Christian Online Tumefanya utafiti kutoka vyanzo mbalimbali kuhusu Baba Askofu Moses Kulola na sasa tumekuandalia Mambo Kumi Usiyo yajua kuhusu Baba Askofu.
Пікірлер: 7
@KibataDispensary4 күн бұрын
Ameni sana mungu amtangulie
@evangelismchannel8810 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu kwa mambo haya tusiyoyajua kuhusu Bishop Kulola
@nathankulola8348 Жыл бұрын
Wajukuu tupooo... 🙏
@abrahamelias9665 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@user-cw8zn2dn6m5 ай бұрын
Nampenda sana huyu mtu jmn natamani angekuwa hai. Siku nilipojua amefariki dahh nililia sana!! Hadi leo nikimkumbuka nabakia nalia kwasababu Moses huyu yuko Mbinguni tayari, vp sasa kwangu mimi, naingiaje katika ufalme wa Mungu? Nalia sana!!
@EdesiaKatamba-wv7bu2 ай бұрын
Alikufa akiwa na miaka mingapi?
@silasnatir7915 Жыл бұрын
Nilisikia ushuhuda kwa wachawi walio pingana naye walishudia kua nimtumishi wa mungu kweli