kazi safi Baba Joan. Mungu akulinde na akupee afya njema ya furaha na fanaka uwezo kuleta mafunzo kwa msingi ya jamii
@IyiolaLukumanКүн бұрын
action you of agree terms with me if goog channel
@MartinSimba-dg5qcКүн бұрын
Patronas,sasha, baba joan wapewe pongezi nyingi Kwa his movie
@MartinSimba-dg5qcКүн бұрын
Baba joan apewe pongezi kwa kazi mnzuri sana
@sarahnjeri-tz8euКүн бұрын
Mungu wetu ni mweza yote, afadhali kumwamini katika maisha yetu🙏🙏🙏Baba Joan na wahusika wote hongera sana kwa tamthlia ya kuchekesha lakini yenye mafunzo mema😂😂😂
@MartinSimba-dg5qcКүн бұрын
Mwalimu magesa sio poa
@MartinSimba-dg5qcКүн бұрын
Mwalimu mgeni kwenye hi moves amecheza vizuri sana