Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 64
@joycemuhoja47299 ай бұрын
Mamaa na Asha Baraka Iron Lady Malkia wa Nguvu Mungu Akupe Maisha Marefu Sauti Nzuri Sanaa
@edwintouches9 ай бұрын
Your cameraman should learn about the use of ND filters. Your outdoors videos look bad!
@ukhutfatumah11549 ай бұрын
Mama yangu kipenzi nakupenda toka hata SIJAANZA KUSHIKA SMARTPHONE ❤ HATIMAYE SAIVI NAMILIK SMARTPHONE
@salomewandya72579 ай бұрын
Hongera sana 😂😂😂
@ukhutfatumah11547 ай бұрын
@@salomewandya7257 Asante San kwa kweli kitambo icho
@chidiomari.657 ай бұрын
Mengi ya kujifunza aisee,Mungu ampe Maisha marefu Mama tetu
@kamikazisalma52097 ай бұрын
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@baimarrajahbuayan62377 ай бұрын
Azeek mama asha❤❤❤sana 🎉
@ayshamahariq66659 ай бұрын
Hongera mama😍😍😍🇪🇭🇪🇭
@aziza90938 ай бұрын
Alikuwa Mzur mashallah
@marselinarweyemamu40349 ай бұрын
Mnaishi wa 2? Au wa 3 sasa
@congoboymbeyas24408 ай бұрын
M'bembe m'bondo kutoka congo 🇨🇩 wote na mama mondi sema walizaliwa kigoma
@naimamohamed22168 ай бұрын
Jamani aanze kutubu Kwa mungu Sasa
@lulurubby22358 ай бұрын
Vjti vya bar seating room mweeh alitumzwa nini
@mariamibrahim67389 ай бұрын
Uko vizuri mama
@user-tt6jt8pz5m8 ай бұрын
Superwoman❤Ila nahic anapata tabu akiongea cjui kifua😢mashalaah angela damas jaman mweupeeee cjui kapotelea wapi Sasa nimzee
@user-vv1te9fu8q8 ай бұрын
Ndio sauti yake kama halima mdee
@iskitogo8 ай бұрын
Wanaishi wawili tu, yeye na mwanae Imani...baba mwenye nyumba je? Waandishi mbona hamjauliza hilo swali?
@salomewandya72579 ай бұрын
Hongera sana mama wa nguvu ❤❤nimejifunza vitu vingi sn kwako😘😘🙏
@Kabeya4107 ай бұрын
Dada wa mjini kitambo Bima mjanja wa mjini ana kaka zake uingereza 😅
@salomewandya72579 ай бұрын
Kweli maisha ni kupambana
@RachelJames-zo2ng9 ай бұрын
hii nyumba nakumbuka marehem kanumba aliwahi kuigizia,,
@ElenaJackison9 ай бұрын
Katika mov gani
@SafiyaJ-yw2vt8 ай бұрын
Movi gani kaigiza
@jahsjjsj5837 ай бұрын
Mashaallah , micikici 😂😂😂
@jareengeorge54789 ай бұрын
Boss wangu.Almento's fast food.kinondoni.I miss you.na mitusi yako.
@JennyJma7 ай бұрын
Kumbe anamitusi 🤣
@user-op7zl7fo1r9 ай бұрын
Aseeh huyu mazaa katisha pazur kwel nyumban kwake
@ntimifrancis90047 ай бұрын
Siku nyingine mtangazaji vaa suruali
@saidipara41342 ай бұрын
Huyu mama nakuelewa na namkubali sana.anauvumilivu sana.kuna kipindi twanga iliyumba kichiz.lakini nakumbuka alija akasema tutaenda nayo hivyo hivyo.
@ukhutfatumah11549 ай бұрын
Nakupa maua yako mama yangu bi asha baraka
@user-pt4ft7ow1s9 ай бұрын
❤❤❤❤ you 👩 mom
@hassanbakari45259 ай бұрын
NINGESHANGAA,,KAMA ANGEKUWA HANA NYUMBA.
