Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu ? Asante Mungu kwa timu yetu , viongozi wetu, wachezaji wote na benchi la ufundi.
@oswardlonginoosward98322 ай бұрын
Aly kamwe nakupongeza sana kwa hamasa hongera sana kaka ang
@trice_yanga2 ай бұрын
waoooh imana itufashe tutole point 3 yanga kwanza imuhila badae💚💛💚💚🙏
@naliakafatuma98702 ай бұрын
MUNGU ni mwema kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@Maryc2G2 ай бұрын
Yanga nawaombea ushindi, hakuna kigumu kinachomshinda Mungu. Nina Imani ya ushindi kesho 🇹🇿💚
@reginaldmapunda67022 ай бұрын
Mungu wetu yupo nasi daima dumu na inshallah atatenda kama kawaida YAKE kwetu. Tuna mtukuza na kumshukuru daima milele. Amina.
@RumsyMsafiri2 ай бұрын
Nakubali yanga Africa kutoka USA Michigan grand rapids hapa Nakubali San yanga na mim ni shabiki sungu mda siyo punde nita nunuwa card ya wanachama I love you so much yanga Africa
@ceciliadaudi16322 ай бұрын
Jaman ndugu mabosi zetu Tunaomba tu Azizi ki asiondoke mpambanieni jamn abaki tunatakiwa kuwa bora sana jamn ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi chetu pls jamn nawasilisha 🙌🙌Alama 3+ muhimu 💚💚💚🔰🔰🔰🙏🙏🙏
@user-ox3ij7ki3t2 ай бұрын
Et kigoma syo ngome ya yanga na wanainchi nao wameamua kuonyesha kwa vitendo wamewafunga midomo waropokaji safi sana wanakigoma
@allyramadhan19022 ай бұрын
Yanga for life
@Evance-op4jw2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awe pamoja nasi Yanga ya wananchi Asante Mungu kwa kutupatia furaha Asante viongozi kwa kutupatia furaha Asante wachezaji kwa kutupatia furaha Asante GSM
@DismasWilliam-cp3qe2 ай бұрын
Mungu awatangulie wananchi,,,ikawe kheri kwenu.
@user-vr6wt5rr5v2 ай бұрын
Wananchiii💛💚 love YANGA
@zuberichimandi41962 ай бұрын
Kigoma Kigoma Kigoma nimewaita mara 3 hakika mmetisha na wachezaji wetu wana deni kubwa sana
@oswardlonginoosward98322 ай бұрын
Ee mwenyez MUNGU tunaomba ushind baba
@ba_yu722 ай бұрын
Mazungumzo yao ni ya kistaarabu Sanaa,Mungu awabariki, siyo kama yule abwekaye, kama jibwa(Ahmed Ali).Mungu awabaiki "Amina "
@abubakarkarsan312 ай бұрын
kigoma unapanda meli mpaka bismark kasanga,kutoka kasanga to mpulungu,from mpulungu to lusaka
@user-iu2cm5um6e2 ай бұрын
Mwenyezi mungu awalinde na kuwasimamia katika mechi ya kesho Amina
@Shebe_traLove2 ай бұрын
Haiika mwenye zimungu atujalie ushindi siku ya kesho inshallah mungu akipenda tuta shinda
@flavianajohn52502 ай бұрын
Inshaalaah 🙏🙏🙏🙏tutashinda kwa uwezo wa ALLAAH
@hggvg98092 ай бұрын
Urakoze nawe umuvugizi wumugwi wabanyagihigu nu mupira wa maguru niwirambire💚💛💚💛 ibihe vyose imbere inyuma ntakabuza💛💚💛💚
@rukiakyaka18272 ай бұрын
Wallah Allah awazidishie Kheir viongozi wetu Inshaallah
@awadhbileyl32812 ай бұрын
The club above all this is young African 🎉🎉🎉🎉
@chemstry4092 ай бұрын
Wow wow....AMAZING KIGOMA SALUTE...🙏🙏🙏
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Paradise ama utambulisho wa yanga day ufanyike kigoma jamani tunaomba
@Graciousmom6792 ай бұрын
Kiongoz mahili na makinii unaongea kwa busara mungu akutunze kwa ajiri yetu
Urako zechane wananchi wenzangu urako ze chane nkunkunda kokigoma kwa bananchi😅😅😅
@ReinhardtMbai2 ай бұрын
Yanga on fire🔥🔥🔥🔥
@st.jamese.r69412 ай бұрын
Mulakoze chane km watu ni zaid ya m1
@MAGEMEYOHANA2 ай бұрын
Unyama mwingiiiiiii vice president
@user-cs2mo8eb6n2 ай бұрын
I love you wanaichi
@reginaldmapunda67022 ай бұрын
Utasikia Kisogo anasema Yanga inapendelewa na Jemedari anaiomba serikali waichunguze Yanga eti inaua soka la Tanzania. Umati mkubwa kama huu ndio kuua soka au Simba MLA watu?
@yakubuMlanzi-ue4dn2 ай бұрын
Yule.jemedari.Bwege wasipo mpuuzia watakuja.ua.soka.la.Tanzania,hafai kabisa
@haifamiraji64832 ай бұрын
Mungu awatangulie viongozi na wachezaji wote mshinde kwa kishindo
@vedastusmlavumba11582 ай бұрын
God bless Young Africans
@ukuvukiland23872 ай бұрын
Hiyo ndio timu kubwa ya wananchi hakuna nyingine tanzania ,i love u yanga.
@webirowasira79202 ай бұрын
Let’s Go
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Hakika kamwe washauri viongozi wtu kina enjiniya kherth.na wenzie kufanya jambo kwq kigoma sio leo tu kufanya jambo a aefanya jambo
@ramadhaniiddi99302 ай бұрын
Mungu awabariki
@user-xy6ed7ve6r2 ай бұрын
Ulakoze chane. Mimi ni Mwananchi
@innocentntabanganyimana21112 ай бұрын
Ally KAMWE ❤❤,YANGA 💛💚 TEAM OUR IBYISHIMO
@maxlesijila65982 ай бұрын
Wapeni Heshima Kigoma kwa kwenda kupokelewa moja ya Kombe Paredi ibakie Dar