MWANANCHI AMKOMALIA MAKONDA MBELE YA WANANCHI /MIMI MTATA/UNANITISHIA KUNIROGA/SIWEZI KUMRUDISHIA.

  Рет қаралды 573,586

KUSAGA TV

KUSAGA TV

5 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 455
@hosianaminja7034
@hosianaminja7034 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂mikutano ya Makonda inafundisha sana
@DAVIDLUTHA
@DAVIDLUTHA 4 ай бұрын
Licha yakufunfdisha inasaidia wanyonge kupata haki zao laiti kiongozi Mkuu wanchi angekuwa hivi natumaini kuwa hakuna ufisadi hakuna utapeli hakuna mwananchi mdogo kuonewa migogoro ya mashamba viwanja kubomolewa majumba kwakwe ingekuwa hakuna kila mwananchi angepata haki
@godfreyopiyo4840
@godfreyopiyo4840 3 ай бұрын
​@@DAVIDLUTHA😢😅😢😢😢
@calvin849
@calvin849 Ай бұрын
¹​@@godfreyopiyo4840
@nicebeautyfragrance6575
@nicebeautyfragrance6575 Ай бұрын
dad naomba namba yako
@daudsalim6665
@daudsalim6665 Ай бұрын
Vßq​@@godfreyopiyo4840uy😅 be
@veronicaoman8764
@veronicaoman8764 Ай бұрын
Makonda unajuwa kuwabana aiseee Mungu akupe maisha marefu uendelee kytutumika wananchi
@topmanyota6760
@topmanyota6760 4 ай бұрын
Makonda unajua unajua na unajua tena hongera sana
@user-jg7tr4cc4m
@user-jg7tr4cc4m 5 ай бұрын
Mungu akulipe makonda unafanya kazi kubwa sana😂😂😂😂
@evodiuskalema2123
@evodiuskalema2123 5 ай бұрын
Nakuelewa saana Paul makonda na tunakuelewa wananchi wa chini saaana Mungu akulinde makonda❤
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 5 ай бұрын
Yani angepata uraisi huyu aseee
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 5 ай бұрын
Kiukweli mm moyo wangu unatamani awe na urahisi
@raymondkaria1451
@raymondkaria1451 5 ай бұрын
Ndg Paul Makonda nakuelewa sana Mungu akulinde na Kukuongoza kaka
@noelnoel4916
@noelnoel4916 5 ай бұрын
Makonda umeisha mshika huyo amekubali mil6 na 8. Makonda kashika tayari huyo. Hongera mh makonda
@JaneBukuku-sy5pc
@JaneBukuku-sy5pc 5 ай бұрын
Unatete nchi baba makoda nimekubari sana dogo
@JoshuaNdunduru
@JoshuaNdunduru 2 ай бұрын
😊
@user-yy1qr5bx9m
@user-yy1qr5bx9m 5 ай бұрын
Makondo MUNGU akutunze mimi mtani wako (gogo) nakuombea sana ni kazi njema kusikiliza kelo za wananchi.
@user-pw9pz5gj3s
@user-pw9pz5gj3s 5 ай бұрын
Makonda Asante Sana kwakuwepo ukovizuri sna
@ramadhanseif4178
@ramadhanseif4178 5 ай бұрын
Viongozi wetu mtutembelee ss wananchi wenu kamahivi makonda ww mungu akuongoze
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 5 ай бұрын
Nampenda sn Makonda, piga kazi Baba!
@RonicaKolimba-ne3zh
@RonicaKolimba-ne3zh 3 ай бұрын
Pmoooo
@awdhiamiri7451
@awdhiamiri7451 5 ай бұрын
binafs namuelewa muenezi kazi ipo
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 5 ай бұрын
Arafu yanatokea majizi yanajitokeza kusema Makonda anaalibuchama. Makonda piga kazi
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 5 ай бұрын
Ndio muelewe mijizi hinakimbiliaga ccm kuficha maovu yao,,
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 5 ай бұрын
Mitapeli na kila takataka ipo ccm
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 ай бұрын
​@@stellahwilfred5762chadema poleeeeee😂😂😂😂😂😂
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 ай бұрын
yeah nimegundua kule wanajificha ili waogopwe kwa sababu ya umaarufu wao wa kwenye chama
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 5 ай бұрын
Makonda MTU makini mno.Maswali yako ni hakika na yaliyonyooka.pokea🎉🎉🎉🎉
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 ай бұрын
Jamaa ana uwezo mkubwa sana wa hoja kuwazidi wasomi wengi mno
@VictoriaKetegwe
@VictoriaKetegwe 5 ай бұрын
Mungu akulinde mhe.Makonda ..Mhe.mama yetu Samia Mungu akulinde.tutatua matatizo ya wananchi.5 Tena mama
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n Ай бұрын
Wamekutana janja na janjaule..
