MAPENZI YAKO YATIMIZWE - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.

  Рет қаралды 61,112

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

Жыл бұрын

Mapenzi Yako Yatimizwe ni wimbo mmojawapo katika mlolongo wa nyimbo 10 zinazounda albamu toleo la kwanza la Kwaya yetu inayoitwa Tumwimbie Mungu.
Umeimbwa vema na Kwaya ya Mt.John Bosco maarufu kama Kwaya ya Vijana kutoka katika Kigango cha Mkwajuni, Parokia ya MWAMBANI, Jimbo Kuu la Mbeya, makao makuu ya Kwaya yakiwa ni katika mji wa Mkwajuni wilayani Songwe katika Mkoa wa Songwe.
Wimbo huu umetungwa na ndugu Upina Nairobi.
Mpiga Kinanda: CY. Luseba (0762265245)
Audio & Video imefanywa na Tanganyika Production kutoka Dodoma (0762380376, 0765449914)
Step Master: Joseph Zungumaji (0757761764)
Tufikie sisi kupitia
KZfaq: Kwaya ya Mt. John Bosco, Mkwajuni, Mwambani
Facebook : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Instagram: @kwaya_mtjohnboscomkwajuni
Audiomack : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Email: kwayayamtjohnboscomkwajuni@gmail.com
TikTok: @mtjohnboscochoir
Kwa mahitaji ya DVD au Flash za albamu hii wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:
0742 619 354 - Katibu wa Kwaya
0756 529 232 - Paroko,Parokia ya Mwambani
0768 886 884 - M/kiti wa Kwaya
Karibu sana

