No video

MAISHA YA S2KIZZY NJE YA STUDIO, MJENGO MKALI, HAPA NDIPO ANAPOLALA, AFUNGUKA TUHUMA ZA KUTAPELIWA

  Рет қаралды 156,344

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 215
@TariqAziz-sc1lb
@TariqAziz-sc1lb Жыл бұрын
inspiration mahn, allah. bless this guy hez a real one
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Jamaa Yuko talented
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Kwa Sasa kama Kuna producer Bora kuliko s2kissy atoke mbele mwambq ni nomaaaa hit song
@shabanisaleeh4541
@shabanisaleeh4541 Жыл бұрын
Yupo ndugu mfatilie anae mrekodia jux
@kelvinmboya5846
@kelvinmboya5846 Жыл бұрын
Big up s2kezzy mtu aman sana hana mikogo
@iddyamosi153
@iddyamosi153 Жыл бұрын
Zombie anajibu kwa akiri mingi asante anakwepa unafiki adi raha
@directorsong
@directorsong Жыл бұрын
Kama unamkubali S2kizzy Gonga Like tuishiii
@williamsafari9224
@williamsafari9224 Жыл бұрын
Akidunga kipuli 2 pac ni sawa lkn akidunga mtu wa nyumbani anajidhalilisha..watu bwana
@selebiakapologwe2423
@selebiakapologwe2423 Жыл бұрын
When god say yes no body say no keep it up kijana wa stamico
@itNeza
@itNeza Жыл бұрын
Unyama S2KZY 💯❤️
@bakarimatangula7607
@bakarimatangula7607 Жыл бұрын
Vido Vidox ayo tv Entertainment number One. Umeni Inspire kusoma Mass communication and Journalism and Journalism. Big up Vido Vidox
@vidovidox2632
@vidovidox2632 Жыл бұрын
Shukrani sana Kamanda endelea kukoma mzeee baba 👊🏾
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Жыл бұрын
Safi sana
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b Жыл бұрын
Iyo ndio shida ya umaarufu, ukipata pesa kidogo unafanya vitu vimetoka nje ya maadili kipini puani unatoboa sikio bdo ulimi uitwe shoga
@ceciliaombela7159
@ceciliaombela7159 Жыл бұрын
Umeonaeeee.
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
SEMA wewe ni mtumwa wa fikra hebu fatilia asili ya mwafrica ni ipi
@hafidhali815
@hafidhali815 Жыл бұрын
@@kurumwagodfrey7052 wew lazima utakuwa CHOKO
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
Mshkaji ni creative sana🥇
@joeyvanrhoussim8738
@joeyvanrhoussim8738 9 ай бұрын
from DRC nakubali sanaa huy bro
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Жыл бұрын
bora nikae chumba kimoja lakini iwe yangu
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 Жыл бұрын
S2kzy jitahidi ujenge mjengo wako kaka.
@wajinatv3033
@wajinatv3033 Жыл бұрын
🙆
@mbelecimukandama6688
@mbelecimukandama6688 Жыл бұрын
Wa Bongo munapenda sifa sana uyo anamaisha gani ss akingali dj mdogo ajawanachohote uyo Hana swag
@hidayajr9517
@hidayajr9517 Жыл бұрын
DJ??
@profortymwamba2081
@profortymwamba2081 Жыл бұрын
sifa kibaooooo.....
@maryammuhammad2553
@maryammuhammad2553 Жыл бұрын
Hira mm sijapenda kusuka nywere kutoboa kipini ww mtoto wakislam mungu hamesha kuweka ktk kundi la mashetani hiii dunia tunapita fanya mambo yanayo mpendeza mungu sio binadamu 😭😭😭🤲🙏
@missmoona4497
@missmoona4497 Жыл бұрын
Mihata kuendelea kumtizama nimeona 🙌nitoke
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Muislam kumbe
@geraldmnaku6951
@geraldmnaku6951 Жыл бұрын
Usiwapangie watu kuishi, wewe ishi kivyako
@geraldmnaku6951
@geraldmnaku6951 Жыл бұрын
Usiwapangie watu kuishi, wewe ishi kivyako
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
@MAHOKA GAMER hahahaha ila waislam ninyi mna vituko kweli, mtu mzima na akili timamu aamue kuishi maisha yake yanayomvutia lawama wapewe mayahudi na manasara? Akili zenu sio timamu
@jpkkakudji9402
@jpkkakudji9402 Жыл бұрын
Sio kweli iyo kwanini aja piti na @harmonize
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Amapiano ya Rotimi Bwana! Amejua kuitengeneza hadi haipo kama za wa kwetu wanapoiga mpaka utajua ameiga.
