No video

Mama asimulia kwa uchungu Chanzo cha mauaji ya watoto wake , alisema watoto sio wake

  Рет қаралды 35,273

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Ikiwa bado haijafahamika sababu za Karim Shaaban mkazi wa Chanika Kwangware, kudaiwa kuwanywesha sumu wanae watatu na wawili kati yao kufariki, aliyekuwa mkewe Zubeda Ngwale amesema walitengana baada ya kuzidiwa na madeni.
Karim anadaiwa kuwachukuwa wanae hao Aprili 21 mwaka huu nyumbani kwa bibi yao, kwa ajili siku ya Sikukuu ya Idd el Fitr na kwenda nao kwake ambako aliwapa juisi ambayo inayodaiwa kuwa na sumu.
Amesema canzo cha kutengana ni kutokana na madeni mengi aliyokuwa nayo kuanzia kwenye vikoba na kausha damu.

Пікірлер: 197
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
Jamanii msione mfiwa hana machungu, alishalia sana na haiwezekani kulia masaa 24 siku saba za wiki! Hizo kausha damu inabidi serikali iingilie tu, japo mtu unaweza shikwa na shida ukaitamani tu hiyo. Na mnaosema eti hamuachi mtoto kwa baba mshukuru tu baba zao walikubali muende nao, bila hivyo ni mvutano wa kutosha sio wote wanakubali mke aende na wanawe. Huyo baba alaaniwe nae kwa upuuzi huu
@abedamayaya251
@abedamayaya251 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@annamashauri7421
@annamashauri7421 Жыл бұрын
Dada una roho ngumu kwa kwelii hiyo nguvu ya kuongea umepata wapi na umefiwa watoto wawili
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Жыл бұрын
Yaani na sauti anaongea vizuri tu
@loveahmed7892
@loveahmed7892 Жыл бұрын
Ana roho ngumu sana huyo kwanza kaacha watoto wadog na kaenda kuishi na mwanaume mwingine na kazaa huko mwaka mzima bila kuona watoto wako kweli Subuhanallaah jaman mtihan sana
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Kwa hio nyie mnamuhukumu Kwa vl anaongea Kwa kuhojiwa? Au ameua, baadala ya kulaani kitendo cha mauaji yaliyofanywa, kwani watt wanakosa gani
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 Жыл бұрын
Naona
@doris122lugendo5
@doris122lugendo5 Жыл бұрын
Kwa hyo mngemuona kazimia ndio mngeelewa bdlikeni
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
Ndomaana mm namuambiaga mke wangu,tusiachane tuzikane huwa nawafikiria sana watoto😭😭
@upendondelwa7510
@upendondelwa7510 Жыл бұрын
Una akili sana
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
@@upendondelwa7510 yaani mm nikiona habari za watoto kufa kwa uzembe wa wazazi huwa naumia sana.
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id Жыл бұрын
Una akili xaan
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
Bora wewe huna kaka ghako huenda akawa na akili kama zako anioe nimependa maneno yako 😢
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 Жыл бұрын
Mkeo kabahatika
@hansmwasakyeni3038
@hansmwasakyeni3038 Жыл бұрын
Watoto wa kike kweli ni wa baba! Baba kampambania binti madeni!
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Wanawake mikopo yenu ichukueni wenyewe wacheni wanaume wa shughulike na mambo ya msingi ya kuendesha nyumba na maisha.Unakuta mmke unataka vitu kwa lazima ebu badilikeni mnatupa wanaume stress tegemeeni Mungu.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Kbs I hbr mm nilivyo iona tu nikajiew chamzo ni uyu mwqnamke akuna jambo baya mwnaume akaweza kufanya Bila. Kuwadababu ni mwqnamke
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Kikundi kinaitwa kausha damu, jinatuu humezi hata mate unajipeleka tuu
@edwinsilas4326
@edwinsilas4326 Жыл бұрын
Mwanamke anaongea utafikili ni raha kufiwa,,,,mmmhhhh,,,watoto wako wawili umezika na unaongea kiasi hiki,,,,pole Sana Dada lakini maisha yapo yanaendelea
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Yn mkavu
@marygregory7566
@marygregory7566 Жыл бұрын
Yaan kama yuko kwenye sherehe
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Ila wewe baba una Mungu. Hiyo imani tu ya kulipa deni la mwanao ni funzo kwa wazazi wengine
@juniormanka9679
@juniormanka9679 Жыл бұрын
Huyu babu ni baba bora wa Mtoto wake wa kike
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 Жыл бұрын
Ww mwanamke ni mpumbav naamin ule msemo wa mwanamke mjinga anaivunja ndoa yake kwa mikono yake unakopaje Kila sehem mwisho wa cku unampa shida baba ako kulipa madeni kwa ujinga wako alaf huna hata uchungu umepoteza watoto Wawili nguv ya kuongea hivyo unaipta wapi khaaaa!!!!
