No video

OFFICIAL FIRST EPISODE - Huba Season 2 | Maisha Magic Bongo

  Рет қаралды 1,095,027

Maisha Magic Bongo

Maisha Magic Bongo

Күн бұрын

Tazama kipindi cha kwanza cha #HUBATZ katika chaneli yetu ya KZfaq!
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Instagram: / maishamagicbongo
Twitter: / maishamagictz
Facebook: / maishamagicbongo

Пікірлер: 322
@alexkayombo2725
@alexkayombo2725 7 ай бұрын
Anaeangaliaa apa 2024 gonga like apaa 😅😅😅
@melsaotieno1833
@melsaotieno1833 2 ай бұрын
Aaaaah😂😂😂😂
@tablefortwotz6294
@tablefortwotz6294 4 жыл бұрын
Napenda kibibi jamani😂😂😂 anajuaga kuigiza huyu dada😘 nilimuona kweny series ya aziza kenyatv nimekuja huku kwasababu yake
@angelamulondo6894
@angelamulondo6894 2 жыл бұрын
Jina lake kamili
@angelamulondo6894
@angelamulondo6894 2 жыл бұрын
Jina lake kamili
@boscoloritah4404
@boscoloritah4404 2 жыл бұрын
@@angelamulondo6894 getrude mwita
@freshstudio707
@freshstudio707 5 жыл бұрын
siyo fresh na watu tunasema ila tu . amtufanyii mambo. sisi tuko australia. tutaonaje full movies wakati munaweka promo. plzz full movie
@witnessmekidad5229
@witnessmekidad5229 5 жыл бұрын
kweli
@zuhurazuu6900
@zuhurazuu6900 5 жыл бұрын
Kweli bwana
@fififidia3552
@fififidia3552 4 жыл бұрын
Naipenda sana Huba Naomba kuona saison 1 episode 1 kwenye Yutubu tafadhali Mimi Niko USA
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 2 жыл бұрын
Ni fanyie mpango wa kazi huko please I need that country.
@hadijamohamed135
@hadijamohamed135 6 жыл бұрын
Mnakela tuwekeeni full jomon daaah😭😭😭 muv nzur daaaah
@listermuoki5914
@listermuoki5914 5 ай бұрын
Kibibi ni mwanamke jasiri na hisi anayemtomba haenjoy kabisa
@irenebellabellah4003
@irenebellabellah4003 5 жыл бұрын
mbona part nyingine atuzioni jmn. wengine tupo nje ya nch. tunataka kuelewa story
@barakacharo7090
@barakacharo7090 7 жыл бұрын
Afadhal uncle JJ hakuwahi kutufanyia hiv ,kama hamtak semen sio kueka prom 2 , RIP uncle JJ kwan toka utuache bongo movie imefifia na ufisadi umezid
@frankjully5457
@frankjully5457 5 жыл бұрын
unalalamika usichokijua
@rukiamsomi6869
@rukiamsomi6869 5 жыл бұрын
Jamani eti kwa sababu hawauzi ndo wameamua kuweka ivo kwa vipindi inzi zile za kina maudodo na comed looo wengine tupo kwa washashi uku jamani uwo mchezo muache 😜😜😜
@annajoseph4947
@annajoseph4947 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@chillahthomas5699
@chillahthomas5699 6 жыл бұрын
Maisha magic please.... Bring us full episodes of kapuni, huba and sarafu here on you tube
@worldwide9207
@worldwide9207 4 жыл бұрын
Hello where we can find this movie
@rebecamagesa8368
@rebecamagesa8368 5 жыл бұрын
Kma umemuona dokta kavaa ndala gonga like apo
@kaningoacerp6264
@kaningoacerp6264 4 жыл бұрын
Rebeca Magesa 😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣
@ashamohamedmbiu5305
@ashamohamedmbiu5305 4 жыл бұрын
kawaida t maana spital mara hutokea emergency
@monikapaulo4299
@monikapaulo4299 4 жыл бұрын
Nyavu
@monikapaulo4299
@monikapaulo4299 4 жыл бұрын
Monika paulo
@rahimzahana1520
@rahimzahana1520 4 жыл бұрын
Dad weee
@user-nu9ip9en8i
@user-nu9ip9en8i 5 жыл бұрын
Mnazingua nimejitahidi kuifatilia hii film alakini hamuitendei haki kabisa tupeni season zenyewe zimepangiliwa vizuri sio kutuchanganya hatuelewi tuingalie aje!!!!!
