No video

MAHABA MAZITO! DIAMOND na ZUCHU -"ASUBUHI SANGARA TOPE JIONI SAMAKI PAPA NAMLISHA"-JUMALOKOLE

  Рет қаралды 65,803

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 122
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
Mashallah naipenda couple ya Mondi na Zuchuuu 🙌❤️❤️🔥🔥🙏
@zenabibie5033
@zenabibie5033 2 жыл бұрын
ajuwaye tamu ya chai ni mnywaji hongera yao ❤❤❤❤
@zizahissa8642
@zizahissa8642 2 жыл бұрын
Best sub Saharan Africa couple ever 🙌🙌 they looking good together MASHALLAH❤️
@fabiola4007
@fabiola4007 2 жыл бұрын
Dida I love you so much you and lokole na humor beana
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Upande wangu nawapenda mno diamond platnams na zuchu kutoka ndani ya moyo wangu, mahusiano ya diamond platnams na zuchu nayapenda mno ni vitendo tu mengine mtamalizia nyinyi wenyewe hahaha, zuchu akiulizwa anasema hana mahusiano na diamond platnams ni boss wake, diamond platnams akiulizwa anasema zuchu ni mdogo wake, hahaha vigwegwe hata kama hamjui kusoma na picha hamjui kuangalia kuwa diamond platnams na zuchu sio kiki wapo kwenye mahusiano kweli hahaha
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Binafsi nawapenda saaanaaa diamond na zuuuchuuuu wanaendana jmn
@shishgal2274
@shishgal2274 2 жыл бұрын
Wanaendana...sana wenye wivu wajinyonge
@qamaryasalim9531
@qamaryasalim9531 2 жыл бұрын
Kwa kweli mnatukosha huku wanapendeza sana tunawapenda
@kuluthumsenga7977
@kuluthumsenga7977 11 ай бұрын
Best couple ❤❤❤
@sheillahpayne5047
@sheillahpayne5047 2 жыл бұрын
Si Diamond said first in his song Baikoko.. that is the girl she was talking about
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Kumbe na wewe ulisikia diamond platnams akimuimba zuchu kwenye ule wimbo wa baikoko hahaha nilizani mimi ndiye nilisikia pekee yangu, tena inawezekana zuchu na diamond platnams wana mahusiano ya muda mrefu sema kama kawaida mapenzi huwa hayajifichi sasa ivi wameshindwa kabisa kuendelea kuyaficha walai
@dianamonyo1960
@dianamonyo1960 11 ай бұрын
​@@yustayusuph9101ule wimbo wa baikoko wenye ameimba na mboso
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 2 жыл бұрын
Nawapenda mashamshamuuu 😍 from Holland
@papamukulu1045
@papamukulu1045 2 жыл бұрын
Uko Holland wapi dear
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 2 жыл бұрын
Wewe uko hapa holland ?
