MAKALA: JENERALI VENANCE MABEYO,KUTOKA NDOTO YA KUWA PADRI HADI KUWA MKUU MAJESHI ASIMULIA KILA KITU

  Рет қаралды 48,568

KADOSHI TV

KADOSHI TV

9 ай бұрын

Пікірлер: 74
@sylvesterchisenga3707
@sylvesterchisenga3707 8 ай бұрын
Interview nzuri sana Ndoto yangu ilikuwa kuona Siku moja MAGUFULI anafanyiwa interview baada ya kustaafu 😭😭😭
@raphaelhitler6411
@raphaelhitler6411 8 ай бұрын
Madam Mabeyo ..Mwalimu wetu Azania Sec.School alikuwa ni mama mwenye upendo sana alitulea vizuri sana .Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu
@hilarymark7583
@hilarymark7583 3 ай бұрын
Ila mkuu baada ya kustaafu jeshi tunaomba basi mama yetu kipenzi akimaliza muda wake ugombee urais utuongoze watanzania. Tunakuamini sana,ulituvusha!
@user-oq9nw5jx9e
@user-oq9nw5jx9e 28 күн бұрын
Hongela sana mkuu uko vizuri sana
@abineljoab1813
@abineljoab1813 8 ай бұрын
Daaah kuna lesson kubwa kwenye life yako father
@nyakitalidaud2806
@nyakitalidaud2806 8 ай бұрын
Mkuu wewe ni azina kubwa kwa taifa letu mungu akuongezee maisha malefu
@jimmymbella997
@jimmymbella997 8 ай бұрын
Hongera sana mzee wangu, Mungu akupe hekima na upendo, umri mrefu pia kwako CDF.
@moonmyovela1523
@moonmyovela1523 8 ай бұрын
ONGERA SANA MKUU maisha marefu kwako na MUNGU AKULINDE
@user-iy4yg4sg6l
@user-iy4yg4sg6l 7 ай бұрын
Yupo vizuri sana na ana akili sana hata katika kujibu maswali Mungu amfikishe mbinguni
@eliaspoul2103
@eliaspoul2103 8 ай бұрын
Mungu hutendaa katika njiaa sahihiii na ahadii zakee ni za milele daima General **** venance Mabeyo ni nguzo njema na mfano mzuri kwa afisa na askar
@paxmusafrica1901
@paxmusafrica1901 8 ай бұрын
Katika Wazee Ninaowakubali Na Kuwaheshimu Katika Nchi Hii Ni General Venance Mabeyo Mzee Mwenye Busara Sana
@japhetkimaro706
@japhetkimaro706 8 ай бұрын
Hongera Sana sana na Mungu azidi kukubariki.
@rugendorunene545
@rugendorunene545 9 ай бұрын
Very beautiful and inspiring.. ✔✔!
@YohanaLuchapa
@YohanaLuchapa 8 ай бұрын
Katika viongozi bora kwenye taifa hili na wazalendo wa kweli ni miongoni na wewe mzee venance mabeyo ni kiongozi wa mfano chukua mauwayako🎉🎉
@justiceplumbingservice2879
@justiceplumbingservice2879 3 ай бұрын
🎉🎉
@mhifadhi797
@mhifadhi797 8 ай бұрын
Kadoshi barikiwa sana
@kadoshitv5397
@kadoshitv5397 8 ай бұрын
Asante Sana
@kaizamulinda633
@kaizamulinda633 8 ай бұрын
My favourite CDF
@user-ep2cm5xo3k
@user-ep2cm5xo3k 8 ай бұрын
Excellent,Gombea urais❤.
@josephstephen2047
@josephstephen2047 8 ай бұрын
Katiba haimruhusu kufanya hivyo
@kadoshitv5397
@kadoshitv5397 6 ай бұрын
Hahaha
@daudinteminyanda7282
@daudinteminyanda7282 8 ай бұрын
Hongera sana Jenerali, historia nzuri na inavutia. Bwana akutunze.
@AgripinaRutaihwa
@AgripinaRutaihwa 8 ай бұрын
Q1
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 8 ай бұрын
Hongera Sana Baba yangu General
@adnanalmasi3321
@adnanalmasi3321 8 ай бұрын
Mungu aendelee kukulinda Afande wangu
@mcgabby
@mcgabby 8 ай бұрын
Wana jeshi bwana hua wako tofauti sana hasa wakiwa na vyeo vya juu hata hawanaga makuu na mtu asilimia kubwa hua ni wastarabu na wanaweza kuishi na watu tofauti na zile mbwa nyingine
@FadhiliMgalla-ds9fx
@FadhiliMgalla-ds9fx 8 ай бұрын
Apewe namauwa yake 💐💐💐💐
@sbobrowntv5038
@sbobrowntv5038 8 ай бұрын