@lonadamwangeka1858
@lonadamwangeka1858 7 жыл бұрын
nampenda sana Huba, mbona kitojo tu? tuinyesheni yote Jamani.......!
@nabarkiwachalles5543
@nabarkiwachalles5543 3 жыл бұрын
😭😭Pole time hubs naipenda sana
@mishijuma9184
@mishijuma9184 6 жыл бұрын
Huba movie zuri Kwl nkupenda cnaa bi tesa a.k.a Grace mapunda n wapendeni yte w2 wa huba
@januarykatisha3452
@januarykatisha3452 6 жыл бұрын
Mishi Juma
@ramadhankavoma6552
@ramadhankavoma6552 5 жыл бұрын
Kutoka Paris France, nimeipenda , tunaomba mwendelezo
@BWANAMUHAYA
@BWANAMUHAYA 5 жыл бұрын
Safi sana Dar hii production inayo andaa Mungu awabariki kazi njema nimependa sana
@victorineshauri9450
@victorineshauri9450 5 жыл бұрын
Hi tunapenda Huba ila ila amujaipanga vizuri atujuwi season 1 niipi wala 2 niipi pangeni vizuri kama Maneno yakwambiwa imepangwa hadi raha, Huba ninzuri ila amuja ipanga vizuri
@shuuhassan7873
@shuuhassan7873 5 жыл бұрын
Kwel kbsa
@shuuhassan7873
@shuuhassan7873 5 жыл бұрын
Kwel jmn
@fathiasaed4738
@fathiasaed4738 4 жыл бұрын
Exactly
@homenewz3056
@homenewz3056 4 жыл бұрын
👍
@elizabethsemkwai7774
@elizabethsemkwai7774 4 жыл бұрын
Hiyo ni kweli unaweza ukaangalia kipande kimoja kinachofuata ilipoishia unakuwa huioni inaboa hawajazipanga
@maggiemwambapa900
@maggiemwambapa900 7 жыл бұрын
Mnazingua mnatuwekea promo badala ya yenyewe wengine tuko nje ya nchi hamtutendei haki mashabiki wenu
@maggiemwambapa900
@maggiemwambapa900 7 жыл бұрын
Nmefurahii hii co promo mtuwekee na zingine bac.
@bbyrey2089
@bbyrey2089 7 жыл бұрын
Maggie Mwambapa kwel ndg wengin tup nje
@maggiemwambapa900
@maggiemwambapa900 7 жыл бұрын
umeona enhee wanatubana bana tu ata siyo vzr watuwekeege nasi tujiskie tupo nyumba ni Tz.
@prettyajumy4227
@prettyajumy4227 7 жыл бұрын
Maggie Mwambapa aah nataman kuliaa wanavotutesa😢😢
@carenefaustine9460
@carenefaustine9460 7 жыл бұрын
Maggie Mwambapa kweli kabisa
@nununsonerimfura9339
@nununsonerimfura9339 5 жыл бұрын
Tafathali ndo naanza kuona huba season,, nimekosa season 1 jamani 😭
@siayakorimoy7770
@siayakorimoy7770 5 жыл бұрын
Mtoto wa watu Mimi mzuri unanionea gero 😅😅😅
@iddrisarajabu6329
@iddrisarajabu6329 5 жыл бұрын
Kwel kabisa fanyani mpango achane hayo mambo yakuweka nusu nusu jitaidini kupangilia mambo kam wezetyu
@sajidabakari9809
@sajidabakari9809 6 жыл бұрын
#AuntEzekiel hiyo Lipstick yako shoga mi hata siielewagi, inakuharibu muonekano mzima.
