MAMA ALIEROGEWA FAMILIA YAKE NA MTOTO WAKE WA KWANZA ANAEMTEGEMEA KUTUPIWA JINI

  Рет қаралды 98,500

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

7 ай бұрын

MAMA ALIEROGEWA FAMILIA YAKE NA MTOTO WAKE WA KWANZA ANAEMTEGEMEA KUTUPIWA JINI
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

Пікірлер: 544
@HawaAthuman-iw3sv
@HawaAthuman-iw3sv 3 ай бұрын
Baba naomba muombee mama yangu na dada yangu na familia yetu Kwa ujumla naomba tafadhari
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 күн бұрын
Kiboko ya wachawi ni nabii wa kweli 100 percent,na neno la Mungu linasema usimuache mchawi aishi,abadanya sawasawa na neno la Mungu
@fanuelmpakele9764
@fanuelmpakele9764 Күн бұрын
Umesema kweli yakiwakita ndipo wataamin .kiboko ya wachawi soga mbele kusaidia jamii ipone Amina
@EvansSeven
@EvansSeven 10 күн бұрын
Watoto Wangu warudi Kwao ,wame kwama Mombasa,warudi Mahali Niko ,waokowe Kwa uchawi Wa kila Aina in Jesus Name Ameen Asante Mungu Kwa Uzima Ulio Nipa
@zenorinamwacha8115
@zenorinamwacha8115 6 ай бұрын
Baba mungu hakutunze wewe ni mtu wa baraka Sana barikiwa namiminatamani hupaka Waka baba sifanikiwi ninavyo Tana sema neno nipokeye na Mimi baba ameeeee 18
@maryfromence
@maryfromence 3 ай бұрын
Amina mchungaji naomba na mimi nifunguliwe riziki tupate Kazi mimi na mume wangu na watoto wangu wawe na uwezo mkwubwa kimasomo maishani
@HachinaHachina-je5es
@HachinaHachina-je5es 5 күн бұрын
Naomba uniombee mm pamoja na familia yangu watoto wangu wafunguliwe kiuchumi
@user-ub7or6xw6z
@user-ub7or6xw6z Ай бұрын
Naomba mtumishi ukumbuke familia yetu,tumetengwa bila sababu😭bariki dadangu mkubwa na mtoto amechekwa vya kutosha pia jidhirishe kwa walio mwua dadangu Mary baba
@FaustaKipene
@FaustaKipene 3 ай бұрын
Naomba uniombee Mungu anifungulie milango ya baraka juu ya uzazi wangu , nmekua nikipata mimba zinaharibika lakin pia izo zinazoharibika nazipata kwa shida sana, naomba uniombee
@user-gs3ji9eg3m
@user-gs3ji9eg3m 7 ай бұрын
Tusaidie Nabii wa mungu kiboko ya wachawi naomba maombi kwa mama yangu mzazi anaumwa
@GabrielSabuni
@GabrielSabuni 3 ай бұрын
Nami baba najiungamanisha na madhabahu yako nipone maradhi yanayonisumbua kiuchumi mikono yangu ifunguliwe baraka kwa jina la yesu amen
@KornelNyenzi
@KornelNyenzi Ай бұрын
Mwambie Mungu atakuponya n sio nabiii Wala mchungaji acheni kuabud watu nyinyi
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 4 ай бұрын
Mnaosema kiboko ya wachawi muongo matatizo hayajawapata lakini Mimi nimeshashuhudia na ninaamini ipo siku na Mimi nitatabiliwa
@bethndunge
@bethndunge Ай бұрын
Amen
@bethndunge
@bethndunge Ай бұрын
Amen
@Evenusikiobya-jg2vk
@Evenusikiobya-jg2vk Ай бұрын
Mimi na mke wangu tunatizo la kifamilia mke wangu anabeba mimba zinapotea Ila atujajua ilo tatizo linatokea wap Sasa mtumisha namba hutusaidie hutuambie maana tumeangaika sana
@berthakalori195
@berthakalori195 29 күн бұрын
​@@Evenusikiobya-jg2vkamin
@berthakalori195
@berthakalori195 29 күн бұрын
Namm mchungaji niombee nipokee uponyaji nabaraka katika familia tangu emeee
@victoriamathewitungulu754
@victoriamathewitungulu754 4 ай бұрын
Eee Mungu naomba uniombee watoto wangu wapate waume waolewe na wapate waume wenye kipato kizuri Mungu wa kiboko ya wachawi anisaidie
