MASHINE KATILI SIMBA SC YAFUNGUKA MAZITO | SIMBA WATINGA MISRI MAPEMA | PRE SEASON | NYOTA WAPYA..

  Рет қаралды 60,231

Ayoma Media

Ayoma Media

16 күн бұрын

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Пікірлер: 64
@MshamMadaraka
@MshamMadaraka 14 күн бұрын
Mungu ibarik simba mwaka huu uwe wa mafanikio kwetu ammin
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 13 күн бұрын
Yusuphu kagoma kuongea kama jina lake yupo vizuriii
@rogersiddy
@rogersiddy 14 күн бұрын
Uwandishi bongo Bado sanaa tena sanaa Asante Kagoma wachezaji wamesajiliwa jana leo unamfosi aongee tulieni msubili warudi huko waendako wajuane wazoeane wakiwa wanarudi kutoka Misri muwaulize sasa kwasasa maswali yote kwa msemaji atawapa japo habari kdg lkn wachezaji mnawaonea tu
@Amon-gj8tx
@Amon-gj8tx 14 күн бұрын
Wachezaj wanamisimamo hatari hadi raha❤🎉
@vascongumbi9040
@vascongumbi9040 14 күн бұрын
Sema slogan yetu nzuri nguvu Moja ila wenzetu😂😂
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 14 күн бұрын
Mungu awe nanyi Wapambanaji wetu. Dua zetu zipo pamoja nanyi
@sangaelly8548
@sangaelly8548 14 күн бұрын
Alah awe nanyi wapambanaji wetu God you all
@davidfelician2903
@davidfelician2903 14 күн бұрын
Mungu saidia kikosi kipya hiki mana kikosi kilecha mwakajana kilikuwa dhaifu.sana na so far ' simba ' nguvu Moja.'
@antidiusmuchunguzi2942
@antidiusmuchunguzi2942 14 күн бұрын
Tuwatakie safari njema mungu awatangulie
@AlifaHamis
@AlifaHamis 14 күн бұрын
Kagoma Safi Sana Ana msimamo mzuri sana
@JudithMashara
@JudithMashara 14 күн бұрын
Jamani mnyama anatisha. Mungu ibariki Simba yetu😅🎉❤😂😂
@EvodiusErnest-ol2wg
@EvodiusErnest-ol2wg 14 күн бұрын
Mungu awatangulie Simba sport
@CikeTanzania
@CikeTanzania 13 күн бұрын
Alhamdulillah karabaka yupo.
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 14 күн бұрын
Mungu awe nanyi katika safari Yenu mkafanikiwe wachezaji wetu
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 14 күн бұрын
Matola naye aende soka la vijana ni wakati wa Mgunda
@KhamisShaur-wt3fk
@KhamisShaur-wt3fk 14 күн бұрын
Mwenyezi mungu awatangulie mfike salama
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 14 күн бұрын
Ama kwel uchaw upo,sa Matola anafata nn Misri!!!😮
@RunnerBoy-g6p
@RunnerBoy-g6p 13 күн бұрын
God bless simba
@CikeTanzania
@CikeTanzania 13 күн бұрын
YUsufu kagoma kagoma kuongea.😂😂😂
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 14 күн бұрын
Ila kagoma yupo fit sana😅😮
@Katuniclassic-qv2qd
@Katuniclassic-qv2qd 14 күн бұрын
Tqtiz unavyo tombwa iyo saut ndo utoag kwa wanaume zako unatuletea kutangaz na iyo saut man aaah aaah nyingi
@ildephoncemilambo5493
@ildephoncemilambo5493 14 күн бұрын
Jitahidi na Nyie waandishi wa Habari kufanya mazoezii, mdada kidogo tu kukimbia unahemaa, mpaka sauti hatuisikii vzr sababu ya kupumua sana
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 14 күн бұрын
washazoea kutombwa
@danielngotto5652
@danielngotto5652 14 күн бұрын
😂😂😂​@@zarafimnyamafitv
@luluray2115
@luluray2115 14 күн бұрын
Mwandish unahema sana fanya mazoez
@EliudiSaitoti-oh7lh
@EliudiSaitoti-oh7lh 14 күн бұрын
Simba sports club daima
@AishaAljadidi
@AishaAljadidi 14 күн бұрын
Unapumuwa sana pole
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 13 күн бұрын
Manura mbona simuoni hapa jamani embu nipeni jibu kuhusu huyu kipa manura
@HassanMwalle
@HassanMwalle 14 күн бұрын
Mayele upo wapi kwasasa
@ShabaniAlly-l5n
@ShabaniAlly-l5n 14 күн бұрын
❤ kila lakheli wana runyasi
@fatmaOmmy
@fatmaOmmy 14 күн бұрын
Sasa hicho kichwa cha habar moka navhek mwenyew😂
@BahatiMarwa
@BahatiMarwa 14 күн бұрын