@mwtzanzibar8422
@mwtzanzibar8422 5 жыл бұрын
It is a style km hujui
@judytombo4171
@judytombo4171 5 жыл бұрын
Hahaha
@carenefaustine9460
@carenefaustine9460 7 жыл бұрын
Please we need the full movie
@daimavlog
@daimavlog 7 жыл бұрын
Tunaomba mtuwekee muendelezo jamani sisi Wa nje ya nchi. Mtukumbukee. Nzuri sana
@saudajulias215
@saudajulias215 6 жыл бұрын
Cymah Wandelt kweli kabisa
@nasrajuma5992
@nasrajuma5992 6 жыл бұрын
Cymah Wandelt
@deodathaclarenc3950
@deodathaclarenc3950 6 жыл бұрын
q
@jeanjosuemarius5853
@jeanjosuemarius5853 5 жыл бұрын
mimi napenda tu hiyo nyimbo, huba
@mwanaidimwambiti2448
@mwanaidimwambiti2448 6 жыл бұрын
Hii huba mbona haieleweki kwann hamileti full
@oscarfortunatus8101
@oscarfortunatus8101 4 жыл бұрын
Huba Ni move moja nimetokea kuipenda xana
@oscarfortunatus8101
@oscarfortunatus8101 4 жыл бұрын
Hina xx mua xana harafu inafundixha kiujumla I love you huba
@user-nu9ip9en8i
@user-nu9ip9en8i 5 жыл бұрын
Ipangilieni vizuri hamuoni mfano wa movie ya manero ya kuambiwa ???? Fumbukeni macho basi .please tupeni full movie .
@mercyken9710
@mercyken9710 7 жыл бұрын
tuwekeni yote jaman wengine tuko nje ya Tz
@davidphares5316
@davidphares5316 6 жыл бұрын
movie nzuri sana sana na washiriki woote mnaweza ila tunaomba mtuwekee full pls pls pls jamaniiiii uwiii tufanyeje ili tufarijike tuliopo huku nje ya nchi
@mwanaidally9276
@mwanaidally9276 6 жыл бұрын
David Phares ni tamthilia cyo movi
@luciedudy286
@luciedudy286 6 жыл бұрын
tuwekeeni yote promo za nn tushalamba asarii
@amanimwakipesile7072
@amanimwakipesile7072 4 жыл бұрын
Shwar
@tausak4568
@tausak4568 6 жыл бұрын
Eti doctor 👨‍⚕️ jamanii😱😱🙈🙈kwa kiatuu ichoo 😂😂😂
@rachaeldavid6261
@rachaeldavid6261 6 жыл бұрын
Naipenda hadi anaumwa jmn
@magdalinemwikwabe8655
@magdalinemwikwabe8655 7 ай бұрын
Mnaudhi kinoma watching from USA
@matildawangaeli3948
@matildawangaeli3948 4 ай бұрын
penzi la tima na devi linanoga💘💘
@elizanormal7660
@elizanormal7660 7 жыл бұрын
Rammy unanenepa sanaà daaah Fanya mazoezi unaharibika movie nzuri
@peacelissa182
@peacelissa182 5 жыл бұрын
Mnazingua , mpaka mnatuchosha , watu wengine tunaishi inje ya tanzania sasa muwe mnatuwekea hapa tafathali !
@stellarobby1884
@stellarobby1884 5 жыл бұрын
Mahoro Joselyne nje pameonwa!!
@Allyyusuph-mq8wo
@Allyyusuph-mq8wo 5 жыл бұрын
nimeipenda sana hii film
@ushindyeddy4368
@ushindyeddy4368 4 жыл бұрын
Jmn video queen wambosso uyo mke wa mboto kwny tamba alie ona
@najmaomar5338
@najmaomar5338 7 жыл бұрын
Mbna zengne hamna jamani.tuko mbali hatuoni dstv.alaf iko tamuu sana
@moreenikutwa4232
@moreenikutwa4232 3 жыл бұрын
Imagine tima ndio anafanyanga nagwatilia hii kipinda napenda vile nimchasiri na kujituma
@dianajohn5863
@dianajohn5863 5 жыл бұрын
dah dactari viatu gani hivo mmejisahau saana sabu me im a upcoming director
@nadiabernard6573
@nadiabernard6573 7 жыл бұрын
mtuwekee hii sinema humu wengn hatuna dstv.
@azekhamis7905
@azekhamis7905 5 жыл бұрын
Nadia Bernard r
@saraad5572
@saraad5572 7 жыл бұрын
naomba mnielekeze niwe naangalia kila siku maana mm nipo mbali na tz. nimeipenda sana movie yenu plz. naomba mnielekeze.