Jenerali wamfano Afrika aliongoza nchi baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa Tanzania Dkt John P. Magufuli na kusimamia shughuli zote za nchi mpaka kuapishwa kwa mh Rais Wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia S. Hassani. HONGERA SANA MH MABEYO
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 8 ай бұрын
Nampenda SN mzeee wangu MABEYO MUNGU AKUTUNZE AKUPE MAISHA MAREFU MWENYE HOFU YA MUNGU UISHI MIAKA MINGI MZEE WANGU
@meditationtime6472
@meditationtime6472 8 ай бұрын
Wazi afande
@isihakaabdallah6010
@isihakaabdallah6010 3 ай бұрын
Bado siro
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 8 ай бұрын
Safi sana
@AndrewSaktay-np8kr
@AndrewSaktay-np8kr 8 ай бұрын
Kwakwel mama nilifanya naye kaz Azania secondary, nawatakia maisha mema ya uzeeni wastaafu wangu
@A_F_M_
@A_F_M_ 9 ай бұрын
One day yes 🙏
@FadhiliMgalla-ds9fx
@FadhiliMgalla-ds9fx 8 ай бұрын
Mimi mwenyewe natamani sana nionane naye huyu nikiongozi alie fanya kazi nzuli sana
@realsospeterbulugu
@realsospeterbulugu 8 ай бұрын
Time Appreciation 🙏🏿🇹🇿🐫
@osbethdaniel7835
@osbethdaniel7835 8 ай бұрын
🤝🤝🤝🤝
@hilarymark7583
@hilarymark7583 8 ай бұрын
Taifa hili lina amani kwa sababu yako. Ulituvusha!
@user-hu1ev9pt8q
@user-hu1ev9pt8q 8 ай бұрын
🙏🙏💯🙌🙌
@sm5tv
@sm5tv 8 ай бұрын
Huyu jenerali Kila nikimuona nafurahi,
@farijalanyoni5685
@farijalanyoni5685 8 ай бұрын
Daaa
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 8 ай бұрын
Mimi nililikataa jeshi kwa sababu baada ya kumaliza kidato cha sita walikuja skuli kutuomba kujiunga na jeshi. Ilikuwa ni kama ndoto iliyotimia lakini walisema "tunataka kuwafuta uraia na ubinadamu". Nilipomueleza mama akaniambia "we! Ukome na kazi hiyo." Biashara ikaishia hapo.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 9 ай бұрын
Kila mafanikio Mungu yupo
@peterkabogo6468
@peterkabogo6468 8 ай бұрын
Maneno yake kwangu yanaingia moyoni Moja Kwa Moja maana Mimi nilipenda sana jeshi moyo wangu ulijaa kuilinda nchi yangu, Natamani huyu ndugu YESU amkumbuke ktk ufalme wake, siku tukikutana nikapata nafasi yakumsalimia atakua amekamilisha hitaji la moyo wangu, nampenda sana Kamanda huyu nawapongeza wazazi wake Kwa malezi Bora aliyoyapata kwao MUNGU awe pamoja nae daima hakika wewe ni Kamanda wa kweli, nakupongeza sana elimu yangu ni yamsingi pongezi kwako kamanda
@user-wg2px8jh5o
@user-wg2px8jh5o 8 ай бұрын
Pratun commando....
@user-kw6qc5io9t
@user-kw6qc5io9t 4 ай бұрын
Namkubali sana Hy mtu
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 8 ай бұрын
Wanyenyekevu wachache sana mzee wangu sema wewe kwakua umepita kwenye dini
@isihakaabdallah6010
@isihakaabdallah6010 3 ай бұрын
Bado kamanda siro kuojiwa
@victorguapo7827
@victorguapo7827 5 ай бұрын
Haitwi afande ataitwa General maisha yake yote.
@MarioNdanzi-kp9hp
@MarioNdanzi-kp9hp 8 ай бұрын
jeneral ,lkn bado yupo fit
@kevinmary7129
@kevinmary7129 8 ай бұрын
Hana maana yoyote tz tupo kwenye mess had leo sababu yake nchi ilitaka na kuhitaji leadership change after JPM but he didi nothing tz had leo we are in hell
@allymoshi2053
@allymoshi2053 7 ай бұрын
Mwalimu wangu wa hesabu doto aka the splash paroma primary school nimekumbuka mbali sana let aggy be x haahaaaa
@Ambwene
@Ambwene 8 ай бұрын
Venance Mobeyo 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪
@peterkabogo6468
@peterkabogo6468 8 ай бұрын
