HUYO PADRI NI MSHILIKINA AISEE.Amezalillisha kanisa . Wote wachukuliwe hatua kali za kisheria kwa mauaji na ukatili mkubwa walioufanya. Hongera sana wananchi wa kijiji hicho na Jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri.
@FahadAbubakari18 күн бұрын
Paroko katili kabisa
@BakariKombo-er9xr11 күн бұрын
Kazi ziendelee ,uchunguzi wa kina ufanyike ili iwe fundisho kwa jamii ya watu wasiokuwa na hofu ya mungu
@MonicaRaila-tn5rb18 күн бұрын
Mungu afadhali ungamishe dunia uanze upiya dunia matendo ya ajabu hatujuwi Tuendako dunia imelewa duuu Hivi Leo hii gafla mwalim Nyerere akirudii hatamini
@user-xk7vy4gb6g18 күн бұрын
Heee jamani hadi paroko??? 😢😢😢 Wallah watu wamegeuka kuwa kobra. Maana hata shetani kanyooxha mikono
@emmanuelndotela941218 күн бұрын
Jeshi la police mkiamu kufanya kazi huwa hamshindwi kabisa, Asante jeshi la police 😢😢😢
@joycebayo810618 күн бұрын
Mimi ni mkatoliki ila ikidhibitika huyo baba paroko kahusika afungwe maisha. Na hataona mbingu huyo .
@HAM99818 күн бұрын
Hapa ndo tunajivunia jeshi letu la polisi
@user-ty3yv2mp6h14 күн бұрын
Eeee mungu wangu tunusuru
@michaelkitebo930518 күн бұрын
Ushetani unatafuna taifa, jaman MBONA watu sku hiz hawana hofu ya mungu?
@happymrema748718 күн бұрын
Ivi kumbe hata mteja hawakuwa nae jaman
@WitnessKivuyo-cc6cq18 күн бұрын
Jamani😢
@JoshuaLukandikija15 күн бұрын
Cy binadam hao ni simba kabxa
@RogeyMaxbravo-og8xs18 күн бұрын
Mmmmhh,,jaman
@michaelkitebo930518 күн бұрын
WALAANIWE MILELE WALIOFANYA KITENDO HICHO CHA KINYAMA