MARTIN LUTHER MUASI ALIEANZISHA DHEHEBU LA LUTHERANI, WAKATOLIKI WALIMLAANI

  Рет қаралды 46,298

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Жыл бұрын

Пікірлер: 126
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 Жыл бұрын
From UGANDA 🇺🇬 To Tanzania 🇹🇿 Justin Sheed 🔥🔥🔥
@furahaanthony2100
@furahaanthony2100 Жыл бұрын
I'm so proud of you Cuzo, Twende kaziiii💃🔥
@talibameir372
@talibameir372 Жыл бұрын
Asante sana umbi langu umelifanyia kazi
@meshakinjege8912
@meshakinjege8912 Жыл бұрын
Martin Luther hakuasi kabisa ila alisimamia haki. Kanisa Katoliki ndilo lililoasi sheria za Mungu kwa kuanzisha mafundisho na utaratibu ambao haiwezekani kuuthibitisha katika Biblia.
@fredimpare-mq4uo
@fredimpare-mq4uo Жыл бұрын
Ni kweli Dr Martini Luther amelisimamia neno la Mungu na kuyatafuta mapenzi ya Mungu Hakua muasi
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 5 ай бұрын
Na angeendelea kuishi waluter wangebatiza Kama Kristo
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Жыл бұрын
Ukituletea uasi wa martin lutha tuletee na uasi wa Romani catholic na kuinuka kwa upapa uliotesa watu na kuuwa wakristo kwa kuwachoma moto na mateso mengine mengi ya kikatili. Ili twende sawa
@neemanyove9130
@neemanyove9130 Жыл бұрын
Umenena
@Classicmusic0123
@Classicmusic0123 Жыл бұрын
Ukweli unawauma nyie😅
@alatupaeliassanga5303
@alatupaeliassanga5303 Жыл бұрын
@Meshack_Nyandongo Limekushuka 😂😂😂😂
@IgnasMwinuka-ck1po
@IgnasMwinuka-ck1po Жыл бұрын
Ukweli haupingwi kwa kutengeneza uongo
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 Жыл бұрын
Ukweli unawauma Lutheran, wakaamua na jina la huyu aliyesaliti ndio kiwe jina la kanisa lao
@hakizajeremie1918
@hakizajeremie1918 Жыл бұрын
Thanks 🙏 that's good
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 Жыл бұрын
Mwenye haki ataishi Kwa imani
@godwillmanyaki7816
@godwillmanyaki7816 Жыл бұрын
Hello Naomba utupatie story ya Dr. Nandipha na Thabo besta wale waalifu waliokamatwa Arusha.
@gatekanene5753
@gatekanene5753 Жыл бұрын
Sasa twende kazi baba
@malcomxlumumba
@malcomxlumumba 6 ай бұрын
Nakuelewa sana bro pamoja na ANNANIS EDGAR hata Nafikiri jisi nitaanza niwe kama nyinyi
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w Жыл бұрын
Me nilidhani Martin Luther King Jr. Ni Mtoto wa Martin Luther kumbe alipewa jina na Baba yake tu kama kumuenzi
@hatibuiddi4163
@hatibuiddi4163 Жыл бұрын
Kaka ww fundi sana
@amanmalima940
@amanmalima940 Жыл бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI YESU na Uokoke na Ulithi uzima WA MILELE.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Nipe maana ya kuokoka
@fabianlucas3594
@fabianlucas3594 Жыл бұрын
Good work Sasa twende kazi.
@AndongwisyePanja-nr8rb
@AndongwisyePanja-nr8rb Жыл бұрын
Keli Martin Luther ndiye lnjinia aliyelikarabati upya kanisa la Mungu
@johnshirima6176
@johnshirima6176 Жыл бұрын
Tuambie izo hoja 95 za lutha
@martinbarabara4370
@martinbarabara4370 Жыл бұрын
je kanisa anglikani liliasisiwa na nani?
