MANABII WA UONGO - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.

  Рет қаралды 16,846

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

Күн бұрын

Manabii wa Uongo ni wimbo mmojawapo katika mlolongo wa nyimbo 10 zinazounda albamu toleo la kwanza la Kwaya yetu inayoitwa Tumwimbie Mungu.
Umeimbwa vema na Kwaya ya Mt.John Bosco maarufu kama Kwaya ya Vijana kutoka katika Kigango cha Mkwajuni, Parokia ya MWAMBANI, Jimbo Kuu la Mbeya, makao makuu ya Kwaya yakiwa ni katika mji wa Mkwajuni wilayani Songwe katika Mkoa wa Songwe.
Wimbo huu umetungwa na ndugu Isaya Msakila
Mpiga Kinanda: CY. Luseba (0762265245)
Audio & Video imefanywa na Tanganyika Production kutoka Dodoma (0762380376, 0765449914)
Step Master: Joseph Zungumaji (0757761764)
Tufikie sisi kupitia
KZfaq: Kwaya ya Mt. John Bosco, Mkwajuni, Mwambani
Facebook : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Instagram: @kwaya_mtjohnboscomkwajuni
Audiomack : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Email: kwayayamtjohnboscomkwajuni@gmail.com
TikTok: @mtjohnboscochoir
Kwa mahitaji ya DVD au Flash za albamu hii wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:
0742 619 354 - Katibu wa Kwaya
0756 529 232 - Paroko,Parokia ya Mwambani
0768 886 884 - M/kiti wa Kwaya
Karibu sana

Пікірлер: 17
@victorcharles3774
@victorcharles3774 Жыл бұрын
Woooow that is nice song jaman 😗😗
@jacobpatrick7936
@jacobpatrick7936 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@paulmobagi5063
@paulmobagi5063 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@EdinaTimbula-mc3ki
@EdinaTimbula-mc3ki Жыл бұрын
Nice
@isayamsakila3818
@isayamsakila3818 Жыл бұрын
Waaaaaoooo bravoo John Bosco
@matildamaxwell3762
@matildamaxwell3762 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa uinjilishaji
@user-md2hp8ln7k
@user-md2hp8ln7k 8 ай бұрын
Aminaaaaa be blessed nawapenda sana na ninapenda nyimbo zenu lakini tumupe Mungu sifa na utukufu wake 🎉🎉🎉🎉🎉
@geofreyngwando4852
@geofreyngwando4852 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana, na awatie nguvu zaidi, hakika nafarijika na ujumbe wenu
@SabihaSalum
@SabihaSalum 9 ай бұрын
Mkuburi
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mliotuletea yenye kujenga katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
@jersonmpeka4984
@jersonmpeka4984 Жыл бұрын
Nawaelewa Sana mbarikiwe na Bwana
@felisterligwa
@felisterligwa Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu.
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
@thomasmtindo2040
@thomasmtindo2040 Жыл бұрын
Safi sana wimbo umenibariki sana sana,,ujumbe mzuri sana
@vijinny101
@vijinny101 Жыл бұрын
Safi sana👏
@orzyrok6849
@orzyrok6849 Жыл бұрын
Beautiful and sweet to hear. 👏👏👏
NDOTO YA WOKOVU  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
3:52
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 31 М.
NITUMIE KAMA UPENDAVYO    |  D.KASHATILA | MT.DON BOSCO NIT
5:30
Don Bosco NIT
Рет қаралды 23 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 90 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 30 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН
Mtukuzeni - SINDANI P.T.K (Official music video) - KWAYA YA MT JOHN BOSCO, MKWAJUNI.
3:46
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 2,1 М.
MAPENZI YAKO YATIMIZWE  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
6:31
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 66 М.
FARAJA - TMY // Mtunzi: PIUS PAUL FUBUSA(PPF)
7:49
KWAYA YA MT THERESIA MARUKU
Рет қаралды 37 М.
DHABIHU TIMILIFU By Fortune Shimanyi  Audio na Video By RAJO PRODUCTIONS
5:10
Kwaya ya Mtakatifu Simon Mtume Loruvani- Arusha
Рет қаралды 4,8 М.
Wifi - KWAYA YA Mt. John Bosco(Official Music Video)
6:52
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 23 М.
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 271 М.
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 216 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 2,6 МЛН
Ulug'bek Yulchiyev & Aziza Qobilova - Esim ko'p (Premyera Klip)
3:32
ULUG’BEK YULCHIYEV
Рет қаралды 1,8 МЛН