaidi2633
@mosaidi2633 2 жыл бұрын
Hiyo sorting ya karabga kwa mkono one by one is a tough job
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 3 жыл бұрын
nimependa package
@chareskyaromwita1860
@chareskyaromwita1860 3 жыл бұрын
Safi kwausafi
@johnsilayo9817
@johnsilayo9817 3 жыл бұрын
Kwa usafi ,quality na package lzm nieende itafuta hii tobi peanut dukani
@kevinmusafiri442
@kevinmusafiri442 3 жыл бұрын
Napendezwa na vipindi vyenu vya MADE IN TANZANIA.Kazi Nzuri. Ningependekeza katika kila video description yenu muweze kuongeza maelezo,anwani,nambari ya simu and website link ya makampuni mnayotemelea,ile tuwenze kuwasiliana na watengenzaji kama wanabiashara.Na hii itasahili kukuza viwanda za Tanzania.Asante.
@victoriamichael9663
@victoriamichael9663 2 жыл бұрын
Nipo Dar es salaam,,, nitazipata wapi? Nahitaji kununua Kwa jumla Ili niuze
@francisbutabi3902
@francisbutabi3902 3 жыл бұрын
Hakuna packing ya kopo?
@victoriamichael9663
@victoriamichael9663 2 жыл бұрын
Zinapatikana madukani?
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 2 жыл бұрын
Unamvimbisha tumbo mwenzio
@keagleeagle821
@keagleeagle821 3 жыл бұрын
wangefanya na packing ya kopo
@samainainvestment6470
@samainainvestment6470 3 жыл бұрын
Kwakweli nimependa
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,9 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 65 МЛН
#MadeinTanzania  Utengenezaji wa Vipodozi katika Kiwanda cha Tridea
21:01
MAFUNZO - Utengenezaji Mafuta ya Avocado
16:35
Tanzania Cosmetology Association
Рет қаралды 24 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 15 М.