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Kumbe chanzo cha haya yote ni mikopo mtihani sana mikopo sio mizuri basi tu
@stukiaally4690
@stukiaally4690 Жыл бұрын
Umesema nini hapo hivi hata kama wameachana kwa madeni ndio aue watoto
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
MLAUM SANA HUYU DADA ILA MIE NAONA HATA HANA SABABU YA KULAUMIWA ,YEYE ALICHUKUA MIKOPO ILI WAJIENDELEZE NA HUYO KUUWA WATOTO NI ROHO YAKE TU MBAYA KAMA SURA YAKE,KWA NIN WASIUANE WENYEWE KWA WEMYEWE MPAKA AWAUWE WATOTO
@aishamsuya333
@aishamsuya333 Жыл бұрын
Nashangaa sana wanaolaumu mke, kha! Yani janaume zima lina mgogoro na mke linaenda kuua watoto wasio na hatia kisha kisha linajitumbukiza chooni? Yani ata hofu ya Mungu halina moto likachomwe tu uko!
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Ple sana dada ila tunapoachika tujitahid kubeba ndundu zetu ngo'mbe hashindwi na nundu yke
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Жыл бұрын
Weee mwanamke unaonekana mcharuko pesa ya mkopo umeichezea matokeo umeacha watoto wanauawa kwa ajili yako😊
@juniormanka9679
@juniormanka9679 Жыл бұрын
Huyu baba wa mama mfiwa ni baba haswa natamani ningekuwa na baba Kama Huyu ni baba bora na sio bora baba amemlipia Mtoto wake madeni yote
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Hilo ndio Tatizo la wanawake wa Dar Tamaa mbaya msijisahau jamani haya mambo yanawafanya watu mnakuwa Hamna furaha ndani watoto wanateseka kwa kutokupata malezi mazuri Baba ki vyake mamaki vyake.
@theophildamfuruki6859
@theophildamfuruki6859 Жыл бұрын
Inauma sana watoto wasokuwa na hatia wanauliwa kisa ugomvi wa wazazi inauma
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Kama keshanambia sio watoto wake nimuachiye wa nini
@sumayafissoo2192
@sumayafissoo2192 Жыл бұрын
I😢 inalillah wainaillah rarijion mikopo imekua mtihani Shangazi yangu karibia ajinyonge
@fetyalmas698
@fetyalmas698 Ай бұрын
@sumayafissoo2192 yaan hii mikopo unaweza ukajinyonga kbs😂😂
@abedamayaya251
@abedamayaya251 Жыл бұрын
Mnaosema anaongea Kama hajafiwa mlitaka asiongee wakati watoto amezika kama kulia amelia Sana pole dada mungu akutie nguvu
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 7 ай бұрын
Kama halijakufika utasema kila neno lkn likija kwako ndo utajua binadamu sie hatari wa kulaumu
@nashnene6326
@nashnene6326 Жыл бұрын
Mental case huyo mwanamme ni mwendawazimu plus plus
@nanahmekaupbeautifu237
@nanahmekaupbeautifu237 Жыл бұрын
Mume namke wote lohozao sawa dada msiba ata wiki bado unanguvu ivo mhhh
@veelmng7746
@veelmng7746 Жыл бұрын
Dada yangu mbona hilo kosa ni kosa dogo sana mpaka munaanchana , kweli maisha ya siku hizi ni hatari . Pole sana kwa kupoteza watoto
@julianamuro830
@julianamuro830 Жыл бұрын
Ya ndani ni mengi
@rahmakawtharylupande6972
@rahmakawtharylupande6972 Жыл бұрын
Unadhani mambo ya ndoa huwa yanasemwa yote???