@ColethaMayomba
@ColethaMayomba Ай бұрын
❤mtume kiboko ya wachawi naomba komboa familia yangu Mme wangu na watoto wangu tupate rehema za Mungu ,,, naomba Mme wangu Ernest afunguliwe riziki kutoka kila chanzo cha mapato yako tufanyie jambo baba
@user-wf6qt5ev9e
@user-wf6qt5ev9e 6 ай бұрын
Kwa majina naitwa Mariam stephano mwenyezi mngu naomba anifanyie wepesi nipate mchumba na uchumi wngu ufunguke
@bethndunge
@bethndunge Ай бұрын
Amen
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Ай бұрын
Mungu kupitia mazibau hii nataka nipone uvimbe Sukari na vidonda vya tumbo viishe Nile kila kitu Bila masharti yoyote in name Jesus Amen
@bethndunge
@bethndunge Ай бұрын
Amen
@ConsolataFabian
@ConsolataFabian 26 күн бұрын
Niombee pasta mgongo nyonga inauma ni muda sasa na uchumi language umeshuka nisaidie kiboko ya wachawi consolata niko moshi
@Carrolinyohana
@Carrolinyohana Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu tunasikiliza mahubiri yakoo mtumishi karibuu arusha jamanii maana tunakupigia simuu haijii karibu arusha sanaa tunakupendaaa babaa.
@NeemaChristopha
@NeemaChristopha Ай бұрын
Amina baba naitwa neema naomba nisaidie familia yangu inasumbulia na magonjwa pia kiuchumii
@RegnaKimaro
@RegnaKimaro 4 ай бұрын
Amina nabii naomba unifungue na mimi naomba uniambie wewe kiboko ya wachawi damu ikate nimechoka baba na hizi dam mwezi sasa na maisha yangu na familiya yangu ifunguliwe
@EvansSeven
@EvansSeven 10 күн бұрын
Aliye Niroga Afe ,Na mi nipate KAZI nzuri Kwa Dami ya Yesu
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 6 ай бұрын
Wale wote waliocheza na maisha yangu na watoto wangu, kuturoga na kufunga nyota zetu, leo warudishe kila kitu ,na wao uwarudie wao na tena wawe machizi,na waokote makopo.
@LuclaJohn
@LuclaJohn Ай бұрын
Mtumishi❤naitwa lucla niko moshi nateseka sana naishi namtt wangu mmoja wengine wako kwa baba yao napitia magumu sna naomba mao.bi yako
@brayanjames9168
@brayanjames9168 3 ай бұрын
Mtumishi Wa Mungu ubarikiwe naomba uniombee kila mwaka napitia changamoto nispo ibiwa bx nadhurumiwa au kfkuzwa Kaz nikipata pesa sijuw inaenda wap nisaidie baba
@bethndunge
@bethndunge Ай бұрын
Amen
@PastoryLeodeguarid
@PastoryLeodeguarid 3 ай бұрын
Amina baba
@alicenoah5407
@alicenoah5407 4 ай бұрын
Naomba Mungu nipate wateja wengi kwenye biashara yangu.Chochote kilichokinyume na mapenzi yako Yesu kishindwe katika jina la Yesu
@SalmaYusuph-jb1sx
@SalmaYusuph-jb1sx 2 ай бұрын
Amen baba nabii npo pamoja na wewe nahitaj maombi niongezewe mshahala wangu mwez huu wa sita amen
@MajumaKingu
@MajumaKingu 3 ай бұрын
Baba naomba ukombozi kwenye family yangu😊
@NeemaGladsoni
@NeemaGladsoni 5 ай бұрын
Ee mungu naombavuwafungue wanangu wapate ajila za kudumu ktk jina la yesu ,ameeen
@GlorySumari-fs2gq
@GlorySumari-fs2gq 2 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe baba...naomba Mungu anipe kazi na kuinua uchumi wangu
@maasaieastafrica2556
@maasaieastafrica2556 2 ай бұрын
Amen Amen Mtumishi Mungu akubariki Sana,,Toka Arusha nakufuatilia
@fridahkwamboka6905
@fridahkwamboka6905 2 ай бұрын
Amen amen glory be God 🙏🙏
@SalmaYusuph-jb1sx
@SalmaYusuph-jb1sx 2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe baba nabii Oman hakuna umbali najiungamanisha na madhabahu hii nipe kibali mara 2 maboss zangu wanipende wasinichukie amen
