Mama anadai hakuna Mungu majabu ya dunia by Salim

  Рет қаралды 15,637

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

2 жыл бұрын

Пікірлер: 46
@alimahmoud5837
@alimahmoud5837 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu angewaumba watu akawatiya wa motoni direct motoni na wapeponi direct peponi basi watu wa motoni angelalamika, ndio maana tuko hapa duniani ili atujaribu. Siku ikifika yakiyama basi hakuna wa kumlaumu. Mwenyezi Mungu taupe mwisho mwema Amin
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 жыл бұрын
kufanya daawah ni muhimu kweli,imagine huyo kijana anasema Mungu ni mzee na ako na miaka...subhanaAllah maneno mazito haya huyo kijana lakini maskini hajui anahitaji kufundishwa
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 2 жыл бұрын
Jamani huyo mama anashida, mimi ni mkristo lakini naamini Mungu yupo.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Mhhh mapya haya mteule wa Yesu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Ndio anasema makubwa haya 😂
@abdulkhamis1401
@abdulkhamis1401 2 жыл бұрын
Uyo dada kachanganyikiwa kweli sasa yeye kajiumba mwenyewe au familiya yake imejiumba yenyewe au nabii issa
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 2 жыл бұрын
Yesu si mungu ni mtume wa mwenyezi mungu
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 Жыл бұрын
Sheikh Hassan Kariuki Maansh Allah,Allah akupe AFYA njema
@saidmahmudsaidmahmud3621
@saidmahmudsaidmahmud3621 2 жыл бұрын
Huyu dada atakua akili zimeruka kidgo nyinyi mwamfundisha chizi
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
Mama ni inaa lillahi wainna ilahi rajiuun
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
Yesu hana mteule
@stoispapi2380
@stoispapi2380 2 жыл бұрын
Hata roho ya sheitani imetoka kwa mungu.
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 8 ай бұрын
MashaAllah
@fatumambashir1857
@fatumambashir1857 2 жыл бұрын
Mbona huyo dada anasumbua mashekh wetu
@abdilatifhashi9659
@abdilatifhashi9659 2 жыл бұрын
Mola akuzidishi umri na afya na Imani Mashehe wetu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Aameen ameen ameen sote
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 жыл бұрын
Huyo mama kapotea kabisa kuliko wakiristo wenyewe innalillahi waina ilehi rajiun,Allah amuongoze yote ni sababu ya ujinga na imani aliopata kwa wazazi wake
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
Mm nampenda sheikh Salim anaposhika mic najua vitu vitaekwa Sawa hakuna kubembembeleza mungu akuzidishie na wenzio nyote iwe nikuwapa ukweli tuu mungu awahifadhi inshaa llah
@faisalwaafrica7478
@faisalwaafrica7478 2 жыл бұрын
Alafu ana quote mistar ya biblia,shida yake haelewi iyo biblia Allah amuongoze in sha allah🙏🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Aameen ameen ameen Allah awaongoze
@hilariogomesalmasse
@hilariogomesalmasse 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe sanaaaaa🙌🙏🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Asifiwe na nani???
@stephenstevo5799
@stephenstevo5799 2 жыл бұрын
Amina
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
Masheikh musiwape nafasi za kuhubiri ujinga hapo hata hawajielewi Wamezoea kuropokwa tuu wala Hana swali
@farhiyajamaa7717
@farhiyajamaa7717 2 жыл бұрын
Allahu Akbar
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 жыл бұрын
Masha Allah
@missrukia9661
@missrukia9661 2 жыл бұрын
Mashallhaaa
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Uyu mama anahitaji elimu ya ziada Allah amuongoze atoke kwenye imani potofu Inshallah.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Kabisa because haeleweki
@alunasozi5676
@alunasozi5676 2 жыл бұрын
Wew ndye huelewi akili Yako imefunga na mashetani yenu akina maimuna na wenzake huko hyo mijini yenu
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@alunasozi5676 maneno yenu ni hayo kila siku vipi hamna mapya ? Embu nipishe huko.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@alunasozi5676 mashetani mnalewa nayo kanisani na kucheza nayo ndombolo alafu mje mtusingizie sisi watu wa imani safi na thabiti. Sisi tuna udhu muda wote Shetani hatukaribii.
@jacquelineyator8810
@jacquelineyator8810 2 жыл бұрын
Yesu ni mungu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Ushahidi uko wapi???
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 Жыл бұрын
LAKUM DIINIKUM WALII DIIN
@mahdiyusuf3431
@mahdiyusuf3431 2 жыл бұрын
Mama Alisoma but she’s very confused May Allah guide her
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
Mjitahidi wanaotaka kuhubiri msiwape nafasi,hizo maiki ni za maswali na sio maubiri yasiyo eleweka tafadhalini mashekh wetu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Isha Allah hayo lazima tuzingatie shukuran
@alunasozi5676
@alunasozi5676 2 жыл бұрын
Oooh
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Mungu nimzee astaghafilullah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Ndio Imani ya wakristo wengi hawajui na hawajui kama hawajui
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 ndio Allah awaongoze yarrab
@Pixe_lify
@Pixe_lify 2 жыл бұрын
alafu utakuta ati huyu ni pastor katika kanisa fulani..mtihani jamani
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Kabisa Allah amuongoze aone haki
@ruppyphinna4809
@ruppyphinna4809 2 жыл бұрын
Mama kashikwa pabaya anakufuru ty subhana ullah
Majini wanaenda msikiti gani mkristo auliza maswali kumechemka tena
1:15:53
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 1,9 М.
Duaa na shukuran kwa wote wanaofanya hii jambo
21:10
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 1,5 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 127 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 38 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
Wana dada wawili wapata elimu kuhushu uisilamu tutakuwa waisilamu wasema
1:15:03
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 14 М.
Sheikh Ibrahim Speaking kikuyu
3:23
Ahlusuna Islamic Center
Рет қаралды 471
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 449 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 127 МЛН