Рет қаралды 1,247
Multfunctional weeding machine ni mashine inayoweza kufanya kazi zaid ya 17. Mashine ina components zifuatazo;
1.Kifaa cha kuvunia
2. Kifaa cha kupalilia
3.Kifaa cha kutifulia udongo
4. Kukatia miti
5.Kukusanya uchafu/matakataka shambani
6. Kutengeneza hata matuta na kulimia.
7. Kufanya leveling nk.
8. Kifaa cha kuchimba mtaro
9. Pump ya maji kwaajili ya kumwagilia
10.Kifaa kwa cha kupalilia (Kuondoa majani Pamoja na kutifua udongo kidogo bila kukata mmea)
Ni mashine inayotumia petrol 4 stroke.Bei yake ni Tsh 1.6M tunadeliver popote mteja alipo pamoja na kumpa elimu jinsi ya kutumia. Mawasiliano 0654484175 // 0623203712 Tunauza complete set na half set.
@JOSASA FARMS.
.
.
.
.
music credit to
Easy Love by Hotham | / hothammusic
Music promoted by www.chosic.com/free-music/all/
Creative Commons CC BY 3.0
creativecommons.org/licenses/...