@GiftyMarie
@GiftyMarie 4 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe baba, naomba uniombee niweze kupata kazi na mahusiano yaliyo sahihi, vilevile familia yangu iwe na amani
@bethndunge
@bethndunge Ай бұрын
Amen
@bethndunge
@bethndunge Ай бұрын
Niobee madhibahu ya unganga laaana talaka ulevi magonjwa sungu kisukari high blood pressure alsas neumonia cancer pumu neumonia Kali TB inatutesa nyumbani kwetu iodoke
@ThomasKasuluzu
@ThomasKasuluzu 3 ай бұрын
Amna mtumish wa MUNGU Ubalikiwe sna kwa kazi nzuri
@StanslausKangole
@StanslausKangole 20 күн бұрын
Namimi kwa imani najiungamanisha na madhabahu hii naomba uombee family yangu muombee make Wang anaumwa anaesumbuliwa na magonjwa yasiyojulikana kahalibu ujauzito naomba sana mchungaji utusaidie tunahangaika sana kwaimani kupitia maombi yako tunaamini atapona
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 6 ай бұрын
Amen najiunganisha na madhabau ya kiboko ya wachawi naomba watu wa giza wote wa giza waliyonifunga naomba Mungu uwarudishie
@user-st3uf6ew9u
@user-st3uf6ew9u 3 ай бұрын
Amina familia yangu imefungwa kiuchumi Kuanzia watoto hadi baba na mama mji wote ni kilio hakuna wa kuolewa Wala kuoa tusaidie familia inaangamia mchungaji Dominic kiboko ya wachawi🙏🙏🙏
@AngelKifaru
@AngelKifaru Ай бұрын
Amina baba, naombaukomboe familia yangu, niombee nifunguliwe ktk eneo lauchumi, umuombee mamayangu apone kifua, nipone magonjwayoote,tabili Baba ktk maishayangu
@user-wk6gn2oy9w
@user-wk6gn2oy9w Ай бұрын
Naomba nisaidie nasumbuliwa na madeni ,sina maendelea na family yangu
@fattygeja-bv8zk
@fattygeja-bv8zk 3 ай бұрын
Asante pastor kwa kutusaidia.Naomba tabili juu yangu baba
@user-gu5ek3zj8s
@user-gu5ek3zj8s 5 ай бұрын
Eeh Mungu na mm naomba umsaidie Mume wangu apone vidonda vya tumbo vilivyomsumbua kwa kipind kirefu ametumia dawa bila mafanikio kupitia ibada hii naomba aponywe amina
@Fatumasaid-jx9bu
@Fatumasaid-jx9bu Ай бұрын
naomba mungu anitendee naomba mungu alie niibia apatikane
@carolinanigangwa
@carolinanigangwa 3 ай бұрын
Najiungamanisha na kiboko ya wachawi Mungu anifungulie maisha yangu nakula kitu changu kiliichopoteanakiludikuanzia sasa kwa kina la yesu
@priscamchomvu4021
@priscamchomvu4021 5 ай бұрын
This is too big God be with you Dad and one day I shall come kucheza sebene napenda sn na hyo ndy ibada yangu mbl za Mungu wa mbng n nchi
@user-wg2jw4yh8e
@user-wg2jw4yh8e 7 ай бұрын
Bab naomb muombee mam yangu awenamafaniko pia bos wak awez kuongezea mshahal aweze kupat lakinne baba maana hali ya uchumi ya apa nyumbani dah kwa kwel anajuw mungu t mwenyew pia mungu pastor naomb umuongoz mdog wang uwez kumjalia awez kufahuru vyem masom yak ya apa awal na huko mbelen ya sekondar mbaka afik chuu kikuu uko pia tuwez kuwek umem apa nyumb pia kipato cha uchumi kiwez kuinuk kwa asilimia mia kabisa kwayesu yote yana wezekan ameeeh baba tusaidie hii familia tuna hali mbay kwel pastor amina
@EpiphaniaMallya
@EpiphaniaMallya 6 ай бұрын
Amén. Akufie mbali kwa jina la Yesuuu
@user-vy8ym2mg5k
@user-vy8ym2mg5k 2 ай бұрын
Naomba mwenye Ako kinyume na mafanikio yangu kuhusu masomo ya watoto wangu apate moto wa yesu.natumai ushindi.
