MAJIBIZANO: DOTTO MAGARI AMVAA MZAZI MWENZA, MPWA WAKE NAYE AMLIPUA - PART 2

  Рет қаралды 63,445

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MAJIBIZANO: DOTTO MAGARI AMVAA MZAZI MWENZA, MPWA WAKE NAYE AMLIPUA - PART 2
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 292
@christiancalvin2183
@christiancalvin2183 7 ай бұрын
Inapofika mahali mambo ya ndani ya nyumba mpk kulea mtoto mfikishane kwenye media🙌🙌🙌 kuna tatizo sehemu
@frenciustryphone4531
@frenciustryphone4531 7 ай бұрын
We acha tu hiki kizazi cha utaniambia nini+kizazi cha Instagram kina shida sana
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 7 ай бұрын
Danga...uyoooo.....mwanamke wa kinondoni wanawake wauaji....🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@OfficialNessa26
@OfficialNessa26 7 ай бұрын
NA MIMI SIKU MWANAMKE WANGU AKIPAFAHAMU WASAFI TV ,NITAKOMA AISEEEE 🙌🙌🙌
@imoo_blackgold
@imoo_blackgold 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana aiseee
@enockmeck2860
@enockmeck2860 7 ай бұрын
😂😂😂
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@esnathmdeda
@esnathmdeda 7 ай бұрын
😅😅😅
@rosehaule6765
@rosehaule6765 7 ай бұрын
😅😅😅weweee namjuwa namwambia aende 😂😂😂
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 7 ай бұрын
Haya mambo ya kifamilia yanawekwa kwenye media vp jaman
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 7 ай бұрын
Yaani kila kitu kimekua mtandaoni hakuna privato
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 7 ай бұрын
Ni aibu sana kizazi hichi kutafuta sifa mtandaoni
@bensonlameck6348
@bensonlameck6348 7 ай бұрын
Wanaume muwe mnaangalia na watu wa kuzaa nae
@Moe-Joe
@Moe-Joe 7 ай бұрын
Dotto hawa madem kama wameanza hii michezo watakumaliza
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 7 ай бұрын
Kamaliza dotto na mim mwisho kuangalia interview....much respect bro @dottomagari
@Myplusbee
@Myplusbee 7 ай бұрын
Umesikia alichoongea mpwa wa Dotto?
@user-kg7of9fr5x
@user-kg7of9fr5x 7 ай бұрын
Kama mahakamani wamefika lakini pia analeta ukaidi matokeo yake ndio hayo kiburi so maungwana siku zote
@Byme6434
@Byme6434 7 ай бұрын
Nimecheka Hapo Eti Mtoto Bado Mdogo Atabakwa 🤣🤣🤣
@Barakatabudul
@Barakatabudul 7 ай бұрын
Huyu Dotto" Kama hakupata Jinaa wangekuja huko kwa Media" dah! Maisha haya banaa..... Kama nikupata jina ni hivi wa ikaee😂😂😂😂
@StephanieHenry-kr9vz
@StephanieHenry-kr9vz 7 ай бұрын
ngoja nitafute nauli niende wasafi nina mengi😅
@barakaamani8657
@barakaamani8657 7 ай бұрын
Dida umemaliza vizuri na dotto,unategemea kwa kwa uchochezi huo unategemea utapata ushirikiano,,,UONGOZI WA WASAFI MEDIA UNGALIE KWA KINA INAPOTAKA KUMWAJILI MTANGAZAJI VINGINEVYO KUNA NA SIKU ITASHITAKIWA KWA MAPUNGUFU YA MTU
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 7 ай бұрын
Haw wanaooongea sana mitandaoni hua ni watu wa ovyo sana hwa kina doto sjui mwijaku sjui baba levo ni watu wa ovyo sana😂😂😂
@lollipophans
@lollipophans 7 ай бұрын
Mtoto wa mama kizimkazi yamemkuta
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
😅😅
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 7 ай бұрын
😂😂😂
@goodluckSanga-
@goodluckSanga- 7 ай бұрын
Sema mademu wa saivi mungu atusaidie
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 7 ай бұрын
Dida msaidie hy mama Doto mbabaifu. AZIZA sema kweli jimalize huyo binamu yako wa damu kabisa. Ni kweli kabisa nyumba hana watoto hawasomeshi kumbuka kuna uzee fainal uzeeni.
