Пікірлер
@rahmambugi2322
@rahmambugi2322 2 сағат бұрын
Hatariiii inaogopesha , mungu atajibu🙏
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 6 сағат бұрын
Chawa kwenye ubora wake
@user-ek6td4kt4t
@user-ek6td4kt4t 9 сағат бұрын
Tunazidi kukushukuru Kwa kazi Yako nzuri muheshimiwa lakin wakat unaendelea kuwalinda raia wako uzidi kuwalinda watoto wetu dhidi ya suala Zima la ushoga Arusha maana Kuna habar za mtandao zinazidi kupamba moto kuhusu huyu anaejiita king of squat. Kama huyu jamaa yupo Arusha asitishe huduma zake la si hivyo wanaume na watoto zetu wa kiume tabia ya ushoga haitaisha. Endapo watu wanaohitaji hayo mazoezi Bora atafutwe mwalimu wa kike wa hayo mafunzo na pia hayo mazoezi ya kuongeza chips na makalio yawekewe sheria ambazo zitalenga wanawake na isiwe vinginevyo. Nashukuru Kwa kuwasilisha.
@dilludillu2747
@dilludillu2747 10 сағат бұрын
JPM
@LilianMkodo
@LilianMkodo 12 сағат бұрын
Ila msiangalie wasanii wakubwa tuu jamani ukuangalia hata walioenda Korea ni wasanii wakubwa tuu sio kweli
@Ushauri235
@Ushauri235 8 сағат бұрын
Watanzania jamani nikusifia tu hata hujui nini kinawafanya wawe ivo je serikali Yao ni yetu huku jiulize hayo maswali
@MurulaAhmadi
@MurulaAhmadi 19 сағат бұрын
Toka Kasmwa Hongera Sana MAKONDA mungu akupe maisha marefu uweze kuendera kutatua matatizo yawananchi wa Arusha
@devidnchumbo4923
@devidnchumbo4923 20 сағат бұрын
Kati ya viongozi wanao mwakilisa Vyema Raisi wetu ni Makonda number 1
@AmosChege-n7u
@AmosChege-n7u 20 сағат бұрын
Mpina wewe ni mzalendo tuko pamoja na usikate Tamaa gombeeni na makonda urais tutawapa kura ni
@mbantu5704
@mbantu5704 21 сағат бұрын
This is so true....they always stick together.😂😂😂😂
@gambanguku6518
@gambanguku6518 23 сағат бұрын
Wanasiasa ndio ni matajiri na ndio wenye mishahara mizuri zaidi . Kuliko wafanyakazi wa kawaida wa serikali Hili nalo ni shida
@oliverwhite1676
@oliverwhite1676 Күн бұрын
Siyo bandari tu.! Wa masai loliondo huo wote upigaji lakini mungu yupo ahsante
@MsumalAloyce
@MsumalAloyce Күн бұрын
Anaemshambulia makonda,bora afe
@user-dt7ec3tr2v
@user-dt7ec3tr2v Күн бұрын
Tatizo sisi watanzania wengi wao niwahali ya chini sanaaa ivyo huperekea hata watumishi kujiusisha na vitendo viovu😅😅😅😅
@user-gv3bv5cu2z
@user-gv3bv5cu2z Күн бұрын
Asante makonda. Kazi. Inaonekana. Asante. upewe. maua. yako❤❤
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr Күн бұрын
Wanajuana wote ndio maana hakuna majibu sahihi,nchi ngumu sana hii,tutafika pale tu tutakapojitambua
@billmike8441
@billmike8441 Күн бұрын
Tunapata wapi maaskari matajiri wakati watanzania wengi familia ni maskini
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 Күн бұрын
MIMI MUNGU I wangu akupe uraisi mankonda
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Күн бұрын
Tukubaliane tuuu, hii nchi rushwa ni kubwa sana, bora tukubaliane takukuru haijulikani inafanya kazi gani. Bora mkuu wa mkoa una huruma, wengi wakishapewa hela maskini hanaga haki.
