"MAKONDA ALIA kwa UCHUNGU", NIMEUGUA MARADHI ya MOYO, NINAMDAI MKURUGENZI MAMILIONI,. NINATESEKA 😭😭

  Рет қаралды 86,448

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

2 ай бұрын

Пікірлер: 387
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Team Makonda Ukombozi, Mungu azidi kuwatanguliaaa, mama Samia mama hii timu usiisahau mama, hii kazi ni ngumuuuuu
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 Ай бұрын
Dah mungu amuweke makonda
@HamdanKiangio-mw5mc
@HamdanKiangio-mw5mc 2 ай бұрын
Mama samia msaidie kwa karibu huyu kijana ana maadui wale mabeberu muonee huruma mwenyezi mungu amkinge na hasadi za watu INSHAALLAH
@user-us5xl4zu3r
@user-us5xl4zu3r 2 ай бұрын
Makonda ni kiongozi bora ndani ya nchi hii.Kama ananisikia,ajue nampenda sana.
@awadhally1052
@awadhally1052 Ай бұрын
Kwel kabisaa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Kila atakaemlaani Makonda laana zikamrudie mwenyewe, wapo watu wasioyajali machozi ya wanyonge lkn Mungu Muumba anajua, wapo kina Makonda wachache ktk hii nchi..mama Samia mama,asante kwa huyu kijana na timu yake.
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 Ай бұрын
Kabisa kabisa
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j Ай бұрын
Tena wapotee kabisa
@nancyenock5601
@nancyenock5601 2 ай бұрын
Nimaumivu alafu kuna watu wanasema Makonda ana kauli mbaya kwa upuuzi huu Makonda wanyooshe
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 ай бұрын
Hao wanaomsema mpiganaji wa wanyonge wanapaswa kulaaniwa
@daviddominick5274
@daviddominick5274 2 ай бұрын
Makonda Mungu atakuinua,hilo najua hata kama si leo ila ipo siku
@justinekigomboa
@justinekigomboa 2 ай бұрын
Kabisa
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 2 ай бұрын
Waizi kazizao nikuteteana ndomaana wanaanza kumpiga vijembe makonda nawashindwe nawalegee
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 Ай бұрын
Labda ww
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 2 ай бұрын
Kwakweli mama samia weni raisi wetu tunamshukuru mungu amekuteua kuwa raisi lakini tunakushukuru kwakumteuwa makonda kuwa kiongozi wakukusaidiya huku kwenye ngazi zachini namuomba mungu wangu akulinde nahusuda zawatu namajini aaaamiiinaaa....
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 2 ай бұрын
Pole sana Kaka kwa changamoto ulizopitia.Umejieleza vzur sana tu.Ndiyo uone kuna watu wema wachache watenda haki kama Makonda
@user-ve1st6lc2z
@user-ve1st6lc2z 2 ай бұрын
Ninaiona Roho ya Magufuli ndani ya Paul Makonda, MUNGU akulinde sana kamanda endelea kutetea wanyonge
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 2 ай бұрын
Kila mtu na roho yake aise magu pamoja na mazuri yake lakini aliumiza sana watumishi,kuna watumishi walifukuzwa kazi kisa vyeti feki lakini walikuwa na haki
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@Baba-nm4qzhivi makonda alikuwa na vyeti🤔🤔🤔
@johnlembo2955
@johnlembo2955 Ай бұрын
​@@Baba-nm4qz"vyeti fake na haki" kwenye sentensi moja😂
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 Ай бұрын
@@Baba-nm4qz sasa hapo magu ana husikaje mana walio husika na utaratibu sio yeye mana yeye alitoa tu kwamba wenye vyeti feki waondolewe ila wahuni wakatumia huo mwanya kuumiza wengne
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
​@@Baba-nm4qztayari ushasema vyeti feki haki inatoka wapi na alikuwa ana kula Mai ya Uma kwa njia ya mkato
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 ай бұрын
Pole sana mpaka nimelia Mimi😭😭 alafu wapuuzi hao et makonda anatumia kauli mbaya kweli kabisa
@MsafiriBaruti
@MsafiriBaruti Ай бұрын
Nmemskiliza huyu Mzee namuangalia mkuu wa mkoa makonda Ina huzunisha sna ktk Imani yangu ya dini ya kiislam makonda mungu ampe ulinzi kwani hii vita ni kubwa mno anayo pambana nayo unaishi na jlani mbaya ambae umepanga nae Nyumba Moja hatari sn,mungu akuongoze mh.paul makonda
@ivanmtafya6194
@ivanmtafya6194 2 ай бұрын
Barikiwa sana kiongozi, binafsi nafurahi kukuona kila kiti unachokalia unawawazia wanyonge wa Taifa hili Watanzania tunahitaji viongozi wanaotusikilia na kujali shida na matatizo yetu. Nakuona unapendeza kukaa mahali Mungu anapokupeleka.
