Unaujua umuhimu wa mazoezi ya Yoga?
3:34
9 сағат бұрын
Пікірлер
@KA-ps1ne
@KA-ps1ne 42 минут бұрын
DW mnachekewa sana kuzitoa khabari zeno mtandaoni, zinatukatisha tamaah.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Сағат бұрын
Dw tuko pamoja sana
@DanjeseGaaray
@DanjeseGaaray 8 сағат бұрын
Mnanini lakini mashariki ya lati
@amirisaid6341
@amirisaid6341 12 сағат бұрын
Maswali magumi majibu mepesi 😢
@user-is6ms3sv2d
@user-is6ms3sv2d 14 сағат бұрын
Kwa kweli DW Ni Mambo yote
@AzizaSleman-s7g
@AzizaSleman-s7g Күн бұрын
Ni lazma mama mwenye kisukari cha mimba kutumia dozi au atumie tu baadhi ya vyakula ili kupunguza kisukari icho?
@jafariHabibu-jc9zf
@jafariHabibu-jc9zf Күн бұрын
Poleni ndugu zàngu wa hezibola
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Күн бұрын
Wamesharusha rockets 100 huko Israeli.. Hawa hawawezi kutangaza labda Aljeeza tu
@SalumSalim-ss5me
@SalumSalim-ss5me Күн бұрын
PAMOJA XN DW NAWAPATA MUBAASHARA AU LIVE BILA CHENGA NIKIWA NDUMISTAN,PEMBA NDUMISTAN ¹1¹😮😮😮😮😮😮😮😮
@user-cn1ft8sx2q
@user-cn1ft8sx2q Күн бұрын
Viva Israel
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 Күн бұрын
Polisi wapumbavu,wanafanya kazi za kipumbavu.
@Kukuainayakuchinabeizake
@Kukuainayakuchinabeizake Күн бұрын
Politics is a day to day activity. mitindoyanywele.blogspot.com.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Күн бұрын
Nina wapata vyema
@enatharweyemamu3688
@enatharweyemamu3688 Күн бұрын
Asante kwa elimu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
Hilo jeshi la congo liko hovyo sana,yaani liko lege lege,hovyo sana.Waende tu urusi wakachukue mamluki wa wagner.
@user-mh9hj3lx7q
@user-mh9hj3lx7q 2 күн бұрын
Hamas ndo wakulaumiwa
@EzekielTipaa
@EzekielTipaa 2 күн бұрын
OMBI LETU WAFUGAJI WA KIJIJI KWEDIGOLE KATA KWEDIBOMA WILAYA KILINDI MKOA TANGA SISI WAFUGAJI WA KWEDIGOLE WANAOMBA DW SWAHILI ATUSAAIDIYE KURUSHA HEWANI MALALAMIKO YETU KUHUDHU UFAMISI WA ENEO LA MALISHO KWEDIGOLE AMBAO NIKITENGO HALALI LAKINI WAKI.A WAKUTOKA MUKOA M BALIMBALI KUFAMIA MALISHO KINYUME NA UTARATIBU
@phestostanley4019
@phestostanley4019 2 күн бұрын
Hamas ndo wamewasababishia hawakuwa na ngao nyingine isipokuwa kukaa kwa wananchi
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Ahsante kwa kuchagua DW Kiswahili, kwa kutuamini kutupasha habari za ulimwengu na tunakushukuru kwa kutoa maoni yako.
@hamadsaid2232
@hamadsaid2232 2 күн бұрын
Poleni sana Wana Gaza Kwa yote magumu na mazito yanayowafokieni. Hakika Allah yupo pamoja na wenye kusubiri.
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Tunakushukuru kwa kutizama vidio zetu na kwa kuchangia kwa kutoa maoni
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 күн бұрын
Israel hatoboi ishaalah
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
La muhimu ni upatikanaji wa amani na usalama wa kudumu
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 2 күн бұрын
Rutoo muongo kama mwendazake kwetu hapa.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 күн бұрын
Yule.mwenndake,ali kua haambiliki mze baba, bunge likawa la makofi mpaka leo,ubabe,
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 2 күн бұрын
Watangazaji muwe wa kweli.ruto.hana uwezo wa kutupilia mbali huo msaada,kwa mujibu wa katiba ya Kenya.
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Bila shaka hana uwezo huo lakini kwa alisema ameurudisha bunge ambalo ndilo lina uwezo wa kuufanyia marekebisho
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 2 күн бұрын
Wewe waziri,badala ya kuongea na purtin.unaongea na zelensiki aliyevammiwa,amwambie nini sasa,au na wewe ni mtekaji tu
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Njia ni nyingi za kutafuta suluhisho
@user-ct9fb5or2n
@user-ct9fb5or2n 2 күн бұрын
WAKENYA wamechanganyikiwa baada ya kumtoa RUTO nani kaandaliwa kuwa RAIS
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Rais William ruto ndiye rais wa Kenya hadi sasa, wala hakuna suala la nani kaandaliwa kwa sasa
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 күн бұрын
Good wana kenya na poleni sana wana halakati waliokua wameuawa Mungu atatenda sawasawa na haki tz na sisi tuamke kamahivi.
