MC GARA B AMEMCHANA MWIJAKU KUHUSU NYUMBA YAKE ILIYOPO KIGAMBONI ALIYEIZINDUA JANA PAMOJA NA MARAFIKI ZAKE NA NDUGU ZAKE WA KARIBU TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA #manaratv #mcgarab #mwijaku #zamaraditv #babalevo #diamondplatnumz
Пікірлер: 57
@alfredrutaguza75067 ай бұрын
Kaka galab you very very smart the way you talk(wew hukununua vyeti kaka)
@user-eq2wg9hx6o6 ай бұрын
Garab ana nyumba nzuri sana,ya mwijaku wala uwezi kuifananisha na nyumba ya garab
@bennamush46166 ай бұрын
Mtangazaji kama sijakuelewa kuwa comfortable kidogo
@malichanda31467 ай бұрын
Mwijaku kajitahidi Sana maana wasani hawana nyumba zaidi ya alikiba ana ghorofa na mwijaku kajenga gorofa hongera Sana mwijaku
@ikramalmas70397 ай бұрын
Zile za diamond hujaziona
@user-ir2bw9dy6s7 ай бұрын
Nimempenda kaongea kwa busara sana kuliko hata huyo rafk wa Mwijaku
@user-eq2wg9hx6o6 ай бұрын
Gorofa kitu gani bwanaa,mimi nina gorofa nimeipangishia naishi nyumba ya kawaida na ninaiona ni nzuri zaidi ya iyo gorofa,
@hellenelias247 ай бұрын
Hongeren san
@ukhutfatumah11547 ай бұрын
Mc wangu wa taifa enjoy kaka yangu nina jambo langu Inshallah sooon tutakuwa pamoja
@yusternyirenda72317 ай бұрын
Nyumba ya mwijaku ni ya kwaida sana hakuna bilion 1 . 3 ni uongo wake mwijaku, labda milion 500 au 600 tu million 1 .3 ya kuandika chini au? asitutishe tuogope kujenga
@joelsamwel25807 ай бұрын
😂😂😂 milioni 500 sio kweli ile ni 150 au 200
@judyngowi3916 ай бұрын
Haifiki 500
@shadiwaigwa92307 ай бұрын
Mwijaku ni mshamba sana, kwani ni wangapi Wana nyumba and they don't show off
@agapemunyi20957 ай бұрын
Kawaonesha walikuwa wanamdharau kuwa Hana kitu half anachofanya na namna avopata pesa hafanani na hao wasioonesha ,wengi hela zao za wizi ,madawa ya kulevya, dhulma hivyo huficha Mali zao hta ivo kila mtu anaish maisha yake aliyoyachagua
@hellendaniel38097 ай бұрын
Sio mshamba mnamsimanga sana
@congratulationmayunga38337 ай бұрын
Wacha awanyooshe msiompenda Muumie zaidi mtu chake bhana alaa
@princemuhidin30677 ай бұрын
Usizarau kit ulich kuw hun c unasem ya kawaid hlf wew unaishiy kukodi
@daudminzi-pb3je7 ай бұрын
Jitaidini wekeni crip fupi za dakika 8 Hadi 10 zinakuwa nyingi kwenye tv yenu kuliko kuweka ya dakika 20 inatuchosha hatuna muda mwingi wa kuangalia
@abdulkadirgafla38897 ай бұрын
Mwaja kufanya nn huku watu wakutumia data😂😂😂😂
@ukhutfatumah11547 ай бұрын
TULIZA KOMWE ilo mwenzako tunajifunza na aswa Hawa ndio role model wetu so kama bundle kidebe pita kushoto WENZAKO tunaangalia hata iwe masaa mawili atuchoki
@khalimahema69317 ай бұрын
Elfu mbili sio mbiri 😂
@stanleybulla7 ай бұрын
Mbona nyumba ya kawaida sana aisee we mwijaku,
@SashaOscar7 ай бұрын
Angepunguza maneno
@Aminmwansile-we8vn7 ай бұрын
Mwijaku for the life umeupiga mwingi mdogo wangu hongera
@user-vj7fx4bh2t6 ай бұрын
HUKU MTANGAZAJI JAUUUUU Hajui kuhoji na Muoga
@malilacollins117 ай бұрын
😂😂
@benedictinelusambo0697 ай бұрын
Ety nyumba ya kawaida yenu Iko wap? Acheni kuponda hata kama 600M so Haba kajitahidi sanaaaaaaaaaa
@user-uo8xw9kr4b7 ай бұрын
Na wenyew hawajielew kwan kuna nyumba ya ajab zote si nizakawaida tofauti ni gorofa 1 2 au 3 had 10 na chazai labda raman muonekano na mapambo na mazingra iliopo.