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Wanawake hivi mnafatilia hii mikasa lakini madeni madeni madeni mwingine kavunja nyumba huko kisa madeni ya mkewe. Hivi huwa mnakuaga viziwi mkiambiwa mlizike navidogo vya mabwanazenyu
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Serikali isipoingilia kati madeni yataangamiza familia, mikopo na hakuna cha maana alichofanya hasira zenu mnaua watoto
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
@@darajalakidatukilomgi2362 ndooivo wanawake wengine wako kama kondoo hata umwambienini anajipelekatuu
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 Жыл бұрын
Huyu mama mkweli nimempenda
@ashamaneno9819
@ashamaneno9819 Жыл бұрын
Mm ndo mana n komaa n mwanang kaniacha ana miez 4 had saaahz mwanang anamiaka 10 na yupo darasa la 4 shida raha na komaa nae nauza mboga nakomaa nae mwanangu
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Hii mikopo ya kausha damu serikali inabidi itizametena, hatari sana
@Nashoora8
@Nashoora8 Ай бұрын
Sikutemegea au sijutegemea😅😅 mnisamehe2 maana imenibidi nicheke2 uku nalia😭😭
@user-ge3jc2kd9o
@user-ge3jc2kd9o Жыл бұрын
Yani huyu dada ansvyo ongea kama sio mfiwa mmhh wanawake tuna roho ngumu kweli
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Serikali jmn wanandoa wanapo achana watoto wabaki na mama
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Poleni we baba nimekupenda,baba yangu Mimi angenipeleka polisi nikalale huko nipate adabu ndo alipe deni🤣
@jackytuyi8899
@jackytuyi8899 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Жыл бұрын
Uyu ashakaushwa dam maan sioni ataakiwa nauchungu angekuwamwingne macho aoni saut hakuna ila bimdada we😢
@LightnessStephani-xz1ux
@LightnessStephani-xz1ux 8 ай бұрын
Daaah pole sana kwetu pia watot waungua na moto watot watatu😢😢familia inaomboleza, 😭😭😭😭😭inauma jamani
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Pole sana dada
@Monamona-lt6zi
@Monamona-lt6zi Жыл бұрын
Hiviii mkopo unaitwa kausha damu mtu unakopaje sehem kama hiyo jmn na sababu ya kukopa pesa kila mahali ni nini eeh Mungu… Pole dada kwa kufiwa na watoto lakini tujifunze hii mikopo siyo mizurii kama siyo mkopo pengine ungekua na family yako
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Jina lenyewe la kikundi kausha Damu Bado hamjazinduka tu??
@missmoona4497
@missmoona4497 Жыл бұрын
Innah lillah wainnah illah rajiuna, 😭😭😭😭😭jmn wanawake acheni kuchukua mamikopo riziken na mkipatacho namna hii hatar had kuwaingiza wazaz kwenye hekaheka za maden kulipa na hali ilivyokuwa ngumu hiv🙌🙌🙌
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Mfiwa unaongea kama unachambana na mke mwenzio kumbe waeleza tukio au ushakaushwa damu yote akili imepotea🥺🥺
@Naifaty24
@Naifaty24 Жыл бұрын
Innalilahi wainalilahi rajiun 💔😭
@fettymilly7664
@fettymilly7664 Жыл бұрын
Mm ndo maana mwanangu nakaa nae mwenyew ctaki tabu na mtu tutakula tutalala njaa yote kheriii lakn nipo nae
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Watanzania na roho zao za wanyama mnauwa kila mtu ma alibino , vikongwe, watoto na wote nchi za ovyo sana nchi ya mavi kunuka
@geejireh4730
@geejireh4730 8 ай бұрын
KUNA NCHI AMBAYO HAINA MAMBO YA AJABU WEWE @kabwelasutiviraka4765😡😡
@fettymilly7664
@fettymilly7664 Жыл бұрын
Yan mm nikae mwaka na miez miwil cjawaona watt wangu weeeww sio kwel
@marygregory7566
@marygregory7566 Жыл бұрын
ILA WE DADA BADILIKA, HUONI KAMA UNAWASUMBUA WAZEE WAKO , YANI WAKULEE NA MADENI WAKULIPIE NA WATOTO WAKULELEE. WE UNA KAZI GANI DADA KUWAPA WATU MIZIGO TU.