@XerinLogistics
@XerinLogistics 7 ай бұрын
Mbabaifu kwa uhakika gani?kwann uanglie upande mmoja,nyie mmezid sana kutak kutafuta huruma kwa maneno ya uongo mtakufa vby sana
@estonsaimon6671
@estonsaimon6671 7 ай бұрын
​@@XerinLogisticsNdugu hapo Dotto ni wazi mbabaifu kwann wafikie hatua ya kupelekana ustawi wa jamii kama kweli anawajibika kwa akili ya kawaida tu boss?
@Myplusbee
@Myplusbee 7 ай бұрын
@@XerinLogistics Yaani unataka kusema hata Mpwa wake anamsingizia?
@XerinLogistics
@XerinLogistics 7 ай бұрын
@@estonsaimon6671 bro unasem hivo kwasbb ajakukuta ila Mimi nasem hivo kwajli yalishamkuta mtu wangu wakaribu kabisa yan sijaadisiwa kwa macho yangu nimeshuhudia unajua nn,sis wanaume tuna mengi sana yakusema kwajili ya wanawak ila kama wanaume tunakaa kmya, huyo jamaa yangu aliambiwa kbs na mwanamke wake kua naweza kukusingizia kitu nawatu wakaamini hawa sio wakuamini
@XerinLogistics
@XerinLogistics 7 ай бұрын
@@Myplusbee ok lbda nikuuliz itakuaje kma sio ndugu yake ila nimchezo ambao umepangwa?kwasbb wabongo kukufanyia uigizaji nikitu kidogo tu...cha pili itakuaje lbda huyo mwanamke kaamua tu kumchafua doto?itakuaj lbd huyo mwanamke bdo anamtaka dotto? Mara nyingi hua tunapenda san kutoa hukumu kweny familia ambzo hatujui chochote kinachoendelea..la mwisho uwenda kwl dotto alikua antoa hela kwa mwanamke ila lbd mwanamke aoneshi kuridhika na Kias anachopewa ikampelekea dotto kubdirik,kuna wakati Wanawake ndio uwa chanzo cha mwanaume kunadirika,halafu hao hao wanaenda kuchongo mdomo
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 7 ай бұрын
Doto huna ujanja kubali yaishe acha uongo ndugu zako wamethibitisha humtunzi mjukuu wangu kumbuka tajiri na gari lake maskini na watoto.
@godymasilingi4750
@godymasilingi4750 7 ай бұрын
Dotto maneno mengi, ampe elfu 30 kwa siku sio kweli
@HidayaNgala-uk8tt
@HidayaNgala-uk8tt 7 ай бұрын
Mweeeeee wengine mna bahati ya kuhudumiwa jamani dah, wengine tunapewa elfu4 hapo mtoto anaumwa, iyo ni Hela ya dawa tu, chakula ntajijua mwenyewe
@hashymharun9337
@hashymharun9337 7 ай бұрын
30000 kwa siku kumammae ni uongo😊😊😊😊
@moodychanday9220
@moodychanday9220 7 ай бұрын
Kwani Wasafi mmeshakuwa Dawati
@mcdericktv7298
@mcdericktv7298 7 ай бұрын
Kosa la wanawake wa siku hizi wakikuona umetoboa tu yaani utajua hujui aiseee...
@monadinadi5295
@monadinadi5295 7 ай бұрын
Umeonaeee wanawake bhana 😂😂njaa mbaya
@mwamwapogba3364
@mwamwapogba3364 7 ай бұрын
Uyodoto manenomeng mpaka mpakanduguzake wanamkataa pesa zinamwisho achakibuli mwenye kibulinimojatu apadunian ambae ni mnyaz mungu kuastarabu achaujinga
@badrizyboy8305
@badrizyboy8305 7 ай бұрын
Ww ndoto co tatizo shda mwnmke mswahili tamaa znamponza atafikiriwa
@vero57
@vero57 7 ай бұрын
Dida kazi unaiweza dada, hongera sana
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 7 ай бұрын
Yake yanamshinda
@OmanOman-ry5gw
@OmanOman-ry5gw 7 ай бұрын
Waswahil hawa wakishaona unapa vichenji tuu wote ndio wanataka kukuegemea ww babu sio pow uyo na yy hajapew pesa ndio mana ana mucandia doto
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 7 ай бұрын
Wanawake fanyeni kazi jamani
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 7 ай бұрын
Kumbe Dotto maneno mengi tu mzaramo huyu 😂😂
@janethjonas1700
@janethjonas1700 7 ай бұрын
Anatumia mdomo wake kumuonea huyu binti...duu watu wamuogope Mungu
@mdachiog5211
@mdachiog5211 7 ай бұрын
Mambo ya family mnazingua wanawake jina siyo hela mnataka ampe hela kila mtu mjomba tafuta hela we dada
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 7 ай бұрын
Duh uyo dada hana shukran
@user-qz5yh1dl1n
@user-qz5yh1dl1n 7 ай бұрын
Dotto umekwisha shemela kakumaliza
@vero57
@vero57 7 ай бұрын
MAMBO YA AIBU TUPUU!!!
