Viongozi wa Mombasa, Embu wakutana kutatua mzozo wa biashara ya miraa, muguka

  Рет қаралды 12,149

NTV Kenya

NTV Kenya

29 күн бұрын

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер: 38
@jumangalaa179
@jumangalaa179 27 күн бұрын
Abdulswamad hapa umeuza wenzako. Watu wanapinga then ww unaweka kikao na unakubali hii ni kuonyesha kuwa watu wa mombasa huwezi watendea haki wanayotaka
@Mohammadbora-cd6jg
@Mohammadbora-cd6jg 26 күн бұрын
Ingekuwa banned kabisa hii kitu mazungumzo ya nn...😢😢😢
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 26 күн бұрын
@@Mohammadbora-cd6jg yani sta ameniudhi sana badala sungane na wa mombasa wasimame na msimamo alieta ujinga mbona asiwambie wauzie kwao anguished uyu mpuzi amefanya wenzake waonekana hawana mana
@Mohammadbora-cd6jg
@Mohammadbora-cd6jg 26 күн бұрын
@@ummiissaabdulissaabdul8117 Twaonekana watu tusio na mcmamo kabisaa, yan ckutarajia atakuja kubali ivo...
@lenniefei6710
@lenniefei6710 27 күн бұрын
Why don't the Embu farmers grow real beneficial crops kuliko kulazimishia wapwani mihadarati ???!! Watoto wenu wasome, wetu wakue mazezeta !
@arfenmalik1717
@arfenmalik1717 26 күн бұрын
How about hard drugs that coast region is known for
@lenniefei6710
@lenniefei6710 26 күн бұрын
@arfenmalik1717 That's a good question for the security agents, but as a people, we've no connection to those, and we don't condone any illicit drugs !
@viktoromoding3399
@viktoromoding3399 25 күн бұрын
Uko sure connection haiko..au unaongea vitu hujui..​@@lenniefei6710
@patrickmugambi9395
@patrickmugambi9395 24 күн бұрын
Unga ndo imeharibu watu was coast sio muguka watoto was huku wanachana na wanasoma tu but unga ni mbaya
@lenniefei6710
@lenniefei6710 24 күн бұрын
@@patrickmugambi9395 Both Unga na mogokaa MUST be kept out of Mombasa, period !
@mscantraah8210
@mscantraah8210 27 күн бұрын
Nono hatutaki mukoka kabisa mombasa mwacheni Mambo ya mukoko hatutaki kabisa mombasa wacheni watoto hata wanaume pia inawathiri kabisa
@BMboss108
@BMboss108 26 күн бұрын
Nakuunga mkono
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 26 күн бұрын
wacha waume hata wanawake wengi wamepoteza na uraubu wa miraa mtu yuazua kila kitu mradi apate pesa ya miraaa wapige marufuku abdul swamad ache ujinga
@maase2023
@maase2023 27 күн бұрын
Kula gomba mwanangu achana na hawa wazushi hawajui faida zske
@eriksenmwenda2262
@eriksenmwenda2262 27 күн бұрын
🎉🎉
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 24 күн бұрын
Hatutaki miraa Mombasa
@waiganjokelvin2283
@waiganjokelvin2283 23 күн бұрын
Kushikisha nayo ni sheria.
@diddyneshittorre6202
@diddyneshittorre6202 25 күн бұрын
Miraa😂? Mombasa County you are not serious
@husseinabdi657
@husseinabdi657 25 күн бұрын
Sad to people of nombasa,the parents who are losing their sons n daughters to this miraa/muguka..It is a big let down..the Embu and Meru are only concerned with their business at the expense of societal decay!. Very greedy n immoral..wake up mombasa and save your future generations!
@waiganjokelvin2283
@waiganjokelvin2283 23 күн бұрын
They are losing them to cocaine and heroine
@masudisaid4106
@masudisaid4106 25 күн бұрын
Kimumunye!! Bure kabisa..
@imranhassan9994
@imranhassan9994 26 күн бұрын
✍️ Mheshimiwa Governor... ✍️ Popote pale Ujumbe wangu kwako ni kuwa """ PALIPO NA UFA HUJENGWA NA SIO KUPAKWA RANGI """ ✍️ Kiukweli kwa kauli yako hakutakuwepo na suluhu kwa lolote lile juu ya jamii yetu nzima ya pwani...
@user-bp7ry5ey1f