@ibrahimemmanuel110
@ibrahimemmanuel110 Жыл бұрын
mmmmh lete na ya wesley
@budaboss990
@budaboss990 Жыл бұрын
Good job, my friend ❤
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Kuasi shetani ni Wajbu Wa kila shujaa Wa imani usikubali kupotezwa kwa kisingizio cha kanisa bila neno la mungu
@user-pd8gx8ff6w
@user-pd8gx8ff6w Жыл бұрын
Nexit time naomba tujulishe kuhusu jamii au kabila zilizotoweka au kupotea duniani ( lengo kujua usa inaweza angamiza black au african generation based in history
@henrylugendo280
@henrylugendo280 Жыл бұрын
Safi sana jastin
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
l kanisa linalouwa na kuteka nyala
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 Жыл бұрын
SASA TWENDE KAZIIIIII
@Nashon967
@Nashon967 Жыл бұрын
Mkuu na weza pata historia ya Helen. G. White
@user-zw8ec6qn1u
@user-zw8ec6qn1u 5 ай бұрын
Je ikiwa martin aliweka hoja zake hakukua na majbu ya kumpa ili asiendelee kueneza anacho kifikilia na kuharbu utaratibu wa dini, iliyo mlea
@washingtonv199
@washingtonv199 Жыл бұрын
😂😂😂 na chakushangaza hata hilo kanisa lake mwenyewe limekuja kupoteza mwelekeo nakuwa chombo cha wachumia tumbo
@RehemaJonas-ui2qs
@RehemaJonas-ui2qs Жыл бұрын
Sawa😊
@user-zw8ec6qn1u
@user-zw8ec6qn1u 5 ай бұрын
Hapo ndo napata picha ndomaana sshv yamekuwa mengi wanajigawa tu kama njungu dah🙆🙏
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Ukiona dini imeanzishwa na mtu hiyo si dini ndio maana unakuta nyumba ya ibada mchungaji anaweka picha zake nyumba ya ibada ni nyumba ya mungu Ukiona mchungaji anaweka picha zake kanisani ujue hiyo biashara yake
@RehemaJonas-ui2qs
@RehemaJonas-ui2qs Жыл бұрын
Kuna tofauti ya dini na dhehebu 😊
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@RehemaJonas-ui2qs dini ni njia ya kumuabudu mungu moja kwa moja bila dini huwezi kwenda kwa mungu wako zehebu ni sehemu ya dini iliyo farakana na kila mtu akaanzisha dini yake ndio maana ukitizama zehebu kila zehebu lina history yake nani kaanzisha na dini ndio muongozo mzima wa maisha yako dini inakufundisha kila kitu kwa mfano dini ya uislamu inatufundisha kabla hujaingia chooni kuna duwa ya Kuomba kabla hujalala kuna duwa kwa sababu unalala ila hujui km utaamka aw laa je ukristo kuna kuongozo wa maisha nje ya Biblia
@petertabitha287
@petertabitha287 Жыл бұрын
Usiwe jua jua kutofautisha dini na madhehebu mbona nyie dini uislam ila mna Sunni,shia nk kasome elimu ya dini usikurupuke
@petertabitha287
@petertabitha287 Жыл бұрын
Ukisoma katika Quran yenu baada ya kifo cha mtume paliibuka ushindane mumfate nani waliomfata abubakar mbona Sie hatusemi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@petertabitha287 nipe andiko linalo sema hivyo
@musamateru5786
@musamateru5786 Жыл бұрын
Tupe hizo hoja 95 za huyu mwanaume,sasa twende kazi
@alextanzania
@alextanzania Жыл бұрын
Google kwako ina kazi gani?
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Жыл бұрын
Ziko katika vitabu vyake mbalimbali
@guccij6236
@guccij6236 Жыл бұрын
Mimi nilisikia jamaa aliona waroma wanaabudu Sanam ndo akawakana kuanzisha dhehebu la rutheran
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb Жыл бұрын
Hyo n mojawapo ya hoja zake 99...
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 Жыл бұрын
Islamu ni njia ya upotovu tu, mwamini yesu mpate ondoleo la dhambi zenu, hatimaye muingie mbinguni.
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Yesu pia muislam kwa hiyo ww umewafata hao wanayo pingana na kuzidisha na kupunguza mandiko ok
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kwahiyo wewe huna dhambi
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw unaongea nn tunalo ongea ni dini tumesema uislam ndio Dini ya mitume wote hata ukifatilia mitume wote utajua hakuna binadam hana dhambi kwa hiyo utubu kwa mmungu wa ukweli hata hao mana bee walisali kwa kumuomba mmungu
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Mbingu na ardhi vyote vitashikana sasa umeshikilia mbinguni ww sema badae ndio kuna pepo , isa atakuruka hao pastors kila siku wanawambia yesu hajaingia kanisani ww unamfata nani wakati yesu alingia masinagogi misikiti , mana bee wote ni waislam huezi kuwatenganisha mana bee wa mmungu mmoja ukawapeleka ulaya wapi never hata ulienda jesrusalemuta utaona misikiti ya ibrahim na isihaka yena kumeandikwa juu lugha za warabu ndugu ukoloni yesu hasema fini ukirsto bada yake ndio ikaja ila ibrahim ndio alie jenga al kabah na kacha uislam ipi dini ya ukweli ?? No rome wa uk wala usa mijizi wameifanya biashara sasa hv wanasilim kila siku wazungu ujue wanamfata ibrahim sasa dini ya ukweli
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@woah.africa99 usipende kujibu usichokijuwa
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Жыл бұрын
Kingine watu wanachokosea.. Ni kwamba kuna tofauti kati ya padre Martini Luther aliyekuwa padre wa Kanisa Katoliki wa shirika la mtakatifu agustino. Na pia yupo Martini Luther king huyu ni Mmarekani mweusi aliyekuwa anapigania haki za watu weusi kule nchini Marekani.