@zuhurahamis6268
@zuhurahamis6268 7 жыл бұрын
Sara mi pia Niko nje my
@mombomalagila3096
@mombomalagila3096 6 жыл бұрын
hahaha
@salimujabilichamanoma8237
@salimujabilichamanoma8237 5 жыл бұрын
Saf
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 жыл бұрын
Nzur sana ongerani ila mnatuakea kidogo kidogo
@zulekhaamiri972
@zulekhaamiri972 6 жыл бұрын
Mnakeraaa nyinyi tuwekeeni full move wengine tupo mbali jamani hatuwezi nunua cd
@cynthiamnyazi2866
@cynthiamnyazi2866 7 жыл бұрын
kwann maisha magic bongo hawaregeleii Doli arnaanok
@salumhaji1958
@salumhaji1958 6 жыл бұрын
Cynthia Mnyazi Dah Vp hat we unaitafta dor amanrk
@halimaalliy5466
@halimaalliy5466 5 жыл бұрын
Huba ninzuri lakini kwanini msiipangilie kama maneno ya kuabiwa?
@getrudapoul385
@getrudapoul385 5 жыл бұрын
Jaman naipenda sana tamthilia ya huba
@worldwide9207
@worldwide9207 4 жыл бұрын
Twambi twayitaka inapatikana wapi kwenye mtandao
@zakiamusamsofe5259
@zakiamusamsofe5259 3 жыл бұрын
I like ooh
@samiaseleiman7342
@samiaseleiman7342 7 жыл бұрын
huba is a best movie Tanzania tunaweza
@adelphineigiraneza4835
@adelphineigiraneza4835 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@albetyjonh7521
@albetyjonh7521 5 жыл бұрын
Mi.mpaka sasa sijaiona sehemu ya 1 jiongezeni kama maneno ya kuambiwa na siri ya familiay
@catherinelugala8763
@catherinelugala8763 4 жыл бұрын
jmn nzuri sana
@JannatMassoud-gy6hh
@JannatMassoud-gy6hh Жыл бұрын
Nice,miendelezo tafadhali
@aimanalwi7938
@aimanalwi7938 4 жыл бұрын
Mm langu ni moja tuu ilikuwa nataka hyo nyimbo ya huba sijui nitaipata ama naomba msaada wenu
@salymukapalas8286
@salymukapalas8286 6 жыл бұрын
Mhhh daktari huyu VP jeans na sliper mnaharibu
@johnicejordan7275
@johnicejordan7275 3 жыл бұрын
Nmemwangalia mara mbili mbili
@daudidaudi2505
@daudidaudi2505 4 жыл бұрын
Pangeni vizur bana hubs naipenda mno xem mna zingua kupang hii bana fanyani mpange kama maneno ya kuambiwa
@shakilahingabire7278
@shakilahingabire7278 6 жыл бұрын
Jmn nyinyi wa bongo mnazingua
@safiakhamiss1528
@safiakhamiss1528 6 жыл бұрын
Sijui mmechoka kutufurahisha mashabiki zenu mbona mnazingua wengine tuko nje ya nchi
@zakiazakaria8056
@zakiazakaria8056 6 жыл бұрын
movie nzuri lakin tunaomba mtuwekee muendelezo wake jamanii hua nampenda sana huyu kk devi na huyo mama grace mapunda i wish you all the best.
@worldwide9207
@worldwide9207 4 жыл бұрын
Mwnye anajuwa kukhusu iyi movie mtu ataweza ipata wapi kwenye Internet?
@samueladala8412
@samueladala8412 7 жыл бұрын
jamani mbona hivyo mtupatie full episode tumechoka na promo kila kukicha
@jacquelinejohn940
@jacquelinejohn940 7 жыл бұрын
vipande mpaka vinchosha ma tr-era ndio kabisa km imeshindikana msiweke kabisa tujue moja
@janethjoseph5240
@janethjoseph5240 4 жыл бұрын
Hii Huba hata siielewi mwanzo ni wapi jamani?
