MAMA TAFUTA HELA MUME WAKO AKUPE HESHIMA NA ASIKUPIGE / HAKUNA MTU ANAWEZA KUPIGA BANK"PASTOR MGOGO

  Рет қаралды 79,443

Pastor Daniel Mgogo

Pastor Daniel Mgogo

Жыл бұрын

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZfaq : Pastor Daniel Mgogo kzfaq.info/love/eNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

Пікірлер: 61
@marielouis2767
@marielouis2767 11 ай бұрын
Nime kupa sheriya kwa ma mahubiri. Juu na me kwisha hishi take maisha. Hata si kupigwa. Ila nilijibiwa mabaya mingi sana.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Mchungaji uko sawa.Mimi ni mwanamke wa shoka.Ninakuelewa❤
@user-wo5bj8wm4y
@user-wo5bj8wm4y 7 ай бұрын
Amen
@RobaiMusiiko-co2cb
@RobaiMusiiko-co2cb Жыл бұрын
Nashukuru kwa ujumbe mzuri. Barikiwa sana poster❤❤🎉
@juliusmoivana9844
@juliusmoivana9844 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishu kwa elimu unae tuelimisha
@irineotieno8682
@irineotieno8682 Жыл бұрын
Ni kwel mchungaji🙏🙏🙏
@selphermurunga7338
@selphermurunga7338 Жыл бұрын
True pastor tell them to style up
@JenifferRichard-tc5oj
@JenifferRichard-tc5oj Жыл бұрын
Mchungaji Mungu akusaidie jua single mother ni wengi na watoto wasio na maadili ni wengi
@jenifamtima9325
@jenifamtima9325 Жыл бұрын
Sikatai kusemwa ila kuwe na staa utakuta Mchungaji anabwabwaja kama mwalimu wa zamu bila ya kukuvuta pembeni ,,,anakuaibisha Mbele ya kanisa ,,,ila kuna kundi apo apo kanisani au familia fulani inaeshimiwa na Mchungaji ata wafanye nini utakuta anawachekelea tu yaani,, na akacha kuhubiri akaanza kusifia hiyo familia,, nyinyi ni binadamu baana sio Yesu munakwazaaa kweli kweli yaani. Munajikuta muko raiti wakati woote kana kwamba Mungu mjomba yenu...ninachojua ni kutenda mema tu baasiiii ,, maana ni sehemu ya ibada....kanisani tunawaachia ..kwasababu kwa Mungu akuna Mchungaji wala askofu,,,someni Biblia inaeleweka kirahisi tu Acheni kusikiliza wachungaji....wanaongea saana kuliko kufundisha .
@annemremy8107
@annemremy8107 Жыл бұрын
Upendo hautafuti hayo. Upendo WA kweli haupo kwenye vitu pastor
@CarineNyota-ly3xl
@CarineNyota-ly3xl Жыл бұрын
asate pasta
@KyarusFrimon-io3nf
@KyarusFrimon-io3nf Жыл бұрын
Ni ukwel mtupu mtumish mungu akuzidishie nguvu
@olivianyamboke208
@olivianyamboke208 Жыл бұрын
Amen kweli kabisa
@ggfghh6220
@ggfghh6220 Жыл бұрын
Amina Amina ubarikiwe sana pastor kwa mafunzo mazuri inanipa nguvu ya upambanaji wa kutafuta maisha Amina
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Mungu anawaheshimu wale wanayoieshimu kazi yake, pia uwainue.❤❤🔥🔥👏🏽👏🏽
@magdalenakusaga7270
@magdalenakusaga7270 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@damarismakau6017
@damarismakau6017 Жыл бұрын
Amen ,mafunzo mazuri
@phillipoloo895
@phillipoloo895 Жыл бұрын
Ahsante mchungaji kwa ujumbe ,,,,unafunza ukweli kabisa na maisha tunayoishi.
@SaudaIngairo
@SaudaIngairo Жыл бұрын
Asante kwa mahuburi❤
@agatamsitu1121
@agatamsitu1121 Жыл бұрын
Hakika❤ nashukulu
@premillahmwanigha1735
@premillahmwanigha1735 Жыл бұрын
Nimependa huu ujumbe sana...ahsante Mungu kwa kunipa nguvu na akili ya kujitaftia kipato changu mimi mwenyewe
@EnocBahaya-bs4rs
@EnocBahaya-bs4rs Жыл бұрын
Jambo bingi mzuri
@traineesmbwilo3559
@traineesmbwilo3559 Жыл бұрын
Mchungaji nimelielewa sana somo lako nipo vizuli kupambana vikoba navikizi vikundi kama vyote navikundi chakununuliana maitaji yandani kwaiyo mtumishi ubalikiwe kwasomo nzuli
@traineesmbwilo3559
@traineesmbwilo3559 Жыл бұрын
Kwamwanamke wasasa ambae yupo tuu amekaa nyumbani ametulia mungu awainue
@MourineIkhoni
@MourineIkhoni Жыл бұрын
Very true pastor
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana, Baba Mchungaji.
@LoizerThobias-yx2wm
@LoizerThobias-yx2wm Жыл бұрын
Umenisaidia sana pakubwa mchungaji
@leahrutto7123
@leahrutto7123 Жыл бұрын
Asante mchungaji
@henryambaya7907
@henryambaya7907 Жыл бұрын
Be blessed my hero
@furahaangelique775
@furahaangelique775 Жыл бұрын
Nikweli Baba
@sylviaatego3992
@sylviaatego3992 Жыл бұрын
Amen i love your preaching i help alot
@RafikiYona-ub2qk
@RafikiYona-ub2qk Жыл бұрын
Huo ndio ukweli umasikini ni dhambi
@purityrose6714
@purityrose6714 Жыл бұрын
Aki this message is mine,,I get panicked easily and I rarely take corrections without feeling offended
@liddydeSalt4773
@liddydeSalt4773 Жыл бұрын
😂😂😂 Wow nice acha nitafute hela🎉
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira Жыл бұрын
Be blessed pastor for powerful sermons. I really learn alot from this channel
@sylviaatego3992
@sylviaatego3992 Жыл бұрын
Me too
@AmenKimaro
@AmenKimaro Жыл бұрын
Ukwel navuka mahali
@winniekaari1951
@winniekaari1951 Жыл бұрын
Lakini pastor mumewangu ananinyima freedom ya kutoka kutafuta nifanyeje?
@annakishai
@annakishai Жыл бұрын
Huyo anataka ukose pakushika umnyenyekee yeye tu. Fungua akaunti yamalenge jiwekee akiba. Anajua ukitoka utabebwa atakupoteza.
@Allyamanzi-jt8us
@Allyamanzi-jt8us Жыл бұрын
?
@user-yl8ni9wn4t
@user-yl8ni9wn4t Жыл бұрын
Asante, lkn hubiri injili ya mbinguni yaan njia za kuokoa wanadamu kuona ufalme wa mbinguni maana parapanda imekaribia, sio pesa every time.... Taften ufalme wa mbinguni vingine mtazidishiwa Biblia inasema.... 🙏
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Namshangaaa
@kasaranimrudi7310
@kasaranimrudi7310 Жыл бұрын
😂😂
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
Ndo maana ndoa nyigi zimevunjika kwasababu bibilia inasema mwanaume atafanya kz kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu..sikuiz wanawake wengi ndo wamegeuka kuwa baba sasa wacha kutoka nje y mada mchugaji f
@zachariahekal2452
@zachariahekal2452 Жыл бұрын
Wee ndio uko nje y mada...jifunze kutafuta hela hueshimiwe na mumeo
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Endelea kulala utashangaa
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Naomba nikusaidie sifa za mwanamke mwema mithali 31:10 -31 1. Kinywa chake chapita kinywa cha marijani 2.Moyo wa mumewe humuamini 3. Hatakosa kupata mapato 4. Hutenda mema wala si mabaya 5. Hutafuta Sufi na kitani 6. Hufanya kazi Kwa mikono yake Kwa moyo 7.Afanana na merikebu ya biashara 8.Huleta chakula chake toka mbali 9. Huamka kabla haujaisha usiku 10. Huwapa watu wake chakula na wajakazi sehemu zao 11. Huangalia shamba akalinunua Kwa mapato ya mikono yake hupanda mzabibu 12. Hujifunga nguvu kiunoni kama mshipi hutia mikono yake nguvu huona kama bidhaa ina faida 13. Taa yake haizimiki usiku 14. Hutia mikono yake katika kusokota 15. Huwakunjulia masikini na wahitaji mikono yake 16. Watu wa nyumbani hawana hofu mana huwavika kitani 17. Hujifanyia mazulia ya urembo 18. Mavazi yake ni kitani safi 19 mume wake hujulikana malangoni pa wazee 20. Hufanya nguo za kitani na kuziuza 21. Anaucheka wakati ujao. So mwanamke si kuzaa tu ukasubiri uletewe kila kitu. Ikitokea mume amefariki itakuwaje? Ama we ndio Una uwezo ama mafikira ama bidii zaidi ya mwenzio?
@SARAHHALIFA-wm2kg
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Wewe uko karine Gani mjomba?
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Жыл бұрын
Dada jiandae kwa lolote kuna leo na kesho leo mume yupo kesho mume hayupo kabisaa utaishi vp na watoto jiandae kwa vita usijibweteke ila tu heshima iwepo kwa mumeo tafuta ela
@igira8758
@igira8758 Жыл бұрын
Sikuungi mkono 100 0/0 pastor .Hii inaweza kuwa sehemu Moja ya kupiga wanawake siyo Kila mara wanandoa wanaweza kuwa maskini lakini wakavumiliana nyumbani.Kilichomuhimu sana ktk ndoa ni Mapenzi kati ya wanandoa vingine hukuja badaaye
@BMboss108
@BMboss108 Жыл бұрын
Ni wanaume wa siku hizi wanataka kusaidiwa majukumu ndio wanadharau wake zao...malezi ya watoto na nyumba yanachosha na ni kazi ngumu sana
@vanjestastaphord
@vanjestastaphord Жыл бұрын
Asant kwa neno nzur
@vannyplayboy2114
@vannyplayboy2114 Жыл бұрын
Napende sana sikutakuja ukukwetu ntafurayi sana 🇧🇮🇧🇮
@victorreveta
@victorreveta Жыл бұрын
Tafuta pesa upendo unakujaga automatically na hisia zinakuja automatically....wote tafuten hela kwa njia halali wanawake kwa wanaume
@jacqueeydelia
@jacqueeydelia Жыл бұрын
Na bila pesa mtaweka mapenzi kwa sufuria mkule😂😂kutafuta ni laxima the best weapon of a lady is her wallet
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Unapotosha watu mchungaji gan wewe unataka watu wawe busy na pesa kuliko kutafuta wokovu??? Jukumu la mume ni nini??? Vitabu vitukufu vimeeandika mume ni kichwa cha family lazima ahudumie family ni jukumu lake
@user-yb6ut9in5c
@user-yb6ut9in5c Жыл бұрын
Wewe ndy hujasoma mandiko kasome mithar pastor yukosahihi
@musakaphu4581
@musakaphu4581 Жыл бұрын
​@@user-yb6ut9in5cachana nae huyo mvivu tu wa maisha ndomana yuwaona kama pastor anakosea😂😂
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 104 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 76 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 162 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 64 МЛН
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 578 М.
kiburi yako ndiyo ina kutesa by Pastor Tony Kapola
3:58
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 353
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 196 М.
MWANAMKE ULIKUWA UNANUKIA SUFURIA HALAFU LEO UNAMDHARAU MUMEO”PASTOR MGOGO
21:22
Mch:Daniel Mgogo:Usipende kuiga ujinga jifunze kuiga Mema
10:53
Uhai Online Tv
Рет қаралды 33 М.
KATIKA NDOA MWANAMKE NDIO MTUNZA HAZINA  MCH  RICHARD HANAJA
7:06
Ebenezer TV Mikocheni B Assemblies of God
Рет қаралды 217 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 104 МЛН