@FredjuniorMsyali
@FredjuniorMsyali 6 ай бұрын
Amen
@josephinearonkyogo1604
@josephinearonkyogo1604 Ай бұрын
Mungu anisaide siku nije na familiar yangu changamoto wtt chuo ndoa biasharaa kifupi Sina amani na nafanikiwa Kwa tabu sana nafanya. kazi Santa ila sifanikiwi kama navyofanyakazi
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 күн бұрын
I love Nabil wa Mungu kiboko ya wachawi
@allykasimu3103
@allykasimu3103 3 ай бұрын
za sahiz paster mchungaji. samahani mchungaji hukunyumbani kwetu tuna shida nyingi na ni yamda mrefu wazazi wangu wanateseka kimaisha Kwa miaka nyingi Hadi mziz moja Alisha tutoka na Hadi Leo hii mama yangu yupo kwenya mateso yakusunbuliwa na homa zisizoisha. tunaomba msàada wako baba. amina.
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 2 ай бұрын
Kapima ukimwi lakini!????
@StevenOkama-b5c
@StevenOkama-b5c 22 күн бұрын
Baba naomba uiombee familia yangu ndg zangu wotee na ndoa yangu
@ChristinaLyimo-ni5cd
@ChristinaLyimo-ni5cd 4 ай бұрын
Unavyowatendea hawa na me ukanitembelee baba❤❤❤❤
@JaneMinde
@JaneMinde 2 ай бұрын
Mungu amitoe kwenye maden nimiliki na kutawala katika jina la yesu naomba watoto wangu wafunguliwe kwenye masomo hawaelew darasani hevenlith Ebenezer Ezekiel wafunguliwe
@AshphauShomary
@AshphauShomary 18 күн бұрын
Nabii ata Mimi sielewi maisha yangu na familia yang sielewi kabisa mungu wa kiboko ya wachawi nitazame na Mimi baba
@TinaKimario-bl2dx
@TinaKimario-bl2dx Ай бұрын
Mtumishi tusaidie tumefungwa tusielewe tusaidie mtumishi
@JJMATURE
@JJMATURE 3 ай бұрын
Tupo pomoja sana kuongalia mathabau naomba uniombee mungu anipe baraka alizo zipanga katika maisha yangu ili kutimiza also nituma niombee kwa mungu kiboko ya wachawi
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 14 күн бұрын
AISEE NABII , WE NI MOTO WA KUOTEA MBALI , MAANA KAMA NI WACHAWI , UNAWAADABISHA BALABALA , AISEE NAMIMI NATAMANI NIWE KIBOKO YA WACHAWI PART 2 , NAPENDA NIWE NA KARAMA KAMA YAKO , MAANA NINA HASIRA SANA NA WACHAWI. BARIKIWA SANA PASTOR DOMINICK , YESU KRISTO AKUTUNZE SANAAAA
@PastoryLeodeguarid
@PastoryLeodeguarid 3 ай бұрын
Amina baba niombee nipate mtaji wa biashara
@user-zm8dl5ur4m
@user-zm8dl5ur4m 11 күн бұрын
Mtushi naomba unitabiriee maisha anguu naitwa diana
@pillymmbaga7702
@pillymmbaga7702 4 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe baba naomba unipatie mume bora niweze kufunganae ndoa napia uniombe mimi nafamiliya yangu
@user-np4qt7mx1g
@user-np4qt7mx1g 5 ай бұрын
Baba naomba uwaombeee watoto wangu naona hii shida ya huyu Mama na watoto wangu inafanana nisaidie mtumishi wa Mungu
@sophiaphilemon4924
@sophiaphilemon4924 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu naomba uniombee plesha Ina nitesa baba. Mungu akubariki sana 🙏
@NeemaGladsoni
@NeemaGladsoni 5 ай бұрын