@Nabeel_brand_official
@Nabeel_brand_official 7 ай бұрын
Tunazngua sana wanaume na ndio maana tunapata majanga mengi kwakua machozi ya haw wanawake yanatup laana kubwq sana.sasa atakam mnapishana na mama aliekuzalia basi kijali kilichozaliwa
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 7 ай бұрын
Kuna wanawake wengingine ukiwa nao kwenye mahusiano unatafutwa kudhalilika
@rosehaule6765
@rosehaule6765 7 ай бұрын
Mbona mambo ni mengi sana sielewi😅😅😅
@godwimmkolomi8988
@godwimmkolomi8988 7 ай бұрын
Jamani waheshimu wanawake .ndugunyake kabisa kamkana
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 7 ай бұрын
Wanaume wengi wajonha sana na waongo. Sio wote.
@malietamaliet
@malietamaliet 7 ай бұрын
sai dotto magari 3 merry 1 halftime nangoja kuona merry kama atasawazisha ama otaishia hapo na mjomba dotto 😂😂😂😂
@chibudenga8977
@chibudenga8977 7 ай бұрын
Mambo mengine muyamalize kifamilia haina haja yakuyaletea mitandaoni
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
Ndiooo_🤦🏿‍♀️
@noelmtao2735
@noelmtao2735 7 ай бұрын
Mshahara wa umaarufu ndio huo ndugu yangu Dotto Magari!
@SalimaNzeyimana
@SalimaNzeyimana 7 ай бұрын
Ndo man wanaum wengi maish yenu yanakuw mabay badae kwa sbb vilio vawanawak ni vingi sn 😢
@eleneonkwama2733
@eleneonkwama2733 7 ай бұрын
Na mimi mwanamke nilozaa nae akija apo kwa dida ntakoma😂
@thedamonce
@thedamonce 7 ай бұрын
Sema wanawake miyeyusho sana
@jumakassim8718
@jumakassim8718 7 ай бұрын
Sanaa yani
@user-yf4zo1sm5l
@user-yf4zo1sm5l 7 ай бұрын
Hilo jambazi
@hassanfundi893
@hassanfundi893 7 ай бұрын
Daah
@AkimuMovie-rt3rp
@AkimuMovie-rt3rp 6 ай бұрын
Et mgogo😂😂😂😂
@nairobimalz1510
@nairobimalz1510 7 ай бұрын
Mtoto wa Mama Kizmkazi ashindwa mpa hela Mama wa Mtoto wake. Hawa wanawake wanamuinea bana kisa kawa maarufu😂
@Myplusbee
@Myplusbee 7 ай бұрын
Kwahiyo hata mtoto wa dadake anamuonea kwa sababu uncle kawa maarufu?
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 7 ай бұрын
Hivi watu hawajui maisha ya mtandaoni jamani dotto anajibrandi si kakubali atatoa mpe mda mbona mnayakuza
@bushbabytz
@bushbabytz 7 ай бұрын
Kupatwa Kwa Doto😂😂..mara nyingi mijanaume kama doto ni wababaishaji mno msidanganywe na mihela yake ya mtandaoni!! huyo doto chawa tu hana hela huyo pimbi
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
😅Ndiooo_🤦🏿‍♀️ 😅
@malakisomwe5641
@malakisomwe5641 7 ай бұрын
Mchepuko wang akipajuw wasafi nitakoma
@bensonlameck6348
@bensonlameck6348 7 ай бұрын
Unafikiri wanawake wenye Akili wanafanyaga mambo kama haya ya kuzalilishana
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 7 ай бұрын
Mmmh! doto unahela zamchezo kama mahakama imeashasema elfu60000 hayaomengine nimaamuza yako2
@sleimankhamiss4586
@sleimankhamiss4586 7 ай бұрын
Wa 1 kulike na kukoment japo cjaona video
@chire4574
@chire4574 7 ай бұрын
Doto mwanaume...