@njiaya6833
@njiaya6833 Ай бұрын
kwenye nchi hii kuna watu atima yao ni jehanamu moja kwa maja uwezi tesa mwanadamu mwenzako kwa maumivu ya hivyo ukabaki salama mbele za Mungu
@user-qm3pi7vx9u
@user-qm3pi7vx9u Ай бұрын
Hakika alilala baba ameaamka baba mdogo chapa kazi mzee wangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉,respect Mr MAkondo
@esterMahenge
@esterMahenge Ай бұрын
Daaa inaumiza sanaa😢😢😢 Mungu msaidie uyu baba apate haki yake🙏🏻
@surylinetv4677
@surylinetv4677 2 ай бұрын
Halafu anatokea mtu anasema eti makonda anakosea,e nyiee nyiee muogopeni Mungu,Nakuombea sana Makonda Mungu akupiganie na akulinde
@user-vk8cz4ph6p
@user-vk8cz4ph6p Ай бұрын
Yarabi mpk anatuliza tunotizama makonda Allah akufanyie wepesi uzidi utetee wanyinge ❤pepo unayo utapanga juu Zaid baadae endelea hivyohivyo natamani ungechagua Zanzibar Allah akulinde na wabaya wote Majini mashetwani na binaadamu wasikupenda Amini amini
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n Ай бұрын
Nilikua simpendi Makonda kumbe nilikua simuelew baada ya kumuelewa kila siku lazima nimuombee ulinz wa Mungu na mnampenda sana Mungu anirehem kwa kule kumchikia pale mwanzo
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 2 ай бұрын
Makonda pga kaz 2030 tunakupa kwa jina liptalo lote Yesu krsto🙏🙏
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Ай бұрын
Utampa peke yako sie tunampigia kura,
@user-ox7fv6mj3e
@user-ox7fv6mj3e Ай бұрын
Mungu ameona kilio cha watanzania kuondokewa na magu,katuletea mfariji wetu mungu akubariki baba piga kazi
@susujeremiah195
@susujeremiah195 Ай бұрын
Pole sana ndugu yetu, watu wanaumia kwa sababu ya mambo ya watu ya hovyo
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 2 ай бұрын
Ikiwezekana Makonda awe anawachalaza viongozi Kama hawaa sio tuu kuwambiaaneno ambayo wao wanaona machafu lakini wao wanafikisi Watu wanatesa watuuu wanaumiza watuuu
@EligiaMligo
@EligiaMligo Ай бұрын
Wawe na adapu
@hajjisanga789
@hajjisanga789 Ай бұрын
Mama Samia kazi nzuri hii unayo fanya mlipo amua ktk vikao vyako kumrudisha makonda sio mbaya ila hii kazi ni ngumu inahitaji roho ngumu Sana kwahiyo tumpeni nguvu yoyote anae fanya kazi kama hii ya kusikiliza watu matatizo yao maana sio wote wanao penda kufatiliwa hongereni serekali japo ni chungu ila lazima mgonjwa anywe dawa msichukie hii ni serekali yetu wote tufate sheria Bila shuruti
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Ай бұрын
Ktk teuzi bola za mama makonda mungu akupe maisha malefu sana
@mrsab303
@mrsab303 2 ай бұрын
So sad the guy is sick just pay him please is not fair 😭😭😭😭
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 ай бұрын
Kuna watu nchi hii.wanaonewa sanaa.Ila hawana mahali pa.kupeleka.viongozi tuliowachagua kazi kubwa kupongezana.Hongera Makonda.ww ni kiongozi
@davismuzahula907
@davismuzahula907 Ай бұрын
Hapa Huwezi kuwasikia watu wa Kituo cha Haki za Binadamu wala Umoja wa Wanaume yaani hii dunia hii. Makonda apambane
@JosephOsanya-ik7bk
@JosephOsanya-ik7bk Ай бұрын
I am akenyan but l like Paul makonda kazi poa unafanya.but uchunge maisha yako isikue kama mangufuli
@emanulmwaitege5531
@emanulmwaitege5531 2 ай бұрын
Mungu AMBARIKI SANA makonda
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 2 ай бұрын
Daah aisee kweli bongo nyoso. Mwenyezi Mungu amlinde makonda leo na kesho inshallah
@mussakilo4916
@mussakilo4916 2 ай бұрын
Dah mkuu wetu wa mkoa Pole sana tunskuombea kwa mungu tu
@neshoboy
@neshoboy Ай бұрын
R.i.p magufuli umemwacha mwamba kama ww lakin anacheo kidogo tunakuhaidi sisi watanzania ipo siku atakuwa kama ulivokuwa ww😢
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Uwiiiiiii hata mm nimelia uwii pole kaka Dunia hii inaumiza sana KAKA YETU KIONGOZI WETU MAKONDA HONGERA KWA KAZI HII NAKUOMBEA MAKONDA UWE NA AFYA TELE NA UZIMA UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI MAKONDO
