Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule. Mathayo 24:24
Пікірлер: 10
@thomasgervas588310 ай бұрын
Amina, Asante Sana
@EvKennedyEvkennedy-pu9upАй бұрын
nimelewa kabisa Mungu akubariki
@neemanyagawa947911 ай бұрын
MUNGU atusaidie macho ya Rohoni ya muhimu Sana. Ubarikiwe Sana Pastor 🙏🙏
@SonkoJackosoni11 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi hakika nabarikiwa nikiwa kenya 🇰🇪 neno Zurich sana Mungu atusaidie tuwenze kulisikilinza na kulielewa