@fatmachikambo87809 ай бұрын
Kama uliona movie ya Kanumba na Jennifer na Patrick inaitwa This is It ile nyumba waloektia ni ya Asha Baraka
@hassansalum25728 ай бұрын
Kikushangaze Nini na kawaida tuu
@muzneali47479 ай бұрын
JAMANI HAYO MASWALI YENU SIO MAZURI MENGINE YANAHATARISHA MAISHA YA WATU WANAOISHI KATIKA HIZO NYUMBA
@abou.salimu17956 ай бұрын
wanaishi 2 yeye na mwanae imani, huyo dada wa kaz hajahesabiwa
@user-gg2yf3zl3l8 ай бұрын
HUYU NDO IRON LADY WA TZ ANA PESA ANA MIRADI SIO MUUZA PAPA
@faudhiasalum72799 ай бұрын
Ma
@annayambayamba86149 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@marymanoni55369 ай бұрын
Ongera mazingira mazuri
@ayshamahariq66659 ай бұрын
maa shaa Allah😍
@Kabeya4107 ай бұрын
Mtangazaji huna Adabu kwanza unaenda kazini kumuhoji mtu umevaa kipensi upuuzi mtupu vaa kiheshima ukitaka kuvaa kipensi nenda beach au upo uwani kwenu yaani hovyo kabisa kenge maji
@stamillusatila90847 ай бұрын
Wanaishi 2 na mdada wa kazi je? Sio watatu kweli?
@twiseghekisilu88459 ай бұрын
Kwahiyo Asha Baraka na Zamaradi Mketema Ni ndugu.???
@adijaniyonkuru97319 ай бұрын
Apana Zamaradi ni mnyarwanda. Asha na mama Dangote njo ndugu . Wabembe wakutoka Kigoma
@@adijaniyonkuru9731mtanzania unyarwanda ndo nini wanyarwanda wako Kigali huko mbona wangoni hamuwaiti wasauz africa
@anjelinakasembe8459 ай бұрын
Nakukubali Asha baraka nakatangu Uko Bila mwangaikaji wewe
@subirajohn7289 ай бұрын
❤️❤️❤️
@estasiashiringa10388 ай бұрын
Friday🎬
@zaidasalumualute64379 ай бұрын
Yaduniani umefuzu,sijui akhera ,siri minalah
@user-np1bf6me4u8 ай бұрын
Maranyingi mwenye kufuzu ya Dunia huwa anaharibu ya akhera Kwanza
@user-wv7ft8tm3z6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@kagirasta14769 ай бұрын
Huyu mama kashika hela kitambo sana
@m.mmarckus62989 ай бұрын
Naanaakili sikm wengine
@salomewandya72579 ай бұрын
Saaana na bado anapambana 👌👌😍
@SalamaNauthar9 ай бұрын
Salehe naomba mtembelee na Denzel trainer
@glorianikiza39409 ай бұрын
Saleh we mbea duuh 😂😂😂
@fredrickmaziku19529 ай бұрын
mama mpe ukuu wa wilaya pls
@bainolatino34129 ай бұрын
Kwann asikupe wewe
@israelkisaila84019 ай бұрын
Elimu yake ipoje? Ukuu wa wilaya walau uwe na bachelor ya kitu fulani
@johnmichaellukindo218 ай бұрын
@@israelkisaila8401ukuu wa wilaya haiitaji elimu!
@saudaaddey74028 ай бұрын
Maswali ya huyu mtangazaji sijayapenda hivi unauliza ajee kama nyumbani kwako una ishi na nani, mnakaa wangapi, umehamia lin, umejenga lini. Inakuwa kama sensa au TASAF kama vile unataka kuleta msaada wa kaya au kusaidia kuweka dirisha chandarua au kuchumbia Maswali ya namna hiyo tuna takiwa tuwe makini kuyajibu maana unaweza kuletewa uharifu bila wewe mwenyewe kujua.