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 Ай бұрын
Daaa nimeumia sana moyoni jaman Mungu akurejeshee vilivyopotea kaka Watu hawan huruma hata kidog ila Mungu atafanya jambo kwaajili yako
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 ай бұрын
Pole Makonda Mungu akupe wepesi Serikali imemfilisi mwananchi wake. Bado akinadada zetu wanamtuhumu Rc ati haki za wanawake nauliza mbona hakuna mwanamke aliyejitolea kama huyo kaka
@AnithaNassary
@AnithaNassary Ай бұрын
Mkuu wa mkoa Mungu akulinde Sana upo vinzuri mama ajakosea kukuleta arusha
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g 2 ай бұрын
Mi sasa ndonamuelewa Raisi wetu Mama yetu mpendwa kwanini alimteua Makonda kuwa Mkuu wa mkoa.Mungu akuhifadhi Raisi wetu
@user-ss3fq7vy7v
@user-ss3fq7vy7v 2 ай бұрын
Natamn Kungekuwa na Cheo cha Mkuu wa Mikoa akapewa Huyu Mwamba
@NicholausShibiliti
@NicholausShibiliti 2 ай бұрын
Mkuu wao ni waziri wa tamisemi nnavojuwa
@godfreymasanja354
@godfreymasanja354 2 ай бұрын
Inaumiza sana Tena hakuna tusi baya ukilotukana wewe ni sauti ya wanyonge Mimi ingekuwa ni amri yangu daaaaaaah tumsukumie mungu tu
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 Ай бұрын
Kila mwanadamu anamadhaifu yake kwa utendaji makonda ni the best yuko karibu na wananchi
@johnkapesula122
@johnkapesula122 Ай бұрын
Kwa kweli inauma sana, Kuna wakati unajiuliza hivi hii ni Nchi yetu kweli au tupo ukimbizini? Maana haki ya mtu inachezewa tu kama mpira.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Huyo baba nyuma ya Mhshmw nimemuona anafuta machozi...ukiona mwanaume anatoa machozi!! Hii tume inakutana na mambo magumu jamani, tuwaombee tuu Mungu awatangulie. Dhuluma inaumiza jamani!! wengi wenu hamujui
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 ай бұрын
Nimemuona pia Inaumiza sana! Kiukweli
@SaleheMohamed-hb8yn
@SaleheMohamed-hb8yn Ай бұрын
Makonda mtu na nusu nchi imlinde na tunamuombea mungu amlinde pia maana tunaimani nae kwenye hii inch. mama oyeeee
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢 Jamani jamani😭😭😭 mbona nimeumia sana😢😢😢😢
@faridairema8790
@faridairema8790 Ай бұрын
Mungu huyu nakushukuru mungu umtunze makonda nimejikuta naliia kwa uchungu zaid
@ValenceKazoba
@ValenceKazoba Ай бұрын
Pole kaka Mungu atakulopa Mokonda Naomba Mungu Akulinde
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Yaani LAITI wakuu wooote wa mikoa wangekuwa km Makonda, Naamini miaka inayokuja unawezs kutwaa nafasi ya urais baada ya mama samia kumaliza uongozi wake
@charlesmarco248
@charlesmarco248 2 ай бұрын
Pole Sanaa mkuu wa mkoa Kwa hayo majukumu ila pole tena sabb ukiwahiji wanasema unawazalilisha ila mungu ni wa wote
@korosojulius5652
@korosojulius5652 Ай бұрын
Madanda is a servant leader 🇰🇪 may God protect him
@josephevantus5965
@josephevantus5965 Ай бұрын
Daah tunasbri akosee jmani daah mazuri 99 kosa Moja asee linaenda viral kuliko mazuri mengi
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 Ай бұрын
Dah!!! Inatia uchungu sana😢😢😢 RC Makonda Mungu azidi kukuongoza na kukupa Hekima kurudisha haki za wananchi😢😢😢
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
hiii nchi bn dah Yani kama mimi ndio rais nikafatilia hili swala nikaona nikweli ihiiiiiii lseee aya bn pengne siku mungu anaweza akauleta uraisi kwangu halafu Nione hao manyangau
@HamdanKiangio-mw5mc
@HamdanKiangio-mw5mc 2 ай бұрын
Pole mh.makondo nchi hii ni ya wasomi sisi wananchi wa kawaida ni chakula chao hao wakubwa hii nchi ni tajiri sana lakini labda mpatikane akina makonda 20 najua uneteseka kwaajiri ya wanyonge pole mdogo wangu makonda mungu atakulipa lakini kua makini nao take care asante napenda kufatilia mikutano yako by