@doricejohn669
@doricejohn669 7 жыл бұрын
tuna ombeni huba nyingine plz, nampenda sana tina na devi
@haythamfermento4669
@haythamfermento4669 6 жыл бұрын
Dorice John oooh kimenoga kinomanoma
@butheynaathman9970
@butheynaathman9970 6 жыл бұрын
Dorice John Mimi pia nampenda Tina ma dev
@queenail659
@queenail659 6 жыл бұрын
Wow
@doreendismas4061
@doreendismas4061 6 жыл бұрын
sasa promo za nn
@pendogeorge2710
@pendogeorge2710 5 жыл бұрын
Mbona mnawek vipand tofaut n mmeanz vzr wengine tup nchi z nje tuweken tamthiria nzm bas
@fififidia3552
@fififidia3552 4 жыл бұрын
Kweli Mimi mwenyewe huwa sielewi ginsi ivyo vipande vinavyo fatana
@Quilant749
@Quilant749 7 жыл бұрын
Tufiakwa tena huyu bi mwende tena khaa pepo mbaya
@datuupemba8170
@datuupemba8170 7 жыл бұрын
nice
@judithotieno1181
@judithotieno1181 6 жыл бұрын
maisha maza
@sadaomary7278
@sadaomary7278 6 жыл бұрын
chichi back h
@marthaambakisye8581
@marthaambakisye8581 7 жыл бұрын
Mnazingua wahusika
@shummywaommy4741
@shummywaommy4741 6 жыл бұрын
movie nzuri jamani naomba muendelezo
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 жыл бұрын
Tunaomba Movie full plz.
@amirsalim3385
@amirsalim3385 5 жыл бұрын
full movie plz
@missagatha1756
@missagatha1756 6 жыл бұрын
woyoooo aunty na duma
@aisharegan3753
@aisharegan3753 7 жыл бұрын
mnazingua bahna tuekeeni full episode
@rafaelighambi2605
@rafaelighambi2605 5 жыл бұрын
Twenden kapun kapun siries na maneno ya kuambiwa kumenogaaa wakipanga vizur ndo tutaeud
@husnaahussen9048
@husnaahussen9048 4 жыл бұрын
Hy kapun nayo ndo vtuko kabisa twendn maneno ya kuambiwa
@AminaAmina-sx1jn
@AminaAmina-sx1jn 4 жыл бұрын
Kapuni na yenyewe chenga .Sijuhi movie za Tanzania mnakwama wapi aisee lol.
@sallykanze
@sallykanze 7 жыл бұрын
Mbona hamuweki movie yenyewe jamani hapa naona mambo sio mabaya
@VumiliaGodfrey-tf2mt
@VumiliaGodfrey-tf2mt Жыл бұрын
Mwanzo wap jaman iko vzr
@naimaali2275
@naimaali2275 6 жыл бұрын
Nimeikubali sn hii filam ss wp sehemu y tatu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Shost hiyo pua 😂😂😂, Eti mimi Mzur
@hassanhurry6636
@hassanhurry6636 3 жыл бұрын
Hat so nzur
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 7 жыл бұрын
mboma hamtuwekei kamili tukangalia yote
@amerarolseid7811
@amerarolseid7811 5 жыл бұрын
Jamn mbona mna tunyanyasa turio nche ya nchi Tuna taka Mambo ya yumban jamm
@philipomichael6288
@philipomichael6288 4 жыл бұрын
Kweli hata mm party one sijaiona
@saraad5572
@saraad5572 7 жыл бұрын
mnakuwa live fb au you tube plz naomba mnipe jibu
@allanjoseph7808
@allanjoseph7808 5 жыл бұрын
Channel y DStv SAA 3 usiku kila siku
@gracemsanjila327
@gracemsanjila327 6 жыл бұрын
Tuwekeeni move kamili wengine tupo nje ya nichi
@lilianmaloba5839
@lilianmaloba5839 5 жыл бұрын
Comment viewers Association keep on scrolling 🤗🤗
@worldwide9207
@worldwide9207 4 жыл бұрын
Where someone can find this movie please ? If you know
@timabushuti5047
@timabushuti5047 6 жыл бұрын
Movie nzuri sana
@franceambokile8618
@franceambokile8618 7 жыл бұрын
jamani wekeni full
@daanenehappy8731
@daanenehappy8731 6 жыл бұрын
😢😢😢 tuwekeeni yote tupo injee ya tz jaman
@bakarikishaa4889
@bakarikishaa4889 5 жыл бұрын
Senema mzuri Sana ila mnachutisha kwa vipande vipande
@shujaawamapenzi6037
@shujaawamapenzi6037 3 жыл бұрын
Hapo sawa
@user-nu9ip9en8i
@user-nu9ip9en8i 5 жыл бұрын
Naona mnapenda tutoe naoni yetu nakutuonesha kua mumependa maoni yetu sasa mbona hamjaweka season one ? Hatuwaelewi nyie mlio iaanda hii movie ya huba . Yaonekana ipo vizuri ila twahitaji msaihishe kusa chili.
