Nyama kg 2 beef masala 1tbsp chumvi 1tbsp kitunguu maji 1 Thom na tangawizi 1tbsp pil pil manga 1/2 tbsp Nyanya 8 ( blended or grated) Garam Masala 1tbsp Maggi star 1 Gilliland kiasi carrots 2 kubwa hoho 1+ 1/2
Пікірлер: 87
@periceshekibula80643 күн бұрын
Nice najifunza sana kwsko
@cook_with_MaiАй бұрын
Maashallah. Nice and simple❤
@mumblessed001Ай бұрын
Asante dada yummy ❤
@pikanakellie29959 күн бұрын
❤😂🎉 it tas so is
@shamlimah56826 ай бұрын
Wat I know good cook cuts carrots,green peppers big size .I like it very nice. Blend tomatoes makes good results I hate cut tomatoes in sauces.
@malkiafoods6 ай бұрын
Thank you 😍
@asifiweminja90717 ай бұрын
Barakiwa pishi liko vizuri
@abdallahyussuf98034 ай бұрын
mashaallah umeweza
@hawajumanne28487 ай бұрын
MashaAllah shukran dear
@annastazialukombe89764 күн бұрын
Asante sana sis Nmepata oda ya watu 40 kesho nkasema nikiingia kwa my wangu malkia sikos kitu kesho wateja wangu watajidai walah nitarud na bonge la feedback
@fahamunimgalawe18837 ай бұрын
Ubarikiwe ❤❤❤
@cookingwithmimmo7 ай бұрын
Imefanywa vizuri sana
@cheerfulyaaschannelАй бұрын
Yummy yummy
@user-li8lm7it9j6 ай бұрын
Me nilikuwa sijui kupika asante
@ngusakalima9899Ай бұрын
Hiisiyo supu 🤑🤑🤑💃
@user-gj8hl8ol2h6 ай бұрын
Nilipika hii na wali nazi weee👌😋
@a.8567 ай бұрын
Ahsante
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 ай бұрын
Rosti nzuri sana 😋👌
@malkiafoods3 ай бұрын
Asante sana
@ZolufaMas-ie4un6 ай бұрын
Ubarikiwe ddngu
@ZariaSalaah4 ай бұрын
Nakupenda dd naomba nisaidie nipate viungo
@user-lm4up1ld5x5 ай бұрын
Nimzuri my 💞
@husnamchumia50847 ай бұрын
❤❤❤
@user-jj3vh2jn9k7 ай бұрын
Nice one
@eternalhappiness40006 ай бұрын
Thank you so much for the recipe ,I will ask for the link of how to get that cooking pot
@mishymsuya6 ай бұрын
Yummy
@marionasoyong9466 ай бұрын
Garama salad
@bilalbizimana9806 ай бұрын
Garamasala
@ladyjackline4297 ай бұрын
❤
@grettakezimana53487 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@joshuamacha87515 ай бұрын
Very simple recipe. .....and adorable
@ZariaSalaah4 ай бұрын
😊
@user-ef5qv6qd8e21 күн бұрын
Na hangaika jaman kupata viungo viungo vitamu vya mboga
@BenadetaMashotoАй бұрын
Kitunguu making sijaona
@LamdinNjochora2 ай бұрын
Hello sorry what company name for the cooking pot you are using???
@rebecadaud64597 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana ayakumbuke nakuyatimiza mahitaji ya maisha yako Asante kwa elimu
@malkiafoods7 ай бұрын
Amina mumy. Amina
@malkiafoods7 ай бұрын
Amen
@malkiafoodsАй бұрын
ameeeen dear
@WinifridaFidelisАй бұрын
Chapati jamani
@makaaya_34497 ай бұрын
thanks dear
@Keyjop2 ай бұрын
Asantee
@user-lu1by6yp4tАй бұрын
Asante
@user-rd4ou3rb5k4 ай бұрын
Nimependa mpenzi nitajitaidi nipike ivyo
@VickKulekana-si1ib7 ай бұрын
So nice napendaga mboga mboga zilizokatwa hivyo Nene nene
@WakiliSanga2 ай бұрын
Asante dear
@QuantamQuill-z717 күн бұрын
Gilliland ni nini?
@user-rf9xt1rn3w6 ай бұрын
Ubarikiwe sana umenifundisha nashukuru
@marionasoyong9466 ай бұрын
Ginger kitungu saum onion magi star beef masala
@AshaAbdillah-gn3id7 ай бұрын
Barikiwa dear umebadilisha majiko yetu❤
@malkiafoods7 ай бұрын
Amina mumy 😍
@user-xl5cj3fv8f3 ай бұрын
Sanaaa
@sifamaureen2792Ай бұрын
Sima Iko wapi,
@sifamaureen2792Ай бұрын
Tamu saana
@DaudiMukangaraАй бұрын
Nimependa Sana hiyo malkia
@veronicatweve89087 ай бұрын
Kalimao je?😳
@neemakusenha25406 ай бұрын
Afu ni mimi nilisema dada malkia hiko kitochi😅😅😅nilijua kinamulika nyama😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅Daaah we dada nakupenda basi tu umetuinuaaa
@malkiafoods6 ай бұрын
Hahahaa. Jamanii. Sante dear
@user-br4tl7jv9j4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@malkiafoodsАй бұрын
Haahhaa.. Asante dear
@user-dx4mw7hg3v7 ай бұрын
Mungu akutunze dad
@MpikiMpiki-ge2nt5 ай бұрын
Umetisha una group ya wtsap
@sophiamtani27617 ай бұрын
Shukrani
@malkiafoods7 ай бұрын
Karibu❤
@Halymah107 ай бұрын
My 2023🏆🤍
@GloryJoseph-gv8owАй бұрын
Mafuta ya kula hujaweka boss
@MAXWELOBONGO11 күн бұрын
Imejikaanga na mafuta yake😂😂
@CosmasHagila3 ай бұрын
Kitunguu kinawekwa wakat gani
@hellendaniel38092 ай бұрын
Ameweka wkt anaanza kuchemsha
@marthakusaga61927 ай бұрын
Dadaaaaaaaaaaaaq ubarikiwe nimepika na me leo mwaka mpya wangu nmekula vzur
@malkiafoods7 ай бұрын
Hongera sana love. Enjoy
@Aminasappoo6 ай бұрын
New subscriber, nipitie pia
@bahatil59837 ай бұрын
Mafuta uliweka wakati gani?
@malkiafoods7 ай бұрын
Sijaweka kabisa kz nyama Ina mafuta
@ZulfaAnorld3 ай бұрын
Malkiafoods hiyo mboga ujaweka mafuta
@malkiafoods3 ай бұрын
Si unaona imejaa mafuta yake dear?
@ZulfaAnorld3 ай бұрын
Asante
@magnet-mt7nt4 ай бұрын
Inamaana mafuta ya kula sio lazima kutumia
@FatimaAli-of4gh2 ай бұрын
Kama nyama zinafuta huna haja kutumia mafuta ukaongeza fat kwa mwili
@KolamuWabeneАй бұрын
Ndo maana watu magonjwa yamekuwa mengi kizazi hiki mix zinakuwa nyingi kwenye vyakula,kwangu Mimi sikubaliani na mix hizo
@marrymosha361814 күн бұрын
Hadi ladha ya nyama inapotea, mi sipendi makorokoro mengi just simple is enough
@user-lu1by6yp4tАй бұрын
Mbona haujaweka mafuta?
@winfridapeter9455Ай бұрын
Kwasabu nyama ilikuwa na mafuta,hata mimi huwa napika kama anavyopika