@jamesmasome359
@jamesmasome359 2 ай бұрын
Eti haki za binadamu? Nyambafu zenu. Watu wanadhurumiwa mmekaa kimya jinga sana nyinyi. Makonda piga kazi bana🎉🎉🎉🎉
@user-ru6ct4rh3t
@user-ru6ct4rh3t Ай бұрын
Eeh! Mungu wa mbinguni. Tulindie Makonda wetu. 🙏🙏
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 2 ай бұрын
Imebidi. Nilie tu na Mimi umeniumiza sana
@user-nt4mw7zm7d
@user-nt4mw7zm7d Ай бұрын
Mungu akubariki makonda yaani sijui niseme nini zaidi
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Ай бұрын
Inasikitisha sana jamani huyu mtu walitaka afe lakini mungu 😊
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Ай бұрын
Yaani hadi machozi yamenitoka
@neemareuben311
@neemareuben311 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢inauma sanaaaa jamani jamanii hii nchi ina madudu sanaaaa😢😢😢😢
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 2 ай бұрын
Ukiwaona vitambi kama ndama kumbe riba 😢😢😢
@Narubega-ql3dz
@Narubega-ql3dz 2 ай бұрын
Kama ndama kweli wana mitumbo kwa kula haramu
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 Ай бұрын
Yaan makondq adi machozi yanamtoka. Pambana kaka mungu akulinde.
@boazmsechu6134
@boazmsechu6134 Ай бұрын
Pole Sana Rafiki yangu Shelutete Mungu atakupigania
@saidmushehe
@saidmushehe 2 ай бұрын
Huyu jamaa akigombea urais Nampa kura yangu...mama yangu mzazi
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Ай бұрын
Mimi nitakuwa chawa wake wa siri na atashinda kwa kishindo kikuu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 2 ай бұрын
makonda utachoka kwenye mapambamo ya nchiii hii ukoo mwenyewe unapambana yani nchii hii imeozaa kila kona malalamiko
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Akina chatanda ndo wanatembeza tu makalio..eti mwanamke kadhalilishwa..
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
​@@josephlorri431😂😂😂😂
@user-wb9gy2xx3p
@user-wb9gy2xx3p 2 ай бұрын
Mmmmhhhh Unapigwa mawe ila tunaona unayoyatenda Rc Makonda
@RenaldaMtui
@RenaldaMtui Ай бұрын
Mhe Makonda unafaa kuwa rais wa nchi maana unajua kufatilia haki za wanyonge na kutenda !! Mungu akuweke miaka elfu
@veronicambilinyi3854
@veronicambilinyi3854 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie Ulinzi ,Rais ajae Makonda.
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Jamani makonda mungu akusaidie
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
Chatanda mpuuzi sana anataka watendaji wa serekali warembwe kwa upuuzii huu
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 2 ай бұрын
Mkurugenzi tatizo litakalomponza ni kuingiza maslahi kwenye malipo anayotakiwa kuyafanya. Kazi ya aina hiyo (inayohusu kuwalipa watu ambayo niliwahi kuifanya) usimuangalie mtu. Panga ratiba kulingana na siku dai lilipoingia. Unapopata pesa unaanza kulipa lililoingia mwanzo. Ukiingiza urafiki au ukabila au undugu matokeo ndio hayo.
@user-mt5qu8lu7c
@user-mt5qu8lu7c Ай бұрын
Makonda anafanya kazi mungu atakulipa
@EliamaniLema
@EliamaniLema 2 ай бұрын
Mweshimiwa awa wakurugenzi ikiwezekana chapa na viboko kuwafokea tu haitoshi wanaumiza sn mkuu
@ShamsiKasoma-fn4cl
@ShamsiKasoma-fn4cl 2 ай бұрын
Makonda ni kiongoz mzuri mungu akujalie jaman
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 2 ай бұрын
Wanapiga makelele tu lakini Makonda Mungu atakupigania kama inavyo wapigania wananchi nakupenda makonda
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh 2 ай бұрын
Sasa tunaelewa kwanini mama kampeleka makonda Arusha watendaji Arusha wameoza hakuna cha haki za binadamu wala upuuzi gani haki za binadamu kwa watendaji tu walioiba mil 52 kwa wananchi hazipo makonda wapige spener na mungu atakulinda wewe na mamaetu samia na macho ya watu wenye hasadi.
