No video

Maquis Original - Kiongo

  Рет қаралды 149,402

Power Nguzo

Power Nguzo

11 жыл бұрын

Old is Gold!

Пікірлер: 75
@washyony
@washyony 2 жыл бұрын
Muziki uliopangwa ukapangika, sikia tu hiyo sauti ya waimbaji, mpangilio wa zana na vyiombo, magitaa, Saxophones, midomo ya bata, babu wee!!!!!!
@user-pv4ry5dn9j
@user-pv4ry5dn9j 7 ай бұрын
Hatere
@vitalisoyoo-onyango1090
@vitalisoyoo-onyango1090 4 ай бұрын
How just I wish we could go back to time. So nostalgic!
@rutarutahindurwa2080
@rutarutahindurwa2080 4 ай бұрын
2024 ... Nakuomba radhi mwenye makosa usamehewa😢
@MrButamu
@MrButamu Жыл бұрын
If you don't like this then what else would you want from music? Masterpiece.
@gregorywafula8505
@gregorywafula8505 2 жыл бұрын
My high school days at St Mary's school yala in 1982-83❣️ Pure nostalgia!
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 6 жыл бұрын
Naukumbuka huu wimbo nikiwa kwa Babu Arusha,baada ya kipindi cha majira ndani ya redio Tanzania Dar es Salaam.
@Ambagaye
@Ambagaye 10 жыл бұрын
At that time I was a high school student!! I used to play a tenor saxophone and an electric guitar, popularly known in Tanzania as a rhythm, which I had built myself using a hand-made carbon microphone.
@mkambangwa
@mkambangwa 10 жыл бұрын
Hii bendi haitakuja kutokea nchini Tanzania...bonge la Songi...Ahsante sana Mkuu
@ogetoj6245
@ogetoj6245 Жыл бұрын
Faha tele. Tulia ,Kaka. Yapo makubwa. Dr. Ogeto International
@gosogoso5287
@gosogoso5287 3 жыл бұрын
Jamani enzi zile club raha leo show ilikuwa katika ubora wa hali ya juu mumetuwachia kumbukumbu ambazo hatuwezi kuzisahau,
@afrisainternational1320
@afrisainternational1320 5 жыл бұрын
Sasa hapa maneno yalipangwa vema nawapa asili Mia moja.100% nyimbo tamu .wasani Wa Leo zikizeni.
@gilbertjames7898
@gilbertjames7898 2 жыл бұрын
Yaan ukisikiliza hii ngoma kama wewe n mpenz wa bz ngoma dah unatoa machoz unasema kwa nn tunkufa hawa jamaa walikuwa Wap vzr san
@TalibHamad-bf1sn
@TalibHamad-bf1sn 3 ай бұрын
Kwa kwili huwa nahisia kali za kukumbuka njuma daah wee Acha tuu lazima utokwe na mchozi
@essykate7869
@essykate7869 8 жыл бұрын
Saa sita umetoka skuli jua li kee, kali kweli, una njaa mandondo yakarangwa jikoni, good ole days in Kenya.
@charlesodero7502
@charlesodero7502 7 ай бұрын
My favorite by Marquis Du Zaire. A masterpiece. My best music group from Tanzania. Legends of E. Africa
@99graphix
@99graphix Жыл бұрын
KIYONGO, MAQUIS DU ZAIRE: KAMANYOLA BILA JASHO. Kiyongo mama njoo, unitulize roho niridhike. Kiyongo nakuhitaji mama mbona unaadimika eeh. Kiyongo karibu mama wangu wa maisha eeh. Ila habari napata uko Mwanza mama eeh. Nasengi yo nzoka bolingo kake obeti nga limbisa mamaa ah. Sina ubaya na wewe, samahani mama Kiyongo. (mwenye makosa, husamehewa). X3 Nasengi yo nzoka bolingo kake obeti nga limbisa mamaa ah. Sina ubaya na wewe, samahani mama Kiyongo. (mwenye makosa, husamehewa). CHR: 1. Silali tena mama ooh. (Kiyongo) Mahitaji yote sijali. (Kiyongo) Napata tabu mama. (Kiyongo) Mapenzi yamenihangaisha. (Kiyongo) Penda akupendae. (Kiyongo) Karibu wangu mama, (Kiyongo) Nakuomba radhi MWENYE MAKOSA HUSAMEHEWA. 2. Napata tabu mama. (Kiyongo) Mapenzi yamenihangaisha. (Kiyongo) Mpende akupendae. (Kiyongo) Karibu wangu mama. (Kiyongo) Nakuomba radhi MWENYE MAKOSA HUSAMEHEWA X3 Chekee chee chekee Chekechaaa Yaah! Teremuka... Teremuka... Teremuka... Teremuka... Poromoka... Poromoka... Poromoka... Chekee chee chekee Chekechaaa
@HamisiOmaryHussein-jp5pt
@HamisiOmaryHussein-jp5pt 8 ай бұрын
Kimeza njoooooo
@yasindewji1686
@yasindewji1686 5 жыл бұрын