@amourworldbeats
@amourworldbeats Жыл бұрын
Nimewahi Kutana Na s2kizzy Pluto Studio Mara Kadhaa,Ni Hard Worker,Hana Majivuno,Anapenda Kuona Vijana Wanapambania Ndoto Zao.Kanisaidia Kuimprove Kwenye Production Yangu Kiujumla
@elishajuma2615
@elishajuma2615 Жыл бұрын
Aya
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
Mpe mkundu akufire basi
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 Жыл бұрын
I love it
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Kwann watu mnashindwa kuelewa kuwa nchi hii ni ya democrasia na haina dini hivyo kila mtu anao uhuru wa kufanya atakalo ila tu asivunje katiba ya nchi. Haya naomba kuwauliza nyote mnaosema S2KIZY kakosea kuweka huo muonekano wake...mmewahi kujua kila baya linalofanywa kwa siri na kila mtanzania? maake kama ni mambo yasiyotakiwa kufanywa na mwanaume ni chungumzima ie kupiga mke, kubaka, kulawiti, kufirana n.k sasa kwakuwa hayo hayaonekani kweupe mnajifanya kuona haya machache yasiyo na kosa lolote dhambi ni dhambi hakuna ndogo wala kubwa zote zinahukumu sawa according to bible. Sasa usimuhukumu mtu kwa kufuata tamaduni nyingine isiyo yako sio lazima awe kama mume wako alivyo ndio maana halisi ya kutofautiana jaman in short jifunzeni kuwa waelewa juu ya mabadiliko ya utandawazi pia. Msifosi tuishi karne ya 18 wakat tupo karne 21. Angalieni katiba muone kama amekosea kama hajakosea mwacheni nyie sio Miungu wengine humu wachawi,mnafirana kila siku, wivu husda zimewajaa,roho mbaya tu, wazinzi, malaya wazuri tu lakini kuongea ya wenzenu sasa moto acheni ushamba wenu bhna alaa nyir vipi basi hameni tanzania katengenezeni sayari yenu makaishi hayo maisha mnayoyataka tuacheni sisi na kina S2KIZY tuendelee kutoa mahit roho ziwaume mfe tuwazike mtupunguzie joto
@dianaonesmo6951
@dianaonesmo6951 Жыл бұрын
Kunywaa sodaa nalipaaa
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
@@dianaonesmo6951 nishaagiza diana bill kwako mrembo
@deadliestjourney5962
@deadliestjourney5962 Жыл бұрын
wadau video mpya tayar nishaa pandishaa yotube support yenu wadau
@muznarashid6301
@muznarashid6301 Жыл бұрын
S2kido sijui S2kizz... nakupenda Ila sipendi hivo unavojisukisha ugentle unapotea
@rehemayusuph8718
@rehemayusuph8718 Жыл бұрын
🤣🤣🤣S2kido.....
@omarjuma4244
@omarjuma4244 Жыл бұрын
Mnaaribu vizazi kwanini tusiweke sharia awa watu wanajifanya kama wanawake tunakoerekea mungu atunusuru
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Subhannallah, mtoto wa kiislam ni sheeeeeedah!