@Richardkomanya
@Richardkomanya 4 ай бұрын
Makonda na Mimi napendaa kuwa kama wewe nifanyie mpango hapo
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr 15 күн бұрын
Hiyo ni neema na elimu pekee
@thebigbrightertz
@thebigbrightertz 4 күн бұрын
Wewe Karine uko
@user-pw9pz5gj3s
@user-pw9pz5gj3s 5 ай бұрын
Unafaa kuwa Raisi wa tanzania 😂😂
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 Ай бұрын
Makonda akili nyingi sana mtu wa kawaida kawaida tu hii kazi haiweziii uuwii 🙌, ku deal na jamii face to face na muafaka unapatikana hapohapo siyo rahisi, makonda for everybody makonda forever 🔥
@TitoHalinga
@TitoHalinga 28 күн бұрын
Nimeipenda hiyo
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 5 ай бұрын
Rais Rais Rais ninakuomba umpe Makonda cheo awasemee wananchi Hawa, tazama Bado tuna Imani kubwa na chama cha Mapinduzi.❤❤❤❤❤❤
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 ай бұрын
Uyo jamaa ni tapelii
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 Ай бұрын
Sema unaiman na Chama usitujumuishe na sisi bhaana
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 2 ай бұрын
Asiye na shule anafanya makuu,Hongera RC Poul Makonda,mtu ana aibu eti usichanganye mkuu hataaoni haya ukweli siku zote utabaki na huongo unadhirika waziwazi,na rudi tena kusikiliza tena siasa baada ya Jpm .
@petersilas4234
@petersilas4234 2 ай бұрын
Matatizo ya kesi za majukwaani, kangaroo courts.!?😂🤣🤣
@Zubaiba
@Zubaiba 10 күн бұрын
Patamu sana apo😂😂🎉🎉🎉🎉
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 5 ай бұрын
Hii aibu kwa mahakama na polisi watu hatuna imani nao maana haki ni pesa
@abdurazackimimu7743
@abdurazackimimu7743 4 ай бұрын
Mimi nilishadhurumiwa kiwanja na kuuziwa na mwenyekiti wa kijiji ila kwa sasa ni marehemu Mwenyezimungu amsamehe dhuruma ni mbaya sana nikikumbuka nilivyoitafuta hiyo hela kwa shida daaah!
@user-yb8pk6cv7f
@user-yb8pk6cv7f 4 ай бұрын
Pole sana
@giftndunguru7366
@giftndunguru7366 Ай бұрын
Pole Sana😭
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 5 ай бұрын
nitapeli huyo maana anavyo jikanyanga😂
@DAVIDLUTHA
@DAVIDLUTHA 4 ай бұрын
Fanya kazi Makonda nimekubali uko vizuri
@GilbertOkoth-hr6rm
@GilbertOkoth-hr6rm 4 ай бұрын
A
@user-vy6vq2fp5w
@user-vy6vq2fp5w Ай бұрын
Hii kesi ningepewa kuiamua mmi angependa huu mzee tapeli
@zuwenaissa8628
@zuwenaissa8628 5 ай бұрын
Nakuombea sana ufike mbali
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 5 ай бұрын
Mbona Watu Mnasema Habari Za Mahakama Nyerere Alisema Muda Mwingine Kiongozi Uwe Kama Chizi Ndipo Watu Wakuelewe Sasa Kama Mahakamani Shelia Za Kesho Keshokutwa Wacha Raisi Apitishe Kauli Yake Na Ya Chama Alafu Vizuli Zaidi Wananchi Ndio Wako Kwa Ajili Ya Kujua Tuliowapa Zamana Wanafanya Mambo Gani Haki
@willymtewele1869
@willymtewele1869 5 ай бұрын
Chama ccm kimejigeuza kuwa mahakama? Jaji mkuu upo wananchi tusiojua sheria tunaomba ufafanuzi wako
@mussakeston5768
@mussakeston5768 5 ай бұрын
Mahakama hawafany kazi
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Ай бұрын
Wewe nawe unatakiwa kupigwa Spana
@charlesmarwa6448
@charlesmarwa6448 5 ай бұрын
Huyo mzee ni kibaka kabisa.❤❤❤🎉😢😢😢😅😅😅