@wemakalama6458
@wemakalama6458 7 ай бұрын
Wanawake fanyeeni kazi acheni ujinga kila kitu mitandaoni mmh kazi ipo
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 7 ай бұрын
Fanyeni kazi wadada acheni kukaa kama Gori kipa
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 7 ай бұрын
Mimi wananikela kweli. Mimi nina mtoto namsomesha shule ya pesa nyingi na sijawahi mlalamikia babake.
@user-jg8bk6xh4l
@user-jg8bk6xh4l 7 ай бұрын
Wanawake tatizo Sana.
@mwinyihajjsalim4405
@mwinyihajjsalim4405 7 ай бұрын
2024 nimwaka wa waume kudhalilishwa naona
@kadushimediatz
@kadushimediatz 7 ай бұрын
Mjomba doto😅😅😅😅
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 7 ай бұрын
Waislamu Tanzania kupata mtoto nje za ndoa ni vitu vya kawaida subhanallah🇰🇪🇸🇴?
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
DUNIA HII
@rehmakondo
@rehmakondo 7 ай бұрын
Yani watoto wa nje wanaongoza kuliko wa ndoa,mtihani huu
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 7 ай бұрын
Na huyo mnavoishi na yeye sa ivi ni come we stay au kafunga ndoa?
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 7 ай бұрын
bongo ukishapata jina tu umekwisha vinatokea vinsholokoshwino kutokea sijui wapi uko 😂
@lawmaina78
@lawmaina78 7 ай бұрын
Mzagamuo mnazagamuana kinazaliwa kiumbe kisha inakua shida na tafrani.
@hanifamziray277
@hanifamziray277 7 ай бұрын
Dotto uwanja wa bure na manoti ya w2 pole yk maneno mengi puuuuuu
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 7 ай бұрын
Yaani imeonyesha ni uongo hawezi mtu yeyote hawezi kumpa mwanamke elfu 30000 kwa siku kwa mwezi laki 9 ni muongo huyo
@sadabahla7120
@sadabahla7120 7 ай бұрын
Uyu doto kama mkosa radhi
@mathewungani9724
@mathewungani9724 7 ай бұрын
Na hapa ipo....
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 7 ай бұрын
Wasafi wasafi
@user-xo2xw4in9f
@user-xo2xw4in9f 7 ай бұрын
Jaman wagogo tumefikiwa duuu nimeliaa sana doto magar
@sarafinamsigwa1585
@sarafinamsigwa1585 7 ай бұрын
Matako yake uyo 😂😂😂😂 et mgogo
@MichaelPeter-sr6cp
@MichaelPeter-sr6cp 7 ай бұрын
Miaka miwili aende shule ili iweje Dada acha ujinga
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 7 ай бұрын
Si ili aingie mtandaoni instagram 😂 jamani mtandao unatuharibu
@allyomary2271
@allyomary2271 7 ай бұрын
Ugogo kumbe ni tatizo kwenye jamii yetu?
@williamchenjelu3838
@williamchenjelu3838 7 ай бұрын
😂😂
@MichaelPeter-sr6cp
@MichaelPeter-sr6cp 7 ай бұрын
Huyu Dada tatizo mery tumia akili
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 7 ай бұрын
Nahicho anachokisema mpwa wa Doto msubirin majibu ya Doto
@deeruta9894
@deeruta9894 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂🔥
@michaelmsemwa-ff9hj
@michaelmsemwa-ff9hj 7 ай бұрын
Mjomba dotto 😂
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 7 ай бұрын
HUYO MWANAMKE ANA HASIRA NA MAMBO YAKE😂😂😂😂😂😂
@user-oi2lv9oy3f
@user-oi2lv9oy3f 7 ай бұрын
Waswahili 😅😂😂😂 Aya fanyeni uyo doto sio star mngenda wapi !!!!