@testarguy8609
@testarguy8609 Жыл бұрын
Ngoma ulizohusika ni kali,tisha sana chalii
@HighzackMichael
@HighzackMichael Жыл бұрын
✓ duniani tupo mara moja tukitafuta maisha tujue na kumtafuta Mungu sana,maana tunapita na wengine walipita pia
@sirielypetrombise519
@sirielypetrombise519 Жыл бұрын
Amen
@nasrayahya2885
@nasrayahya2885 Жыл бұрын
Mashallah azid8 kukaza kamba
@markokulanga5503
@markokulanga5503 Жыл бұрын
Anamaisha ya kihuni anafanya interview amevaa singland anaonyesha kwapa🤣🤣🤣
@Mimy_keys
@Mimy_keys Жыл бұрын
Khaaa Kumbe Nyumba ya Kupanga 🙄😯 Sasa Anatamba Nini 😂😂😂
@wajinatv3033
@wajinatv3033 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Ndio nashangaa
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Wavaa hereni, vikuku, watoboa pua, what a disgrace.
@stanleymartin2943
@stanleymartin2943 Жыл бұрын
mzee unatudanganya kweli vyumba nane unakaa mwenyewe hahaha
@opportunities2767
@opportunities2767 Жыл бұрын
Tafta hela
@memesandmovi3s407
@memesandmovi3s407 Жыл бұрын
@@opportunities2767 mwambie kwel han hela
@saidymatejoe2212
@saidymatejoe2212 Жыл бұрын
nilizan nyumb yako. Kumbee umepang daaah.
@milazoomilazoo4494
@milazoomilazoo4494 Жыл бұрын
S2kizzy nakubali Sana jembe intonshino unauwa
@dreammedia2555
@dreammedia2555 Жыл бұрын
Tatizo anaiga sanaaa
@pistelmagnifico8344
@pistelmagnifico8344 3 ай бұрын
Wewe usiyeiga una shingapi kwenye account yako??
@saidymatejoe2212
@saidymatejoe2212 Жыл бұрын
Lakin utajeng kaka. Zombii jah bless
@woodnation4795
@woodnation4795 Жыл бұрын
Gonga like kwa O.M.G
@stonefiremrbumbada
@stonefiremrbumbada Жыл бұрын
Nakubar sna
@anthonysindabaha7517
@anthonysindabaha7517 Жыл бұрын
Anamuiga sana wizkid
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Vido waandishi mnajielewa sana cheki wenzenu mambo yote ya kike wameiga kusuka kutoboa pua
@sekahmusic
@sekahmusic Жыл бұрын
Uyu kiumbe ni hatari 🔥 🔥 🔥
@drsumatz7539
@drsumatz7539 Жыл бұрын
Gonga like apa kama unaelewa mapambano ya mwamba
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
I see! now I understand kwa nini hana tattoo ya Harmonize! Poor mindset ni ugonjwa wa wengi.
@alb7727
@alb7727 Жыл бұрын
Kwanini hawa watu hawajengi kwakweli? Hawa watu wana hela so kwanini hawafanyi mambo ya maana?😣
@modycombo7421
@modycombo7421 Жыл бұрын
Masharti
@MtuSafi
@MtuSafi Жыл бұрын
Hawana hela hzo unazowaza wewe...Halafu shida yao wanatafuta nyumba za ndoto zao na kuzifikia ndo ngumu ndo wanaishia kupanga.
@yusuphsanga7194
@yusuphsanga7194 Жыл бұрын
HAWA HUWA WANAPESA LKN NI ZILE ZINAZOWATOSHA KULA KUVAA NA KULIPA KODI LKN BAJET YA KUJENGA HUWA NI KUBWA KULIKO KIPATO CHAO UNAWEZA KUTA KWENYE WASANII 100 WALIO JENGA NI WA 5 MAISHA YA SANAAA NA UONGO MWINGI
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 Жыл бұрын
Boss Me na wewe tunaweza kujenga tuvyumba tuwili na sebule tukaishi. Msanii hawezi kufanya hivyo maana kila kitu kwake ni biashara. Akihitaji nyumba basi iwe ya hadhi yake inayoweza kulinda Brand yake. Hii nyumba ni Ghali sana kiasi hawezi kuaford. Kumbuka ukubwa wa Ustaa kwa bongo sio ndio wingi wa pesa. So ndio Wanapanga kama hivyo. Naamini wengine wana nyumba ila za kawaida so hawakai....wanapangisha labda n.k
@MtuSafi
@MtuSafi Жыл бұрын
@@agreymbwilo5874 Mzee hata hvyo vya kupangisha wengine hawana kabisa...Hvi nani alikuwa anaamini kuwa Kanumba hakujenga?..Aliacha kiwanja chenye maua tu. Sasa hata hawa waliobaki ndo walewale wanabaki oooh nina nyumba 100 jamn uwongo mwingine wa kijinga sana hvi unaanza nyumba ya kwanza hadi ya 100 bado nyumba yako pendwa haipo si uwongo wa kitoto kabisa?..Sasa wakifa wanaacha wazazi wao hata pakukaa mtihani wacha wapange nyumba zenye hadhi zao.