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 5 ай бұрын
Nakuona magufuli wa sasa❤❤❤😂😂😂😂
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 4 ай бұрын
Mtapeli Huyo
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 ай бұрын
​@qonquererqanquerer178achha wivu weweeee😂😂😂😂😊1
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v Ай бұрын
Makonda mungu akupe maisha marefu umefata nyao za magufuli twakupenda sana
@ayubzaka1598
@ayubzaka1598 5 ай бұрын
Bongo hakuna sharia kabisa mambo ya zamani sana
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 5 ай бұрын
Makoda mdogo wangu pigakazi wengi nimatapeli wanatuaribia chama wanyonyoe hao
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 2 ай бұрын
Makonda bana😢
@ElidaimaMsuya
@ElidaimaMsuya Ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa a
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 5 ай бұрын
Haya ni maigizo ya wazi😂
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 29 күн бұрын
I love this guy makonda the spirit of Magufuli lives
@user-uf6ni7wn4u
@user-uf6ni7wn4u 4 күн бұрын
H😂😂😂😂😂😂😂😂 huyooo muzee kayakanyaga kwer kwer
@IbraZeboy-fu3js
@IbraZeboy-fu3js 5 ай бұрын
baada ya makufuri ni wew kazi kazi
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 5 ай бұрын
Tusaidie baba, Mungu akutunze baba.
@JoyceMziray
@JoyceMziray 7 күн бұрын
Alisema hajapewa hata senti moja😂😂😂😂😂
@cristianamos8790
@cristianamos8790 5 ай бұрын
Kunawatu wana yatimba live live
@Rodahpaschal
@Rodahpaschal Ай бұрын
Hahaha😂😂😂😂 hyo ndyo tunduma usikute mzee wawat kavurugwa
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Ай бұрын
Mzee wa watu kavurugwa eti eeh😅😅
@JaneBukuku-sy5pc
@JaneBukuku-sy5pc 5 ай бұрын
Nakupeda sana makonda washa toshi makongoroshi chunya 15:54 😅
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
Wezi tu watumishi 😂😂😂
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Kumbe unafanya Kampeini siyo kuwa unafanya kusaidia watu matatizo kumbe ni njama tu. Pole sana
@JamalDaudlulyeho
@JamalDaudlulyeho Ай бұрын
Me naomba viongozi wapuuzi wenye kuonea wanyonge wachapwe na viboko
@user-kz2lu7yo3f
@user-kz2lu7yo3f Ай бұрын
Baba gombea urais tutakupa, yaan
@mercyherbert8978
@mercyherbert8978 8 күн бұрын
Kaka yangu ilimtokea kapoteza eneo kachukua mtu tumemwachia Mungu tulizunguka kote yan inauma
@b.firinga2739
@b.firinga2739 Ай бұрын
Mungu akulinde makonda mimi naamini utafika mbali
@JUMAAKISHOME
@JUMAAKISHOME 12 күн бұрын
VGS.koronge.kumarizika.katikakiwanjacha.mageze.koronge
@KakaVds-k5j
@KakaVds-k5j 18 күн бұрын
Chaps kazi kaka nakukubali
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 5 ай бұрын
Kuna Watu Eti Ho Kwanini Mambo Yanaishia Jukwaano Wakati Wana Shelia Wapo Na Shelia Zipo Sasa Kama Wanashelia Mpo Mbona Watu Wanalalamika Mambo Yao Ya Muda Mlefu Ana Awajapewa Izo Shelia Iweje Sasa Rungu Kutoka Kwa Raisi Liko Njiani Mkoa Kwa Mkoa Ndipo Mnasema Shelia Acheni Kauli Ya Raisi Ifanye Kazi Yake
@FatmaChezo
@FatmaChezo 5 ай бұрын
Kabisa
@PAULNZUYU
@PAULNZUYU 5 ай бұрын
Sheria ifuate mkondo
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 5 ай бұрын
VYOMBO KUKOSEKANA KUWASAIDIA WATU, WAMEKUWA KAMA KONDOO WASIO NA MCHUNGAJI..
