Mapacha wa Huba: Watoto, Wachumba wetu wanatuchanganya, tunabadilishana nafasi na watu HAWAJUI - PT2

  Рет қаралды 364,457

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 жыл бұрын

Christina na Regina Mroni ni mapacha wanaofanana sana (identical twins) na maisha yao tangu wakiwa watoto yamekuwa ni kuchanganya watu wengi. Wanasimulia maisha yao na jinsi ambavyo maisha yao yapo tofauti na watu wengine. Wanasimulia pia maisha yao ya sanaa ya uigizaji na pia urembo hasa kwa Regina aliyeshiriki Miss Tanzania 2006
#ChillnaSky #Part2

Пікірлер: 451
@cristerthomasy4978
@cristerthomasy4978 3 жыл бұрын
Mapacha raha jaman... Mungu katujalia na ss tupo Pacha.... Kama unatamani pacha gonga like hapa twende pamoja
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
E Mwenyezi Mungu Nami naomba siku nikiolewa uje unijalie mapacha 🙏🙏
@lissapoul5227
@lissapoul5227 4 жыл бұрын
Wamebarikiwa hekima,Busara na kujielewa..ustaharabu Kama woote..daah nataman niwe Kama hawa
@eilinli7846
@eilinli7846 4 жыл бұрын
Poleni kwakufiwa na mzazi wenu😭ivi angeona raha yenu ManshaAllah
@aminakshamoona6900
@aminakshamoona6900 4 жыл бұрын
Muko vzr mashaAllah ruki na rani naomba Allah anijaalie na mm mapacha hata wa3 na wafanane wana raha sanaa
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Poleni sana kwa kufiwa na mama yenu mpendwa.R.I.P Mama yetu.
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 жыл бұрын
Watoto mapacha wanaraha yake km Mungu nijalie na mm nipate km hawa 🤲🙏 nimewapenda buree
@mackmillan2803
@mackmillan2803 4 жыл бұрын
Eeeeeh mwenyenz mungu Naomba unipe Twice jaman,,,Amen
@jasminiddy8734
@jasminiddy8734 4 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu nijalie nami kizazi changu nipate mapacha wakike kama hawa yaraab
@esthermarco8525
@esthermarco8525 4 жыл бұрын
I love u guys. .natamani nami Mungu anibariki siku moja nipate twins maana napenda sana watoto mapacha
@neemamjema1067
@neemamjema1067 4 жыл бұрын
Nawapenda sana, naomba Mungu nipate pacha kama nyie yani wanichanganye mpk nichanganyike
@khadjamhozya
@khadjamhozya
adi raha na wanakipaji cha kufanana ,wote mafundi na ngozi yawo ninzuri na hawana mambo mengi❤❤❤❤
@neemaoigen3594
@neemaoigen3594 4 жыл бұрын
Binafsi huwa na enjoy Sana nkiwaona mapacha Mungu awaweke jaman,
@hapinesphilimon8127
@hapinesphilimon8127 4 жыл бұрын
EE MWENYEZ MUNGU NAOMB UNIPATIE KIZAZI CHA MAPACHA AMEN
@brigithernkinga8160
@brigithernkinga8160 4 жыл бұрын
Kumbe kila mtu Ana watoto wa wili wa wili hongereni sana my twins
@kabateimelda9689
@kabateimelda9689 4 жыл бұрын
Jameni warembo nawapenda sana 💋♥️🇹🇿
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 4 жыл бұрын
Mungu awalinde jamani wazuri mno adiraha mungu ni jalie mapaca 🙏
@agriparose3942
@agriparose3942 4 жыл бұрын
Mimi nia pacha wangu namwomba mungu anijalie mume Bora na baba Bora then mungu ndipo aruhusu mapacha wa kufanana kila kitu
@annamsingi2829
@annamsingi2829 4 жыл бұрын
Mapacha wazuri kama watoto wangu GRESY na Regina mungu awalinde wote
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Aiseee ahsante sky sikuwah kujua kama kweli hawa ni mapacha siku zote nilikuwa nadhani mtu mmoja anacheza part mbili
HATARI; MAPACHA WANAO FANANA KUOLEWA NA MWANAUME MMOJA
19:54
Mbengo Tv
Рет қаралды 65 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 2,4 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН
UTACHEKA JOTI NA WATOTO WAKE MAPACHA AKITAKA ACHEZE WIMBO WA HARMONIZE UNO.
13:28
Harus ya mapacha wawili yachanganya watu
6:14
IMAC KWAYA
Рет қаралды 1,1 МЛН
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Millard Ayo
Рет қаралды 356 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 2,4 МЛН