@neemamboya99
@neemamboya99 Жыл бұрын
Mbona mimi nimelala kwenye kochi hapa na sipiganii kitu🥲
@InspirationalChickens-cf7uu
@InspirationalChickens-cf7uu Ай бұрын
😅😅
@abdalahmwinsheh587
@abdalahmwinsheh587 Жыл бұрын
Ndume alafu unatoboa pua inallilah wahinallilah msiba mzito sana huo..
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mtihani kabisa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@khadidjasuleiman8006 yaani 😣😣😣
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Жыл бұрын
Marehemu 2pac alitoboa pua na ni gangsta duniai😂😎
@abdalahmwinsheh587
@abdalahmwinsheh587 Жыл бұрын
@@Oldskulgemini9991 kweli lakini 2pac na maadili ya nnchi yao inamfanya afanye hivyo na vingine vyingi.. Huku kwetu sio rasmi ila ndio wimbi linawapitia sasa.. kwa muislam yeyote huo ni msiba..
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Acha udini ww mzungu hana shida akifanya mbongo tyr mdomo mrefu hizo ni tamaduni hazihusiani na unachowaza wewe na imani yako jifinze kutenganisha imani na life style alafu kila mtu ana maanuzi yake unaweza ona kutoboa pua dhambi sana vipi ww unayetamn mke wa mtu ila unajificha watu hawakuoni? Vipi mwizi? Vipi mwongo? Vip yule mchawi si dhan kam kweny haya yote wewe haupo watch out your mouth
@harmonymattondo4042
@harmonymattondo4042 Жыл бұрын
GoodBoi
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 Жыл бұрын
Makinii
@joerush3886
@joerush3886 Жыл бұрын
I wanna be in ur label man🔥🔥🔥
@prodzack3279
@prodzack3279 Жыл бұрын
Nataman nifate nyayo za S2KIZZY asee yuko poa sana yan
@WakuchoraTz
@WakuchoraTz Жыл бұрын
Jina na mnekano tofauti kabisa,
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Жыл бұрын
#kweri kabis
@rayannasibu8621
@rayannasibu8621 Жыл бұрын
jenga broo
@stevewanga957
@stevewanga957 Жыл бұрын
hii ya kutoboa pua mm sijapenda
@adelacosmas
@adelacosmas Жыл бұрын
Sasa uanze kumix mwenyewe, jifunze zaidi ukamilike.
@profortymwamba2081
@profortymwamba2081 Жыл бұрын
kweli.....mkali wao ni Keyz Morento.....
@leonarduyazi2513
@leonarduyazi2513 2 ай бұрын
Kweli
@Divinelinna
@Divinelinna Жыл бұрын
❤❤
@Rizikiskitchen
@Rizikiskitchen Жыл бұрын
You're paying a lot of money per month? Why don't you build or buy your own man? That money you're paying every month put all together for a year and you will be able to build or buy your own home, come on Tz who called themselves stars.