Ee mungu utakapowagusa watoto haw naomba uguse na wanangubkatika jina la yesu. ,Ameeen
@AnestaNziguje
@AnestaNziguje 14 күн бұрын
Nabii nai Twa anesta niko arush maisha yangu yandowa siyaerewi
@EvelinaMkenge-of5iq
@EvelinaMkenge-of5iq Ай бұрын
Kiboko ya wachawi. kweli wew ni kiboko nitakuja kufika kanisan kwako mtumishi wa mungu. yaan Nina hiyo kiu sana
@LydiaMutalemwa
@LydiaMutalemwa 2 ай бұрын
I received
@EmelineJudicaMalya
@EmelineJudicaMalya Ай бұрын
Emeline malya naomba uniombee mimi na familia yangu kwa ujumla tumeyumba na magonjwa yanatuandama sana mtumishi
@FlendinaUlomi-xo6mg
@FlendinaUlomi-xo6mg 3 ай бұрын
Shalom baba. Naomba Mungu wa kiboko wa wachawi anifungue nigunge ndoa . Mume wangu arejeshewe pesa zake... Na familia yangu isimame na huduma ya kanisa letu inasuasua
@SilviaLovenss
@SilviaLovenss 3 ай бұрын
Nabii naomba mwanaune wangu naeishi nae arudishe upendo kwangu aachan na wanawake wanje naaniudumie
@user-md6gx4ox4l
@user-md6gx4ox4l 4 ай бұрын
Baba naomba nisaidie uniombee nina hali mbaya mtumishi wa Mungu, nimefungwa kimaisha nisaidie baba pastor Amina
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Ай бұрын
Nakupenda mtumishi ISHI Maisha mengi in name Jesus
@JoeryRobert
@JoeryRobert 3 ай бұрын
Amina baba tupo pamoja tusaidie
@EvelinaMkenge-of5iq
@EvelinaMkenge-of5iq Ай бұрын
Komboa family yangu baba tunateseka sana
@HeriethHenry
@HeriethHenry 21 күн бұрын
Amina mtumishi naomba niombee familia yangu baba
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 7 ай бұрын
Eee mungu nataka mume wangu samwel kakinjwa nataka aachane nawanawake wengine anisikiliza mimi mkeo tu anipende Sana kwa Jina la yesu kristo
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka kifala kweli!!!
@AfreyBahalaye
@AfreyBahalaye Ай бұрын
Mtumish naomba niombee Mimi naitJi kuw mwana jesh
@dorothynyakato
@dorothynyakato 7 ай бұрын
Awo wachawi nawo waombeye deliverence
@user-qj9zg3ed6q
@user-qj9zg3ed6q 5 ай бұрын
Baba shalom peace naitwa jesca kutk musoma mara baba naomba unisaidie familia yangu inasumuliwa nawachaw mzimu naroho za mauti pia biashara yang aieleweki mtaji unazid kukatika baba nisaidie
@HildaMarcus
@HildaMarcus 2 ай бұрын
Amina baba naomba uiombee famila yangu inateswa na mizimu na uchawi
@LAWINTIRUKA
@LAWINTIRUKA 2 ай бұрын
Baba nisaidie nateseka sana watoto wangu wanateseka sana
@MajumaKingu
@MajumaKingu 3 ай бұрын
Baba najiunganisha. Na madhabahu yako baba naomba uniombee miguu ninaniuma na magoti baba nakufatilia sana baba
@SalmaYusuph-jb1sx
@SalmaYusuph-jb1sx 2 ай бұрын
Amen baba nabii
@user-sq4bi7my6w
@user-sq4bi7my6w 5 ай бұрын
Nafatiliwa na nguvu za kichawi Mimi na mume wangu na watt wangu naomba msaada wako baba uikomboe familia yangu
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 2 ай бұрын
Mungu ndio atakae kukomboa wewe!!
