Aki mimi kutoka kenya naoba wenye tuko pamoja na patronize namugepeda mungu amuinue namugepeda atutebelee kenya mupeni maua na like ❤❤🎉🎉🎉🎉kidogo❤❤❤🎉🎉🎉
@monicahchomba23 күн бұрын
Nakubuka mkono❤❤❤
@user-ue8lt8if7o8 күн бұрын
Hongera sana patronize kazi nziri🎉🎉🎉
@user-dp1dj8ti6h8 күн бұрын
Saf
@kipkemoilangatjoshua981814 күн бұрын
kazi safi Baba Joan. Mungu akulinde na akupee afya njema ya furaha na fanaka uwezo kuleta mafunzo kwa msingi ya jamii
@thesheriffboo6467Ай бұрын
Mm nampenda Baba join Kwa kazi yake🎉🎉❤❤❤
@SupyaMgeni12 күн бұрын
Mmh kweli nime ya fwatilia patronize baba Joan kwenye ku act nyie mnaweza kabsa mie mkenya fan wenu ❤❤🎉 Never give up
@user-jx3ds1zl3y5 күн бұрын
Wanadamu wengi hufurahia kuona wenzao Wana maisha maguma Asante Dana Kwa mafundisho .Wanadamu sio wema🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@vincentnyakego25842 ай бұрын
From Kenya no one 😂😂😂😂
@franciscaouma8332 ай бұрын
Safi sana ❤
@user-vo7yb6wp1m7 күн бұрын
Baba Joan nakupenda bure kazi yako poa kabisa🎉🎉❤
@nautharsabato64342 ай бұрын
Daah huyo mwenyekiti😂😂😂😂
@BetriceChepngetich11 күн бұрын
Nimejifunza kitu,
@elibarikimollel714921 күн бұрын
Hahaha😁igizo lilopita mwlm.Mgeni alikua anakuza vipaji. Sasa hapa ame act kama kakake Patronise anamkataxa kuimba. Mnaigiza vizuri sana hamasisheni vijana sana jamani wajue faida ya elimu na uvumilivu...
@user-iu2wk2sz1r2 ай бұрын
Safi sana baba joan nakuona kutoka kenya western
@user-zm8wo1ue7e2 ай бұрын
Wakwanza leo jaman like hata 10 tu
@elibarikimollel714921 күн бұрын
Umaskini upo duniani sio kwa bahati mbaya bali ili tutegemeane. Fikiria Tajiri anapoongeza atahitaji masikini wamzalishie kwa wingi awalipe ujira,lakini pia tajiri bila masikini na masikini wa leo ndio tajiri kesho!
@user-rz9uf2xx1x2 ай бұрын
Ila baba John na patrolaz huwa nafraia mkiact pamoja yaani siskii kuacha move najiskia tu kuagalia🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤nawap3nda mjue nk uku kunya naijoi😂tu
@PhillisNaswakisiangani2 ай бұрын
Mim kutoka Kenya nipenga hii movie iendelee naomba mwendeleshe ni tamu sana napenda hii movie 🎉🎉🎉nawapa like zangu kutoka Kenya
@PhillisNaswakisiangani2 ай бұрын
Mwendeleshe hii movie nipoae sana baba joan
@maquelabraimopedro5572Ай бұрын
Acompanha apartir de Mogincual Nampula yokizivela sana história zinho
@rosekiio-ov2rk25 күн бұрын
Nawapenda sana
@Dadizo2 ай бұрын
Hiyo ni safi sana kuliko,,,,,,,,,
@kahingiprotais2 ай бұрын
Sifa kwako baba, Nakuona ku toka DRC CONGO.
@tabiasaidi29312 ай бұрын
Mh jaman baba joan ww unaweza sana hata ukiwa unapesa unajiona tajili hii mov ni moto
@YvonneZanila25 күн бұрын
Hamujuwi kesho yenu bwana
@Munaaa2552 ай бұрын
Another job please dad j we already saw this
@fentafesh97902 ай бұрын
❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@user-dg1cj1uf1e2 ай бұрын
Good job guys ! This story it's same the story happened to me
@mwashumbemuzalangunga5932 ай бұрын
How can I contribute to your team. You guys are doing a good job
@HildaKahindi-uv9tgАй бұрын
Amina baba Joan kwa kumupokea mungu
@user-ig9fj3lm4n2 ай бұрын
Nimeisha ubishikaka imepikwa ikapikika ❤❤❤🎉
@user-ry9uq4ke3j2 ай бұрын
Jamani Nan kaona miuno ya baba joa
@user-dc5he7ss6fАй бұрын
Nimependa usidharau mtu leo ujui kesh
@user-dc5he7ss6fАй бұрын
Jamansafi sna mbna fupi akuna next ama❤😂😂
@AfadiMkulungaАй бұрын
Nawakubal sana kwakwel kz mzr
@helinasubila9872 ай бұрын
Hapa baba joan unatumia nini kaujiga fulani hueleweki na uka
@elibarikimollel714921 күн бұрын
KWA KUIGIZA YALIYOMO KATIKA MAISHA, NAWAPA MAUA YENU 99%. MAAGANO YA MABABU ZETU YANATUGHARIMU MENGI KATIKA MAISHA BILA SISI KUJUA....
@user-rc3ol7zo5u2 ай бұрын
Nduttu anakwambia una miwani halaf huna hela😂
@BetriceChepngetich11 күн бұрын
I have learned something
@elizabethsyombua46222 ай бұрын
Mimi niko pamoja na patronize
@user-io1ij9ip3bАй бұрын
Good job bor
@mwashumbemuzalangunga5932 ай бұрын
Welldown
@YasintaWilliumАй бұрын
Kwakwel
@user-vg4hw8rk6q2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Jacky011802 ай бұрын
Kwa iyo wanakumbiza matako yako😅😅😅😅
@VeronicaAma-of1cu2 ай бұрын
❤❤❤
@mamathasimiani2 ай бұрын
Wakwanza leo jamani team strong 💪 nipeni like zangu hata 20😊