@ashantyjojo5298
@ashantyjojo5298 Жыл бұрын
maden jaman naogopa saaaaana izo mambo sasa maden mengi pesa alikuwa a fanyia nini kwani
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Hata hvyo' na ww dada miaka 2 usionane na wanao uliowaweka tumbon miez 9 kwel? Kisa umeolewa n mtu mwingine? Dah kwel tumetofautiana Sana wamama " ila pole Sana mwaya na maden nayo yanatumaliza jmn
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Жыл бұрын
Wanawake wa bongo kwa kukopa wamenishinda wana tamaa kupita na uwezo wao wana maudhi halafu wala hawaendelei na maisha yoyote
@kulwaausi
@kulwaausi Жыл бұрын
R.i.p watt wetu
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
😢😢 innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun pole sana dada Inauma kwakwel 😢😢😢
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Жыл бұрын
Sasa kwann alivyokwambia ukawachukue hukwenda kuwachukua jaman…kwenda kwa mwenyekiti au ngazi za serikali 😢
@neemajames5137
@neemajames5137 2 ай бұрын
Mkiachika beba watoto usingemwachia mwanaume
@joramdonald2549
@joramdonald2549 Жыл бұрын
Kwahyo kama amefiwa na watoto wawili mlitaka asiweze kuongea ety kwasabb amefiwa kwamba asingewez kuongea hao wtt wangerudi? Acheni zenu baba pole mwaya dada
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 Жыл бұрын
Kwanza jina lenyewe kausha damu ni la kishetani Mungu tusaidie
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Madeni yatawauwa mwanamke ana mikopo kila kona 😡😡😡
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Huenda hawakuwa watt wake kwel alivyoambiwa mwanaume kaenda kupima DNA wamama tuhakikishe tunasema ukwel na usimpe mwanaume mtt kama c wake akipima akigundua sio wake na akikwambia njoo uchukue wanao nenda matokeo yake ndo hayo
@santielpascal9777
@santielpascal9777 Жыл бұрын
R.i.p watoto ila mikopo wa mumy tutakufa kausha dam vikoba bado oya
@mirrykirungi5078
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Oya kiboko duh ukija na iyo kausha damu hatariii tupu
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Жыл бұрын
Pole sn mama
@ashuramuhinde3849
@ashuramuhinde3849 Жыл бұрын
Pole sana allah akupe subra.
@kulwaausi
@kulwaausi Жыл бұрын
Yaan hapo mimi nishazimia kama mara 78 hv, halafu hanaongea mkavu kabisa dah,
@mariamthomas3902
@mariamthomas3902 Жыл бұрын
Wewe ndo Mimi kabisa
@doreendominick4431
@doreendominick4431 Жыл бұрын
Hii mikopo sio mizuri Jamani tuwe makini mtu unachukuwa Mkopo huna biashara ya maana huwezi kurudisha deni kinachofuata kudhalilishwa kuacha Ndoa na watoto kuteseka hasa sisi wanawake tuna Tamaa sana turidhike na tulichonacho R.I.P watoto
@nasraissa4873
@nasraissa4873 Жыл бұрын
Huyu mwanamme hana akili akapimwe ugomvi wa watu wawili msiwachanganye na watoto
@nanahmekaupbeautifu237
@nanahmekaupbeautifu237 Жыл бұрын
Selekali zueni mikopo mambo mengi sababu mikopo
@user-ws8bc1jn7z
@user-ws8bc1jn7z 6 ай бұрын
Huyo mwanamke ana tamaa hona sasa asila ya mmeo imekuwa asara subirini moto tu wote wawili nyau nyie watoto zamani wako fridaus
@user-ws8bc1jn7z
@user-ws8bc1jn7z 6 ай бұрын
Awa wanawake sampuri hii wa kukopa kop na awafai ata kuwaoa na ilo
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Mwanaume usipokua makin nawanawake unaweza kweli ulajikjta unafanya v2 hv wazinguaj sana
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 Жыл бұрын
Pole sana lkn hpo kwenye mkopo Sasa mmm
@chibunews5642
@chibunews5642 Жыл бұрын
Mwanamke mshenzi sana
@neemajames5137
@neemajames5137 2 ай бұрын
Ungeenda kwenye sheria
@asmaabeid2117
@asmaabeid2117 Жыл бұрын
Kulia kashalia sana na mnaosema ana roho ngumu sio kwel kulia kugalagala aionesh kwamba ndo unauchungu sana. Au amjaona wale wanaokodiwa kulia muachen dada wa watu
@ashamurshid
@ashamurshid Жыл бұрын
Yani binadamu sijui wanataka awe vpi ndio wajue Kama Ana uchungu
@EmmaMwenda-om7fz
@EmmaMwenda-om7fz Жыл бұрын
We mama unanguvuuuuu uwiiiiii jmn watoto
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Daaah dunia hii 😭 Yani uyu dada hatar sana anaongea kama kafiwa na jirani
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Жыл бұрын
Mbona anao uzuni tu
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
@@mwajumamwajuma55 ivyo unajua kufiwa ndugu yangu
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
@@mwajumamwajuma55 sikia tu Kwa mtu kufiwa ndugu yangu usiombe kama haujawahi kuku fika msiba wa uchungu shukuru mungu
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 Жыл бұрын
Mtihani wallah
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Subhanna Allah 😭😭😭
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Kibibi nakuona nakuona....