@user-bp7ry5ey1f 2 күн бұрын
Auna msimamo wala nini sasa niyapi Aya Abdulswama
@husseingulam996
@husseingulam996 24 күн бұрын
Self interest.. Very sad!
@athmanbaya2053
@athmanbaya2053 27 күн бұрын
Hizo vitu zitolewe Mombasa vijana wameharibika,,,kila mahali watu husema vijana wa Mombasa migukaa tuu
@amirmohamed2729
@amirmohamed2729 26 күн бұрын
Hakuna miraa nje ya shule, miraa iko kila mahali acha ujinga
@williamgithieya840
@williamgithieya840 27 күн бұрын
Muuguka is very lethal.shiould be banned in total even in Embu..Mbarire tell your people to grow sensible plants ..ama wakule muguka wenyewe.Have a son who chews the Poison so i know it is lethal.
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 26 күн бұрын
Gavana wa mombasa funga hii kitu kwani ni lazma iuzwe mombasa kma ina faida wapeleke kwingine
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 26 күн бұрын
gavana uyu hana mana mana watu washirikiana kupiga marufuku yeye ati kikao cha nini madhali wamombasa ndio wathirika akuna kuingia mugoka wala miraa wauzie uko unajo toka kwani lazi uku
@AminanabwileMoha
@AminanabwileMoha 17 күн бұрын
Kwan x muuze uko meru
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 26 күн бұрын
Abdullswamad umetuangusha unge funga kabisa hiyo biashara.hainafaida Kwa wa pwani ni hasara tupu
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 26 күн бұрын
Ametuangusha sana na pia walio kua wamuunga mkono amewaachs njia panda mana niupuzi badala ashikilie msimamo yeye ashalegea sasa mtetezi wawapwani atatoka wapi mbona wasiuzie kwao wakapata izo. faida
@jeiysir2500
@jeiysir2500 26 күн бұрын
Nothing good comes out of these herbs...
@abdulbasidosman4106
@abdulbasidosman4106 26 күн бұрын
Stupid mombasa governor tafutia vijana wetu wa pwani kazi
@raphaeloloo9641
@raphaeloloo9641 26 күн бұрын
akuna kitu gavan umefanya umeshapatiwa za macho ukalegeza msimamo uzidi kuwaaribu vijana muuzaji atauza ama atangalia nani msomi nani si msomi wacha mwandazimu uchekesha kama akutoka kwenu
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 26 күн бұрын
si ndio hapa amelegeza kamba mara moja sana amehogwa uyu muuzaji atauza aja yake mpesa ati wanafunzi yuatufunga macho kwani angesema sitakinkakoa watu wangamia uku wscha watoto wamama nao waliingia kwenye uraibu wa miraa kusomesha watoto hana wauza kila kitu kwa kula miraa abdul swamad ametuangusha afai
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 26 күн бұрын
pigeni marufuku miracle na mugokaa abdul swamad mjinga sana utakaa kwa wauzaji wasiuzie wanafunzi mjinga wewe nliona utashikilia watu wapotea sio wanafunzi tu wazazi wengi wameingilia uraibu wa miraa wauza mpaka manyumba mpuzi sana mbona kwao wasouze
SUNDAY LIVE | Governor Nassir vows to defeat muguka cartels in Mombasa
14:08
🍟Best French Fries Homemade #cooking #shorts
00:42
BANKII
Рет қаралды 54 МЛН
DELETE TOXICITY = 5 LEGENDARY STARR DROPS!
02:20
Brawl Stars
Рет қаралды 12 МЛН
$10,000 Every Day You Survive In The Wilderness
26:44
MrBeast
Рет қаралды 121 МЛН
Azkar Al Sabah  أذكار الصباح
21:49
Dua & Azkar
Рет қаралды 10 МЛН
Gavana Nassir apiga marufuku biashara ya muguka Mombasa
9:28
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 67 М.
Governor Nassir bans Muguka in Mombasa County
5:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 93 М.
What's next for muguka after Kilifi and Mombasa ban ?
9:16
KTN News Kenya
Рет қаралды 2,9 М.
Hali ya usalama Mombasa
7:05
KTN News Kenya
Рет қаралды 22 М.