Ni nani anasoma hii mwaka 2019!! Legend music....inedumu muda!!
@susanwanjiro8734
@susanwanjiro8734 4 жыл бұрын
Am here
@emmanuelkungubala3912
@emmanuelkungubala3912 2 жыл бұрын
Ni utunzi wake ILUNGA BANZA a.k.a MCHAFU Bass guitarist
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 7 жыл бұрын
hizo ndio ngoma za uhakika,hapo umekaa na kikombe cha chai,unaburudika na vitu kama hivyo,stress xote zinatoweka unatingisha miguu hapo,mh jamani time zingerudi ingawa kidogo tuedelee kupata midundo hii hii kila siku,na RTD yetu,26.06.17.
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
Wakongo wakichanganyika na watanzaia wanamwaga raha zama hizo .Hongera sana wenye mioyo ya kuendeleza muziki wa dansi kwa zama hizo mfano Mzee Hugo kisima
@kolonikewaratiba8797
@kolonikewaratiba8797 6 жыл бұрын
kweli zilipendwa na zikapendeka na badi zinapendeka!
@vitalisoyoo5128
@vitalisoyoo5128 Жыл бұрын
One if the very best of my era. Sending me back to my Secondary school days at The City High School, Nairobi.
@NixonWaititu
@NixonWaititu Жыл бұрын
It is still my best song
@vitalisoyoo-onyango1090
@vitalisoyoo-onyango1090 4 ай бұрын
@@NixonWaititu
@vitalisoyoo-onyango1090
@vitalisoyoo-onyango1090 4 ай бұрын
The Golden Era of Africa Rhumba music. There will never come such a time again in my lifetime!
@user-zq4hd3ks8k
@user-zq4hd3ks8k 3 ай бұрын
Maquiz mlijua kutukonga nyoyo
@YahyaMbega
@YahyaMbega 27 күн бұрын
Kiongo maeda zowa ,chinyama chiaza hapo kwenye ckecha utaetoa
@jasonwamukota7771
@jasonwamukota7771 4 жыл бұрын
Ever green music
@kibetabraham7355
@kibetabraham7355 Жыл бұрын
Powerful "mpende akupendaye"
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 24 күн бұрын
Unanikumbusha mbali sana.
@josephchale6501
@josephchale6501 5 жыл бұрын
Chikongelo! Kweli nakumbuka mbali SANA kiongo
@kennedylikhaya1359
@kennedylikhaya1359 7 жыл бұрын
a solid voiced choir that has no equal
@shangaashangaa
@shangaashangaa 10 жыл бұрын
majura selekwa Mzee Luza Saxophonist wa Simba wanyika.....mwenge jazz ni baba yangu, mchungaji sikuizi.
@toshamezaw1460
@toshamezaw1460 10 жыл бұрын
na umesahau amepigia JAMHURI JAZZ pia watoto wa Tanga. Mzee alipuliza sana muwa pale ndipo wakaelekea Kenya na kina Wilson Peter/Kinyonga na George Peter
@Ambagaye
@Ambagaye 10 жыл бұрын
Nadhani huyo ni Luza Elias John Mwasindila aliyekoleza wimbo wa "Sina Makosa." Alikuwa fundi sana wa Saxophone Tanzania kabla hajahamia Kenya; mshindani wake mkubwa Tanzania nadhani wakati huo alikuwa Michael Enoch tu. Anahubiri kanisa gani siku hizi.
@mapimwankemwa6778
@mapimwankemwa6778 9 жыл бұрын
***** asante sana Vumbi maestro mkuu wa magitaaaa,hahaaaha
@aloycetemba8652
@aloycetemba8652 7 жыл бұрын
Mapi Mwankemwa solo amekaa Nguza Viking na sio Vumbi
@Ambagaye
@Ambagaye 7 жыл бұрын
+Dekula2, nilikuwa nacomment kuhusu post ya +Shangaashangaa kuhusu Mzee Luza aliyekuwa saxophonist was Simba wa Nyika, sikuwa na maana kuwa Mzee Luza ndiye aliyepiga sax la kiongo kwani mwaka huo wa 1980 wakati Kiongo inatoka, tayari Mzee Luza alikuwa akiishi Nairobi na Simba wa Nyika.
@taisanikelvin9503
@taisanikelvin9503 7 жыл бұрын
kiongo nyimbo tamu sana ina nikosha roho sana
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 24 күн бұрын
Nazipenda sana
@mutakhaallan6419
@mutakhaallan6419 Жыл бұрын
Oh! When i was a child I used to think it was Liloko. Nice piece of slow music
@shangaashangaa
@shangaashangaa 10 жыл бұрын
Hizi ndizo nyimbo tulizokuwa nazo
@miriamfritsi9183
@miriamfritsi9183 9 жыл бұрын
