Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #Zanzibar #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online cc: Sadia Rashid cc: Masoud Maganga
Пікірлер: 51
@Sedouf5 жыл бұрын
Hongera JUMA SALEH kwa maelezo yako mazuri..umeongelea umuhimu wa kubadilisha miundo mbinu iliyokwisha chakaa na umezungumzia suala la uwezekano mkubwa wa uchafu/maradhi kuzidisha maradhi kwa jamii.Pongezi.
@talibabdullah37625 жыл бұрын
Shukran KTV TZ ONLINE hakika hii ni fahari yetu. #TLB#
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
😷kazaneni na nyinyi wananchi kupambana na usafi siokilakitu serikali mkitegemea kilakitu serikali ndio uchafu unazidi mambo madogo madogo pambane wenye wananchi Ili sikumoja hatahiyo serikali ione mfano kutoka kwenu wananchi mnavyo jituma kaeni mkilalamikia hivyo hivyo serikali mtakuja kuta sikumoja hizo karo za choo zinapiga hodi milangoni mwenu.
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Hawana haya hawo wala hawaoni vibaya kazi yao umbea tu vipi hawawezi kusafisha eti serikali nawasubiri basi ije na jopu lake mbona kula wanakula kwa mikono yao hawasubiri walishwe na serikali au kukoga
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Mbona kukoga hawasubiri serikali iwakogeshe wanajikogesha wenyewe
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂😂😂Watole uvivu
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
@@samsungjsevenprime5717 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yani wanakera wameregea nawakiingia chooni wasubri serikali ije kuwanawisha
@ibnually74285 жыл бұрын
Km hawalipi kodi inabidi watengeneze miundo mbinu ya usafi wenyewe
@aliarkam14135 жыл бұрын
Fanyen usaf msitengemee serekal mukipata maradha ndio mtajua faida ya uchafu kama mzur au m,baya . Hongera sana ktv oline
@ukhtyrahma.39225 жыл бұрын
Shukran ktv
@hbtv41697 ай бұрын
Haya mambo ndo tunayoweza wazanzibar taka tunatupa sisi wenyewe uchafu tunapenda sana
@maryammmakunduchmahammed97865 жыл бұрын
Kwanz wananchi tuwe wasafi watu wapo juu anarush taka chini
@nuraydasworld44315 жыл бұрын
Tatizo ni wananchi wenyewe,ndio wanachafua
@hassanturky75115 жыл бұрын
Daraja ya chini ya imani ni kuondosha udhia njiani. Sasa hii ni kazi ya waislamu wote.sio serikali.serikali isimamie TU. Kila mwenye nyumba,duka mbele yake asafishe mwenyewe Kisha Kila wiki serikali ikague,alokuwa hajasafisha apigwe faini ya laki nzima
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
KTV TZ ONLINE ASANTENI HAKIKA HII NI FAHARI YETU
@josej98885 жыл бұрын
Nimechunguza nimegundua kwamba wapemba nawaunguja hawana tofauti nawahindi, mhindi ukimuona barabarani anang'aa lakini nenda ndani kwake uone hutoamini kama kweli niyeye anayeng'aa akiwa nje. Kama usafi unaanzia ndani, basi na uchafu unaanzia ndani.
@josej98885 жыл бұрын
@@ibrahimhaji214 🖕🏻
@imamaliridhwa18845 жыл бұрын
Unatukana watu waliowafunza mama yako kuvaaa na ustaarabu adi sasa unajiona wewe msafi
@fatmax87105 жыл бұрын
naona na nyinyi uko dar pia ni wachafu Hamna mbali linalpliweza zaidi ya wake zenu kujichubua na kwenda uchi
@lipymuscat47795 жыл бұрын
Sio kweli...hayo majumba ya michenzani sasa hiv wanaoishi ni wabara..hao wazanzibar wamehama wamehamia miji ya kisasa..wenyeji wa zanzibar siku hiz wamehama mjini...
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Shukran Ktv tz ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU
@hajiabdalla57725 жыл бұрын
Nyie wenyewe wachafu na ndio jadi yenu mana hayo majumba ya michenzani yanaanguka na machafu kweli na hao CCM viongoz wenu pia wachafu wapo wapo tu hata kujielewa hawajielewi .mana hata kuyapaka rangi hayo majumba wanashindwa bas mpaka chokaa hamuwez kuyapaka.
@ahmeidyoung24105 жыл бұрын
Hatar sana hii hali.