@khadijambarouk2983
@khadijambarouk2983 Жыл бұрын
Wanaume wa sasa sijui wanawaza nn wallahy ivi kweli mwanamme wa kweli unasuka, unatoboa masikio na pua kweli bado kuvaa shanga za kiuno tu allah vinusuru vizazi vyetu na huu upuuzi
@admarktanzania6929
@admarktanzania6929 Жыл бұрын
noma saana mjus hapa
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Amiiin
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 Жыл бұрын
Kila mtu aishi maisha yake. WEWE unayetaka watu waishi maisha yako achaupuuzi hunaakili
@khadijambarouk2983
@khadijambarouk2983 Жыл бұрын
@@kakorejrboyz6447 mwenye akili ni ww unashabikia mambo ya kishoga kwedraaaa
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Жыл бұрын
@@khadijambarouk2983 je 2pac alikuwa shoga??
@charlesgeorge8374
@charlesgeorge8374 Жыл бұрын
Yan hela ya kununua magari unayo lakini umepanga na unalipa Kodi ndefu Yani unafeli zombi
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Жыл бұрын
Bangiiii
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 Жыл бұрын
Hope c y kupanga,ni afadhali ulale kw nyumba ndogo uku ukiweke akiba ujenge y kwko, nyumba y kupanga haitawahi kua yko Abadan
@rajaburajabu3346
@rajaburajabu3346 Жыл бұрын
MSHKAJ ANAJIONA MZURI KINYAMAA😂😂
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
👌✌️
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Kawaida sana
@magufulitvkenya6315
@magufulitvkenya6315 Жыл бұрын
Tunamukubali Ate . kipini. Puani. Rasita
@shambafm7422
@shambafm7422 Жыл бұрын
Nilitamani sana nione akielezea ndani sehem moja baada ya nyingine kama studio pale kuona anafanyaje kazi, sehemu ya memory zake ni sehemu ya msingi sana kuona ameanzia wapi badala yake mmepitisha pitisha tu utadhani MB mnatununulia nyie 🤬🤬🤬
@evamakassy9856
@evamakassy9856 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@aleezgene4572
@aleezgene4572 Жыл бұрын
Kwa mziki upi
@noelobed12
@noelobed12 Жыл бұрын
Kizzy
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy Жыл бұрын
Nimeanza pata ushahidi kuwa mziki wa bongo unalipa sasa
@salehsimba5306
@salehsimba5306 Жыл бұрын
Mwaka 2022 Top 10 yangu ya wasanii ni: 10. Dayoo 9. Ibrah 8. Weusi 7. Lunya 6. Zuchu 5. Jay melody 4. Nandy 3. Kiba 2. Diamond 1. Harmonize
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 Жыл бұрын
Safi 👏
@widerbennie-vm2jj
@widerbennie-vm2jj Жыл бұрын
blessing🙏
@wachujahabari3022
@wachujahabari3022 Жыл бұрын
Mbona yupo kama demu😂😂
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Kweny kutoboa pua na heren piah kisukaa na mitatu ndo amenikeraa
@mwisukulu1
@mwisukulu1 Жыл бұрын
Kumbe kapanga 😂😂😂😂
@Dysmedia254
@Dysmedia254 Жыл бұрын
Is he really a muslim ? 🧐 INALLILLAH WAINA ILLAHI RAJIUUN
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Mjengo wake sasa au ndio kapanga
@moneymusics6072
@moneymusics6072 Жыл бұрын
Uko pouw sana kaka
@nasserrr90
@nasserrr90 Жыл бұрын
Anafanana na beki 3 wangu
@magufulitvkenya6315
@magufulitvkenya6315 Жыл бұрын
Siyo. Powa. Unakaa. Kama. Demu
@musason1680
@musason1680 Жыл бұрын
Katoboa pua uyo
@festopaul7549
@festopaul7549 Жыл бұрын
Asa c ujenge uwe na kwako mzee mbona mbanga mnapata mnaishia kulipa kodi na kununua mandinga..
@robinhomesuza8906
@robinhomesuza8906 Жыл бұрын
Uyu ni mwanaume au
@ayubumwaipopo8203
@ayubumwaipopo8203 Жыл бұрын
...country wiz uxhamxahau akt ndo m2 alyekuw ankuamin kabla..