@emmanuelmashigwa3372
@emmanuelmashigwa3372 2 ай бұрын
Mtumishi naitwa hakiel Emmanuel Sisi familia yetu tumelogwa sana Yan riski Hakuna kabsa Yan nataman uchum wangu ufunguke niweze kuja ulipo
@damianikimotuosiula2888
@damianikimotuosiula2888 4 ай бұрын
Baba naomba unisaidie kumuombea mumewangu yupo jirani na familia yake maisha yangu ni magumu sana
@mollyrutenge7933
@mollyrutenge7933 24 күн бұрын
Amina kubwa
@ZarikaHaji
@ZarikaHaji Ай бұрын
Naomba baba utuombe umasikini kwenye familia ndugu hatupatani tuuguwa ugonjwa mmoja wazazi wakefu kwa magonjwa
@sifasolangekaboyi4124
@sifasolangekaboyi4124 Күн бұрын
Amen amen
@Big6-nf1xz
@Big6-nf1xz 2 ай бұрын
Amina mchungaj
@lusajoully
@lusajoully 2 ай бұрын
Amina mtumishi
@emmanuelkaaya7933
@emmanuelkaaya7933 3 ай бұрын
It's 🔥
@user-tq4rw1tr8x
@user-tq4rw1tr8x Ай бұрын
Nabii naomba nisadie mm niko moshi jina febronia faustini nisaiye nabii asante❤ 4:01
@LucyKimambo
@LucyKimambo Ай бұрын
Naomba kiboko wawa chawinikombolee ndoa yangu pamoja na familia yangu 9:15
@SifaBushashire
@SifaBushashire 4 ай бұрын
Ameeeeeeen 🇨🇩🇨🇩mungu kumbuka familiale yangu..
@MonicaNsaro
@MonicaNsaro 2 ай бұрын
Mtumishi Mungu akutunze
@EmmanuelMachungi-kk7ys
@EmmanuelMachungi-kk7ys 3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@Big6-nf1xz
@Big6-nf1xz 2 ай бұрын
Amina san mchungaj
@LizaeliMjema
@LizaeliMjema 2 ай бұрын
Mtumishi naomba uniombee nifunguliwe mwili wangu na uchumi wangu
@AffectionateBirdNest-du7oi
@AffectionateBirdNest-du7oi 22 күн бұрын
Amina bb
@MichaelMwambene
@MichaelMwambene 2 ай бұрын
Amena mungu wangu ninaomba uniponye muwasho mwili wote unaniwasha
@fatmaathumani7569
@fatmaathumani7569 2 ай бұрын
Ameen mtumishi
KIJANA ALIEDANGANYWA NA MKEWE KUWA AJAZAA SIRI YAFICHUKA YALIYOJIRI KIJIJINI KWA MAMAAKE PART-1
13:32
TAZAMA MAMA ALIYEKUWA AKIMROGA MKWEWAKE AJITOKEZA BAADA YA MAOMBI YA NABII KIBOKO YA WACHAWI
22:06
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
MAPENZI YANAUMA TAZAMA HAWA VIJANA WALIOFIKIRI WAMEROGWA KUMBE NI MAPENZI NA WATABIRIWA MAKUBWA
17:02
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1,1 МЛН
TAZAMA BINTI ALIEOLEWA KWENYE FAMILIA YA KICHAWI MZAZI WAKE ASEMA MAKUBWA
17:13
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 39 М.
NABII AJITOLEA GARI KWA JESHI LA POLISI NI UKARIMU  MKUBWA SADAKA YA MWAKA PART|1
19:47
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 24 М.
ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU
10:32
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 51 М.
ATOLEWA JINI NA KUINULIWA KIUCHUMI .
14:31
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 33 М.
TAZAMA NABII KIBIKO YA WACHAWI AKIMFUFUA MTOTO ALIYEFIA TUMBONI KWA MAMA AKE
9:17
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 15 М.
MAISHA YANGU NILIKOTOKA MPAKA HAPA NILIPO - KUHANI MUSA
27:25
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 81 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22