@papamukulu1045
@papamukulu1045 2 жыл бұрын
@@neemakalugila7674 niko hapa holland dear
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 2 жыл бұрын
Ok, niko rotterdam na wewe
@papamukulu1045
@papamukulu1045 2 жыл бұрын
@@neemakalugila7674 mimi pia siko mbali na rotterdam
@fabiola4007
@fabiola4007 2 жыл бұрын
You guys when I come to Tanzania I need to meet you
@watuhuru6128
@watuhuru6128 2 жыл бұрын
Ah simba na zuchu wanaendana sana hata wenye wivu wakimponda ila kapo ya yao kiboko
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Tena ipo moto vibaya mno na hapo hawajaweka wazi wanajiachia namna hiyo, je? wakiwa rasmi itakuwaje? mnyonge mnyongeni haki yake mpeni walai diamond platnams na zuchu wanawanuima watu usingizi kabisa na huo ndio ukweli
@Chacha-dk2fz
@Chacha-dk2fz 2 жыл бұрын
@@yustayusuph9101 Umeongea point
@franciscakija1702
@franciscakija1702 2 жыл бұрын
Hawa wambea Hadi Kwa mabosi wao 🏃🏃🏃🏃
@evawarioba8116
@evawarioba8116 2 жыл бұрын
Wana pendezana sana🔥🔥🔥
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 2 жыл бұрын
Munajuwa kumutafutiya uyo sadala kiki amehishaga fuliya tuko bus na kajala na harmonize sazote 🐘🐘🐘🔥🔥🔥
@fallymetoo191
@fallymetoo191 2 жыл бұрын
Yaany !!! 🤣🤣🤣🤣🤣Wacha ncheke mie si kwa uoga , hofu na wasiwasi huo wa kufutwa kz wakati umbes mnaupenda , kwan hamjiamini watangazaji mbona mnasukumiana goma...🤣🤣🤣🤣🤣...ila nawapenda mbo ♥️
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Mushaanza kumtafutia bosi wenu kiki Ana shoo karibu na zuchu
@michaelkipara8205
@michaelkipara8205 2 жыл бұрын
zuchu na diamond wanaendana,af wote wadogo,mpka Raha kiukwel
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Kabisa, tena wanaendana kwa kila kitu kazi, dini, umri na juhudi za kufanya kazi yan ukisikia utampta mtu wa kufanana nae, yan hapa diamond platnams ndio amepata walai, zuchu hana mambo mengi yupo simple sana kwanza mambo ya wanaume wanaume hana hawezi kuwa cha wote kama wale wanawake wake wa zamani wadangaji
@mozaummy327
@mozaummy327 2 жыл бұрын
Nawapenda sana
@fatmabazhee797
@fatmabazhee797 2 жыл бұрын
Ndoa hupangwa na Mungu.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
Nawapenda mashamsham watching from 🇺🇸
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 2 жыл бұрын
Mie hadi leo siamini kama Dai na Zuchu kama wanadate,mbali manyimbo wanayoimba na matendo yao.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Mimi pia naona ni marketing wanaboresha biashara yao
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 жыл бұрын
Kabisa hatamimi 😂😂😂
@shishgal2274
@shishgal2274 2 жыл бұрын
Shule ulipata nini?🤣🤣🤣🤣
@fatumamahoiga3978
@fatumamahoiga3978 Жыл бұрын
Meli ikizama
@muharrijdjemedari9693
@muharrijdjemedari9693 2 жыл бұрын
Ila wanaendana😂😂😍❤
@fatimammowa8312
@fatimammowa8312 2 жыл бұрын
Mungu akunusuruni tunawapenda jamani 😂😂
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 Жыл бұрын
Kimenuka uku☺️
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 жыл бұрын
Mwache ajiachie limekushuka juma
@hiki242
@hiki242 2 жыл бұрын
Jaman apa mm narudia kila mara kusikiliza 🤣🤣🤣🤣🤣apa mana zenu ety barua yako 🤣🤣🤣🤣🤣
@tiktokkingtz
@tiktokkingtz 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@sumayaharuna5425
@sumayaharuna5425 2 жыл бұрын
Kweli dada👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌
@kavurhamushi7491
@kavurhamushi7491 2 жыл бұрын
Dina nakupenda saana, kila ninapo kusikiliza naceka hadi....🤣🤣🤣
@godsdaughter2820
@godsdaughter2820 2 жыл бұрын
Haki mi nawapenda Sanaa mnooo😂😂😂😂😂😂🤝🤝🤝🤝❣️
@pastorjully3657
@pastorjully3657 2 жыл бұрын
Hapo Zuchu anatumika tu ili dai abaki chati baada ya kuona Hamonize na kajala
@amamiss22
@amamiss22 2 жыл бұрын
Da Diva na Idrissa wananifurahisha sanaa afu wakianza ku susubikana duh 😀😀😀
@abdalaahmzamilo3562
@abdalaahmzamilo3562 2 жыл бұрын
Awazi
@hidayyahharoonsulhi8911
@hidayyahharoonsulhi8911 2 жыл бұрын
Nawapenda sana wa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@paskaliangoto2849
@paskaliangoto2849 2 жыл бұрын
Jaman mnanikosha rohooo miee
@nadiaburundi6871
@nadiaburundi6871 2 жыл бұрын
💯💯💯😂😂😂😂🤣🤣🤣
@lulumalima1739
@lulumalima1739 2 жыл бұрын
Sadakta!!!
