Mafrater Bukoba walivyoweka kiapo cha Useja mbele ya Askofu Mwijage/ "Tunzeni viapo vyenu"

  Рет қаралды 2,817

Radio Mbiu

Radio Mbiu

4 ай бұрын

Wakristo wametakiwa kuwa waaminifu kwa kusema ukweli daima na kukemea mambo yasiyofaa katika jamii na kuwaonya wanaoenda kinyume na Mungu pamoja na kuwasihi Mafrater kushika njia ya Kristo bila kugeuka nyuma.
Wito huo umtetolewa na Askofu Jovitus Mwijage, Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba wakati wa homilia yake katika adhimisho la Misa takatifu ya kuweka Kiapo cha Useja kwa Mafrater watano Kabla ya Misa ya Ushemasi Jimboni Bukoba.
Katika homilia yake Askofu Mwijage amesema kuwa Mungu ndiye pekee mwenye haki,
Kwa mfano wa wayahudi walimuua Kristo kwa kutofumbia ukweli kwa dhuluma walizozifanya vivyohivyo waamini wanatakiwa kusimama kidete na kukemea maovu yanayotendeka katika jamii inayyotuzunguka.
Aidha Askofu Mwijage amesema kuwa Jamii ya sasa haipendi wanaozungumza ukweli kwani kwa kuwa na malengo yanayoingilia maslahi yao, na kuongeza kwa kusema kuwa msema kweli atazushiwa na kuchafuliwa jina lake kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristo mwenyewe na kuendelea kuwasihi Mafreater walioweka kiapo hicho kuwa imara kwa kufuata njia ya Kristo bila kurudi nyuma na kutakiwa kutembea kifu mbele wakitambua kuwa wanamtagza Kristo.
Mafrater walioweka kiapo cha Useja Jimboni Bukoba kabla ya Misa takatifu ya Ushemasi ni Frater Allanus Kabobo wa Parokia (Kishogo), Frater Beatus Kaijage Parokia Kagondo, Frater ⁠Cassius Rwelamiza Parokia Ngote, Frater Prudence Mujwahuzi Parokia Minziro na Frater Willbrord Ndyamukama Parokia ya Itahwa, wote wanatarajiwa kupatiwa Daraja ya Ushemasi kesho Marchi 16 2024.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja

Пікірлер: 6
@user-ii2ng3ci4w
@user-ii2ng3ci4w 4 ай бұрын
Hongera Sana Sana Mwenyezi Mungu awasimamie kwa hayo matashi yenu mema msiogope Yezu Kristy alisema Yuko pamoja nanyi mpaka utimilifu wa dahari❤
@janejackson7328
@janejackson7328 4 ай бұрын
Hongereni sana Mungu awasaidie kutunza maagano haya .
@user-qn9ip4bx2y
@user-qn9ip4bx2y 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu awe nanyi siku zote pia na mimi naomba anijalie kwenye kizazi changu nipate mtu kama nyinyi
@RenatusMatungwa
@RenatusMatungwa 2 ай бұрын
Mungu awasaidie
@demetriuspatrick6145
@demetriuspatrick6145 4 ай бұрын
Mungu awaongoze
@gotfriedmwesiga4234
@gotfriedmwesiga4234 4 ай бұрын
Nimefurahi sana jmn Mungu awatangulie...
Waziri Bashungwa aahidi lami Ntungamo Jubilei ya Askofu Rwoma.
8:50
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 52 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 14 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 26 МЛН
Fr. Mike Reacts to Olympics "Last Supper"
8:22
Ascension Presents
Рет қаралды 157 М.
Macvoice - Niambie (Official Music Video)
3:56
Macvoice
Рет қаралды 422 М.
Huyu ni Mwanamke aliyenusurika katika ajali ya ndege Bukoba
2:42
BBC News Swahili
Рет қаралды 94 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 52 МЛН