MADHARA YA ROHO ZA UZINZI ZINAA NA UASHERATI

  Рет қаралды 8,082

ADM Ministries

ADM Ministries

2 жыл бұрын

Karibu tujifunze BIBLIA pamoja. Neno la Mungu ni taa na mwanga wa njia zetu hivyo karibu tujifunze namna ya kuitumia hiyo taa vizuri na kuielewa vizuri. Neno la MUNGU lisilo goshiwa
.
Tunapatikana Dar es Salaam, Tabata Kinyerezi
Kwa mawasiliano na sadaka :- +255762664498

Пікірлер: 19
@agnesnzali5724
@agnesnzali5724 3 ай бұрын
Aaa Mungu akubariki nmepata kit kipya na Cha kunivusha
@magrethdamiano6305
@magrethdamiano6305 8 ай бұрын
Amen pastor wanaume kama nyie tunawatafuta lkn hawaonekani,, mama apo anajisikia vizuri sana anajivunia kuwa nawe
@oscanyakunga
@oscanyakunga 9 ай бұрын
Amen Amen mafundisho ya uzima haya vzuri kwa vijana Sisi ndoa ucha Mungu Yusufu alikimbia tuikimbie Zinaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥....
@claudiamzava7640
@claudiamzava7640 2 ай бұрын
Amen Pastor.
@admministries
@admministries 2 ай бұрын
amen
@hamisingumbi998
@hamisingumbi998 8 ай бұрын
Mungu akuzidishie nguvu mtumishi
@collinslyimo448
@collinslyimo448 Жыл бұрын
Ameeen 🙏
@annasilaa6578
@annasilaa6578 9 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi
@theodosiamushi5411
@theodosiamushi5411 8 ай бұрын
Ni kweli mtumishi wa mungu
@MeshackAngel-kc2gc
@MeshackAngel-kc2gc 9 ай бұрын
Mungu akuinue
@apostlepaul4522
@apostlepaul4522 3 ай бұрын
Dhambi ni zambi Mtumishi ubarikiwe ni vema kusema ukweli na kulionya kanisa na kulifundisha kanisa kukaa na kuenenda ktk usafi Mimi nakuunga mkono ubarikiwe
@aaroneu07
@aaroneu07 Жыл бұрын
Hongera kaka.
@user-lc3km8ry6m
@user-lc3km8ry6m 9 ай бұрын
Amen 👃👃
@mosesnnko5591
@mosesnnko5591 9 ай бұрын
Amen
@user-xc1dv8dc9n
@user-xc1dv8dc9n 10 ай бұрын
Ni hatari sana
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Amen 🙏
@esterlyimo1935
@esterlyimo1935 Жыл бұрын
Hii spirit unafanya kazi sana sasa hivi katika ulimwengu wa Roho na mwili
@magrethmwakifuna9792
@magrethmwakifuna9792 8 ай бұрын
Kama una ufunuo Mungu amekupa wewe juu ya jambo hili wewe lifundishe usitafute kudharau watumishi kana kwamba wao sI wa Mungu ila wewe Jana kwamba hawajui kufundisha ila wewe.Kumbuka Mungu anaweza kukupa neema hii haimaanishi wote wawe kama wewe,huyu japewa hiki na huyu hiki.Usimdharau mwingine maana wote mumewejwa na Mungu. Kwa nini nyinyi watumishi mnapenda kudharauriana?Kila anayefundisha kwenye mitandao lazima aseme wachungaji wenzie Mungu hafurahishwi na hayo. Jifunzeni kwa wengine,Kuna watumishi wanatembea kwenye ufunuo waliopewa na Mungu tu,mkajifunze kwako.
@mediatz8537
@mediatz8537 10 ай бұрын
Amen
DHAMBI YA UZINZI INA ANGAMIZA FAMILIA-MWL GOODLUCK MUSHI.
44:06
KKKT KARIAKOO
Рет қаралды 28 М.
VITA KATI YA SHETANI NA UZAO WA MWANAMKE | Must Watch
52:53
ADM Ministries
Рет қаралды 267
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 37 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Maana na madhara ya kujichua (masterbation)
10:32
ADM Ministries
Рет қаралды 4 М.
Kuwa na Kiasi Katika Kila Jambo
5:50
ADM Ministries
Рет қаралды 374
VYANZO VYA ROHO YA UZINZI NA UASHERATI || Pastor Ibrahim Amasi
1:06:01
PASTOR IBRAHIM AMASI
Рет қаралды 2,1 М.
PR.PAUL SEMBA, MAANA YA KINA SANA YA UZINZI NA UASHERATI
40:28
Petro Tumaini TV
Рет қаралды 11 М.
KUFAHAMU KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU NA JINSI YA KUZITUMIA || PASTOR GEORGE MUKABWA
2:03:24
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 22 М.
MADHARA YA DHAMBI "PASTOR MGOGO
1:15:56
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 54 М.
JINSI YA KUISHINDA DHAMBI YA UZINZI-SEHEMU YA TANO
7:35
CHURCH STATION
Рет қаралды 7 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН