Hongera sana mdogo wangu Makonda. Ubarikiwe sana mtumishi wa wanyonge
@user-dt7ec3tr2vАй бұрын
Hongera sana👏👏👏👏👏 mtetezi wawanyonge mwenyezi mungu Akurinde pia Akuepushe nabaraa🤲🤲🤲🤲
@user-xk7vy4gb6gАй бұрын
Hongera sana Mh Makonda Mungu akulinde kwa kujali afya za wananchi ningekuwelo ningekuja wallah
@malupex6299Ай бұрын
Hongera kiongoz kwa kujali afya za watanzania. Mungu aendelee kukutia nguvu na kukubariki kwa wema wako.
@silasdominic5309Ай бұрын
Hongera sana Kiongozi, mwenyezi Mungu akubariki sawasawa na mapenzi yake.
@user-dt7ec3tr2vАй бұрын
Endlea kutenda wema na wewe utalipwa wema na Allah🤲🤲🤲🤲 wema unaotenda sio kwaajiri ya leo😢 ni kwaajili ya kecho utakapoulizwa ujibu
@josephsighis8185Ай бұрын
Wewe ni mwamba kabisa na mungu atakulinda Daima
@gibsonsimburya5291Ай бұрын
Ila makonda ni mwamba
@shabanramadhan7632Ай бұрын
❤
@kaguripenina63Ай бұрын
Siasa hiyo ili watu tusahau sio kweli et .
@abaskhatoon9425Ай бұрын
Piga vita vape imezidi Arusha kwa wtt wa shule fungieni isingie kwani inauzwa hata vibandani watoto wetu wajukuu wataishia mda mfupi ni kitu kibaya sana.tunawaomba mjitaidi isingie huku Tanzania.
@mataypanga5262Ай бұрын
Huduma gani na kwa muda gani au wizi tu, baada ya wiki nani atatibu😂
@MohammedAwadh-gq9siАй бұрын
Unaumia ukiwa wapi? Hata matibabu yangekuwa ya SAA 1 ni matibabu tu ,au unataka wakutibie huo ukimwi ! Huo hauponi kabisaaa labda ujiandae kufa tu
@mataypanga5262Ай бұрын
@@MohammedAwadh-gq9siUkimwi utibu wa mamako
@mataypanga5262Ай бұрын
@@MohammedAwadh-gq9siHalafu hayo matibabu ya siku mmoja,siku nyingine akutibu shetani?
@MohammedAwadh-gq9siАй бұрын
@@mataypanga5262 ikibidi ! Wewe hata utibiwe miaka ,ugonjwa wa akili unaendana na mwezi ,sasa utawezekanaje? Labda mwezi usiandame tena ndio utapona
@yugemasanza1008Ай бұрын
Wewe usiye na shukurani so uwaache wenzako wakatibiwe ubaki na huo uzima wako maana wazima huwa wanajua kutamba sana kabla hayajawafika.