@HalfaSaid-vl6ki
@HalfaSaid-vl6ki Жыл бұрын
Naona story imeleta malumbano ya dini kla mtu anatetea chale 😀
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
@hassanpashua
@hassanpashua Жыл бұрын
Kwa hio inaama yesu alijui hilo kanisa limeanzishwa sio hakuna dini hapo
@govankayugwa-to2er
@govankayugwa-to2er Жыл бұрын
Ivi kwani watu tunaangalia dini au tunanamwangalia Mungu?
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 Жыл бұрын
Leta hadharani hizo Hoja tisini na tano. Huyo alikuwa mtengeneza njia kweli kweli kama yule yohana na Eliya.
@guccij6236
@guccij6236 Жыл бұрын
Mungu mmoja dini tofauti
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Dini moja tu uislamu hizo nyengine biashara dini itaanzishwa na mtu
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Жыл бұрын
Mungu Mmoja yupi
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
@@daslamonline4665 Jehovah
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@daslamonline4665 mungu mmoja aliye umba mbingu na ardhi hajazaa wala hajazaliwa halali wala hachoki wala hana mfano wake
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@adkajisi4536 alikuwa kazi si ndogo kufikiria jina la bwana mungu kuliita jehova na majina mengi kupunguzwa na kubadilishwa hivyo ndio biblia inavyo sema kwa mujibu wa biblia jehova ni jina walilo tunga
@mtukwaomwenyewe1815
@mtukwaomwenyewe1815 Жыл бұрын
Tuwe makini na watu wanao taka kuli potosha kanisa kwa kujiita majina ya watakatifu kumbe sio
@benedictomb
@benedictomb Жыл бұрын
Luther alikuwa na Pupa ya madaraka, mungu ana utaratibu wake. Justin nyinyi kina lutherani munapo towa hizi story munakosea sana kwani tunauona wazi upande munao uegemea
@noelimori4621
@noelimori4621 Жыл бұрын
Jibu hoja kaka au leta swali ?
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Hill kanisa lenye kuuwa na kuteka watu linamwaki Lisha nani ? Duniani? Jamani hebu tulejee maandiko kisasi ni cha bwana hatujatumwa kuuwa Bali kuwaombea wanaotuudhi
@bonkeysimon4619
@bonkeysimon4619 Жыл бұрын
Hakuna mtu atakaye mwona MUNGU kwa tiketi ya dhehebu kubwa wala dogo,HIVYO KAMA UNATAKA KWENDA MBINGUNI MWAMINI YESU EPUKANA NA UOVU WA KILA NAMNA
@user-zw8ec6qn1u
@user-zw8ec6qn1u 5 ай бұрын
Hv yesu Ninani,🤔
@user-zw8ec6qn1u
@user-zw8ec6qn1u 5 ай бұрын
Pia mungu ni nani
@princegerard4704
@princegerard4704 Жыл бұрын
SABATO itabakia Kuwa Dini Bora na ya kweli kwa WAKRISTO wote duniani 🙏🙏 Mungu awape Nguvu na Maarifa wa kuutambua ukweli
@machachehardware5975
@machachehardware5975 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😳nidhehebu nalo
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 Жыл бұрын
Jumamosi iyo
@GreysonMheni-ln9rm
@GreysonMheni-ln9rm Жыл бұрын
Sabato siyo Dini,ni sehemu ya madhehebu ya kikristo
@ulimbagakipole559
@ulimbagakipole559 Жыл бұрын
Sabato nayo imegawanyika ubora wake uko wapi?. Wasabato wote wanamkubali Dkt Martin Luther.
@OnesphoryJKMboya
@OnesphoryJKMboya Жыл бұрын
Kwanza wasabato sio wakristo,ujue hivyo,umewahi kuona majengo ya kisabato yana misalaba!? Kama hakuna misalaba basi ninyi wasabato ni wayahudi na kuwa Bado mnasubiria Kristo,aje
@peteramasi2524
@peteramasi2524 Жыл бұрын
He was ex-communicated by the Law of Jesus Christ given to Peter the Apostle. He was locked here on Earth and in Heaven. He was deprived of all authorities given to him on the day of ordination. He became a normal man, unable to celebrate a Holy Mass. Nothing good was expected from him. He brought division against the command of Jesus to unite.
@wachimara
@wachimara Жыл бұрын
Wajinga ndo waliwao
@iconramar9366
@iconramar9366 Жыл бұрын
Kabisa kanisa aliwezi kuasi bila watu
@denismugisha2
@denismugisha2 Жыл бұрын
Ndio Martin Luther aliasi upagani wa katoliki ili aitafute kweli ya neno la MUNGU
Martin Luther King - Inspirational Speech {Be Phenomenal Motivation}
15:21
#Be Phenomenal Motivation
Рет қаралды 1,1 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
DARASA KUBWA ASKOFU KILAINI AELEZA HISTORIA YA KANISA LA KWANZA |
54:19
Radio Maria Tanzania
Рет қаралды 8 М.
HISTORIA YA MT  MONICA NA AGUSTINO
39:26
EM STUDIO
Рет қаралды 13 М.
THE ROBBER SAVED MY LIFE
0:39
dednahype
Рет қаралды 14 МЛН