safali njema
@rogersiddy
@rogersiddy 14 күн бұрын
Imekuaje basi tena mbona rangi sio nyekundu tena naona jezi ndo nyekundu au limeuka na jua limekuwa pink 🩷 sasa😂😂😂😂
@storytime1204
@storytime1204 14 күн бұрын
Yani sijapenda ata ilo bus ni fake😂😂daah simba kubwa sana sio kwa ilo basi
@rogersiddy
@rogersiddy 14 күн бұрын
@@storytime1204 😂😂😂😂🙌
@MuhsinJuma-wo2bg
@MuhsinJuma-wo2bg 14 күн бұрын
Ww nakwambia lazimani zae na ww sio kwa sauti tamu ivo
@user-ve6tn2jw9g
@user-ve6tn2jw9g 14 күн бұрын
mwandishi hivi unakimbizwa mbona unahema hivo??
@abdiharuna2818
@abdiharuna2818 14 күн бұрын
Uyu dada wammpe mshahara mkubwa sio kwa kuhema huko
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 14 күн бұрын
nafasi ya matola ingemfaa mgunda, sijui matola ni kimbora cha mangungu!
@JohnNkwabi-f5q
@JohnNkwabi-f5q 14 күн бұрын
Naoko weee😂
@YusuphNkondo
@YusuphNkondo 14 күн бұрын
Kama makocha wawili hawa wapo simba,hakunajipya hata kochi huyu mpya ataondoka.
@mariamCharles-ti6qi
@mariamCharles-ti6qi 14 күн бұрын
Kila laheri chama langu
@dianafelisian7766
@dianafelisian7766 14 күн бұрын
Nopo yutube naangalia.mung u wet u awatangulie
@Mumlion2624
@Mumlion2624 14 күн бұрын
Kila la kheri mnyama
@EstarNelson
@EstarNelson 14 күн бұрын
Lameck law una wenzio wnasepa ungkuepo naww
@hashimuomary4569
@hashimuomary4569 14 күн бұрын
Na nyie waandish muwe mnafany mazoez kuhema hv vp usije kutufia
@AyubuRamadhani-ci8ds
@AyubuRamadhani-ci8ds 14 күн бұрын
Ktk mtu anae harib simba matola kama matola.atakuwepo hata msajil mesi
@TungisNkandison
@TungisNkandison 14 күн бұрын
Unapomtukana na Matora ni kumtukana mzaz wako
@user-tw1oi4ec3n
@user-tw1oi4ec3n 14 күн бұрын
Simba nn 😂😂😂
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 14 күн бұрын
mtamgazaji punguza nyege
@user-ne4lv6wn9y
@user-ne4lv6wn9y 14 күн бұрын
Mwandishi unahema Kama Bata ametoka kut......
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 14 күн бұрын
Hivi shehe malone alipewa thank you?!
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 13 күн бұрын
Bado yupo
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 13 күн бұрын
@@issaibrahim8796 bora aise dha
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 14 күн бұрын
Nyie viongozi wa Simba wapumbavu nini huyo matola anafuata nini huko.ujinga.mtupu huo.
@stephanomgallah6358
@stephanomgallah6358 14 күн бұрын
Anakuhus matola sii uangalie Yako na mats ya nn ndg angalia Yako boss
@TheodoryCharles-mg9sr
@TheodoryCharles-mg9sr 14 күн бұрын
Unachangia beigani ndugu yangu kwenye Tim ya Simba hatamiambovu hujawahi changia harafu unaongea ujinga
@hashimuomary4569
@hashimuomary4569 14 күн бұрын
Matracle Yako ex
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 14 күн бұрын
Matola anaunganisha timu anawajua wachezaji Hawa makocha wanahitaji mwenyeji ndo maana yy yupo
@nassoroathuman-ei3pv
@nassoroathuman-ei3pv 14 күн бұрын
Nend ww xax
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 23 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 11 МЛН
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,7 МЛН
EXCLUSIVE INTERVIEW NA JOSHUA MUTALE 'BUDO SANCHEZ'
6:05
Simba SC Tanzania
Рет қаралды 63 М.
JOSHUA MUTALE SKILLS
5:15
Muu mtwale
Рет қаралды 22 М.
CLATOUS CHAMA VS JEAN AHOUA SKILLS,ASSIST AND GOALS NANI NOMA?
8:33
🏟️👋 Welcome to your new home, Kylian Mbappé!
0:14
Real Madrid
Рет қаралды 9 МЛН
Footballer’s Kids + Foden’s Son 💀
0:20
Savvy Football
Рет қаралды 2,2 МЛН
Майк Тайсон НЕ НУЖДАЕТСЯ В ОХРАНЕ #shorts
0:30
Тайна ММА
Рет қаралды 2,2 МЛН
Флойда переиграли #boxing
0:15
Эффект MMA
Рет қаралды 302 М.