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Ahsante kwa kuwa nasi kwenye chaneli yetu ya KZfaq. Tunathamini maoni yako pia.
@NeemaKarisa-oq6yp
@NeemaKarisa-oq6yp 3 күн бұрын
I'm your voting President trump win President trump strong ⭐💪💯💯
@NeemaKarisa-oq6yp
@NeemaKarisa-oq6yp 3 күн бұрын
I'm your support jay z ⭐💯💪💪💯💪⭐
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Zidi kuwa nasi 💌
@NeemaKarisa-oq6yp
@NeemaKarisa-oq6yp 3 күн бұрын
President ruto must go jay z❤❤❤💪💯⭐
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Tunakushukuru kwa maoni yako
@sarhayeabdisarhaye6548
@sarhayeabdisarhaye6548 3 күн бұрын
Dw ❤
@MuseeTabithaTabithaMusee-er4qr
@MuseeTabithaTabithaMusee-er4qr 3 күн бұрын
Sasa maandamano hiko safi 👍
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Ahsante kwa maoni yako japo hatujakuelewa vyema kabisa
@SabraNassor-hv1xi
@SabraNassor-hv1xi 3 күн бұрын
Tanzania haina upinzani mkweli
@RosefridaJuma-gs2ou
@RosefridaJuma-gs2ou 3 күн бұрын
Habr doctor naweza kuku pataje
@prospermiraji8473
@prospermiraji8473 3 күн бұрын
Sudi Mnete wewe ni mwandishi msomi. Mchumia tumbo kashindwa kujibu maswali yako. Tumtakie la heri huko aendAko
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Ahsante kwa maoni yako. Mbona wadhani ni suala la kujali tumbo kuliko kitu tofauti mfano taifa?
@BruceJames-mm7nx
@BruceJames-mm7nx 3 күн бұрын
Tumbo
@DanjeseGaaray
@DanjeseGaaray 3 күн бұрын
Dw
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 3 күн бұрын
Sijali wala sibali.
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Basi wewe si shabiki wa soka, maana kwa mashabiki sugu, tambo zao ni sehemu ya kunogesha ushabiki wao😄
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 3 күн бұрын
Hao ndo wanasiasa na njaa zao
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Ahsante kwa kuichagua DW na kwa kutoa maoni yako. Je unaamini kweli kwamba hatua yake imechochewa na njaa?
@mohammed-_-home-_-boy0018
@mohammed-_-home-_-boy0018 3 күн бұрын
😢😢😢
@SalumSalim-ss5me
@SalumSalim-ss5me 4 күн бұрын
PAMOJA XN DW NAWAPATA MUBAASHARA AU LIVE BILA CHENGA NIKIWA NDUMISTAN,PEMBA NDUMISTAN ¹1¹
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 күн бұрын
I blame ruto killed civil
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
Tutumai suluhisho la mgogoro huo litapatikana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 күн бұрын
Israel hatoboi ishaalah
@Kiswahili
@Kiswahili 2 күн бұрын
La muhimu ni amani na usalama wa kudumu upatikane
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 4 күн бұрын
Ruto,kwenye hili huwezi kukwepa.mkono wako unahusika,
@Mumewangu
@Mumewangu 4 күн бұрын
Israil wakipigana na Hizbullah watapata maafa
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 4 күн бұрын
Hilo ni kwel ndugu Hizbullah sio Hamas na wan jiweza kisilaha na pia wansema Hizbullah Vita yake dhidi ya Isreal haitachagua Nana wa kupiga hivo Isreal wajipange kuwaingiza Raiya wake kwenye maafa
@Mumewangu
@Mumewangu 4 күн бұрын
@@JohnCage-we6tp na watakufa raiya wengi
@IsayaKenedy
@IsayaKenedy 5 күн бұрын
❤❤❤
@user-bl3rq8fj9u
@user-bl3rq8fj9u 5 күн бұрын
Mungu nisaidie niko katika hali ya mwanzo hapa leo 28 -09-2024 hapa nishapiga nusu lita na naona freshii ila kuna muda vinatibuka maumivu nimakali sana kesho mapema naingia hospital ila jamaa atafanya haya maziwa nimwage
@user-pi4gi9ck9l
@user-pi4gi9ck9l 5 күн бұрын
Maoni mazuri Sana lakini uswuzi wametangulia