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo Күн бұрын
Mungu awalinde watenda haki woteee. Amen
@user-hl1sb2xq7h
@user-hl1sb2xq7h Күн бұрын
Well and done Mr Makonda ✓
@user-hl1sb2xq7h
@user-hl1sb2xq7h Күн бұрын
That's true my dear 👍
@margaretchikunichirwachirw1094
@margaretchikunichirwachirw1094 Күн бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@jokhamohammed976
@jokhamohammed976 Күн бұрын
Swadactar 👌
@WilhelmPetro
@WilhelmPetro Күн бұрын
Makonda oyeeeeeee inatakiwa
@wizdannymoshi3132
@wizdannymoshi3132 Күн бұрын
Nakukubal xana pg kaz
@KassimJabu
@KassimJabu Күн бұрын
Nisahihi 2
@KassimJabu
@KassimJabu Күн бұрын
Ni rais wamkoa anauwezo2
@SosipeterAlex
@SosipeterAlex 2 күн бұрын
Kwakweli wewe ni kiongozi sahihi kwa wakati sahihi Bwana akubaliki sana na akulinde katika kiongozi wako aduwi wasipate nafasi endelea kuchapa kazi binafisi naendelea kukuombea
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 күн бұрын
Sasa jeshi likifanya biashara na sisiraia tufanye Nini unakuta jeshi linafanya biashara ya baa siyo vitu adimu hata matofali viwanda vya tofali ni vingii kuliko wateja pia baa siyo hitaji la msingi Wala ukumbi wa harusi tuachieni sisi raia jamani na Kodi zetu ndio zinazo walipa yie Sasa mnatunyanga Tena wateja acheni serikali ikusanye Kodi isifanye biashara pamoja na vyombo vya ulinzi
@hassanikihale1404
@hassanikihale1404 2 күн бұрын
Hongera sana mkuu wa mkowa
@user-dt7ec3tr2v
@user-dt7ec3tr2v 2 күн бұрын
Broo uko vzuri unacha kz kweri kweri endlea kuchapa kz mkuu
@josephlorri431
@josephlorri431 2 күн бұрын
Hii approach ya makonda kwa miradi mikubwa ya serikali ni kama ya JPM..kutumia vikosi vya jeshi. Kwa mpango huo ni vigumu pesa kuja kwa wananchi...makampuni wananchi itumike kufanya miradi mikubwa..watalipa kodi,wataajiri vijana, watauza vyakula nk ili kuongeza mzunguko wa pesa mtaani
@mariamshabani7107
@mariamshabani7107 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@victoriamachunde4365
@victoriamachunde4365 2 күн бұрын
Mungu akulinde Mr Makonda.
@abdiwahabibrahim1561
@abdiwahabibrahim1561 2 күн бұрын
Pastors wengi ni wezi😂😂😂
@JacksonMtese-gn4so
@JacksonMtese-gn4so 2 күн бұрын
I think this is similar to UPDF
@MahdouMomba
@MahdouMomba 2 күн бұрын
Kwanini wakuu wa mikoa mengine msiwe kama huyu mwamba hapa, wakuu wa mikoa mnakwama wapii, chukueni hiii spirit muiokoe nchi, nchi inahitaji maendeleoo, tuko nyuma sana, tuko nyuma ya muda.
@hefintus
@hefintus 2 күн бұрын
Huyu jamaa atakuja kua Rais kwenye hii nchi,haya maneno yangu naombeni myaweke mahali Kuna siku isiyokua mbali sana.
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 күн бұрын
Congratulations
@rahmambugi2322
@rahmambugi2322 2 күн бұрын
Makonda amri yangu akmaliza mama samia natamani uwe Rais wetu🙏
@user-jf1sq7lk4g
@user-jf1sq7lk4g 2 күн бұрын
Good job
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 2 күн бұрын
Umenifanya nifurahi
@Ratifahmauridy-pk8ul
@Ratifahmauridy-pk8ul 2 күн бұрын
Pole sana mamaang
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 2 күн бұрын
Jembe kazini.
@johnnziku5810
@johnnziku5810 2 күн бұрын
Good
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 2 күн бұрын
Polisi baadhi wanamtengenezea mtu kesi kweli mh,.adi huruma mtu anamfanyia mtu kitu kibaya yeye anakwenda kutoa tu taarifa yake ya uongo na kusababisha hao polisi kumhadhibu au kumpiga bila kufuatilia je ni kweli ama c kweli inauma, unakuta hugo polisi kapewa elf 10 unampiga mtu bila kuwa na ushahidi wa jambo Mh makonda tusaidie hilo watu wanateswa sana hawafuati haki kbs, mm nimeliona hilo
@Afrikanuspatrickmathayo
@Afrikanuspatrickmathayo 2 күн бұрын
Uhamie kigoma iri nasisi utuondoree uchafu uriopo kwenye mkowa wetu
@EmmanuelMsangi-kb3vv
@EmmanuelMsangi-kb3vv 2 күн бұрын
Amina
@user-we3jz3yr3x
@user-we3jz3yr3x 2 күн бұрын
Magufuli mtupu