Mheshimiwa mabeo ni mtu mweredi wa kazi ni mtu shujaa mtanzania mzalendo wa kweli, Namkumbuka Kamanda mabeo kama ndugu wakaribu Kwa watanzania anamaneno yenye baraka Kwa watanzania
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 8 ай бұрын
Ukatoriki ni mtamu sana asingeacha.
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 8 ай бұрын
Mkuu kakwepa swali kuhusu kulinda rasilimali za nchi ili ziweze kuwasaidia wananchi kuleta maendelea au ndo hasikii malalamiko mtaan ya wananchi kwamba keki ya taifa inaliwa na kundi dogo la watu
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Umeona eee
@khalidali1130
@khalidali1130 8 ай бұрын
Hta mwanafunz kwenye mtihan kwenye pepa hukwepa suali gumu mana litamfelisha🤣🤣
@frankmganda2424
@frankmganda2424 8 ай бұрын
Mzee nina ndoto za kukutana na wewe
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 8 ай бұрын
Jpm alikuagiza Nini?ulisema siku ya msiba wake kuna neno alikwambia je ni neno gani
@ElizabethMungo
@ElizabethMungo 8 ай бұрын
Lakini sijui ni kwann wanajeshi wengi hawajawahi kukupenda..nilipouliza nikaambiwa ulikuwa unatoa vyeo holela kwa upendeleo bila kuzingatia sifa za askari..mfano mtu kaajiriwa juzi unampa cheo na kuacha walio na sifa na waliokaa mda mrefu...wanajeshi wengi hawamkubali
@babalao910
@babalao910 8 ай бұрын
Kukaa mda mrefu sio sifa
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 8 ай бұрын
Unauhakikaa? Kama hujui TARATIBU za kijesh kaakimyaa
@josephstephen2047
@josephstephen2047 8 ай бұрын
​@@salymkitumbika8644Sasa unamfokea kwani anakosa gani wakati anakwambia ameambiwa na wanajeshi wenyewe?
@ezesolo4861
@ezesolo4861 8 ай бұрын
kama hujui mambo ya jeshi nyamaza
@jimmymbella997
@jimmymbella997 8 ай бұрын
Mpuuzi wewe, Chunga Domo lako fala wewe. usikalilishwe, yakikukuta huyo aliekudanganya hatakuwepo, usifikiri jeshi limelala kama wewe..
@mcgabby
@mcgabby 8 ай бұрын
Wana jeshi bwana hua wako tofauti sana hasa wakiwa na vyeo vya juu hata hawanaga makuu na mtu asilimia kubwa hua ni wastarabu na wanaweza kuishi na watu tofauti na zile mbwa nyingine
@glorychrizostom3611
@glorychrizostom3611 8 ай бұрын
Hzo mbwa sasa ndo zmepewa mamlaka ya kucheza na nyie majambaka mnaopenda kuleta mazoea mabaya kwenye nyumba ya jeshi uku makamanda wakiwa wametulia ndan ya nyumba mbwa wanakuwa nje wamewasubir nyie mafala
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 4 ай бұрын
Hizo mbwa ndo zinakufanya unalala mkundu wazi muda wote na unabweka bweka hapa muda huu bila bugudha yoyote.
@alexnamangoa
@alexnamangoa 3 ай бұрын
Uwe na maisha marefu CDF natamani na mimi sikumoja niwe mwanajeshi
@josephkatondo6548
@josephkatondo6548 3 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu CDF Mabeyo uko makini sana kiongozi wetu.
@AlexMwapule
@AlexMwapule 24 күн бұрын
Uziite mbwa Tena
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
MWANZO MWISHO NAVY KENZO WAWEKA WAZI KUHUSU NDOA YAO, PLANET BONGO
14:23
MWANZO MWISHO  KUAPISHWA ASKARI WA JWTZ RTS KIHANGAIKO
12:40
JEMEDARI TV
Рет қаралды 217 М.
Waziri Dkt. Tax Atembelea Makao Makuu ya Jeshi
14:33
Ulinzi Channel
Рет қаралды 30 М.
Mfahamu Aliyebomolewa Ghorofa na Waziri Silaa 'Ni Tapeli?'
12:17
DC MWANAJESHI "NIMEONA MAKEKE YENU, SHIDA NI KUBWA"
4:21
Millard Ayo
Рет қаралды 132 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН