Mungu akubariki Sanaa Babangu kwakumfariji mdogo wetu
@alfredbyangwamu982111 күн бұрын
KAZI YENU NJEMA, MUNGU AWABARIKI.
@binthkhamis804212 күн бұрын
Polen wafiwa mungu hawape nguvu
@Japhary-sx3je42 минут бұрын
Watoto wasikuizi awana uluma sana yani baba wa mtoto mdogo mama wa mtoto mdogo
@azzaalhabsi150512 күн бұрын
Asanteni uvccm kwa umoja wenu na ushirikiano wa kumuenzi mama asimwe.mungu afanye wepesi kila lililo pangwa likamilike.
@dorothyndege455512 күн бұрын
Umeongea vizuri sana kiongozi🙏
@KhadijaNgozi-ln4ww12 күн бұрын
Asante.san.mama.samia.mungu.akupe.umri.mrefu
@AsellaLambert13 күн бұрын
Asanten San kwa kumfarji
@rahellubandila192812 күн бұрын
Mungu awafariji ndugu zangu watanzania wenzangu
@user-dx1hz3ow7k11 күн бұрын
Akuna anaeweza kuvaa kiatu cha uyu dada maumivu anayopitia Mungu mwenyewe ndo anajua
@user-it3em8lf1g10 күн бұрын
Huyu anae semafara maana yake Nini mbona watu hamna shukura jaman mungu awahumie mungu akurinde mwekiti na akupe maisha marefu
@furahamwatwinza956011 күн бұрын
Mbarikiwe sana kwa kuugusa moyo wa Mungu ,,,,,kweli itamsaidia kutuliza akili kwa asilimia kubwa sana,,,,tuliofiwa na watoto,tunalielewa hili,,,,,
@adelgotingingo839610 күн бұрын
Hakika nimaumivi makali sana tuliyo kionja kikombehicho Tunajua
@stanleymhozi759010 күн бұрын
Pole sana mama asimwe pole bibi asimwe kwakupoteza mtt
@valenakomba76868 күн бұрын
Poleni sanaa.
@gemandorobo153613 күн бұрын
Poleni sanaaa wapendwa,tupo 🤝
@user-ds5tf9xx1d12 күн бұрын
Poleni sn ndugu zangu msiba unasikitisha sn kwa kweli
@MalandoJames11 күн бұрын
Serikali yangu naiamini sana. Wafanye uchunguzi makini tu. Na baada ya kuupata ukweli tu , wahusika wanyongwe tu. Ukatili huu haukubaliki hata kidogo. Na kama baba mzazi kahusika ndo waanze naye kumnyonga. Mshenzi sana.
@benernest51257 күн бұрын
Asiimwe Apumzike kwa amani!😢😢
@YusuphuMakange11 күн бұрын
Pole sana kwa tukio hilo ila serikali inatakiwa ichukue hatua kaly mara moja wausika wote ukumu yao kunyongwa hadi kufa
@user-dc2km2kz3j12 күн бұрын
Bojo Mpola mno mnonga MUNGU awatie nguvu Sanaa ktk hiki kipndi kipindi kigumu!
@evelina96219 күн бұрын
Vi ongozi.kazi.zuri
@KhadijaNgozi-ln4ww12 күн бұрын
Asante.kiongozi
@AndrewFilemon6 күн бұрын
Polen san tupo pamoja
@user-wl4yo4zp9t10 күн бұрын
Mungu awe nanyi tupo pamoja nanyi ktk kipindi hiki kigimu
@ShamsaIsmail-ey4ox12 күн бұрын
Mungu ampe faraja ya moyo
@user-dc2km2kz3j12 күн бұрын
Huko bukoba kuna sehemu chafu kama hizo, kuna kijiji kimoj kiko ishozi katolelwa alitokea tendo la kinyama kama hilo lakn watu walilipuzia, naomb kupitia hili naomba selikali yangu ifatilie hilo swara.
@DSFAMILYGRAPHIC12 сағат бұрын
Hiyo account iko wapi jamani? Ebu weka hiyo account hapa, nahitaji kufanya malipo chapi
@chrispinrafael38316 күн бұрын
Weka ata sasahivi tupo tiali mimi Niko arusha
@HajirHaruni8 күн бұрын
Tunaomba hao ndg zetu albino wapewe ulinzi matukio hayo yasijitokeze tena
@eliyalaiza676812 күн бұрын
Huyu jamaa apewe ukuu wa mkoa anakua kufafanua jambo vizuri sana
@SuzanaLott9 күн бұрын
Poleni😭😭😭
@jullykweka450212 күн бұрын
Siku zote mlikuaa hamumuon uyo mam na mtoto jmn
@SharifaMohammed-el3ug12 күн бұрын
Safi kiongozi
@Ambeniwatano10 күн бұрын
Familia imeweka ngumu na eneo lao familia za kiafrika ni mtihani mtupu nyumba ingejengwa ingeleta mgogoro
@itanzaniaAS13 күн бұрын
KAMA MAMA NI UMRI HUU BASI NA BABA NAE MTOTO. HUZUNI SANAA
@rehemakanyere418812 күн бұрын
Kbsaa
@user-gl5mn2qs1r11 күн бұрын
Ni mdogo niliona picha yake
@RoseKimishabhalemi-oz9bn11 күн бұрын
Sisi hatutowi metuulia mtu wetu
@mnolamanyendi495612 күн бұрын
Kama mmewakamata wauweni msiwaweke
@shamiramsoke136512 күн бұрын
MUNGU WA MBINGUNI AWATETEE
@RoseKimishabhalemi-oz9bn11 күн бұрын
Tunamashaka na nyie ccm na uongozi wenu
@user-xy1jn7iq9m10 күн бұрын
Mpe pole 😂😂😂
@Teaching35610 күн бұрын
Sa umefurahi Nini kwa mfano!!
@TakasiSulle12 күн бұрын
Poleni sana
@zakayomosha1312 күн бұрын
Tuache tabia za Ukatili badala yake tumrudie Muumba wetu
@RoseKimishabhalemi-oz9bn11 күн бұрын
JPM alivyouwawa wahaya walio wengi walifanya sherehe .
@Teaching35610 күн бұрын
MAKU Wewe shetani mweusi komaaa🤫🤫🤫mfyuuuu ko umefurahi kuona mtoto anakufa kinyama ivo! fikiria angekuwa ni wako☹️☹️😕toa roho ya kutu hapa .
@itanzaniaAS13 күн бұрын
MTU AKIPATA MSIBA MKUBWA KAMA HUU APUMZISHWE ATULIZE AKILI. KUSHONA NA KUFUMA KUNAWEZA KULINGANISHWA NA MTOTO???
@mrsmumewangu490713 күн бұрын
Kipindi tukio lipo jipya ndo binaadamu huingia Imani yakukusaidia ikipita muda kidogo akuna Tena atakaewaza kunamtu alifiwa