Рет қаралды 1,635
Temesa Tanzania
Mtendaji Mkuu TEMESA Lazaro Kilahala akifanya mahojiano na watangazaji wa kipindi cha Jambo Tanzania kutoka Televisheni ya Taifa (TBC) ambapo amezungumzia mikakati ya Serikali katika kuboresha huduma ya vivuko kote Nchini.