@simpleboytz255
@simpleboytz255 Жыл бұрын
Country wiz ndo country boy si yupo mkononi apo kamchora? Usichanganye
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Bd kuvaa shanga 😁😁
@mwanaidimuhamed6540
@mwanaidimuhamed6540 Жыл бұрын
Wamasai wanavaa shanga inakuwaje wanatoga masikio mpaka yanataka kukatika hayo mayo yamekaaje?
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@mwanaidimuhamed6540 kwhy unataka uhalalishe kwa sbb kuna watu wanafanya??!
@SandreAlhlwah-bv1cx
@SandreAlhlwah-bv1cx Жыл бұрын
❤❤❤
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Oya ! S2kizzy pesa hizo za dollar kwa mwezi,zichunge akajenge!!!
@Mtumakini
@Mtumakini Жыл бұрын
Jamaa smart xn
@hafsasaid9666
@hafsasaid9666 Жыл бұрын
Yan hereni wameona hazitoshi mpk pua sasa Zinatobolewa msiba huu wallah
@allyiddy1764
@allyiddy1764 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿
@Babamaploti
@Babamaploti Жыл бұрын
Tattoo ya aliyemleta kwa Mondi liser
@injili90
@injili90 Жыл бұрын
Du hii kitu hata Kama msanii hapana pua kutobolewa du sema nni pita huku sio ridhiki hapa nni😂
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Nilidhani amejenga mmh!
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
mbona anarembua rembua au hivyo vipini na ereni vimemuaribu😂😂
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb Жыл бұрын
Haters utawasikia yakipanga sio yake 😂
@realrealtor4873
@realrealtor4873 Жыл бұрын
am doin real estate sometimes, wasanii waogope hiyo nyumba mm nshawai kuifanyia udalali ipo bahari beach mwaitenda road na mwenye hyo nyumba anakaa nyumba inayofuata na mm pia sikai mbali na huo mtaa.
@profortymwamba2081
@profortymwamba2081 Жыл бұрын
kwa hiyo amepanga?
@profortymwamba2081
@profortymwamba2081 Жыл бұрын
@@realrealtor4873 kwa hiyo atakuwa amepanga,,,wanatupiga changa tu
@jimmychengs1338
@jimmychengs1338 Жыл бұрын
Amepanga inabidi ajenge hapo atakua analipa Kodi parefu kinoma 🤕🤕 uwezo wa Kujenga anao huyu Dogo tena mkato mkali sana tu!!
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 Жыл бұрын
@@profortymwamba2081 sikiza interview vizuri mpaka mwisho kuna swali kategwa na @vido vidox akaingia mzima mzima akasema kapanga na analipa hela nyingi, ila nyumba yake atakayo jenga itakuwa kubwa sana
@tajirihalisi823
@tajirihalisi823 Жыл бұрын
S2kizzzy1
@lazaromwambene4516
@lazaromwambene4516 Жыл бұрын
😢🎉🎉🎉🎉😊😊😊
@peter4005
@peter4005 Жыл бұрын
Umeharibika unamidhalilisha na muonekano wako,,,kipini na hereni mtoto wa kiume kweli?
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
mbona na ww matako yako yana kipini?
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
​@@lampadshigonko3006 😆😆😆😆daaah bongo🙌
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
@@lampadshigonko3006 acha matusi ndugu tangu sika sema ukweli
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Kajenge kwenu katubuka😃
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
@@kijakazinyalinga7003 sasa kwani mm nimesema uongo? Na unachobisha ni kipi au umekagua matako yake ukakosa kipini?
@djhajiztz
@djhajiztz Жыл бұрын
s2kizzy
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Zombie…🥥
@nardtheson5056
@nardtheson5056 Жыл бұрын
Kama pesa unayo ,yote hayo ya nini kusuka kutoboa pua, masikio, kwani usipo fanya hiyo pesa zinapotea eeeh
@leonarduyazi2513
@leonarduyazi2513 2 ай бұрын
Zombie haujuw
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 7 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 29 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 26 МЛН
S2KIZZY: DIAMOND AKIWA KATIKA STUDIO ZA PLUTO/
3:17
Raji 255
Рет қаралды 28 М.
Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz
25:35
Diamond Platnumz
Рет қаралды 447 М.
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 7 МЛН