@duniasumbia4246
@duniasumbia4246 10 ай бұрын
NATAKA SINEMA ZA MAHARI YA DADA
@merinazyd0532
@merinazyd0532 7 ай бұрын
Please hii ndiyo ya 1 or
@salmazena1932
@salmazena1932 7 жыл бұрын
jmn hii NI Nini sielewi wengine tupo mbali huku twapoteza mda kuangalia Alf hata hazieleweki from Saudi
@jordanjonas4921
@jordanjonas4921 4 жыл бұрын
Jaman tima mzuri
@Mwanahawa-s2b
@Mwanahawa-s2b 23 күн бұрын
Mi jaman nataka season 1 huba au hatuna vigezo
@jeffersontom6966
@jeffersontom6966 6 жыл бұрын
awesome .we need a full movie... npo Atlanta jameni
@MaishaMagicBongo
@MaishaMagicBongo 5 жыл бұрын
Asante sana kwa kuungana nasi na kutazama vipindi vyetu! Kama ilivyo kanuni yetu, hatutaweza kuweka vipindi au episode nzima katika mtandao wetu wa KZfaq kwa ajili ya kupeperushwa kwa vipindi katika mitandao ya DStv. Lakini, usife moyo, unaweza kutazama highlight zote katika tovuti yetu: bit.ly/2uKgwJV
@SAMMY-xo4co
@SAMMY-xo4co 7 жыл бұрын
inaonyeshwa Chanel gani
@florayoram4977
@florayoram4977 5 жыл бұрын
Misha magic bongo
@josephswai5529
@josephswai5529 5 жыл бұрын
Huba n nzur sana
@herytheryt7321
@herytheryt7321 6 жыл бұрын
hiii move ni nzuri sn lkn nimeshindwa kuitizama ktk mpangilio mzuri hebu nisaidieni mlioangalia mwanzo mpk mwisho
@GrandLivingEA
@GrandLivingEA 5 жыл бұрын
Hutu mwanamke baraaa aya kama WiFi yangu namsaidia kaka yangu kumpa taraka
@chunli909
@chunli909 4 жыл бұрын
Jamani mpo vzur lakin jaribuni kutupa na sisi wa mikoani nafasi ili tuibadilishe tanzia ya filamu bongo kuweni kama nigeria
@zadadee1094
@zadadee1094 4 жыл бұрын
Kama episode imepita y not let it out in yutube more viewers pia ni benefits ...tanzania movie latest mulizo ziuza ama zimepita ,,, kwanini musizi upload pia sisi tulio nje ya nchi we can asses ....
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Muendelezo plz Tamuuu hii Episode.
HUBA Highlights: Uchungu wa mwana!
1:42
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 453 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 280 М.
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
OFFICIAL FIRST EPISODE - Huba Season 3 | Maisha Magic Bongo
26:48
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 982 М.
Huba leo Jumatatu full video Screen
23:14
Mr reaction
Рет қаралды 126 М.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
hemedy chande TV
Рет қаралды 1,2 МЛН
Visa na Vituko - Huba | Maisha Magic Bongo
3:56
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 632 М.
SIRI ZA FAMILIA   S1 EP2
23:42
JASONS TV
Рет қаралды 850 М.
PENZI LA MAPACHA EP1
26:08
ABA SWAHILI
Рет қаралды 792 М.
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Halisi tv
Рет қаралды 915 М.
SIKU MOJA KABLA YA NDOA YANGU PART 01 💞 Love Story | DONTA TV
22:40
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН