Mahakama ya Kenya yakataza polisi kutumia ya mabomu ya machozi | DW Kiswahili

  Рет қаралды 423

DW Kiswahili

DW Kiswahili

11 күн бұрын

Kufuatia maandamano yaliyoshuhudiwa nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu kadhaa, sasa mahakama nchini humo imeliamuru jeshi la polisi kutotumia mabomu ya kutoa machozi, risasi za moto na kutotumia nguvu kupita kiasi wakati wanapokabiliana na waandamanaji. Amri hiyo inawaweka pagumu polisi katika utekelezaji wa majukumu yake. Kuutathmini uamuzi huu wa mahakama DW imezungumza na Atulala Mukhwana ambaye ni wakili na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Nairobi na kwanza anatoa maoni yake kuhusiana na amri hii. #rejectfinancebill2024

Пікірлер: 1
@ubahamisi431
@ubahamisi431 8 күн бұрын
Polisi wakae tu kwa bara bara walinde mali za watu kama maduka na kadhalika na sio kupiga watu risasi
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 13 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Water cannon, arrests in Nairobi as Kenyans protest tax hikes | AFP
1:18
Polisi wadaiwa kuwatesa watu watatu waliokamatwa Lamu
12:55
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 91 М.
Je, waandamanaji Kenya walivuta bomu ya machozi? #nyeri
1:00
TRT Afrika Swahili
Рет қаралды 1 М.
Hali ya utulivu yashuhudiwa Mombasa licha ya wakaazi kuhofia  maandamano
5:28
Waandamanaji Kenya ´wamkalia kooni´ Rais Ruto
2:06
DW Kiswahili
Рет қаралды 2,5 М.
Msigwa azungumza kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na CCM
9:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,2 М.