Mlinzi wa nyumba ya Samatta afunguka namna alivyopata kazi ya kulinda nyumba hiyo. #Samatta #AstonVilla #TFF
Пікірлер: 72
@khamiswilangali95003 жыл бұрын
Interview imetulia sana big up Dar 24. Pia naomba namba ya huyo jamaa anae tengeneza hayo makuti au Dar 24 naomba mnielekeze hadi nyumbani kwa huyo jamaa wa makuti Filbert Petel
@agabalufulani72473 жыл бұрын
Good job, great of Samatta, keep it up and big up
@sadicklazalo22962 жыл бұрын
Nice Sana player wetu waTanzania
@sakiman88253 жыл бұрын
This is private property has the owner given you permission to enter yes or no?
@tatoorashedi17873 жыл бұрын
Hongera umejitahidi
@mohdshebe56403 жыл бұрын
Duhhh ramani kma nyumba yangu ya tunguuu ( zanzibar)
@johnbernad3990 Жыл бұрын
Tunguu ya uwandani au ya wap?
@victusnesphory18613 жыл бұрын
Hapo hata kama ingekuaje bado angesifiwaa. Tuu maana teyari ana maisha na yuko njeee
@zainabmwengela59873 жыл бұрын
Naingia moja kwa moja kwenye point punguza maneno mengi
@phiniasphinias89634 жыл бұрын
Sasa mbona hujaingia ndani boss,,au umepigwa ban kuingia huko?
@JanethMathayo-ys3km3 ай бұрын
Yuko vizur Sana
@fatumasabuni26954 ай бұрын
❤
@user-sc5iq4nl7c5 ай бұрын
Ulitengea tofauti ya hiyoo jeewewe UNAYOOO ACHA KUROPOKA 11:28
@onesmomassawe62304 жыл бұрын
unaongea sanaaa bhnaaa tuoneshe vtu vya msng kwa,waktiiii
Acha maneno yako wewe watu tunatumia mb zetu kujua vitu sio maneno yako mb zangu umemaliza bure tu
@salamakombo32573 жыл бұрын
Daimond hana km iyoo duuh
@shebbybongo5674 жыл бұрын
Ogirinal, kama umesikia mtangazaji kachapia gonga like
@edgarnestory84666 ай бұрын
Ogirinal😂
@swahilinetwork76313 жыл бұрын
Home Swit Home
@EliyaJesis Жыл бұрын
Be animation football academ ia weather king now
@zaidihussein43112 жыл бұрын
Hongera Sana samata
@kanyemkambwana15892 жыл бұрын
Dauka somba kichwa kibovu nakumbuka vurugu zako za chuo hahahahahaha kijana hatar sana ww
@rajabually86592 жыл бұрын
Jamaa namkubali sana
@ramadhanishabani60174 жыл бұрын
Sawa dogo hamisi makamba
@fintanmkesha10772 жыл бұрын
Hujui hata kuongea
@RehemaChap35 ай бұрын
Jamani acheni wivu mjenge na nyie zenu kama mbaya utakuta hata slop kwenu hakuna
@aceotz25794 жыл бұрын
Kipenzi cha watanzania😙😙😙😍😍😍❤❤❤😙😙😙😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍😙😙😙
@samwellemanja79794 жыл бұрын
Because love to ❤❤😙😙😙
@mawazontabagara86074 жыл бұрын
Some
@elickmkongwa37552 жыл бұрын
Nakubari sana mwamba Wang
@allychindema88754 жыл бұрын
👍
@stevensalvatory5033 жыл бұрын
Mjengo mkali sana
@queenmwasanguti23704 жыл бұрын
Muwekeen barabara kaitangaza nchi kimataifa.
@JumamahindaKhamis-xk1de Жыл бұрын
Hakai mbali na road kuu
@du82843 жыл бұрын
😂😂😂nakuimba kabisa
@allymukhsin29625 ай бұрын
Bongo usenge mwingi sana asa hiki ndo nn kmmke
@mashaurivicent40286 ай бұрын
Labda ni nyumba ya mama yake , ni nyumba ya kawaida mno kwa pesa aliyonayo.
@Munyama6755 ай бұрын
Duh
@stivenmoshi9603 жыл бұрын
Mhhhh
@Edwardmtaya-zc4iq10 ай бұрын
Good
@eliazarinyakiema19692 жыл бұрын
Too much talking
@coldfayahmistari2543 жыл бұрын
Upuzi mtupu,katafuteni basi na kishuzi chake cha rangi gani.
@tatuhussein19423 жыл бұрын
Wasanii was kisukuma
@tatuhussein19423 жыл бұрын
Guide gude
@sahilygwisu31834 жыл бұрын
😂
@sofianibarua87704 жыл бұрын
S
@mablukmawazo72912 жыл бұрын
Haa wapi bia tam
@saidsinani87654 жыл бұрын
Nyumba ni yakawaida sana haiendani na ustaha wake has a 255 chaampion
@willysampa29954 жыл бұрын
Wabongo bhana Ww Unayo?
@drgeofreykupaza77074 жыл бұрын
Aende akamjengee yeye
@darusngassa40813 жыл бұрын
Kamjengee wewe bro
@lutulalihim15853 жыл бұрын
Mjomba unafaamu kujenga wewe acha roho ya korosho.
@nyangetangelesi20353 жыл бұрын
We unayo au niwivu tu
@shaadenshaduni77554 жыл бұрын
Mbea
@simonanthonykayombo69134 жыл бұрын
Punguza maneno mtangazaji
@ernestdismaseryd16774 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jbiepbqmvc6bk3U.html duuuh
@stevensteve75194 жыл бұрын
Ukikosa habari za kuhabarisha umma basi hata umbea unakua habari muhimu za kutangaza. Sasa Kama nyumba yake imekamilika au haijakamilika inahusu??
@dickmalove55443 жыл бұрын
Hahaha
@danieljoseph16102 жыл бұрын
Stegemei kuona mtu maarufu kama huyo anaelipwa pesa nyingi afu ajenge nyuma ya kawaida kama hio! Nyumba ya kawaida sana hio, Nyumba hio haiendani na kipato chake! Yakawaida sana wala sio ya kusfia!
@yudadaniel48672 жыл бұрын
ww naeee unajua ata bei ya mfuko mmoja wa cement kweli? au unaongea ongea tu kama bata anae harisha
@danieljoseph16102 жыл бұрын
We huna akili hata kidogo! Unaongea manini hayo mbele za watu?
@magigesabai86742 жыл бұрын
Acha mambo yako wew unayo? Kla mtu na plan yake ,je unajua ana nyumba ngapi? Fuatilia utagundua nyumba kubwa ni ya bishara ya kuishi u unajenga size yako, wew ulitaka ajenge kubwa kam Hotel?
@Munyama6755 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hiyo nyumba ni ya Kawaida? Una akili timamu lakini?