@pilladtradersupdates6568
@pilladtradersupdates6568 5 ай бұрын
Matapeli ni wengi TANZANIA
@user-zu9jg8hx5l
@user-zu9jg8hx5l 5 ай бұрын
MH MAKONDA USIRUDI NYUMA WANANCHI TUNAKUPENDA
@modestbartholomew1731
@modestbartholomew1731 11 күн бұрын
Huyo mzee inaonekana tapeli,mara kapokea million 10,mara butter trade
@PaulTajiri-vu4xu
@PaulTajiri-vu4xu Ай бұрын
Makonda shikomoo kaka yangu kuja lengijavi ameasa kuchagamka vika kabisa barabara ameasa kutegenesa kuja kata ya ilikurot sisi vijana tunachagia pesa kujenga mbomba ya maji gombe akikula pesa uhuru kuja tu kaka hawa anatoa kitambi tu
@makantaafrika
@makantaafrika 4 ай бұрын
Hahahahaha kwa hiyo hapo ndiyo mahakamani???!!!! Tanzania Elimu bado sana!
@IrenaFrance-zk8sf
@IrenaFrance-zk8sf 7 күн бұрын
Sio mahakaman bali wanatoa Kero zao Kwa uongoz wao
@esterMahenge
@esterMahenge Ай бұрын
Makonda ni mtu na nusu❤❤😂😂🔥
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 5 ай бұрын
Mahakama za mikutanoni haziwezi kumaliza malalamiko ya watu, kila mtu atimize wajibu wake, inawezekana.Ya Mh Makonda uwe ni mfano.
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 5 ай бұрын
Uyo ametumwa wewe uwezi kumpangia ccm wamezoea kuwachezea wananchi
@judicalosika7642
@judicalosika7642 5 ай бұрын
​@@jakobongwara3038 😂
@LinaSalimu
@LinaSalimu Ай бұрын
baba yangu haki niyako.kosalako nikutokujuwa kuji eleza
@ElizabethMushi-cl5jc
@ElizabethMushi-cl5jc 5 ай бұрын
Uliaandikaje mkataba bila kupewa pesa
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 5 ай бұрын
Na mimi nimewasha ukuu sijui kama imeonekana.
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Ай бұрын
Maelezo ya mzee ni tofauti na mnakotaka kumpeleka?
@NgongwaNasoro
@NgongwaNasoro Ай бұрын
Makonda Fanya Kaz baba Mnguhakulinde Hakuzidishie Nguvu
@workshopMayunga
@workshopMayunga Ай бұрын
Mungu akulinde sana faza makonda
@marselinerfoi8611
@marselinerfoi8611 Ай бұрын
Ifike mahala tuache kuangalia PHD,MASTERS NA DEGEEE.Tupime Uwezo! Natamani Wabunge na Wakuu wa Wilaya watoke Maofisini wafanye kazi! Hizi ndo kazi wananchi wanahitaji!