@maryammmakunduchmahammed97865 жыл бұрын
Mm nakaa michezan ila watu wanatup tak juu sisi tupo chin utasikia mshind tu sikwambii ten wanatia uchaf vyoo vinafok
@talibabdullah37625 жыл бұрын
Sio serikali ikuangaliyeni cha kufanya ni kushirikiana nyinyi wenyewe kufanya uxafi, So mukisubiri serikali mutasubiri sana. #TLB#
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Subrin serika iwaangalie wavivu wakubwa nyinyi hamjui hiyo serikali inategemea akili zenu nyinyi wananchi ili nayenyewe ijue jisi ya kuwasaidia ila kilakitu akilizenu zimeiegemea serikali naserikari inawa🙄wananchi. Nahuyo Dada mliosema mchaluko anaakili ya kimawazo
@jumamohamed96485 жыл бұрын
Nyinyi muna tabia ya uchafu muna maneno mengi kuliko vitendo, kuweni watu wa kufanya vitu kivitendo zaidi kuliko maneno .
@mosaidi26335 жыл бұрын
Kila kitu kina mwisho wake,haya majumba muda wake umekwisha yavunjwe na kujengwa mapya
@hajiabdalla57725 жыл бұрын
Nyie nyote wachafu pamoja na serikali yanu ya CCM. Zarau mana hayo majumba angalau wangeyapaka japo chokaa mana yanatia huzuni na mabovu . Na nyie munao kaa -wachafu wakubwa pumbavu
@mwanaisha5224 жыл бұрын
Serikali inajitahid lk.n wakaz wenyewe ndio wachaf
@abdallajuma90905 жыл бұрын
Sio kilakitu ni serikali wakati mwengine wananchi nao wanachangia kwa kutenda uchafu
@salummkubwa5 жыл бұрын
Nimeinua macho duniani nipo michenzani block 1, tatizo namba moja ni wakaazi wenyewe, nina kovu kichwani nusura nife, mmoja alianika mkeka na kuwekea jiwe ukaja upepo, napita chini habari sina si uje upepo, ninalokumbuka nimeroa damu mwili mzima nakimbizwa Hospitali. Karibia wote waliohojiwa hapo nawajua. Alosema watu wanarusha taka wakiwa juu ni kweli, mate pia nk. Ghorofa ya mwisho juu ndio jaa pia. Ni kweli mabomba yameoza ni ya zamani ila wakaazi wenyewe ni wachangiaji wa uchafuzi pia.
@lipymuscat47795 жыл бұрын
Mahalat wa michenzani wamehama..walobaki wenzangu na mimi
@oopsm35745 жыл бұрын
Yanaziba kwa ajili ya mashonde makubwa tu hakuna jengine
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Raia wachafu hawajitambui na serikali inaangalia maslahi yao tu
@jamillaibrahim70685 жыл бұрын
Wote wakiongea Wapuz tu usafi n. Nyie mwanze si serikali
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Wananchi wenyewe muwe imara kufanya usafi serikali iwapongeze na iwasaidie
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Usafi nimuhimu jamani lakini nimejifuza mengi hapa Ktv tz online mtu hata ukiwa masikini ukiwa msafi usafi unaficha umasikini wako nakila mtu atakupongeza mmpaka hata aridhi ukiitembelea juu yake inafarijika.
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Jitahidini wananchi wenyewe muwe munafanya usafi kwa bidii zote usafi wa mazingira sio lazima serikali mbona mukishapika hamusubiri serikali ije iwalishe munakula wenyewe kwa mikono yenu na usafi mufanye wenyewe usafi ni muhimu sana
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
WACHA WEREGE WATAJIKUTA MUSTASHIFA NA HIYO HIYO SERIKALI WANAYOIEGEMEA WAMEPANGA MSTARI HUKO
@hajihajirajab6095 жыл бұрын
Haiwezekani kumtunza mzee Karume kwa majengo mabovu na machafu kama haya. Maoni.. Majumba yavunjwe na mjii huu ujengwe upya na uwe na vivutio vizuri na sehemu za Shopping malls na makazi ya kisasa..zaidi...Just in short..
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Usafi ndio muhimu hata ya kiwa majengo ya zamani yakipata watu watuzaji kilakitu kitaonekana kipya sasa hata wakibomoa wakajenga majengo mapya yatakua hayakaliwili nawatu?
@ibrahimhaji2145 жыл бұрын
Yakivunjwa watu wakaishi wapi na watu hawataki kuishi ng'ambuu
@hajihajirajab6095 жыл бұрын
@@ibrahimhaji214 kufanikisha hilo ni mipango. Serikali hujenga makazi shm nyngn na hurudisha wakazi baada ya ujenzi kumalizika...
@ibrahimhaji2145 жыл бұрын
@@hajihajirajab609 asilimia kubwa wa nyumba zile ni binafsi zilimilikishwa serekali haina jukumu la kuzitengeneza kama hivyo kila mtu alalamike akatengenezewe nyumba yake au, na hao wanaolipia kodi yake hupangi hata chumba ng'ambu then serekali iokete wapi izo pesa lakini kubwa zaidi hao wanaokaa ni careless maana hawasafishi.
@ibrahimhaji2145 жыл бұрын
Lakini pia kama swala la maji machafu basi wajikusanye wachangishane wapate hela za kufanya marekebisho