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 7 ай бұрын
Mama na baba wote ni jukumu letu some kuwahudumia watoto
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
​@FidasMwaiteghelesya-hw9qs UNAAAKILI KUBWA
@salumahmad8122
@salumahmad8122 7 ай бұрын
Mjomba doto kizimkazi namna gani tena😂
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 7 ай бұрын
Kali
@allymtanga8127
@allymtanga8127 7 ай бұрын
Asingekua na Hela wangeshitaki wapi
@godwimmkolomi8988
@godwimmkolomi8988 7 ай бұрын
ivi wagogo tunazambi gani natuliwai toa waziri mkuu na makamu wakwanzanwa Raisi Dotto tuombe Razi wagogo
@ANNAKISIGA-pc5qs
@ANNAKISIGA-pc5qs 7 ай бұрын
Njaa zinawasunbua mtu akipata pesa tu matatizo yamaanza angekuwa Hana pesa haya yote yasingetokea
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 7 ай бұрын
😂 hatari
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
KWAHIO PESA USIPEWE???
@godwimmkolomi8988
@godwimmkolomi8988 7 ай бұрын
Dada Dotto Asante uyu jamaa Anyolewe zile Rasta zitendei haki
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 7 ай бұрын
😏
@user-lo8ef9qn2r
@user-lo8ef9qn2r 7 ай бұрын
Dotto mwanamke tu mwanaume lijali awez kumfagilia mwanaume mwenzie
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 7 ай бұрын
Dotto andaa daftari , kila unapotoa hela na akipokea, basi jina na tar na saini yake na Yako.....iwe kumbukumbu
@psj1564
@psj1564 7 ай бұрын
LEO UMEYAKANYAGA DOTTO UMEZOWEA KUA CHAWA LEO KWAKO
@bonifacepontian4813
@bonifacepontian4813 7 ай бұрын
Kwa akili za kawaida ,sidhan km doto anawez kumtelekeza mwanao ,huyo mwanamke ana kaproblemaaa
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 7 ай бұрын
Ilaaaaa😂😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 ай бұрын
Mimba za zinaa hazina kher
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 ай бұрын
Haya haya haya doto ushazalilika
@callicevallice7383
@callicevallice7383 6 ай бұрын
Hapo huyo mjomba ukute aliomba hela akanyimwa ndo kaona aje ayamwage kwenye Media 😂😂
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 7 ай бұрын
Anauza 😂😂😂
@moodychanday9220
@moodychanday9220 7 ай бұрын
Wakati anakuvulia Chupi ulikuwa hujui kama ni Mgogo
@minazsaid2470
@minazsaid2470 7 ай бұрын
Marefuu 🤔
@hamadichande2205
@hamadichande2205 7 ай бұрын
Yaaani wanaume sisi ndio maana tunakufa mapema
@user-bv9cx7xe5o
@user-bv9cx7xe5o 6 ай бұрын
Achauoga
@PeterCharles-wi1mk
@PeterCharles-wi1mk 7 ай бұрын
Kinachoniuma kwnn avae jezi ya Yanga 😅
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 7 ай бұрын
Doto magari umejiponza ile tabia ya kuonesha mabunda ya pesa imekuponza
@tigejuma9865
@tigejuma9865 7 ай бұрын
Dotto hua hukosi majibu...eti dukani pengn anaenda kuchukua vitu akiuza hapiki😅
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 7 ай бұрын
Hatimae madebe apata pa kufutia jasho,kwa kweli ni mtihani
@wazirally1791
@wazirally1791 7 ай бұрын
Kumbe ni MJOMBA DOTTOangeitwa ANCLE DOTTO angekuwa hana shida shida imeanzia Kwnye MJOMBA
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 7 ай бұрын
Hizii ni njia za kumuangusha dotto ...dotto kazaa wabay wako ni wengi sanna na huyu aliejifanya nduguyako ni nyokoo sanna
@salimbasho8126
@salimbasho8126 7 ай бұрын
Mambo ya kitoto kila siku mbona tz mfatilie hizi story kwa kila studio
@happymhame8218
@happymhame8218 7 ай бұрын
Kaka una busara sana.
@sanityonline4512
@sanityonline4512 7 ай бұрын
Hawa wote itakua hawapewi hela 😂😂😂
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 213 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 14 МЛН
No way!😱🩸
0:18
Yoshipapa / よしパパ
Рет қаралды 3,8 МЛН
Wait till end 💀💍
0:37
Andrey Grechka
Рет қаралды 5 МЛН
My cat really liked the trick #cat #cats
0:22
Prince Tom
Рет қаралды 163 МЛН