@saidasaid5855
@saidasaid5855 2 жыл бұрын
😂😂😂chapati za aloud jamn juma wew mbona unafujoo eti umbile limekumeza haya zari tena
@fatuamjafary4959
@fatuamjafary4959 2 жыл бұрын
Kweli umeliona ilo
@omarelhabibi4071
@omarelhabibi4071 2 жыл бұрын
Huku kumenoga jamani😂😂😂😂😂😂
@muharrijdjemedari9693
@muharrijdjemedari9693 2 жыл бұрын
Mimi kwakweli nimelidhiya waowane ila sio kuzini.ila mond kama simuamini vile kwa matukio😁😁
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 2 жыл бұрын
Njo mara ya kwanza kuva cupi kama hiyo. Haupendeze kama mtoto Muislam
@definitelykoechy8726
@definitelykoechy8726 2 жыл бұрын
Dida Gari inakurudumu 4
@calvin_army
@calvin_army 2 жыл бұрын
Juma Juma Juma....... 😁😁😁
@pilikhamis4243
@pilikhamis4243 2 жыл бұрын
Mnanivunja mbavu kwelikweli😂😂😂😂😂 Idris anajifanya mjanja Sana lakini na wewe upo pia hata na Sisi Watazamaji pia tumo likizama tunazama wooote😂
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Kabisa 👌
@aishaitangishaka2066
@aishaitangishaka2066 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀
@watuhuru6128
@watuhuru6128 2 жыл бұрын
Hahahaaaaa. Idirisa anamuonea wivu diamond.
@husseinmasangya1272
@husseinmasangya1272 2 жыл бұрын
Babu iddy 😂😂😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Cheza na Sangara tope 🤣🤣🤣
@sasamama7934
@sasamama7934 2 жыл бұрын
Juma akiwa kwa zari anamsifu mahaba zijui nn akija kwa zuchu mtoto sijuni nn mahaba motomto
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 2 жыл бұрын
Ha haa haaa!! Ninyi mnamchokoza boss...
@bahatisaid5435
@bahatisaid5435 2 жыл бұрын
Juma wewe 😄 🤣
@abchataamirdine5135
@abchataamirdine5135 2 жыл бұрын
Hhhhhh jamani dida unachekesha
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 жыл бұрын
Umbea tu umewashika wacheni wenzenu wapendane
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 2 жыл бұрын
Dida unanitisha😆😆😆😆
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣shetan kataja jina dah jmn juma umenichekeeshaaaaa
@abdalaahmzamilo3562
@abdalaahmzamilo3562 2 жыл бұрын
Awadhi
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Hofu na wasiwasi zimewatanda jmn umbea nyooookoooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salumsalim7564
@salumsalim7564 2 жыл бұрын
Mondi amgande tu uyo mpemba maan bla zuchu hakuna mondi apo 😂 kiufupi zuchu ndio anaemuweka boss wenu mjniiii
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Ndio unavyo jidanganya?
