No video

MAKONDA AONGOZA KUTIMUA VUMBI ZA PIKIPIKI ARUSHA| MWAMPOSA NDANI

  Рет қаралды 1,611

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Mashindano ya mbio za pikipiki yanayojulikana kama Samia Bike Championship yamefunguliwa rasmi huko mkoani Arusha nakutarajiwa kujumuisha mamia ya wapenzi na washiriki wamchezo huo kutoka ndani na nje ya mipaka yaTanzania.
Akifungua mashindano hayo Mkuu wa mkoa wa Arusha Poul Makonda ameeleza mashindano hayo yataongeza weledi na ufanisi kwa madereva wa bodaboda,mbali nakusafirisha abiria wataweza kujiingizia kipato kupitia mchezo huo.
Kwaupandewaowashirikiwamchezohuowanaelezakuwakuimarishwakwamiundombinuyauwanjawamashindanoyapikipikikutasaidiakuchocheahamasakwawashirikinakuupaheshimamchezohuohapanchini.
Kampuni ya usambazaji wa vilainishi kwenye vyombo vya moto ya Oryx ni miongoni mwa wadau waliojitokeza kuunga mkono serikali katika kufikiwa kwa malengo kusudiwa.
Mashindano hayo uamejumuisha washiriki kutoka ndani na nje ya mipaka ya Tanzania na hivyo kuyapa uzito mashindano hayo.
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 1
@MaulidiMsingwa
@MaulidiMsingwa Ай бұрын
da makonda mungu akubariki sana.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,7 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
The Match That Made Ronaldinho Retire
13:33
BR7 Football
Рет қаралды 1,2 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН