No video

MAPYA YAIBUKA|MAJIRANI WASUSA MAJI|NAJUTA NANUNIWA NA WATU|WAMEVUNJA KOKI YA MAJI

  Рет қаралды 10,490

DTV

DTV

2 ай бұрын

Пікірлер: 58
@oman1oman179
@oman1oman179 2 ай бұрын
❤❤❤❤ binahadamu kazi hata uwafanyie mema yaina gani ni bire kabisa kwanza hawana wema kabisa sijui tuliumbwa vipi
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 ай бұрын
Hata mwezi Bado mimi nilisema ayo maji yataleta majanga na yamesha tokea wanadamu hatufadhiriki Kwa kweli Mungu asaidie yarabi
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc 2 ай бұрын
Ndugu yangu sio wewe hata mimi niliongea
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 ай бұрын
@@rayaabdul-gm3hc umeonaee Yani ubinadamu kazi ni Bora uyo alio jitolea angejitolea.kwa.bibi tu auze apate pesa kidogo na yeye haepukane na hadha alio kua anapitia kuusu maji lakini kama ivyo ni mtihani isitoshe yeye hana macho majirani ndo msaada kwake unafikili itakuaje SI moja ya Atari Mungu amsaidie na chuki za ao majirani yarabi
@ashahaji6265
@ashahaji6265 2 ай бұрын
Chonyo tu, Africa hii na maendeleo yatachelewa kufika Adrica
@Aminahlamranl420-hw2ie
@Aminahlamranl420-hw2ie 2 ай бұрын
Maashaallah Fab na Adam nawapenda sanaaa. Wachesh Wachapa kaz Allah awalipe
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Lakini mimi nilisema lakini nikabazwe. Walimwengu ni shida. Lakini ni ushamba tu. Kweli Feb❤❤❤❤🎉🎉
@OmQrf
@OmQrf Ай бұрын
Husdaa mtihani mungu akunusuru
@mayengoanna7237
@mayengoanna7237 2 ай бұрын
Hayo maji weka kibox cha chuma na kufuli
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Ай бұрын
Duh
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 2 ай бұрын
Ka fab mnunulie kisanduku na kufuli afunge hapo kwenye bomba
@Official83640
@Official83640 2 ай бұрын
Bibi anapenda kwenda Kazole nyie huko wapi mnataka kumnunulia 😂😂😂😂😂😂
@user-bw7ve8ce3q
@user-bw7ve8ce3q 2 ай бұрын
Binadamu kazi ata ukambeba mgongoni wajisumbuwa, kwaiyo Bb usijali ww simama kwa Allah
@AishaMaganga-vd1jg
@AishaMaganga-vd1jg 2 ай бұрын
Yaani sisi wa Africa😢 Mungu asimame nasisi! Wivu wanini namaji wanateka ote? Ndiyomaana hatuna maendeleo.
@user-dg4zc2un1y
@user-dg4zc2un1y 2 ай бұрын
Binaadam hata utegeze kwa pesa yako choyo king ndo mana hatuendelei kwa choyo au majiran chote icho choyo
@oman1oman179
@oman1oman179 2 ай бұрын
Shukuran hawana kabisa wadhenzi hao kwanza walipe tuu pumbafu zao shukuran hamna kusema muinuwe mikono kumshukuru mungu mmepata nema ya maji leo mmesahau mlipo kua mnaenda kuchota maji aisse binahadamu kazi kabisa ndo mana mimi nimejitenga na binahadamu siwataki kabisa tambia mbaya roho chafu za kutu
@sadabahla7120
@sadabahla7120 2 ай бұрын
Wangechota kwa pesa tu ili pesa ikalipwe biri
@happytsalakushe141
@happytsalakushe141 Ай бұрын
Nakupenda bure fabi
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 ай бұрын
Hao watu hawana Wema, bora Fabi umtilie bibi kibomba ndani ya nyumba yake
@halimaa9367
@halimaa9367 Ай бұрын
😂😂❤kichaa kapewa rungu
@user-nv3ff1id4r
@user-nv3ff1id4r 2 ай бұрын
mchongee kisanduku awesome anafunga
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 ай бұрын
Hao watu wasichote tu maji maana hawalipi bili wao
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 2 ай бұрын
Binadamu awana shukran kwa kweli mama angu àchana nao Walitaka uteseke
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
Et heeh😊
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 2 ай бұрын
Mungu awakumbuke kwa sadaka hii
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c 2 ай бұрын
Kk fabiii vp kuus rehema kumpeleka hospital kwa ajili ya macho yake na kuus kumpelek sisibilatiii kwa ajili ya miguu yakee
@janetchinga695
@janetchinga695 2 ай бұрын
Beii laisi samaki jamani watching from Capetown ❤❤❤
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
Raising sio laisi ndugu uliopo Cape town😊
@esterpaschal6080
@esterpaschal6080 2 ай бұрын
😂😂😂😂 raising​@@aishaarusha894
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
Bbib hanakwambia et heeeh😅😅kila kitu et heeh
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d 2 ай бұрын
Fabi nunua kile kikopo ufunike na umuwekee funguo
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 2 ай бұрын
nilijua tu lazima yalete shida kama kawekewa yeye yangemsaidia yeye si kwa ubaya binadam tunajuana wenyewe
@aziza9093
@aziza9093 2 ай бұрын
❤❤❤
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 2 ай бұрын
Na mimi nataka ila kiwe sehemu nzuri kiwanja
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 2 ай бұрын
Eh,,, unabwata😂😂😂😂😂 bibi ana maneno ya mjini👌
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
😂😂😂et heeh
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
Binadamu hatuna jema. Yani baada awashukuru kupata maji ya kunywa wanaanza fujo.
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
Eti heeh
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Nilijuatu kutatokea mtihani
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 ай бұрын
Wa swahili hata uwabeba vichwani hawachukuliki maji ni yabibi ndo kawekewa kaona achote na majiraji leo wanaosha madirisha maj8 ni ya kunywa tu na kupikia tu sio kufulia au kuogea akufulia lkini bibi haoni sasa mnafanyi vibaya haswa waswahili hambebeki
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 2 ай бұрын
Hawana hisani hata uwafanyie vipi kweli hawabebeki
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 2 ай бұрын
Minataka hapo faby
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Muwe munafunga siku tatu
@janemusumba820
@janemusumba820 2 ай бұрын
Unge weka box mfunge maji
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 ай бұрын
Maskin Binaadam hawawezekani choyo kitupu hawamuonei huruma bibi wenyewe haoni
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 ай бұрын
nimewatanihaokambale😅
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 ай бұрын
Tia nazi bibi atakuwa mtamu zaidi na pilipili na ndimu
@mirnababy5012
@mirnababy5012 2 ай бұрын
Weka lile dude la kufunga na kufuli ikifika jioni au akiondoka au uyo anae ona akae na funguo maji kila baada ya siku 3 wana jazaa unafunga siku 3 unafungua
@chikujuma18
@chikujuma18 2 ай бұрын
Ubinadamu kazi hata wakiacha kuchota bibi mwenyewe kafanyiwa msaada
@user-yo8np7ce8n
@user-yo8np7ce8n 2 ай бұрын
Fabi yule mm samir mgonjwa wa miguu vp mbona hatumuoni
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 2 ай бұрын
Kuna watu walisema asirushwr Tena wao watasimama nae ndo maana humuoni
@user-yo8np7ce8n
@user-yo8np7ce8n 2 ай бұрын
Hy Inshaallah asante
@angle3600
@angle3600 2 ай бұрын
Mimi nilijua patatokea maneno,mfereji ungejengewa,na paekwe kufuli,pafungwe mtu akitaka maji apewe funguo watoto pia wasiaribu mfereji kila wakati
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 ай бұрын
kambare haliwi 😂 ni kama vile nguruwe samaki mkunga , sungura na ngamia
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 2 ай бұрын
Mmmmh kwan ngamia haliwi
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 2 ай бұрын
huli wewe peke yako
@HawaAhmed-yj8wo
@HawaAhmed-yj8wo 2 ай бұрын
Wasabato ndo hawali
@Aminahlamranl420-hw2ie
@Aminahlamranl420-hw2ie 2 ай бұрын
​@@AminaAhmed999😂😂😂😂
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 34 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 22 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 34 МЛН