MASHEIKHE WA KISUFI NDIO WALIO WATENGANISHA WAISLAMU - Sheikh Muhammad Is'haka

  Рет қаралды 2,847

AL MUBAJJAL TV

6 ай бұрын

#Tafadhali_Gusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo

Пікірлер: 41
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 ай бұрын
Mashallah huyu shekh namsıkılıza mar kwa mara Nmejifunza meng juu ya bidaa kaswada na muandamo wa mwezi kwa hojjadgabiti kabsa kupitia kwa huyu shekh Allah akuhifadhi sana Muhamma İs'haka
@abudardaiasaa7700
@abudardaiasaa7700 6 ай бұрын
Walllah allah atuongoze sana tuna pata elimu kubwa kuhusu barazanji na mamb meng sana allah awajaalie makhurafy wabadilike wasifuate mkumb kwa masheikh zao na uhasama na uadui wa sunnah
@abdikadirshariif5311
@abdikadirshariif5311 6 ай бұрын
Saahi tu ndo umepoteya
@user-ym3en6kg8f
@user-ym3en6kg8f 5 ай бұрын
Hamna mwenye elimu ya kumkosoa saidina jaafari kati yenu nyinyi mawahabi, na mnajipakazia elimu wakati hamuna elimu nyinyi Sasa mawaidha gani ya hivo khaa, eti ndy anjisifu huyu Kwa mawaidha haya
@abdikadirshariif5311
@abdikadirshariif5311 5 ай бұрын
@@user-ym3en6kg8f kweli hio. Hawana elimu hawa mawahabi. Mtu hata haja andika kitabu kimmoja ndo anaweza kukosowa mtu alie andika vitabu mpaka saahii tunasoma.
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 3 ай бұрын
Nakuunga mkono sheikh.....
@salimnassor1177
@salimnassor1177 6 ай бұрын
حياك الله شيخ محمد اسحاق
@sallimkassim9150
@sallimkassim9150 6 ай бұрын
Sio kweri ila mmekumbatia sifa baada kumcha mungu dini kushindana kufuata maamlisho n.a. kuacha makatazo ukiona moyo wako unatamani upate ushindi wa kidunia jichunguze utakua ria
@user-ch5xl9ou4w
@user-ch5xl9ou4w 6 ай бұрын
Unashangaza umma kumuona sheikh wa kislam anaacha hadithi za mtume analingania maneno ya kipagani
@pambanoobeid4476
@pambanoobeid4476 6 ай бұрын
1❤
@jujanreeves6925
@jujanreeves6925 6 ай бұрын
Quran na Sunnah itadhihiri na bidaa kuabudu makaburi khitma arubaini maulid na hauli yatatoweka na Ummah wa Kiislam utaepukana na makorokoro yanayosababisha Uislam na Waislam kutokwenda mbele
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 3 ай бұрын
Nakuunga mkono sheikh ,masheikh wengi wamebaki kuwa kama wanasiasa wanajali matumbo yao ...
@ahmedmattar4661
@ahmedmattar4661 6 ай бұрын
Huyu sk au shehena hawa ndio mawahabi wanaotumiwa na mayahudi kùwafitinisha waislamu
@jujanreeves6925
@jujanreeves6925 6 ай бұрын
Mashekh wa Kisufi wakiguswa wafuasi wao wanaruka juu sijui hamuwaoni masheikh wa Kisufi wanavyosema hovyo kwa masalafi
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 6 ай бұрын
ليس شيء على محد العيد بعلم ولا فقرا بل هو منفق ونقص من العلم
@ahmedmattar4661
@ahmedmattar4661 6 ай бұрын
Hawa watu wanapokea pesa ili kuuharibu uislamu
@twaybaal-khalifah3632
@twaybaal-khalifah3632 6 ай бұрын
Mwahabi yupo KAZINI hapo, kuwatumikia wayahudi. Mbaya zaidi anawasema walitanguliza mbele ya haki ambao wawezi kujitetea.
@user-ch5xl9ou4w
@user-ch5xl9ou4w 6 ай бұрын
Haaaa lione hili jitu mawaidha yake innaa lillahi wa.innaa ilaihi rajiuun muswib mkubwa sana tangazo tangazo kwa ummati muhammad jitahadhalini na mtu huyu ni adui wa kislamu hafai hata kidogo by doctor hussein mtwara
@manrectorz
@manrectorz 2 ай бұрын
Kama hujaelewa sema ueleweshwe. Sawa tukiacha kumsikiliza wewe tuambie tukamsikilize nani?. Unadhani Hao mashia wanaowapandikizia chuki watawaacha nyie salama!?
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 6 ай бұрын
Wakati muwaffaka Qur ani na Sunna lazima zi dhihiri , japo watu wapendao bida'a wanachukia .
@abdikadirshariif5311
@abdikadirshariif5311 6 ай бұрын
Wewe bangi tupu. Mohamad Ibnu Abdiwahab alikuwa suufi?
@HemedAbdalla
@HemedAbdalla 6 ай бұрын
Yani awa mawahabi ni Mtihan ktk umma wa kiisalm...Mawahabi nyny ndio mmekuja kufarikisha waislam...Mayahudi wakubwa nyi
@MkambaSaleh-kr7pi
@MkambaSaleh-kr7pi 6 ай бұрын
Kurani ni hikima ndugu Waisilamu wezangu .mbona mnabeuwana kumbukeni mtaenda ulizwa sikumoja.yadhihiriswe yaliyo vifuani.🎉
@salimobeid1470
@salimobeid1470 6 ай бұрын
We mzee we umri huo usikuhadae waachie watto huu upuuuzi we saiz unasubiri tu bonus yako ya jwenda akhera malumbano ya nn hem somesha watu acha kujibujibu we mzee bana jiheshimu utaheshimiwa ukishindwa hilo utadhalilika acha haya mambo
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 ай бұрын
Kujibu pia ni katika kusomesha kukubwa.
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 ай бұрын
Mnasihi ndo wewe eti.
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 6 ай бұрын
Bora afikishe haki na akifika huko awe hakunyamaza akawa bubu ktk haki . Allah atuongoze tuzidi kujuwa haki ❤
@binfarhan879
@binfarhan879 6 ай бұрын
Huyu Mzee sio mjenga Bali anasema haki na ndio inavyotakiwa pia ni nasaha kwa anaewambia watu vibaya. hebu fuatilia clips za Abuu Iddi utajua huyu Mzee anamaneno mazuri kias GANI. Tafuta mada kuwajibu mawahabi by Abuu Iddi
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 6 ай бұрын
Huna kazi ya kufanya wataka uumaarufu
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 6 ай бұрын
Mjinga kimekulamba shekh aongea ukweli mtupu lakini makhuraafi kikiwalamba mwaongea mbaya
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 6 ай бұрын
​@@abuushakiraddausiy8666mama acha matusi
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 ай бұрын
Maneno hayo mmpelekee Abuu Iddi
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed 6 ай бұрын
Alafu huyu sheikh kamwe hasome hadith wala aya.ajabu sna
@user-ch5xl9ou4w
@user-ch5xl9ou4w 6 ай бұрын
Sheikh kwani ww muislamu au kafili maana tunawasiwasi na ww maana hauna mawaidha ya kuwalingania waislam unamawaidh ya kuwabomoa waislam ww muislamu au kafilii nipe jib
@iddijuma6152
@iddijuma6152 6 ай бұрын
hujitambui wewe
@iddijuma6152
@iddijuma6152 6 ай бұрын
sikiliza kwanza kabla ya koment
@hajjisanga789
@hajjisanga789 6 ай бұрын
Sio nyinyi mawahabi wewe si ulisoma kwa masufi sasa wahabi walitokea wapi nyinyi mna waambia watu ktk itikadi zenu kuwa masufi makafiri mpaka shahada mnawaanzisha upya wasilimu upya
@user-ym3en6kg8f
@user-ym3en6kg8f 5 ай бұрын
Huna lolote wewe hivi muna elimu gani nyie ya kumkosowa saidina jaafari? Hivi unajua utaalamu wa lugha alioitumia sidina jaafari kwenye kitabu barzanji? wacha kutafuta umaarufu wewe, nyie mshawezwa na shetani basi hamna lolote mawahabi na msipotubia nyie kujaumu siku ya qiama kunamuhusu wapotoshaji wakubwa nyie kwanza nanai kakuambia kuwa nyie mwajua? eti wauliza maswalli ya kitoto kabisa khaaa
@user-lm7lk5kj1m
@user-lm7lk5kj1m 6 ай бұрын
Mpuuzi mkubwa wewe aduwi wa umma .mzee wa farqa mwenye chili na umoja na mshikamano wa waislam
@user-ym3en6kg8f
@user-ym3en6kg8f 5 ай бұрын
Sanaa huyu mtu ni mpuuzi bhana umeliona hilo we!!
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 6 ай бұрын
Wakati muwaffaka Qur ani na Sunna lazima zi dhihiri , japo watu wapendao bida'a wanachukia .
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 2,4 МЛН