@StephanoZayumba
@StephanoZayumba 5 күн бұрын
Makonda Mungu yupo pamoja na wewe
@peninahjames-oq5iv
@peninahjames-oq5iv 10 күн бұрын
Makonda namimi kesi yangu hiyohiyo naphtali baba
@myself4128
@myself4128 15 күн бұрын
mtu akinidhulumu Ardhi napiga Risasi Tena anitishie kuniua?sijibizani nae napiga 3 tunazika,Samia Hatumpendi sababu Hatujamchagua!! CCM tumeichoka kwa kweli msidanganyane mmeshindwa kutatua migogoro hata ya umeme miaka60 leo hii mtatuongopea nini?Magufuli alijaribu lakini wengine wote vioja tuu
@djbahangala4729
@djbahangala4729 Ай бұрын
Kazi safi 💪💪💪💪
@mwajumajuma1797
@mwajumajuma1797 Ай бұрын
Tunanyanyasika sanaa kuhusu viwanja jaman yaan mtusaidie tu kwa kweli tunatesekaaa wananchi jamoniii😢😢😢😢
@piusprospa8832
@piusprospa8832 5 ай бұрын
hii kweli nikomedy Makonda anacho kifanya nikukuwaanda watu ndani ya chama hala kipindi cha mkutano marumbano yanzia apo na wtz kwasababu wanapenda comedyiy watajaa tu
@samsonmweta5040
@samsonmweta5040 2 ай бұрын
Wameshajaa, tumesahau bei za mahitaji muhimu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Ай бұрын
Back 2 back nimeikubari siku uje dar uku tukupe vimeo vyetu we najua unapasau papo hapo na cc ndo tunapenda
@katondostudio652
@katondostudio652 5 ай бұрын
Makonda jamn. Kuna zawadi yako mbinguni
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj 16 күн бұрын
Huyu jamaa yupo juu SANA kiuongozi!!
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 Ай бұрын
😂dah,taratibu baba ila makonda htree Nakuombea mnoo
@bensonnjoroge8829
@bensonnjoroge8829 23 күн бұрын
Watching from Kenya but Tz need to be educated especialy the Gen-z
@aframhenga8705
@aframhenga8705 14 күн бұрын
Makonda Mungu akutunze
@gracemwaikuka8726
@gracemwaikuka8726 Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mwenexi
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 17 күн бұрын
😢mzee kajichanganya kapewa hela kumbe .
@NaftalMsumanje
@NaftalMsumanje Ай бұрын
Magufuli na nyerere amerud tena
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 5 ай бұрын
Hilo xee ni jambaxi limeonea wengi sn,leo Mungu kawaonekania.
@SalmaMasabile
@SalmaMasabile Ай бұрын
Unamjua??
@EliakimKibiki-wl8yb
@EliakimKibiki-wl8yb 5 ай бұрын
Sahih
@peninahjames-oq5iv
@peninahjames-oq5iv 10 күн бұрын
Unafaa sana❤❤
@NazirWaijaa
@NazirWaijaa 2 ай бұрын
Good approach
@witnesskessy9705
@witnesskessy9705 Ай бұрын
Hatari na nusu baba ajui kujielezea amekataa amekubali Tanzania siami hii nchi kila siku ni comedy😂😂😂
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f 11 күн бұрын
Hahahaha
@user-it4uh7vu5c
@user-it4uh7vu5c 5 ай бұрын
Shule ni mgogoro vichwani mwa watu, hivi kweli mambo ya kisheria yataishia majukwaani? Hivi watanzania nani ameturoga?
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 5 ай бұрын
Wajinga wanadhani wanamalizia jukwaani akiamua tu asubuhi naingia mahakamani Sheria haimtambui mwenezi
@nkwabijoseph9974
@nkwabijoseph9974 5 ай бұрын
Mahakamani kama huna pesa au ndugu aliyoko selekarini haki huwezi kupata, watu wanapenda luswa sana
@user-it4uh7vu5c
@user-it4uh7vu5c 5 ай бұрын
@@nkwabijoseph9974 hiyo ndiyo ccm,kwani unafeli wapi? Hao jamaa ndiyo wametufikisha hapo
@NeemaMassawe-qg6kf
@NeemaMassawe-qg6kf Ай бұрын
Makoda ww ni makofuli munqu akubarki baba😊😊
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 2 күн бұрын
Anaekuchukia ni mchawi muheshimiwa makonda
@KornelioAlexander
@KornelioAlexander 11 күн бұрын
Ccm oyeeee kazi iendelee
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 5 ай бұрын
sasa bwana makonda wewe ndio hakimu? haya mambo ni ya kimahakama lakini nyie chama mmepora uhuru wa mahakama leo wananchi wanaogopa mahakama
@obbytouchez_pro9430
@obbytouchez_pro9430 4 ай бұрын
Yaani Tanzania hii nzuri sana nyie mpaka nimeangalia mpaka mwisho 😂😂😂😂😂😂
@mahamudabiibmohamed6494
@mahamudabiibmohamed6494 Ай бұрын
Vitimbi vya makonda akiingilia kazi za mahakama
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 32 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 75 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 15 МЛН
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 32 МЛН