Рет қаралды 2,969
Ni Misa takatifu ya Upadre Jimbo Katoliki la Bukoba
▪︎Misa imeadhimishwa na Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Bukoba, Askofu Method Kilaini, ambapo anatoa Sakramenti Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 11 wa Jimbo Katoliki la Bukoba. Karibu
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja