Naomba maombi nakosa using ili.. hasa nikiwasiliana na mzazi mwenzangu.amen
@teresasalvatory11285 ай бұрын
Amina nazikataa ndoto mbaya kwajina la yesu
@user-je1or1he7b3 ай бұрын
Amen Amen nimebarikiwa kweli kweli
@StellaDuma-tv4zf2 ай бұрын
Asante pasto kwa maombi naimani nimefungukiws Amen
@MarieMakiwaАй бұрын
Mungu akubariki
@AGRIPINAMASSAWE-j8k9 күн бұрын
Asante Yesu
@dfkcic31844 ай бұрын
Amen. . naomba mungu.ambadilishe tajiri yangu yuko na roho chafu.
@MonksCyber-sz8udАй бұрын
Vita za laana naikataa katika jina la yesu amen
@user-io1tp6nz8m4 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sana ❤❤
@user-mj6zk7mm7v4 ай бұрын
Mungu naomba uniondolea hii garama yeye huyu mama anataka nilipishwe na ni yeye ndiye anatakiwa kulipa.ni naikataa katika jina la yesu kristo.yeye alipe kwa sababu yeye ndiye aliye nipoteza Sasa ananiambia mm nilpe.nikataa.
@tumasechambo30402 ай бұрын
Ameen Ameen barikiwa pastor
@nathaliajohn2 ай бұрын
Mch ombea watoto wangu katika masomo naafya zao ziimarike
@furahamujawayesu9252Ай бұрын
Asante ubarikiwe
@witnessjoseph25662 ай бұрын
Najiunganisha na maombi huu usiku wa saa nane
@user-gq4uh8sv5c13 күн бұрын
Najiungamanisha na maombi akanibariki
@phelistadanieli48615 ай бұрын
Naomba mungu akanipekibali usikuwaleo niweze kuamka usiku namimi mungunisaidie
@LinetClementinaMajanja2 ай бұрын
Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@fredrickkitende84392 ай бұрын
Nikotayari nijiungamanishe naneno la mungu asante yesu
@user-of2kj6yx1c3 ай бұрын
Naomba mch uniombee nabanwa kifua na mi mjamzito siwez kukaa kiuno kinauma na siwezi
@user-qe7dt9cq1y22 сағат бұрын
Amen 🙏🙏
@StellaDuma-tv4zf2 ай бұрын
Vita za kichawi na ushirikina ni nyingi sana lakini kwa jina la yesu eameshindwa maombi hy yanguvu
@user-lr2db2uo1m3 ай бұрын
Amen Amen and Amen
@bambardtz96173 ай бұрын
Mungu maombi aya nayakabizi kwako nibaliki mm na mmewangu
@user-lz7ie3fv8p5 ай бұрын
Amina Mtumishi
@user-ko1nb4sd8l3 ай бұрын
Amen and Amen 🙏 🙌
@kyungualbetina87392 ай бұрын
Najiungamanisha
@MourineIkhoni11 күн бұрын
Ameeeeeeeeeeeen ameeen 🙏🙏
@ZawadiMbatta-lt3yh9 ай бұрын
Amen
@PiliSelemani-yr3drАй бұрын
Amina
@HappyMdula-dc7cj9 ай бұрын
Amen, Asante mtumishi wa Mungu
@user-io1tp6nz8m4 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤
@user-ey1bv7qt1h4 ай бұрын
amen.amen
@leonidamduge89192 ай бұрын
Najiungama isha Mimi nafamilia yangu tunatenga na nguvu za Giza
@lovenessrichard2 ай бұрын
Amen😊
@user-gg3uw5io8x4 ай бұрын
Amen 🙏
@annaerineo2388Ай бұрын
Amen ameni
@LinetClementinaMajanja2 ай бұрын
Baba niko tayari keako
@magrethezekiel63544 ай бұрын
Kupitia maombi haya mme wangu anaenda kupokea utakato usiku wa leo
@reubenkanampiu37142 ай бұрын
Nimekuwa nikiota ndoto za shuleni ilihali nilimaliza masomo