Wimbo upo safi sana nakumbuka kaka yangu alikuwa akiupenda sana siku hizo basi na mimi pia nikawa naupeda.lo hisia zinarudi kwa kipindi kile kweli tulikuwa tukiishi kwa furaha sana na nyimbo hizo ndio zilizokuwa zikitamba redio tanzania.kaka nguzo endelea kutafuta kwenye maktaba yako ili uzidi kutukumbusha sisi wapenda old songs big up.
@emmanuelbabu7833
@emmanuelbabu7833 5 жыл бұрын
Hatari sana hiki kizazi
@gluyuku
@gluyuku 8 жыл бұрын
been looking for this songo but didnt know its name,just stumbled on it,great music,ndio zilikuwa zetu hizi
@sarunkissangas531
@sarunkissangas531 4 жыл бұрын
Me too
@nasirally9098
@nasirally9098 10 жыл бұрын
kaka Nguzo wewe mkali embu dondosha za MK Group vijana wa magorofani chini ya mzee mzima Kasongo Mpinda Clayton, nyimbo kama Jua la asubuhi, Maumivu makali, Nishike mkono etc.. Pia dondosha za Sambulumaa band, Kurugenzi Jazz ya Arusha bila kuwasahau Washirika Tanzania Stars (Watunjatanjata).. Thanks bro, kweli wewe ni Power Nguzo!
@MAESTEROTAD
@MAESTEROTAD 8 жыл бұрын
halooooooo acha kabisa nakumbuka mbali sanaaaaa
@YahyaMbega
@YahyaMbega 27 күн бұрын
Wabagoe otirishi sup murae kitine wewe hufae k
@hajiabeid4304
@hajiabeid4304 3 жыл бұрын
Kimeza njooooo
@omaryulaya6524
@omaryulaya6524 7 жыл бұрын
vitu adimu sanaaaa
@YahyaMbega
@YahyaMbega 27 күн бұрын
Kwizi hiyo rangata hapo kinondoni bia sh 30 tax sh 20
@timmusumba5846
@timmusumba5846 Жыл бұрын
Memories from Primary School...Had a neighbour called "Thiongo" and i used to make fun of him by singing this song by using is name "Thiongo" instead of "Kiongo"!
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 3 жыл бұрын
Good one.
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 24 күн бұрын
Mzee Makassy bado yupo?
@jonathanfredman2356
@jonathanfredman2356 6 жыл бұрын
Excellent - give us more!
@simonmanase3263
@simonmanase3263 24 күн бұрын
Idhaa ya Biashara RTD 😭😭😭
@flowila82
@flowila82 9 жыл бұрын
yes chekecha selebuka
@stanleymashanya3160
@stanleymashanya3160 2 жыл бұрын
Embeee
@ogetoj6245
@ogetoj6245 Жыл бұрын
*Furaha tele.
@robertsylvester9175
@robertsylvester9175 2 жыл бұрын
Chekecha
@bornfe5127
@bornfe5127 5 жыл бұрын
baada ya dakika 4:00 vijana wa siku hizi hawawezi kuelewa mbona unaendelea kusikiza mziki huu
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
Chekecha chekacha!!!! Wapi Gabby?
@kolonikewaratiba8797
@kolonikewaratiba8797 6 жыл бұрын
Daa, Nipo mamama! hadi rahaa!
@henryagenmwansasu3627
@henryagenmwansasu3627 2 жыл бұрын
S
@365lau8
@365lau8 Жыл бұрын
Achana na miziki ya zamani ni shida
@aloycetemba8652
@aloycetemba8652 7 жыл бұрын
Solo kasimama Nguza hapo...
Orchestra Maquis Original - Nasononeka
7:39
Power Nguzo
Рет қаралды 244 М.
Ni Wewe Pekee by Nguza Viking "Big Sound" Zembwela
8:37
Dekula2 Band [official]
Рет қаралды 348 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 15 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,6 МЛН
Zowa - Maquis Original
6:37
Power Nguzo
Рет қаралды 44 М.
Ngalula
6:30
Tshimanga Kalala Assosa - Topic
Рет қаралды 15 М.
Juwata Jazz Band - Msafiri Kakiri
6:50
Power Nguzo
Рет қаралды 344 М.
DDC Mlimani Park Orchestra ~ Majirani Huzima Radio
7:08
groovemonzter
Рет қаралды 589 М.
Sikujua Kama Utabadilika - Simba Wanyika
8:54
arodiboyi
Рет қаралды 195 М.
Makumbele
6:14
Djembe - Topic
Рет қаралды 42 М.
Carola - Dkt. Remmy Ongala & Orch. Super Matimila 1989
7:17
AboubacarSiddikh
Рет қаралды 327 М.
Orchestre Maquis Original - Wakati Nilikuwa Mdogo
6:21
Power Nguzo
Рет қаралды 714 М.
Huba Wangu
8:01
Tshimanga Kalala Assosa - Topic
Рет қаралды 9 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 15 МЛН