Пікірлер: 53
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 3 ай бұрын
hongera mtunzi hongera waimbajji mmeinjilisha kwa hisia kali kiroho na mbarikiwe sana
@user-gw8fe2no7e
@user-gw8fe2no7e 2 ай бұрын
Wimbo huu umenigusa mno mpaka nimeutafuta na kuwapata waimbaji....Asanteni Mungu Abariki kwaya hii. Unanyenyekea sana....
@yustinomasangula6122
@yustinomasangula6122 6 ай бұрын
Asante sana kwa wimbo mzuri wa tafakari. Tunapaswa kushukuru kwa kila jambo ambalo Mungu ameliruhusu hata kama si jema sana machoni na mioyoni mwetu. Asante Mungu.
@tediusmwachipindi6123
@tediusmwachipindi6123 4 ай бұрын
Wimbo mzuri sana,binafsi nawapongeza
@user-dp5ek4ut1z
@user-dp5ek4ut1z 4 ай бұрын
Mungu ibalik palokia ya mkwajuni
@user-vi6bc8bf3e
@user-vi6bc8bf3e 4 ай бұрын
😢😢 huu wimbo unanihusu sio kwa magumu nayo pitia haya 😭😭 plz God help me
@user-wp2sg9kc6u
@user-wp2sg9kc6u Ай бұрын
Very good song bwana Bosco be blessed ❤❤❤❤❤❤
@hydanruta1511
@hydanruta1511 Жыл бұрын
Katika Yote tunakushukuru Mungu wetu💪💪💪✍️✍️💕💞💯💯💯
@JohnMaranya-qx6tt
@JohnMaranya-qx6tt 7 ай бұрын
Mimi ni SDA Lkn Siku haiwezi pita bila kusikiliza huu wimbo kwa Kile tulichopitia, Ila Mapenzi ya Mungu Yatimizwe.
@ditricksilinu6038
@ditricksilinu6038 Жыл бұрын
Wimbo wenye tafakari na hisia... Hongereni Sana St Donbosco Mkwajuni Mbeya
@cotildakalupale2519
@cotildakalupale2519 4 ай бұрын
Hongereni Sana wanakwaya.❤❤
@januarius-js2xl
@januarius-js2xl Жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji wa mtakatifu John Bosco mkwajuni nawapenda upeo..... George Nikiwa Kenya
@januarius-js2xl
@januarius-js2xl Жыл бұрын
Msalimu sana kaka Musa Kalinga mfamasia
@MosesNyamba
@MosesNyamba 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@CharlesMahenge-nn7bz
@CharlesMahenge-nn7bz 7 ай бұрын
alto sauti ya 2 nimewakubali safi san
@jacklinemutindi3520
@jacklinemutindi3520 5 ай бұрын
Sauti bora
@user-ms3ll2lq6z
@user-ms3ll2lq6z 4 ай бұрын
Congratulations to the composer a good song
@no.1fan957
@no.1fan957 4 ай бұрын
Kwa hakika tunashukuru mungu kwa kila Jambo,mungu awabariki
@user-kf5ot1sl2i
@user-kf5ot1sl2i 5 ай бұрын
❤❤❤
@lileskazila284
@lileskazila284 Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana,mungu wabariki kwa ujumbe mzuri
@DorcasNanzala
@DorcasNanzala 6 ай бұрын
Haleluyia tunajitayarisha kwa kwaresma So proud to be a Catholic
@despinakayuyuva9485
@despinakayuyuva9485 11 ай бұрын
Ee M/Mungu tunaomba ututie nguvu watu wako ktka majaribu ya hapa duniani, mbarikiwe kwa kuhubiri kwa njia ya nyimbo
@renatuslyoba107
@renatuslyoba107 6 ай бұрын
Mungu akubariki myunzi, pia wanakwaya , wimbo mzr ,mmefanya Kazi iliyotikuka, Mungu wajalie maisha marefu ,muendelee kutuinjilisha na tafakari nzito zinazo gusa mioyo yetu
@amosmakau9893
@amosmakau9893 7 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mambo mingi nimepitia Kwa hii maisha nikitafuta familia, Mungu Asante Kwa yote na Zaidi kunipa uhai.
@JohnMaranya-qx6tt
@JohnMaranya-qx6tt 7 ай бұрын
Huu wimbo umenikumbusha Mbali, Pumzika kwa Amani Mama na Baba Yangu sijui ni kwa Nini Mungu Aliruhusu
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 ай бұрын
Pole Sana John maranya 😭😭
@frankmagembe7814
@frankmagembe7814 10 ай бұрын
Wimbo mzuri sana na unatafakarisha vzuri, hasa katik maisha yetu wanadamu. Hongereni sana na mungu abariki kazi yenu.
@devothasintoro5909
@devothasintoro5909 10 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana hongereni sana
@joharisanga7016
@joharisanga7016 5 ай бұрын
Hongera kwko mtunzi
@consolatakitavi3264
@consolatakitavi3264 6 ай бұрын
Wimbo unaoniguza moyo wangu, kama mimi sigekua mkatoliki Nigekua wapi????
@byterthedon6182
@byterthedon6182 5 ай бұрын
Asant mtunzi kwa utunzi wako mzuri ❤❤❤❤ am proudly with roman Catholic
@user-vf9og5hh3n
@user-vf9og5hh3n Жыл бұрын
Mubarikiwe sana kwa utume wa kwaya tamu nawapenda
@otridamligo-rf5fb
@otridamligo-rf5fb 10 ай бұрын
Nimeupenda sana huu wimbo hongera kwenu mliouimba mungu aendelee kuwatunza
@berthaevod7139
@berthaevod7139 Жыл бұрын
Hongereni sana!!!
@CharlesMahenge-nn7bz
@CharlesMahenge-nn7bz 7 ай бұрын
big up sana kwaya nimewapenda huu wimbo wa mapenzi yatimizwe ninawaelewa .kwani mm ni mwl ,oganist toka jimbo kuu dsm,parokia ya watakatifu wote kiluvya .nitawatembelea mungu akitupa pumzi. hongera mwl mwenzangu fundi ya chombo kimetulia E flat tamu sana
@flaicombilinyi2426
@flaicombilinyi2426 5 ай бұрын
Hakika si kulalamika😢😢
@christophermpanji2961
@christophermpanji2961 Жыл бұрын
Hakika mnaenjilisha vema kupitia nyimbo,,Mungu wa mbinguni awabariki nyote siku zote za maisha yenu,,,
@christophermpanji2961
@christophermpanji2961 Жыл бұрын
Nitawaunga mkono kwa kuinunua cd yenu,,nitamuomb wile atanitumis
@christophermpanji2961
@christophermpanji2961 Жыл бұрын
Atanitumia
@ritahjulie7338
@ritahjulie7338 7 ай бұрын
Wonderful song ❤❤❤❤
@user-nz2qi8oi1h
@user-nz2qi8oi1h 10 ай бұрын
Umenigusa Wimbo huu mbarikiwe sana.
@AdelinaBruno-vx5qr
@AdelinaBruno-vx5qr 11 ай бұрын
Mbarikiwe katik utume wa uimbaji ...mnanibariki sana na nyimbo zenu .na mungu akawabariki🙌nakuwapandisha kiwango baada ya kiwango
@MashauryErica
@MashauryErica 5 ай бұрын
Kazi nzuri hongera
@pollejilala8903
@pollejilala8903 10 ай бұрын
Una hisia kali wimbo huu
@MichelAnge21
@MichelAnge21 Жыл бұрын
La traduction en français s'il vous plaît
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni Жыл бұрын
Ce n'est pas que nous nous plaignons Seigneur, mais nous nous demandons pourquoi, Ce n'est pas que nous nous plaignons mais nous nous demandons pourquoi, Vous permettez à tout ce qui blesse le cœur de votre peuple de se produire, vous permettez à tout ce qui blesse le cœur de votre peuple de se produire
@EdinaTimbula-mc3ki
@EdinaTimbula-mc3ki Жыл бұрын
Tunawapenda sana pia Mungu awabariki kwa kutuunga mkono 🙏🙏🙏
@salvatorykayuki5456
@salvatorykayuki5456 8 ай бұрын
Very emotional song 😢
@jereminamnyanyi8376
@jereminamnyanyi8376 Жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri mbarikiwee
@catherinelunyungu9623
@catherinelunyungu9623 9 ай бұрын
@user-jt9gt4zw5v
@user-jt9gt4zw5v 10 ай бұрын
Mapenzi yako yatimizwe
@joliea2956
@joliea2956 Жыл бұрын
Asante nimefarijika,toka kenya 🇰🇪
@geoffreymicheni6030
@geoffreymicheni6030 8 ай бұрын
Nice
TANGU NINGALI MIMBA  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
6:09
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 127 М.
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 55 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
TOP TOP (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:34
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
Baba wetu wa mbinguni-Kama si wewe-Asante Yesu,by Pst Collins Khisa.
20:31
Pastor collins khisa
Рет қаралды 20 М.
MANABII WA UONGO  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
4:43
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 16 М.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 53 МЛН
TUMWIMBIE MUNGU - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO, KIGANGO CHA MKWAJUNI,PAROKIA YA MWAMBANI.
4:32
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 159 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,7 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 77 М.
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,6 МЛН
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 103 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 1,4 МЛН
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 1,2 МЛН
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 1,8 МЛН