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 Жыл бұрын
Uyu dada una roho ngumu mnooo umefiwa na watoto macho makavu
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Dada anaongea kama vile ajafiwa wtt
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ameshalia sana
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Sasa atafanyaje unataka ajiue naye huyu n mama uchungu alio nao ni mkubwa
@fadhilaomary6104
@fadhilaomary6104 Жыл бұрын
Nimeumia I see bas ila mwanaume Ana roho ngumu duu
@user-ws8bc1jn7z
@user-ws8bc1jn7z 6 ай бұрын
Subiri moto upumbavu wenu wa kukopakopa hela ndo muuwe watoto nyau nyie subirini moto
@deboramartin8111
@deboramartin8111 Жыл бұрын
Mbona kama huna uchungu ww mama yaani upo simple tuuu na madeni ya nini yanawakausha damu khaaaa mimi nikidaiwa hata elf mbili tuu nachanganikiwa
@maurinmfuru9359
@maurinmfuru9359 Жыл бұрын
Huo baba ni mpumbavu sasa watoto wanausika kivp hapo
@LightnessStephani-xz1ux
@LightnessStephani-xz1ux 8 ай бұрын
Mkuu wa mkoa kawasili Leo hii saa 6 hii mchan
@Anastadhi
@Anastadhi Жыл бұрын
Wanawake jamani mikopo ya nini
@DivaMsukuma
@DivaMsukuma Ай бұрын
Munaolewa kufanya nin nawatoto polexana
@SharifaAli-kh2vf
@SharifaAli-kh2vf Жыл бұрын
Kausha damu
@ariphkimani3790
@ariphkimani3790 10 ай бұрын
Talaka kwenye simu?
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Kikundi kinaitwa kausha dam 🙄 namtoto wakike unaenda kuchkua iyo pesa watu mnaujasiri
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Mikopo kausha damuu basi hatari
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 🤣🤣sjawai ona uku kwetu
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 Wallah Mimi ndiyo nasikia Eti kuna mkopo kausha damu usipoangalia unakukauxha Kweli
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@zainabubalama8869 aa hee hatari
@vincosmeticsmarvin
@vincosmeticsmarvin Жыл бұрын
Hahahaha kitu cha kausha damu 😅
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk Жыл бұрын
Huyu dada kafiwa kweli
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Жыл бұрын
Mtihani jamani 😢
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hiii mtihani. Mkubwa huo😮
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 Жыл бұрын
Kausha damu kweli kiboko jamanii😃😃😃
@mwanahamisihussein-ow4oc
@mwanahamisihussein-ow4oc Жыл бұрын
Kwahiyo mlitakaje wakati anahojiwa
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 Жыл бұрын
Yani unawaacha watoto kwa mwanaume daaa polee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mwanamke mpumbavu umeshindwa kulea watoto wako au kuondoka nao kwani hujui sheria mama kweli wewe
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 7 ай бұрын
Dahl inaskitisha sana wanawake kulaumiana
@alinaalina5044
@alinaalina5044 Жыл бұрын
Tanzania sasahivi imekuwa nchi ya hovyo
@user-ws8bc1jn7z
@user-ws8bc1jn7z 6 ай бұрын
Kukopa mkope nyie ndo muue watoto
@user-eg3fg3ic9q
@user-eg3fg3ic9q Ай бұрын
watanzania mkoje nyie mnataka asiongeee
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 Жыл бұрын
Siku zote mtu akikuambia watoto sio wake au akiwa panawalakin uchukuehatua haraka sana
@rosegayokasembe4393
@rosegayokasembe4393 Жыл бұрын
Bola nife umasikini kuliko iyo mikopo
@janeisrael1003
@janeisrael1003 Жыл бұрын
Mama mkavu huyu watoto wadogo hivo upo dar mwaka na miezi mi 2 hujawaona, chizi wewe
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Жыл бұрын
Mpungufu wa akili huyo bwana.
@SarathAbdallah-hr2tm
@SarathAbdallah-hr2tm Жыл бұрын
Ila hapa kuna funzo . Maana kwa maelezo haya kuna walakin😬
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 Жыл бұрын
Mbona unaelexea huna hata uchungu daaa
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 Жыл бұрын
Mikopo ya kausha damu duu
@jazirajazira8116
@jazirajazira8116 Жыл бұрын
Mkopo waitwa kausha damu
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 7 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 20 МЛН
LIVE | DNC Day 4: Kamala Harris accepts Democratic nomination
4:50:26
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 11 М.
Live: Protest in Chicago by Pro-Palestine groups outside DNC call for Gaza ceasefire
3:43:26
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17