@Aminamohamad255
@Aminamohamad255 2 жыл бұрын
Lakini Muslim Muslim Muslim 🩲👈💃
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 2 жыл бұрын
Hahahaha dada momo
@zakiaomar5217
@zakiaomar5217 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nende kazini mie Mana hawa watu lo sina mbavu
@SAMALI-wk2xp
@SAMALI-wk2xp 2 жыл бұрын
Duuu adi bosi mnamsema nyie kweli wambea
@sayeedfellah4706
@sayeedfellah4706 2 жыл бұрын
Watafutwa kazi hawa🤣🤣🤣🤣
@muharrijdjemedari9693
@muharrijdjemedari9693 2 жыл бұрын
Ila juma😂😂😂
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 жыл бұрын
Aliekataa dili la pombe leo anajiachia ovyo pombe haram uzinifu halali zuchu usituvuruge😆😆😆😆😆
@hiki242
@hiki242 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh atari dah😂😂😂😂unachekesha nyiee
@isakamuhechela6626
@isakamuhechela6626 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@mutilemusyoki8908
@mutilemusyoki8908 Жыл бұрын
Hahahaha
@johnnytravo
@johnnytravo 2 жыл бұрын
Kina mama wanastahili pongezi kubwa sana kzfaq.info/get/bejne/n7-anM2Xu5O9gqs.html
@mozaummy327
@mozaummy327 Жыл бұрын
Juma 🤣🤣🤣
@drsalma837
@drsalma837 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/o75jpraD06jPc58.html DAWA YA NGUVU ZA KIUME,.,*# kzfaq.info/get/bejne/o75jpraD06jPc58.html
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 жыл бұрын
😅
@malaikamgotto8414
@malaikamgotto8414 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@isaackofficial9620
@isaackofficial9620 2 жыл бұрын
Hawamatch bnh nyi hamuoni watu hawana shughuli na hiyo couple hawana chemistry
@stoomrajabu7278
@stoomrajabu7278 2 жыл бұрын
Wivu wamependwza sanaaa
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
Sema wewe ndiyo hauna shughuli, usisemee nafsi za watu wengine.
@lee81721
@lee81721 2 жыл бұрын
Kweli, Chemistry ni sufuri
@maryamrashid8499
@maryamrashid8499 2 жыл бұрын
hatuna misambwata lakini watamu na kitandani usipime
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 жыл бұрын
Hawana chemistry ila physics wanayo😆😆😆
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣idrisa kitaa
@definitelykoechy8726
@definitelykoechy8726 2 жыл бұрын
Hhaha Hhaha
@fatunshimirimana9784
@fatunshimirimana9784 2 жыл бұрын
Dida wewe huwa nafurahi ichi kipindi mbavu sina
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 2 жыл бұрын
Idrisa🤣😂
@fatimammowa8312
@fatimammowa8312 2 жыл бұрын
😂😂😂
@muzikiprofile
@muzikiprofile 2 жыл бұрын
💥💥💥💥 uliskia na hii 👇 kzfaq.info/get/bejne/jOCKebakmdfVmWg.html
@dinaalondamachozi7529
@dinaalondamachozi7529 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@eshymohammed8837
@eshymohammed8837 2 жыл бұрын
hahahahaha
@mozaummy327
@mozaummy327 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@omanmct135
@omanmct135 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Ndiyooo
@Ndiyooo 2 жыл бұрын
Hawaendane kabisa diamond na Zuchu kabisa khasara
@ashaashanalinga3635
@ashaashanalinga3635 2 жыл бұрын
Awaendani? Wewe kam nani sasa mpaka useme ivo mwenyewe anayelala naye karizika , basi diamond atakuoa wewe kwasababu wewe ndo unaendana naye😅 Eti awaendani mwanaume mzma😏
@icemaryaura268
@icemaryaura268 2 жыл бұрын
Ila juma🤣🤣🤣
@drsalma837
@drsalma837 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/o75jpraD06jPc58.html DAWA YA NGUVU ZA KIUME,.,*# kzfaq.info/get/bejne/o75jpraD06jPc58.html
@michaeljpm5597
@michaeljpm5597 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
😂🤣
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 2 жыл бұрын
Najikuta nacheka kwa hivo mlivoitikia sema😂😂😂
@maydayussuf7950
@maydayussuf7950 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣ktk vipindi vya wasafi nakupenda hiki kipindi hasa dida na juma
ZARI THE BOSS AMCHAMBA ZUCHU KUACHANA NA DIAMOND PLATINUMZ
17:38
SIMULIZI ZONE
Рет қаралды 9 М.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 15 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 27 МЛН
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 01)
30:40
kicheche
Рет қаралды 1,2 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 15 МЛН