@benedictinelusambo0697 ай бұрын
@@user-uo8xw9kr4b ni sahihi kabisaa🙏🙏
@wadhhasuleiman26217 ай бұрын
Ww mtangazaji ploud ploud ni proud
@Rogathe-Rogathe7 ай бұрын
😂😂
@jokhaynamohammed7 ай бұрын
Ila jmn mwijaku kajitahid tumpongezen tu ni mfano wa kuigwa umeweza baba
@SashaOscar7 ай бұрын
Ni kwl kajitahid lkn haina maana kuanz kudharau nyumba za wenzake, maana hata wao wamejitahd kulingana na uwezo wao
@vibetz99917 ай бұрын
Low key hater na roho mbaya
@user-vj7fx4bh2t6 ай бұрын
HUKU MTANGAZAJI JAUUUUU
@paskaziasholla74716 ай бұрын
Huyu kaka anahekma sana
@sskondopoleani96167 ай бұрын
Nyie mnaoonyesha mafanikio yenu na kujitakama mwajua kuna kitu kinaitwa *HUSDA*????
@user-zu8dk2zo8b7 ай бұрын
Hawajui hao
@user-zu8dk2zo8b7 ай бұрын
Namba zinaongezeka na uhai nao unapungua
@benedictinelusambo0697 ай бұрын
Huyu mtangazaji anamchukia sana mwijaku
@judyngowi3916 ай бұрын
Mtazamo wako tu
@williampanga28187 ай бұрын
Ndugu mtangazaji punguza kutazama sana camera muda wa mahojiano
@fatmafatu11287 ай бұрын
Akutazame wewe?
@hellendaniel38097 ай бұрын
@@fatmafatu1128😂😂😂😂
@Rogathe-Rogathe7 ай бұрын
@@fatmafatu1128😅😅😅😅😅
@Aminmwansile-we8vn7 ай бұрын
Kama mnamwona mwijaku ni mshamba lkn sisi tunampongeza
@RehemaMasunga-ml7kt7 ай бұрын
Nyie mnaosema nyumba ya mwijaku ni ya kawaida tuonyesheni zenu tuanze na wewe gara b ghorofa yako iko wapi. Usiseme tu nyumba ya fulani ni ya kawaida na wakati huna hata kibanda
@kheiramour29737 ай бұрын
Una uhakika km hana kband
@RehemaMasunga-ml7kt7 ай бұрын
@@kheiramour2973 nimesema hivi nyumba ya mwijaku sio nyumba ya kawaida elewa kiswahili
@ukhutfatumah11547 ай бұрын
Nenda ayo search nyumba ya GAR_B UTAIYONA
@scholamodestus93867 ай бұрын
Mmh we nae mgeni kumbe
@RehemaMasunga-ml7kt7 ай бұрын
Muonyeshe nyumba zenu sio mnasema tu za wenzenu ni za kawaida. Zenu ziko wapi haijalishi hata kama kajenga mke wake kama wanaheshimiana ana haki ya kujivunia na kusema nyumba ni yake
@philemonmagesa55487 ай бұрын
Ila kweli jamaa anamchukia mwijaku stori zote anajaribu kumsema.