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 Ай бұрын
Ukiona Mwanaume analia!!! 🤔Ujue Kuna jambo😢😢😢pole sana Kwa huyu kaka, haki Yako itapatikana, ndio wakati wake huu sahihi😢
@user-pu9wf7zs5w
@user-pu9wf7zs5w Ай бұрын
Aisee brza makonda chapa kaz wanyooshe uko mungu atakujalia uwe ngazi ya juu miaka ijayo
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Yani yakipewa vyeo yanajiona ni kama miungu majizi makubwa
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 ай бұрын
Harafu wanatokea mama mmoja wanasema Kuna watu wanadharirishwa ante tea ujinga anaacha watu wateseke
@user-pu9wf7zs5w
@user-pu9wf7zs5w Ай бұрын
Ukiona ivo ilo lijizi pia
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 2 ай бұрын
Nakuomba raisi wangu ucwasikilize watu wanaye mpinga makonda tena wakija uwaweke ndani sero kabisa
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 2 ай бұрын
Machozi yananilenga sana. Nahisi kulia.
@Moteswa
@Moteswa Ай бұрын
Daah inasikitisha sana. Machozi yamenitoka
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Ай бұрын
Yaani nimejikuta natokwa na machozi kwa maelezo ya huyo kaka duuuu!
@GulatoneMasiga
@GulatoneMasiga Ай бұрын
Kazi Iendelee Komredi Paul
@johnsonpatianus7583
@johnsonpatianus7583 2 ай бұрын
Dah mwamba Mungu azidi kumbariki
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 2 ай бұрын
Wale waliosema makonda anazalilisha waje hukuu au wavaee viatuu vya huyu bwana
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 2 ай бұрын
Wanawake mnaosema makonsa anawadhalilisha Mungu anawaona.hebu ona baba huyu.
@BaltazarSavinndowo
@BaltazarSavinndowo Ай бұрын
Haya maisha MUNGU naomba utiye nguvu mtanzania huyu
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Ай бұрын
Watu wengi Wana mengi Sana kila mkuu wa mkoa akisikiliza wananchi atajua Kuna DHULMA sana
@Naju645
@Naju645 2 ай бұрын
Makonda ikifika muda wakugimbea urais Kura za familia yangu zote nizako
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 Ай бұрын
Makonda kapata baraka zote na kuwekewa mikono na watumishi wa Mungu , naye Mungu akampa kibali
@MunirAbdullah-sy8ks
@MunirAbdullah-sy8ks 2 ай бұрын
Uyu ni mwamba Allah ampe mwisho mwema
@nchembaa
@nchembaa 2 ай бұрын
My God..
@kimarioedifesta4161
@kimarioedifesta4161 Ай бұрын
Eliya ni makufuli na Elisha ni makonda mungu amlinde
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando 2 ай бұрын
Mmmmmmmmmmh kaka inaumiza sanaa
@narisbaraka8237
@narisbaraka8237 Ай бұрын
Huyu baba Mungu Amlinde kwakweli ni mkombozi
@IgendaDaniel
@IgendaDaniel Ай бұрын
Ni balaa 😢😢 Rais Samia teua wakuu wa mikoa wa kufaan na Makonda kdgo tutafika mbali maendeleo yatapatikan
@emmanuelyjohn3555
@emmanuelyjohn3555 Ай бұрын
Nilikuwa meneja wa ndugu Julius Joseph Shelutete. Yote aliyosema ni kweli. Tulifilisiwa na wilaya ya Monduli
@user-fy3cy5fe6q
@user-fy3cy5fe6q 2 ай бұрын
Hii nchi ngumu sana
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Ай бұрын
Sana sana tena sana!
@rahmambugi2322
@rahmambugi2322 13 күн бұрын
Hatariiii inaogopesha , mungu atajibu🙏
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Wanawake wote mliomsema Makonda kuwa anawadhalilisha akiwemo Vanesa Mdee. Mungu anawaona.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,9 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,7 МЛН
Интервью Такеру Карлсону
2:06:05
kremlin
Рет қаралды 6 МЛН